HOUSE GIRL EP 27 | S3 | Love Story 💕💞

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 631

  • @SharonChepngeno-d7e
    @SharonChepngeno-d7e 3 години тому +131

    Anayekerwa na chiko😂😂gonna like😂

    • @KhalidaUridu
      @KhalidaUridu 3 години тому

      So chiko tu Hadi cendy😅😂

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 3 години тому

      Tena sana

    • @GraceMusa-i8x
      @GraceMusa-i8x 2 години тому

      Yaani natamani kumvaa mimi

    • @HabibaAmani
      @HabibaAmani 2 години тому

      😅😅😂chiko na candy waowane

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 2 години тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🥳tupo vichangozi🥳​@@HabibaAmani

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 4 години тому +136

    Wanao support ndoa ya zatiti na Tasha tujuane jmn❤❤

  • @Zenabeby
    @Zenabeby 3 години тому +96

    Mie napenda Sana part yakina Tasha jaman kama ww n mmoja wao bas weka alama apo

    • @juliusmuinde9679
      @juliusmuinde9679 2 години тому +2

      Na huyo mkoloni wako Sawa na nimeona mkoloni ni real father wa Tasha na wote wanaingiza poa

    • @SanuraNamlola
      @SanuraNamlola Годину тому

      Tuko pamoja ukhty zena🎉🎉🎉

    • @SanuraNamlola
      @SanuraNamlola Годину тому

      Hahaha 🤣🤣🤣 mbn mm najuwa Chiko zatiti halikushinda kisa mchepuko candy kimekuramba dear😅😂😂

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 3 години тому +152

    Tunaoumia cend anavyomtukana mama yake na tunaoomba candy adhulumiwe na papaa gonga like hapa tujuane

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr 3 години тому +4

      Uyo muace ataona dunia gisi dunia itamugewuka kama tumbo ya usiku😢😢

    • @YusraSiyaleo-yk2fz
      @YusraSiyaleo-yk2fz 3 години тому

      Yan hatar​@@DivineIngabire-lj3sr

    • @MajidMau
      @MajidMau 3 години тому +1

      Mm naona wanachelewa kumdhurumu jaman embu wafanye haraka Duncan imfundishe iwe funzo kwa wengine

    • @Saidahkims
      @Saidahkims 3 години тому +1

      Kwanza nataka apotezwe kabisaaa

    • @AgnesMiyi
      @AgnesMiyi 3 години тому +1

      Mm nataka wamuue kabisa au awe kichaa kwa raana ya mama 🎉🎉

  • @WinnieWanza-k3e
    @WinnieWanza-k3e 2 години тому +42

    Ni WA gapi wamefulaia ndoa ya Tasha na zatiti nipeni like zenu

  • @LennaAjiambo
    @LennaAjiambo 4 години тому +72

    Wanao amini kwamba candy maisha yake yote itakuwa ya kuangaika tuweke mikono juu🤚🤚🤚🤚

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 3 години тому +33

    Chiko kimemulambaaaa jamani wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
      @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj Годину тому

      Eti amekumbuka kua zatiti n mke wake ashachelewa sana zatiti n mke wa tasha saah chiko ulimpa zatiti talaka 3 za mpigo kaa kwakutulia ukiona kimeoza mwenzako ywala ivoivo bila kupasha moto tasha alikula bila kupasha moto chiko tulia sasa

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 52 хвилини тому

      Maholo

  • @Shinyg3l
    @Shinyg3l 3 години тому +34

    Busati tv naomba sana kabla season 3 haijaisha naomba candy limkute kubwa mpaka asahau jina lake Ili funzo litimie🙏🙏🙄🙄

    • @ClariceMatulanga
      @ClariceMatulanga 2 години тому +1

      Kabisaa

    • @ASHAMWABAYA
      @ASHAMWABAYA 2 години тому +1

      Ata ikafika season 4 bora tuone akiteseka na mtoto wa mrs mganga tuone jaman😂😂😂

    • @Shinyg3l
      @Shinyg3l 2 години тому +1

      @@ASHAMWABAYA hapana kipenziii Ili mama Ake apumzike mpaka kufika season 4 atakufa na pressure 😭😭

    • @eversweedakemo
      @eversweedakemo Годину тому

      Acha kumuombea mabaya candy ni acting tu nyie😢

    • @ASHAMWABAYA
      @ASHAMWABAYA 59 хвилин тому

      @@eversweedakemo twajua bt all we need ni funzo kwa watu wenye tabia kama hizi

  • @Mwajei0fficialmwajei
    @Mwajei0fficialmwajei 3 години тому +27

    Wale tunao soma comment huku tuna anglia tujuanee

  • @ChristinefatumaKalume
    @ChristinefatumaKalume 3 години тому +12

    Kusema kweli mama ni mama,Yani candy anavyo mfanyia mamake candy atajutia baadaye,km unamin gonga like❤❤❤❤

  • @ZeinabJeni-xu3og
    @ZeinabJeni-xu3og 2 години тому +15

    Tunao omba candy azulumiwe mpk abaki na nguo zenye ziko kw mwili 2 na laaan juu tujuane

  • @monaciarkennymo6ix9ine62
    @monaciarkennymo6ix9ine62 3 години тому +27

    Weee chiko komaaaa🤗! Saud arabia hatujui km zatiti mke wako.. tunajua Tasha ndo mume halali wa Zatiti🥰💪🏾

  • @francksylvester7844
    @francksylvester7844 4 години тому +24

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa wa Tano jamani like zangu japo kumi tu

  • @NsabiyumvaEvelyne
    @NsabiyumvaEvelyne 4 години тому +15

    Ma'am. Candy pore sana uyo simutoto nikidudu mutu naomba like warafiki zangu nawapenda sana❤

    • @MajidMau
      @MajidMau 3 години тому +1

      Tena bora alivomtoa dunian angekuwa bado yupo tumbon angepata uvimbe wa mvuko wa uzazi

  • @SalomengandiNzungu-it5ph
    @SalomengandiNzungu-it5ph 3 години тому +8

    Na mm nimewai wapendwa, bwana yesu apewe sifa atakaesoma comment hii mungu amfungulie milango yote ilofungwa❤❤

  • @imanimwashambwa6432
    @imanimwashambwa6432 3 години тому +11

    Candy unatisha sana. Binafsi nimekubali unavyofikissha ujumbe kwa jamii

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 3 години тому

      Lakini candy amepitiza

    • @MiriamKolagwa
      @MiriamKolagwa 2 години тому

      Yan candy anajua bhnaaaa 😂😂😂

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 Годину тому

      Yeah anaplay sini zake vizuri na wapo watoto km so mitaani

  • @KhadijaRonda
    @KhadijaRonda 3 години тому +5

    Nafurahi kuona chiko kimeulamba ninapenda saaana mafundishoyenu zaidi bibizuu mama Tasha na mamake yakendi na mamake zatiti na babake zatiti ❤❤❤❤

  • @EucapetChepkemoi
    @EucapetChepkemoi 2 години тому +8

    Chiko kimemramba yeye ndo kipoji manyoya sasa alafu candy naye anatusi mamake naomba apate funzo kabisa

  • @FettyDMOSO
    @FettyDMOSO Годину тому +5

    Tunae subili kumuona kendy anavoteseka tujuane radhi ya mama itamtafuna vibaya mno

  • @MariaKahind
    @MariaKahind 3 години тому +7

    Canddy umevuka mipaka hata kama ni movie ila mama ni mama hata kama ni kilema😢😢😢😢😢 imeniuma

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 3 години тому +5

    Mr chiko unalako Jambo hebu twajie zatiti wetu asikie Raha ya ndoa afirah tutolee Giza love movie 🎉🎉

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 3 години тому +11

    Jamani Leo nimewahi nipeni hata like kumi tu 😅😅 man sijawahi kupata like

  • @فراحهكينيا
    @فراحهكينيا 3 години тому +6

    Kwa mara y kwanza nimewai team strong mko wapi nime wamiss ❤❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 години тому +3

    Kwenye house girl mtu mdogo kiumri kuliko wote ni mr tasha 🌺 🌺 🌺 🌺

  • @AsminKache
    @AsminKache 3 години тому +6

    Huyu chiko n candy wapeleke hospital wakapimwe akili😂😂

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 години тому +6

    Chiko unamwambia mr tasha ni kipochi manyoya, unajisahau wewe sura yako ndio yakaa kipochi manyoya😂😂😂

  • @GraceOtieno-vo3sj
    @GraceOtieno-vo3sj 3 години тому +4

    Today you have nailed it🎉🎉🎉🎉❤ keep it up team house 🏠 girl ❤❤❤❤❤.Chiko na bangi zake.....wah!😂😂😂😂

  • @SamsonMajan-k3g
    @SamsonMajan-k3g 4 години тому +10

    Wao nilitamani sana kuwa wakwanza na ndoleo big sam ap

  • @JescaOscar-q8f
    @JescaOscar-q8f 3 години тому +6

    Kippande Cha kendi sitaki ata kukiona najionea zangu Kijijini kwakina zatiti kwakina kendi kubaya kama warivyo wao wabay😅😅😅

  • @Odila-q7w
    @Odila-q7w 3 години тому +8

    Wewe chiko koma Tanzania atujuwi tunajuwa tasha ndo shemeji yetu 😂😂

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 24 хвилини тому

      😂😂😂😂hata kenya tunamjua shemej ni Tasha

  • @ClariceMatulanga
    @ClariceMatulanga 2 години тому +4

    Nko Kenya n sijui kama zatiti n mkeo uyo n Mrs Tasha aka handsome boy😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 години тому +16

    YEYOTE HATAKAYESOMA HII COMMENT MUNGU AKULINDE WEW NA UZAO WAKO INSHALA
    🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤝🙏🤝🙏

    • @YusraSiyaleo-yk2fz
      @YusraSiyaleo-yk2fz 3 години тому +2

      Siyo insshala sema inshaallah umeelewa 😂😂😂😂😂

    • @mohamedlopa8410
      @mohamedlopa8410 2 години тому

      😂😂😂😂😂 sawa yusra

  • @joleemvungi
    @joleemvungi Годину тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉busat hii season 3 ni nzur kulik season 1 na 2....plz na season 4rial iwepo mana mchezo bado mbichi

  • @MiltonInnocent
    @MiltonInnocent 4 години тому +12

    Naomba like yanguuuuuuuu kama 100 hivi

  • @SarahBimuloko
    @SarahBimuloko 3 години тому +4

    Jameni mimi wa 45 Nîme wayi Léo naombeni like zangu kwa Wale watakaye kuya nyuma yangu,laki chiko uyu bwana ana aya

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 3 години тому +7

    Candy umezid roho mbaya jamani

  • @bintijumachongoa892
    @bintijumachongoa892 3 години тому +4

    Weny3 mnap3nda house gal gonga like s hapa..tunaipenda hadi tukiikosa tunakosa raha..

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 Годину тому +2

    Nimekuwa kama chizii CHIKo kukosa mpenzii😅😅😅😅😅😅 chiko n candy laana zenyu zinawanyanyasa wenyewe hovyoo😅😅😂😂

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 2 години тому +4

    Hii character aliyopewa candy aivae hata billioni siiwezi mm jamani Mama ni Mungu wa pili msifanye mchezo na Mama😢😢😢inaniumiza moyo

    • @TotoMisah-h5v
      @TotoMisah-h5v Годину тому

      Hamn kipenz anafundish watu kunawengine wanafanya ivo kwel

  • @sarafinamochache8269
    @sarafinamochache8269 3 години тому +2

    Wee chiko nanii amekuambia Saudi Arabia wanakujua😂😂😂 candy yoo utakuja kujuta 🙄🙄.... Chiko why are you running murife don't run si wewe mwanaume mbona uogope panga

  • @zubedamae-ro1jx
    @zubedamae-ro1jx Годину тому +1

    Duuh yaan vile mama candy vile analia naumia moyo 😢😢 utasema ni live aky candy ulichukua kipindi kigumu sana duuh 😂NAIWE BS NI MOVIE LKN UWE HAUNA HIO ROHOO

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 56 хвилин тому +1

    Ongeza kwa baba zatiti na makofi👏👏👏👏👏👏👏👏kwako juu Chiko mjinga sana

  • @EdnnahEdnnah-e1g
    @EdnnahEdnnah-e1g 4 години тому +10

    Wa Kwanza jameni naomba likes

  • @MillicentMaina-r8x
    @MillicentMaina-r8x 4 години тому +18

    Naomba like tabadhali

  • @AshaHamisi-tf3kk
    @AshaHamisi-tf3kk 3 години тому +4

    Uyu shida anapokwendea atakuwa chizi😮😮😮

  • @AliceOngiro
    @AliceOngiro Годину тому +1

    Kendi ningekua karibu na wewe nione vile unambebea mamako mdomo wa maneno hivi ningekupinga na matiti hadi pesa yk iyo itoeke😢😢😢😢

  • @Jenniffer-m9k
    @Jenniffer-m9k 3 години тому +4

    😂😂jaman leo nimechelewa ila nimefika .naombeni like zenuu

  • @AyshaAli-f7q
    @AyshaAli-f7q 2 години тому +4

    Hiki kipande cha chiko sikipendi kinanikumbusha machungu ya mtalaka wangu hv hv aliniacha mwenyewe Kwa talaka3 ila baadae akakana na kuanza kunisumbua tena alikana km anavyo kana chiko hapo Aisee huwa sipendi hata nikumbukege 😢 huyu anafanya nikumbuke sasa mpaka nahisi kichwa kuuma 😢

    • @ShaniJuma-sm1sd
      @ShaniJuma-sm1sd 51 хвилина тому +1

      Huwaga sjui wapoj

    • @AyshaAli-f7q
      @AyshaAli-f7q 30 хвилин тому

      @@ShaniJuma-sm1sd we acha tu wanakela km nn hawapendi kuona unafuraha baada ya kuachana na yy anataka akuone unateseka ndo furaha yao

  • @ShamieWise
    @ShamieWise Годину тому +1

    Nyoooooo eti tasha kipochi manyoya yaani namchukia chiko na vitendo vyake😏😏😏😏😏

  • @TimeAly-z1l
    @TimeAly-z1l 3 години тому +5

    tobaa 😱 chiko pole sana huna chako tena mbeee😂😂😂

  • @PrimitivaPriscus-hb7yj
    @PrimitivaPriscus-hb7yj 4 години тому +11

    Chikooo kimemlambaa 😁😁😁🙌

  • @YunucKhalid
    @YunucKhalid Годину тому +1

    Jamani cendy amezid Tena na maneno mabovu kwa mama yke

  • @ميريالشمري-ح9ب
    @ميريالشمري-ح9ب 3 години тому +4

    Chiko unajitowa ufahamu kwakweli❤❤😂😂😂utakoma wasemaga kwakirundi umanika agatu wicaye mukukamanura ugahaguruka utashimama utakoma😊😊

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe 3 години тому +4

    Hivi kunawatoto wako kama kendy 😭😭😭

  • @Johar903
    @Johar903 3 години тому +2

    ❤❤❤ila Chiko sio mstaarabu kabisa kwanini inakuwa ivyo muache Mr Tàsha na zatiti wameshakuwa mke na mume nenda kwa cendy wako

  • @MailahMkuvite
    @MailahMkuvite 4 години тому +9

    Wakwanza leo likes kwangu

  • @MariamHamisi-h4g
    @MariamHamisi-h4g Годину тому +1

    Candy huusika wako umefanyia kazi ongera siz🎉🎉🎉

  • @JumwaKatana-m8r
    @JumwaKatana-m8r Годину тому +1

    Ni mefurahi😂😂😂❤❤❤ sana ndoa ya Zatiti nlikua na isubiri sana na watakia ndoa njema kama kai na zuli

  • @سليمه-ن4خ
    @سليمه-ن4خ 2 години тому +2

    Saudi Arabia inajuwa mambo ulifanyiya zatiti😅😅😅😂😂😂kadama muko🎉

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 3 години тому +2

    Chikoooo😂😂😂 Acha kujizima dataaa,talla ulimpea,juu yakikaragosi candy na dadako,na tukakwambia kitakuramba haukusikia,ona sasa😂😂😂😂

  • @Madameochu
    @Madameochu 2 години тому +2

    Cendy litakukuta jambo nakwambia 😢😢😢

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh Годину тому +1

    Jamn mm nilikua naomba cendy apateee Rana kutokaaa kwa mama yakeeee

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 години тому +3

    We chiko tukome! Uku kenya hatujui kama zatiti ni mkeo...ulimpa talaka, narudia mm kama mkenya tukomeeeeee😂😂

    • @Raudhal
      @Raudhal 3 години тому

      😂😂😂

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 3 години тому +2

    Zatiti na Tasha waaaah mungu yuko mbele yanu Ata musiogopa chiko,, chiko hatakufa tu sai

  • @Farthun
    @Farthun 3 години тому +11

    Candy wenzako tuko saudia tuna miaka 4 hatujawaona wazazi wetu wewe unaomba mamko afariki je unajua jinsi gani mzazi anathamni hapa duniani candy wewe 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 nakuonea huruma sana mungu atulindie wazazi wetu na wale ambao wazazi wenu walishatangulia mbele zahaki mungu awajaalie makazi mema Inshaallah 🫂🫂🫂🫂🫂

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 години тому +1

      Ameen

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 3 години тому

      Ak😢😢😢😢hafanyi poa

    • @Farthun
      @Farthun 2 години тому

      @@sifamaureen2792 kabsa yaan mm nasikia roho ikiniuma vile napenda mamangu acha tu

    • @Fatuma-y9k
      @Fatuma-y9k 2 години тому

      😢😢😢

  • @JaphetNoah
    @JaphetNoah 42 хвилини тому +1

    Chiko ni hatari anaujasili wa hali ya juuu anajiamn ndevu zake zmeendana na anachokiigiza hatari sana nakubali kaz nzuri

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 3 години тому +1

    Jaman sijawah omba like mie so mnipatie TU Leo mie mpendwa wenu! Nawapenda nyote mnaofatilia hii move na tujuane sote🎉🎉🎉🎉❤

  • @aishabakari4686
    @aishabakari4686 3 години тому +3

    Napenda sana part ya Mr Tasha na zatiti wakiwa kijijini ❤❤

  • @finedichengula6816
    @finedichengula6816 2 години тому +2

    Aliyemuona chiko akikimbia panga la mzee mkoloni gonga like hapa 🤣🤣🤣

  • @Leilajepmtu
    @Leilajepmtu Годину тому

    Amndulilaya amndulilaya Yani ata cjui niseme nn aki Kwa family ya zatiti ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 💐💐💐💐💐💐💐💐💐

  • @OmmyFamily
    @OmmyFamily 3 години тому +3

    💯🌺🌹🍁🌸🌻🍁 honger vipezi mlioshiliki pia pole chiko

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 2 години тому +1

    Yaani candy wewe uko na kiti chako kuzimu direct but siwezi kuhukumu sna maana hii ni movie much love from 🇰🇪 😂😂😂😂😂

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 години тому +4

    Chiko ulisha mpa mke talaka pliz move on

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 3 години тому +5

    😂😂😂😂😂 nani kaona mbio za chiko 😂😂😂

  • @ASHAMWABAYA
    @ASHAMWABAYA 2 години тому +1

    Wenye wanasubiri kuona mtoto wa mganga na kumuona kend akiteseka gonga like apa😂😂😂😂

  • @EdithAteka
    @EdithAteka 3 години тому +4

    Chiko anataka viboko 😂

  • @Judithnyiva-pk9dq
    @Judithnyiva-pk9dq 2 години тому +2

    😂😂😂😂😂jiko kanichekesha Leo kumbe warabu wa Saudi na Dubai wanajua zatiti n make wake😂😂😂

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 3 години тому +3

    Chiko ameshanganyikiwa jamani😂

    • @KhalidaUridu
      @KhalidaUridu 3 години тому

      Kachanganyikiwa au utahira na kujitowa ufahamu aende zake huko bana 😏😏😏😏

  • @Saumu-vr4bc
    @Saumu-vr4bc 4 години тому +3

    Ktu kitsamu kisha pambe ,, wakwanza leo na Chiko kimemkuta

  • @SarahAtyanga-jc3jr
    @SarahAtyanga-jc3jr 3 години тому +1

    😂😂😂😂 weeeh chiko sisi kenya tunatambua zatiti ni mke wa tasha hatukutambui wewe😂😂

  • @MarthaSerthy
    @MarthaSerthy 3 години тому +2

    Huo itakua ni uharisia wa wake Candi anatabia mbaya huwez kumwambia Mama ako kauli kama hizi

  • @VeronicaWillium
    @VeronicaWillium 4 години тому +8

    Wa kwanza mm

  • @VinnyLee-e6o
    @VinnyLee-e6o 3 години тому +2

    Kama Dunia hii watu wapo kama kend na Sania na chiko wapone kupitia hii muv mwisho ni mbaya Kila ukipandacho IPO siku kinarud pokeeni 🎉🎉🎉🎉 busati tunajifunza

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 3 години тому +4

    Chiko una chako tena kimekulamba leo

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg Годину тому

    😂😂😂😂chiko umeniacha hoii hao mashetani yako looo yani nimecheka yote😂😂😂😂😂😂😂😂mr tasha hongera bwana....candy rudi nyuma huyo ni mama ...weee candy huigopi weee❤❤❤❤❤❤❤❤busat tv hoyee jamani hii episode imenifurahisha sanaaaaa loooo

  • @herveiratunga3656
    @herveiratunga3656 4 години тому +9

    Lewo wakwanza nipeni

  • @saidaathuman1209
    @saidaathuman1209 4 години тому +6

    Tenaaaaa wa kwanza mie

  • @MinnahPetra
    @MinnahPetra 50 хвилин тому +1

    Ss wa kenya hatujui kama zatiti ni mkeo

  • @ASAS-q9u9e
    @ASAS-q9u9e 4 години тому +5

    Candk unaroho mbaya sana

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it Годину тому +2

    Chiko nakuchukia ndevu kama nyavu za pwani😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 3 години тому +4

    Alafu warda nakupenda sana ❤❤❤❤❤

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 2 години тому

    Jaman candy 🙆‍♂️🙆‍♂️ ulipofika kweli mzazi atakuchukulia vipi wewe mwanamke aso na haya candy daaah umeshinda dada mpaka mzazi wafika kumtukana wala litakufika zito utamani kumuona huyo mama na hautompata daah mungu tujalie tupende mama zetu ya rabbi

  • @fatumaabdallah9768
    @fatumaabdallah9768 2 години тому +1

    Nafrahi kuina chiko kapigwa n kitu kizito zatit nakupenda sana

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 3 хвилини тому

    Chiko umepewa haki yako,mkeo ni Candy,huna chako Tena apo kwisha habari yako🙌🙌

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 2 години тому +1

    Mara ya kwnza nlikua nkimchukia candy thamthilia ikianza....lakin kila kukicha ndio nazidi kumpenda na masimango yake....n vile ana tetesha family yke....Yani Acha tu.....kuzaa CIO kupata wahenga walisema pata pesa ujulikane tabia zako....n kwel😅

    • @MiriamKolagwa
      @MiriamKolagwa 2 години тому +1

      M ck hz namkubali sana ni bonge la actor huyu 😂😂😂😂😂

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 2 години тому

    Wanaokumbali baba Zatiti gonga likes 💪💪🤣🤣😂😂😂😂

  • @DhadhoAbdalla
    @DhadhoAbdalla 3 години тому +1

    Tunahitaji kumuona Chiko akikimbizwa na ba mkwe camera man mbona unaficha raha😂

  • @LaylaBakari
    @LaylaBakari 4 години тому +4

    Wadeeeeeee😂wa kwanza leo

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 Годину тому

    Candy uwiii kama Kuna mtoto yuko ivi aache Mara moja 😢 chiko imekula kwako tuache na ndoa yetu ❤ Baba ake zatiti kufuza na panga huyo mbwa😂😂😂😂

  • @Mwaminiomar
    @Mwaminiomar 3 години тому +1

    Chiko amechizika naona amejizima data😂😂😂😂