MISSION IMPOSSIBLE [51]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 957

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 7 годин тому +49

    Jamani mbona km mzee wamisumari kunamchezo anachezewa nakile kibegi anatafuta njia yakumchukua kidem jau ataenda jera mzee wa mishumari km upo na mimi gonga like nyingi

    • @LatifahMohammed-r5f
      @LatifahMohammed-r5f 6 годин тому +1

      Hapn lazim amwambie nimuoe mdogo wako au uilipe

    • @RashidOmary-c4g
      @RashidOmary-c4g 6 годин тому +1

      @@LatifahMohammed-r5f kabisa

    • @SukhayraRamadhani
      @SukhayraRamadhani 6 годин тому +1

      Kweli kile kibegi kitakua na vitu vibaya mtego

    • @LatifahMohammed-r5f
      @LatifahMohammed-r5f 6 годин тому +1

      @@RashidOmary-c4g tusubir muendelezo

    • @LatifahMohammed-r5f
      @LatifahMohammed-r5f 6 годин тому +1

      @@SukhayraRamadhani uskute hela za bandio sem mzee wa misumali alivo ona akawa anawenge san ahat alivo beba kibegi kam siyo muuni vile

  • @rachelhassanary4091
    @rachelhassanary4091 11 годин тому +44

    Mmmh,nikajua nimewahi jamani kumbe mshafika watu like zang bc🎉🎉

  • @AnwarHupa
    @AnwarHupa 6 годин тому +23

    Cheuc na bonge naomba muepo kweny CHEKA TU 😂😂😂😂

  • @JohnWarioba-j2z
    @JohnWarioba-j2z 9 годин тому +41

    😂😂 cheusi na bonge wamenishinda tabia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @oman-l8r7k
    @oman-l8r7k 11 годин тому +78

    Anayesom coment hii Mungu ambariki amfungulie kil lililogumu Amen❤

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 9 годин тому +12

    Leo mission impossible 51 inaraha yake bwana yani nlikuwa nmenuna lkn vicheko😂😂😂😂 na nderemo zimtandaa kote, big up saana kwa wahusika wote❤❤❤❤❤❤

  • @Titusintrumental
    @Titusintrumental 11 годин тому +30

    Anyone who is reading this, May God fulfill your dreams 🙏🙏

  • @KatayaVincent
    @KatayaVincent 8 годин тому +7

    Pole sana mzee wa misumali kwa magumu uliopata

  • @HabibaHamad-p9p
    @HabibaHamad-p9p 11 годин тому +29

    Naombeni na mm laiki leo

  • @yusrakagunga3066
    @yusrakagunga3066 11 годин тому +12

    Hatimae leo nmewahi dkk ya 3 tuh aomben like zang 😊

  • @LaurentLukome
    @LaurentLukome 11 годин тому +34

    Nakushukuru sana eeew Mungu kwa kuniwezesha kuwa wa kwanza toka nianze kuitazama hii movie ,pia wabariki wote wanaofuatilia series hii duniani kote❤

  • @Jojohkatoto
    @Jojohkatoto 10 годин тому +77

    Nqhis mister manyonga ndio baba ake ngwengwe na ndio kaka ake chado🙌

  • @omanoman2923
    @omanoman2923 7 годин тому +15

    Chado yupo romantic na penz lake MashaAllah wanaume wote mngekuwa kama chado

  • @RashidMwegelo
    @RashidMwegelo 11 годин тому +14

    Me nampenda sanaaa najmah anafanya kazi nzuri Sanaa yupo serious

  • @TitusWekesa-do7hb
    @TitusWekesa-do7hb 11 годин тому +10

    From Kenya 🇰🇪 Aki nyinyi ni vigogo .... Waaaah kaende kaende

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 11 годин тому +11

    Cheusi nakupenda sana😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 10 годин тому +33

    Kuwaachanisha chado na kidem jau hiyo ni mission impossible

  • @AnnahGowele
    @AnnahGowele 10 годин тому +30

    Chado me ctaki movie iishe mpaka umpe mimba kidemu juu😘😘😘😘😘

  • @StephenSalum-c2p
    @StephenSalum-c2p 11 годин тому +36

    Wakwanza leo jamani naombeni like zangu

  • @Frankjr-y4k
    @Frankjr-y4k 8 годин тому +13

    Mungu nilinde na huyo anae soma comment

  • @ShadidahHairun
    @ShadidahHairun 11 годин тому +24

    wanaum mngekuw n uamnif kam w chado ingkuw raha sana❤❤

    • @magangatv
      @magangatv 10 годин тому

      Tupo mbn

    • @MourineSteven
      @MourineSteven 9 годин тому

      Tafta muhun utaenjoy kupendwa

    • @kenedynashon9717
      @kenedynashon9717 Годину тому

      Sasa wanaume wanakuaje waaminifu ikiwa mnaotongwa hamkatai😂😂,kataeni tuone kama hatutokuwa waaminifu

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 9 годин тому +33

    Team strong mpo wapi naombeni like zangu ❤❤❤🎉😂😂

  • @HusnaX-u6q
    @HusnaX-u6q 7 годин тому +10

    Mumeshakomet kila kila kitu leo ,,mm nasema kaka ake najma nampenda sana mpaka homa

  • @FatmahKihwelo
    @FatmahKihwelo 11 годин тому +13

    Mmejikuta wote mmekua wa kwanza Ila chado mungu anakuona unavyotufanya tunakupenda bure yaaaan baba ngwe ngwe

  • @VanessaGikundiro
    @VanessaGikundiro 9 годин тому +7

    ❤yaani épisode ya leo imenifurahisha kwa kwl❤❤❤❤❤❤😅😅😮😂

  • @TausRaj
    @TausRaj Годину тому +4

    😂😂😂😂😂😂 cheusii na bonge tuko na nyieeee adi chado Awatoe loho😂😂😂😂

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 11 годин тому +15

    Nakubali sana master movie chado😂😊😊😂😊😂😊😂😊🎉😊🎉😊🎉😊😢😊😊😢😊🎉😊😊😊😊

  • @annaki318
    @annaki318 10 годин тому +38

    Ila Leo kumechangamka hukuuu😂😂
    Mpaka taarabu jamaniiii
    Langu jichoooo mieeeee Ila bonge😂😂😂

    • @RukiaManga-z1t
      @RukiaManga-z1t 10 годин тому +1

      Hadi raha na tako linatingishwa😂😂😂

    • @annaki318
      @annaki318 7 годин тому +1

      @@RukiaManga-z1t ni balaaa

  • @CynyAkoth
    @CynyAkoth 6 годин тому +3

    Wahh nmependa sana, chado usiaribu penzi lako limetoka mbali sana kaba Ivo Ivo

  • @EkronMasilu-d3j
    @EkronMasilu-d3j 11 годин тому +7

    Mwambien Bonge anaonyeshaje Jicho hajui kama kuna Pidid et anakatika kabsaaaa looh😂😂

  • @AhmadyAbdalla
    @AhmadyAbdalla 11 годин тому +13

    Team_Chado-Master❤❤❤🎉🎉
    Kitengooo❤❤one more kichwa njichoo❤

  • @serafinamalecela4728
    @serafinamalecela4728 2 години тому +1

    Sema Huyo jambaziii la 2 handsomee

  • @ZainoMussa-ct4qo
    @ZainoMussa-ct4qo 11 годин тому +9

    Leo wakwanza from Mozambique nnaomna like zang

  • @munalove-x4u
    @munalove-x4u 11 годин тому +22

    Jaman leo nipen like kila siku amnipi

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 11 годин тому +9

    Wapi kelele kwa team chado master❤❤🎉🎉

  • @peterphabian-l4z
    @peterphabian-l4z 7 годин тому +6

    wanaomkubali CHADO NA KIDEMU JAU like hapaa❤❤

  • @user-AnordBGB
    @user-AnordBGB 4 години тому +5

    Uwiiiiiiiiii cheusi na mwenzake bonge hahahhaahahahhahahahah

  • @NancyElianz
    @NancyElianz 9 годин тому +5

    Tangu mwanzo mpaka saiv nipo na nyie sambamba😂😂❤❤❤

  • @ChimamyErnest-pf7ij
    @ChimamyErnest-pf7ij 11 годин тому +21

    Wa kwanz leo❤❤

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 8 годин тому +6

    Eeee chado utamsomea kisomo akauke kama mti😂😂😂😂chado jamani we kweli kiboko ❤❤❤❤nakupenda bure tu

  • @TimeAly-z1l
    @TimeAly-z1l 8 годин тому +3

    Tena mwambie asa asitake kukuharibia penz lako kwa kidemu jau wetu tunapenda sana mapenz yenu yazidi kushamir❤❤❤

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 10 годин тому +9

    Bonge na cheus tii wanajua kutufurahisha na taarabu wanazijua😂😂😂😂

  • @DamianMumba-h2u
    @DamianMumba-h2u 9 годин тому +5

    Leo nimehawahii❤❤all the way from Zambia

  • @Deloveally-o8g
    @Deloveally-o8g 11 годин тому +8

    Waooooo leo nam nimewai😂😂weeuweeeee💃💃💃💃💃

  • @BebiChico
    @BebiChico 11 годин тому +14

    Mpenzi wangu awe kama chado jamani awe na hofu ya kunipoteza😂😂

  • @kulwakibasa5396
    @kulwakibasa5396 2 години тому +2

    Jamani kidem jau anapenda vibaya lla mahaba yao yanapendeza sana

  • @NowmeRzk
    @NowmeRzk 11 годин тому +11

    Weeeeeew😂nimekimbiiia nusu nijikwaae mje mlike

  • @AmaniMbyarwanabagabo
    @AmaniMbyarwanabagabo 11 годин тому +10

    Wakwanza tena from Rwanda we love you guys

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv 11 годин тому +12

    Mapema sana nimewah leo🎉🎉🎉🎉

  • @MourineSteven
    @MourineSteven 9 годин тому +6

    😂😂😂😂 et sehem ya kubonyeza ye ametoboa nmeipenda io

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 11 годин тому +23

    TUNAAZA NA MUNGU KWA KUSEMA AHSANTE MWENYEZ MUNGU KWA KUONA SIKU NYINGINE NAOMBA UWE NASI POPOTE TUENDAPO JINA LAKO LITUKUZWE INSHAALLAH 🙏🙏
    Niwatakie j.5 tulivu kwenu woteeee mashabiki wenzangu wa CHADO MASTER 🙏🙏

  • @HassanAbdullahBenge
    @HassanAbdullahBenge 10 годин тому +6

    Kitengo umefeli kwakwel mwanamke hapigwi ivo sija wahi kuku eleza hivi ila unajua kaz yako good job.

  • @irenebenbella
    @irenebenbella 8 годин тому +5

    Thatha chado thatha nakupenda 😂😂🙌🙌

  • @NuruMussa-i8m
    @NuruMussa-i8m 8 годин тому +1

    Hahahaha kumbe kiteng sheikh Leo kaja nakichina mwisho jaman me ndo I like

  • @saheemally1411
    @saheemally1411 9 годин тому +5

    Ila cheusiii umetisha sana mbea asiekuwa na kumbukumbu

  • @happydominic2145
    @happydominic2145 9 годин тому +12

    😂😂😂 yaan cheusi na bknge hamkomi tuu

  • @Rizikinassoro
    @Rizikinassoro 10 годин тому +5

    Kaz zuri sana chado na kukubali

  • @MerianNyoha-bg5cb
    @MerianNyoha-bg5cb 8 годин тому +2

    maneno uliompa video kwin angesikia najima angeringa dunia nzima asingewahi kupokea hata salamu kwa mwanaume yeyote ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 10 годин тому +8

    Jmni cheusi mmbea jmni mmmmh ten mmbea wa kujizima data. Kitengo kwl umtaki Jojo jmni😂😂

    • @MwanswidaSwida
      @MwanswidaSwida 10 годин тому

      😂😂😂😂😂😂cheusi kiboko

  • @kulwakibasa5396
    @kulwakibasa5396 2 години тому +1

    Nampenda sana chado jamani mapenzi ya mjini siyo powa kabisa

  • @Lightness-j2m
    @Lightness-j2m 11 годин тому +17

    Watu sijui mnalala humu mbn Kila nikijaribu kuwahi nashindwa

  • @AishaAboubakhary
    @AishaAboubakhary 3 години тому +1

    Aiseee nampenda chado kwa misemo yake jaman Ila wahuni🎉🎉

  • @hamisiomary4147
    @hamisiomary4147 11 годин тому +112

    Wakwaza nipeni like zangu

    • @SubiraSalumu-w7r
      @SubiraSalumu-w7r 9 годин тому +1

      😂😂😂yani cheusi

    • @AshiruHussen
      @AshiruHussen 2 години тому

      Chado nakukubali balaa man umenifundishaa vi2 Ving san

  • @DORCASNAVELI-pp9it
    @DORCASNAVELI-pp9it 8 годин тому +2

    Assalamualaikum..mtu anajua jina la wimbo uliochezwa wa mwisho anambie please ❤much love from Kenya 😘

  • @garirehema767
    @garirehema767 11 годин тому +8

    Maskini jojo nakuonea huruma..kama unataka kaka basi fuata masharti sawa mama...

  • @doricemodolo3919
    @doricemodolo3919 6 годин тому +2

    yanii chado jamn Yuko pouwaa sanaaaaa jamn

  • @NajmaRamadhani-k3g
    @NajmaRamadhani-k3g 9 годин тому +3

    Hahahahaa mwanamke hulka and langu jicho😂😂😂😂

  • @SabrinaShaibu
    @SabrinaShaibu 8 годин тому +4

    Jmny
    Kina cheusi na bonge hamjaacha tu umbeya wenu tu😢mtakufa nyinyiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @SabrinaBon-pu8st
    @SabrinaBon-pu8st 9 годин тому +7

    Wamwisho jamani😅😢 nipeni like zangu

  • @AnnahAlbert
    @AnnahAlbert 7 годин тому +1

    Jamani move inafundisha mengi sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ConfusedAurora-np2dl
    @ConfusedAurora-np2dl 8 годин тому +4

    Jojo: aaaaah kakaaaa............
    Chado: nyokoooo............
    😂😂😂😂😂😂😂 nakubali Sana kaz yko broh

  • @Stamboy83
    @Stamboy83 9 годин тому +1

    Chado mpuuzi kweli mmenifanya niwafuatilie salute kwenu good job 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NancyAtandi
    @NancyAtandi 10 годин тому +31

    Jamani Mimi ndo sijawai pata like ata moja

  • @MourineSteven
    @MourineSteven 9 годин тому +5

    Leo kunavi2 adim kwnye episode hii,,, ni tam mwanzo mwisho 🫶🫶🫶🫶

  • @BebiChico
    @BebiChico 11 годин тому +4

    I love chadoo kwa huo mbaooo kwa video queen 😀😀😀

  • @berthillegatoni9404
    @berthillegatoni9404 11 годин тому +6

    Cheusi kwa umbea wake akasahau ile siku ya kupigwa kichwa alikua na kichwa njich😅😅🤣🤣🤣umbea uwe na kumbukumbu😂😂

  • @yusrakagunga3066
    @yusrakagunga3066 11 годин тому +5

    Mzee wa misumar leo katiwa yeye misumar😂😂😂

  • @johnkalee
    @johnkalee 11 годин тому +6

    Hahah cheusi tititi bhana 😂 mzee umbea anaujua😅😅 aungane na lokole

  • @JumaMzongi
    @JumaMzongi 11 годин тому +4

    ❤mjomba dady nakukubaliii ile kinomah

  • @OfficialZarry
    @OfficialZarry 11 годин тому +3

    Cheusi tiii njoo Zanzibar uolewe😂

  • @SofyYussuf
    @SofyYussuf 11 годин тому +5

    😂😂😂 cheusi na bonge jaman 😂😂😂 nawapenda bure

  • @EllenTumain
    @EllenTumain 3 години тому +1

    Wimbo wabongo nimeupenda

  • @ZafalanMapondela
    @ZafalanMapondela 11 годин тому +9

    kwasababu ulilalia kifua ndomana umechelewa nawapenda sana❤

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki 11 годин тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @RashidiBashila
    @RashidiBashila 18 хвилин тому +1

    Cheusi ukiwam.mbea uwe na kumbukumbu😂😂😂😂

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 9 годин тому +12

    Kwani cheusi na binge wanajisahaulisha walivyofanya na kitendo....

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 59 хвилин тому

    Namwonea huruma mzee wamisumari jamanii,kapewa mtego mbaya sana

  • @ESTERNTONYERA-bc7jx
    @ESTERNTONYERA-bc7jx 6 годин тому +5

    Jaman mzee wa misumari wanataka mfanya nin au manyonga kafanya yake tayal ili amshtumu kaka wa watu 😢

  • @ElishaSamson-y8u
    @ElishaSamson-y8u 11 годин тому +6

    ❤❤ anajitahidi sana kitengo japo kuwa kacheresha kutoa

  • @bakarisaad6612
    @bakarisaad6612 11 годин тому +6

    Waaaooo ongeza dk zifike ata 30 kaka chado

  • @NajimaShabani
    @NajimaShabani 3 години тому +2

    Wajinaaa Najmaaa näkukubälíiiiiiii ilee Mbayaaa❤❤❤🎉🎉🎉❤❤😂

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 11 годин тому +13

    Wakwanza leo😂😂

  • @AminaMwanamgunda
    @AminaMwanamgunda 4 години тому +1

    Mamb ni mawili kupika au kulala sema nawapenda sana chado na kidem jau😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @BucumiErick
    @BucumiErick 9 годин тому +13

    Chado mstaa nimeshukulu sana ukiwa uhai lakini kunawenye wanagu chongea kwa najuma chunga cheusi na bonge

  • @jimmymwanisawa6684
    @jimmymwanisawa6684 18 хвилин тому

    Chado mastar kitengo we ni tatzo brother kidem jau umemrogia upupu muda wote unawasha 🎉🎉🎉

  • @FilidonLaurent
    @FilidonLaurent 11 годин тому +3

    Oya umetisha sana

  • @NYAMBISHANI
    @NYAMBISHANI 8 годин тому +1

    Chado mim nakupenda umetusikiliz wateja wako umeongez muda🎉🎉🎉🎉

  • @EliudEliud-w9f
    @EliudEliud-w9f Годину тому +4

    Nilijua tu manyongaa atamchora misumari ila chenye naona babake na ngwengwe huenda akawa manyonga wanao niunga mkono likes zangu

  • @MSANGITVmasangi
    @MSANGITVmasangi 11 годин тому +2

    I'm wwiting for next episode ❤❤❤

  • @igachyou
    @igachyou 10 годин тому +6

    Duh! Naomba like zenu leo jamani🥺

  • @MayasaMohamed-m8m
    @MayasaMohamed-m8m 8 годин тому +1

    Cheusi umeua kwa hiyo nyimbo yenu.mwanamke hulka