Hotuba ya Mansoor mkutano Shaurimoyo, asema CCM haikushinda wakati ina watu sembuse sasa na Mwinyi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 чер 2024
  • Mansour Yussuf Himid

КОМЕНТАРІ • 10

  • @nassorseif404
    @nassorseif404 24 дні тому +2

    Nakuelewa Mh: Mansour mtetezi wa wazanzibari. Allah atakulipa kheri Inshallah

  • @user-hu4sd7bg8n
    @user-hu4sd7bg8n 24 дні тому +3

    ❤❤❤❤ tunakupenda sana

  • @mshiraziahmad9633
    @mshiraziahmad9633 23 дні тому +2

    Kabisa

  • @user-sn4iq6cu1f
    @user-sn4iq6cu1f 23 дні тому +1

    Na tena watanganyika wametutawala kwalengo lakutaka kuinyakua zanzinzibar kwajinsi walivyokua wabinafsi

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 23 дні тому

    Tatizo umoja bado haujaonekana but inshallah kila hatua dua😊

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 24 дні тому +1

    Kumekucha na kupambazuka. Hakuna la siri litasitirika !!

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 22 дні тому +1

    Mmmh Mansoor uliacha chama cha ccm kwa maslahi yako binafsi,, maana unamiliki ardhi kubwa mno paje na paje kusini ilikuwa ngome ya Cuf,, Ukaona mbali ni kuwa karibu na wana kijiji cha paje

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 18 днів тому

      Baba hapa hakuna aliekuja kulinda dunia wangapi waliommiliki na ameondoka na eameacha vyote,. Hayo yasikupe shida ogopa watu wa upande wa pili wakichukua ardhi wanajenga vitu vya ajabu

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 24 дні тому +1

    😂😂😂

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 21 день тому

    Naww ulikua huko huko