PAROKO, BABA NA MGANGA WA KIENYEJI WADAKWA NA VIUNGO VYA MTOTO ALBINO ASIMWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

КОМЕНТАРІ • 18

  • @Director___Mwadadu
    @Director___Mwadadu 3 місяці тому

    Ingewekwa adhabu ya kifo cha papoose hapo kutokomeza hii hali japo nchi kama nchi inauiraji wa msingi watu inauma😢

  • @MussajumaMiheza
    @MussajumaMiheza 3 місяці тому +1

    Wanyongwe bila uruma!

  • @LucyNtambi
    @LucyNtambi 3 місяці тому

    Mama Samia hapo hakuna uchunguz wanyongwe tu tumechoka sana

  • @augustinechitemo8207
    @augustinechitemo8207 3 місяці тому +1

    Ngoja tusubilie uchunguzi wa kipolisi ukamilike,
    Yawezakuwa siyo sahihi sana!

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 3 місяці тому

      Mjinga sana wewe hapo una lengo la kumtetea paroko unaleta udini waliokamatwa wamemtaja wewe ni nani mpaka upinge ushahidi upo na viungo vimepatikana ndugu zetu baadhi wakristo sio wote tuache kuleta ushabiki wa kidini kwenye jambo linalogusa hisia za kijamii na kibinadamu nyinyi ndio wale wakristo mliojitahidi kumtetea papa wa vatican kuhusu ushoga na kujaribu kupindisha ukweli kuwa kanisa katoliki rasmi limeruhusu ushoga kilichotakiwa wakristo wote wa afrika kupinga na kumtaka papa abadilishe msimamo wake lakini hakuna hata kiongozi mmoja aliediriki kumkosoa papa hata kwa waraka tu kama ule uliotumwa na kanisa wa kupinga bandari,hebu wakristo na waislamu tuache mihemko ya kidini yenye lengo la kumchukia mtu kwa sababu ni dini fulani au kumpendelea mtu kwa sababu ya dini fulani tuwe na msimamo wa pamoja rais awe muislamu au mkristo tumpinge kwa hoja tukosoe lakini tusiweke udini kwani ukiweka udini utashindwa kumsifu hata kwa mazuri atakayoyafanya na utayageuza mazuri kuwa mabaya

    • @JacquelineKinyonge
      @JacquelineKinyonge 3 місяці тому +1

      Siyo sahihi kivipi na wakat ushaambiwa kuwa paroko ndiye aliyemshawishi baba wa mtoto

    • @Teaching356
      @Teaching356 3 місяці тому +1

      Et alikuwa padre alisimamishwa kazi sababu ya ulevi na alikuwa malaya wa kupindukia hivyo uhakika upo hakuna cha uchunguzi tena.

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 3 місяці тому

    Mmh inatisha sana 😢😢

  • @kalangwapaschal7718
    @kalangwapaschal7718 3 місяці тому

    Jamani,na paroko tena?

  • @theklalyimo4383
    @theklalyimo4383 3 місяці тому

    Jesus

  • @ElinikeSoi
    @ElinikeSoi 3 місяці тому

    Kama patri kafanya ivi tuta kimbilia wap 😢😢😢

  • @masoudmakame-g5t
    @masoudmakame-g5t 3 місяці тому

    It is another sort of terrorism

  • @consolatamsacky6400
    @consolatamsacky6400 3 місяці тому

    Paroko 😢

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 3 місяці тому

    Paroko mtakatifu

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 3 місяці тому

    MAONI: NAKUREKEBISHA KIDOGO KATIKA RIPOTI YAKO HII ....
    - WENGI WA WALIORIPOTI,WALIANDIKA KICHWA CHA HABARI,"PAROKO MSAIDIZI"....NARUDIA "PAROKO MSAIDIZI"
    -ELIMU: PAROKO ANATOFAUTIANA SANA NA PAROKO MSAIDIZI KATIKA WADHIFA WAO....
    -ANDIKA KUTOKANA NA MAELEZO SAHIHI

    • @saidbakar-qo6ri
      @saidbakar-qo6ri 3 місяці тому

      Paroko ni paroko tu awe msaidizi awe mjukuu ni mtumishi wa kanisa sasa lengo lako ilikuwa kutetea au

    • @musakatwale1959
      @musakatwale1959 3 місяці тому

      UTAKUTA BAADA YA SIKU 4 MAJAMAA YAKO TENA MTAANI.KAMA KWELI NI WAO TUMIENI KALE KAUTARATIBU KA CHINA.KAMA NI MCHONGO BASI PELELEZENI MAANA BONGO NAPO MAUZAUZA YAPO MTAANI