MREMBO WA ARUSHA ANAITWA BIG, ANAENDESHA TOYO "NIMEJENGA NYUMBA, DIAMOND WANAMSHANGAA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Jenipher Ulomi ni dada ambaye anaishi Arusha na ameendesha pikipiki kwa miaka kumi kazi yake nikutoa huduma za mauzo ambapo hupita kwenye maduka nakuchukua oda za bidhaa mbalimbali lakini anasema kwa kipindi alichoendesha pikipiki ameweza kujenga nyumba yake huku akisema watu wengi wamekuwa wakimshangaa kutokana na umbo l
    Anasema amejaliwa kupata mtoto mmoja na anamsomesha kupitia kazi yake hiyo huku akiwaomba wanawake kujitokeza kufanya kazi hiyo nakujituma
    "Kutoka Arusha hadi Moshi natumia dakika 40,kikubwa tumuombe Mungu atuepushe na mabalaa ya barabarani watu wananishangaa Arusha ukiulizia big ni chap sana,watoto wanasema angalia huyu mmama. anaendesha pikipiki napenda watu wanavyonishangaa"-Jenipher

КОМЕНТАРІ • 299

  • @cocojrkpshemndolwa3818
    @cocojrkpshemndolwa3818 3 роки тому +43

    Wanawake kama hawa ni wachache big up sana mwanamke mpambanaji

    • @neemacollins3704
      @neemacollins3704 3 роки тому +1

      Shukrani sana sana

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 3 роки тому +1

      Wanachelewesha kuzaliana hawa na kuua malezi ya watoto..Maana watoto wengi wanalelewa na ma house keepers TU...!

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 3 роки тому +1

      Kwa hiyo unataka wanawak wote wawe hivyo sio, anza na manzi yako,awe hivyo hivyo

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 роки тому

      Big Up ❤️❤️😍

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 роки тому +10

    Watu ka hawa hapa ndio wunafaa wawe kio cha jamii si wale wakudanga wakupoteza watu mitandaoni kw kudanga waume wawatu n kupoteza vijana wanaochipuka,am happy for u mummy ❤️❤️❤️

  • @treestem9081
    @treestem9081 3 роки тому +4

    Dada endelea na kazi yako bila kufadhahishwa kwa unawasaidia wengi kubadili mawazo. Afrika tujifunze kujituma kwa manufaa yetu. Ahsante Mola akubariki.

  • @euniceulomi6135
    @euniceulomi6135 3 роки тому +13

    Huyu siyo dada yangu kweli😂😂😂 naitwa Eunice Maiko Ulomi alafu mzee ako na watoto acha tu

  • @festostefano836
    @festostefano836 3 роки тому +31

    Kama ulijua n huyo aliyepakiwa gonga like🤣🤣🤣

  • @pendopendo7427
    @pendopendo7427 3 роки тому +5

    Hongera sana mwanamke mwenzetu Mungu akusimamie dear

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 3 роки тому +10

    Yaani huyu anaonekana bahiri sana .tutakusajili kwenye chama letu la UWABATA👌👌

  • @alihassani1960
    @alihassani1960 3 роки тому +13

    Salute sana kwake Big✊

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 роки тому +2

    Hongera sana dadangu mzuri MUNGU azidi kuku bariki

  • @rozina2161
    @rozina2161 Рік тому

    Ma shaa Allah yuwaonge kwa heshima na hekma Allah azidi kukmiminia baraka zake na akuepushie maajali

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 3 роки тому +13

    BIG MTU MBAD Shout out to engo,
    Mitaa ya edmund

  • @giftmeela6250
    @giftmeela6250 3 роки тому +2

    BIG MTU MBAD umetisha sana🔥🔥

  • @anithamollely3193
    @anithamollely3193 3 роки тому +3

    Hongera Malikia Wa Nguvu

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 Рік тому

    Waendesha bodaboda wanakuaga wanazingua sana wamevulugwa atari wengi wao wanajifanya ivo wanajichetua balaa hasa wanaume wale wa lika 28 kulud chini lakini kumbe inawezekana wadada awako ivo bola wanawake wawe wengi boda boda wako vizuri sana wana busara na utulivu kumbe wadada bodaboda safi sana nimeipenda Mungu awe nawe dada kila la heri

  • @clenyg7988
    @clenyg7988 3 роки тому +7

    She's a super woman ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 3 роки тому

    B.I.G MTU M'BAD..., hongera sana!!!
    Arusha hakuna kuremba

  • @yahyamkone5601
    @yahyamkone5601 3 роки тому +5

    Yes big kweli wewe mpambanaji nimekukubali sana

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 роки тому +6

    Nimekupenda bure

  • @ericklaura7511
    @ericklaura7511 3 роки тому +5

    Chugamaican big sister 👏👏

  • @erickmweta8215
    @erickmweta8215 3 роки тому +17

    I taught my mom how to ride a motorcycle since 2010 and now she's a good biker

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 3 роки тому +12

    Kiswahili cha chuga kwetu cha wagumu sana

  • @josephinepatrick6026
    @josephinepatrick6026 3 роки тому +1

    Mwanamke wa shokaaa 👏🏼👏🏼🔨namkubali sana BIG mtu mbayaa...😂💣🥌

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 роки тому +2

    Mungu amuongoze

  • @yusuphtwaha8386
    @yusuphtwaha8386 2 роки тому

    Hahaahaa nmecheka San pikpik imempatia Mambo makubwa ikiwemo moto Ila hongera sana

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 роки тому +10

    Kama mwanaume ila nimekupenda saana dada angu mungu akusimamie ila kiswahili cha chuga hatari saana cha kisela

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 роки тому +3

    Hongera san

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 Рік тому +1

    Hongera sana sana

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 3 роки тому +4

    Kweli kabisa nakutana naye mara nyingi sana

  • @selemanmohamed9565
    @selemanmohamed9565 3 роки тому +2

    Safi sana

  • @husseinface2100
    @husseinface2100 3 роки тому +3

    Mpe Hi Gabriel Jennifer

  • @zubedarichard2311
    @zubedarichard2311 Рік тому

    Ila chugga tunaongea vzr Sana aisee

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 3 роки тому +6

    Mwanamke bomba?💪

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 3 роки тому +7

    sis Ulomi, kwaade kyaa.

  • @gloryjulius1108
    @gloryjulius1108 2 роки тому +1

    Hongera sana

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 роки тому +1

    Hongera mpambanaji

  • @thewinnertvonline3482
    @thewinnertvonline3482 3 роки тому +1

    Hongera sana sister

  • @sweetmama6885
    @sweetmama6885 3 роки тому +1

    Wachaga oooooooyeeeeeee💪😁

  • @davidndeke2008
    @davidndeke2008 3 роки тому

    Nampongeza sana mrembo huyu kwa moyo akonae pamoja na juhudi zake.

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Рік тому

    Hats apa mosh wanawake wanaenda boda mpaka bajaji kikubwa ni kupambana tuu na Mungu atusaidie

  • @emmanueljohn5162
    @emmanueljohn5162 3 роки тому +5

    Leo ndg. mtangazaji ajatumia neno TAHARUKI

    • @selemanjuma1595
      @selemanjuma1595 3 роки тому

      Analitumiaga sanae

    • @emmanueljohn5162
      @emmanueljohn5162 3 роки тому

      @@selemanjuma1595 hahahaha just go thru his headlines bullets....the word Taharuki to him is a key word

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +3

    Big girl hongera sana 😍

  • @lemathomas2862
    @lemathomas2862 3 роки тому

    Upambanaji ni kitu najivunia Arusha yetu 🙌

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 3 роки тому +19

    Ety kwa baba Tuko Kama Mia mojaa uko

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 3 роки тому +4

    Aiseeee

  • @chuseramaa5665
    @chuseramaa5665 Рік тому

    Hongera san dada

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 3 роки тому +8

    Yeye mwenyew amekaa kama wa kiume

  • @eliudijastini645
    @eliudijastini645 3 роки тому +1

    Mtu mbadi sana

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +2

    Big mtu mbadi🙌🙌🙌🙌🙌

  • @codexgenius5109
    @codexgenius5109 3 роки тому +6

    Pisi yangu🔥

  • @angelntandu661
    @angelntandu661 3 роки тому +1

    Namuelewa sana huyu dada na nakutana nae sana pale Maina dukani

  • @teamfocusfunny966
    @teamfocusfunny966 3 роки тому

    Pole Sana ASANTE

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 роки тому +1

    sista ni mnyama sana

  • @bugaboympemba730
    @bugaboympemba730 3 роки тому +2

    Mnapendelea kuhoji watu wa kasikazini kila wakati

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 3 роки тому

    Big up big safi sana, wanawake wa Tanzania 🇹🇿 wangekuwa kama huyu dada mpambanaji wangekuwa na heshima sana, ile the majority ni omba omba waedi wadangaji hadi kero, yaani ukimtomgoza tu umeletewa tayari bili

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому +1

      Hawapo ombaomba kwasasa wanawake,ukiona anakuomba kakuona wewe unataka kumpitia tu,huna jipya.

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 роки тому +1

      @@mariamm2724 omba omba wanawake wako kabisa wanaishi kupitia wanaume mwingine tena anakutongoza kabisa au anajitongozesha ole wako umcheke unaanza kuletewa mabill kibao , yaani uwizi mtupu unajiuliza alikuwa anaishijw kabla ya mimi

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому

      @@kabwelasutiviraka4765 mungu wangu pole yao kwasasa watu wa hivo.wapo wachache sana ,tunapambana saizi sio mchezo .nawapa pole wanategemea miili yao

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 3 роки тому +1

      @@mariamm2724 ila wapo wengi tu wanawake wengi Tanzania bado tegemezi na wana mawazo tegemezi

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому

      @@kabwelasutiviraka4765 pole yako kwa sio kwa usawa huu,izo mambo ni za kale

  • @deodorantdeodorant6309
    @deodorantdeodorant6309 3 роки тому +2

    Broo Huyo nimwanaume basi tu mungu anamaajabu yake

  • @oscarmgimwa2302
    @oscarmgimwa2302 3 роки тому +4

    Mwanamke mpambanaji ni dira ya vijana.

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому

    Ongera dada yetu

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому +2

    Naye ni big kweli

  • @husseinkazimoto5252
    @husseinkazimoto5252 3 роки тому +3

    Maisha ni mapambano kazi ni kazi

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 роки тому

    Hongera sana Dada

  • @shabanmtango7892
    @shabanmtango7892 3 роки тому +7

    ZeBigg bonge la m2 isee you, mwanaharakati.

    • @neemacollins3704
      @neemacollins3704 3 роки тому +1

      Og sana Mtango mango wa mipango mpango mzima

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +4

    Kukubwa pesa inaingia

  • @amnewarji1707
    @amnewarji1707 3 роки тому +1

    Big up ulomi

  • @eunicemwanga5162
    @eunicemwanga5162 3 роки тому +2

    Na mm nikiwa mkubwa nataka kuwa kama Big 🙈🙈🤛🤛, Hongera big

  • @jumajuma7215
    @jumajuma7215 3 роки тому +2

    Safa Sana dada hayo ndo maisha

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому +1

    SASA kati ya huyu BIG na yule ALIYEFANYA UPASUAJI KUJIWEKEA DIMPLES.... Nani anafaa kuwa Kioo cha society...?

  • @obadiahwillsonlukumaylukum8046
    @obadiahwillsonlukumaylukum8046 2 роки тому +1

    Du lkn ana sura ya kiume sio Bure alifanya kazi iyo

  • @Romeomromaproduction6307
    @Romeomromaproduction6307 3 роки тому +1

    siyo mrembo huyo

  • @mwanatumumohamed2329
    @mwanatumumohamed2329 3 роки тому +2

    Aah kumbe huyu ndio Jenifer,Gucci njoo huku lakini uage kwenu maana humuezi.

  • @user-tw9wu2gz4g
    @user-tw9wu2gz4g 4 місяці тому

    Mtu mbadi

  • @melvinkanje440
    @melvinkanje440 3 роки тому

    Uko vizur Mamaake

  • @junioryasin5306
    @junioryasin5306 3 роки тому +5

    Huyo ndo mrembo

    • @bantonyjustin7642
      @bantonyjustin7642 3 роки тому +1

      Et mazeee uyo c nigga kabsa em nyie ayo Tv muwe mnaweka majina mazur kwa hao black nigga 💪🏽

    • @neemacollins3704
      @neemacollins3704 3 роки тому

      Acheni ulimkashfu mtu wakati umfahamu.. Kwan akiwa na sauti nene awezi kuwa wakike.. Badilika bro km umempenda awe wakiume mfatie mke bac

    • @junioryasin5306
      @junioryasin5306 3 роки тому

      @@neemacollins3704 limekuchoma cyo

    • @neemacollins3704
      @neemacollins3704 3 роки тому +1

      Acha kumjaji mtu usiemfahamu uwo ni ushamba wakati anayo maisha mazuri kuliko ww ... Uwo ni ulimbukeni kumjadili mtu aliekushinda kipesa hadi kielimu

  • @malamafyisamkanda5362
    @malamafyisamkanda5362 3 роки тому +1

    Hatalii uyuu dada

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +3

    👏👏👏👏

  • @user-pi6ws1fn5s
    @user-pi6ws1fn5s 6 місяців тому

    Big napita zanguu

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 3 роки тому +3

    Et! Mrembo

  • @Chekibob
    @Chekibob Рік тому

    😄😄nmempenda sana

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 роки тому +6

    Alafu mdada unaonekana una bonge la mshepu maana siyo kwa mpaja huo😅😅 japo umeniuz hujasimama lkn hongera kwa vyote "uchapa kaz na kwa hiyo kitu nyingine.... ila siku nyingine usimame basi mweeee🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️

  • @josephtabora7646
    @josephtabora7646 3 роки тому +3

    Oya uyo aliyepakiwa nyuma kitu white namba yake please

  • @nolanraphael8502
    @nolanraphael8502 11 місяців тому

    sijawah Jutia kuzaliwa arushaaa

  • @sknapoleonshoo3145
    @sknapoleonshoo3145 2 роки тому

    Big up !

  • @msaphirimagallah5781
    @msaphirimagallah5781 3 роки тому +4

    Kuna Neema nae alikuwa usa river.. alikuwa boda boda kabisa sasa hivi ni dereva wa malori!! Pambana Big.. utafika mbali kikubwa malengo... nakuonaga sana mjini hapa

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 Рік тому

    Duh jaman Hadi raha Yani akipakia huamini kama mwanamke aisee nimekupenda buuureee

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 Рік тому

    Ana sura ngumu sana kama mwanaume

  • @samwelmakuni8079
    @samwelmakuni8079 3 роки тому +2

    Leo tumepigwa hyo ni jamaa kbs

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Рік тому

    Sio news

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 3 роки тому

    Godfrey upo vzr

  • @josephinajosephat6582
    @josephinajosephat6582 3 роки тому +1

    Kazi iendelee

  • @pendaelimolell3510
    @pendaelimolell3510 3 роки тому +1

    Safi sana sister

  • @kimamybeautypoint9656
    @kimamybeautypoint9656 3 роки тому

    Aiiseh kanenepa atar

  • @debrahcharz4306
    @debrahcharz4306 3 роки тому +1

    Mwanamke wa shoka

  • @dominicakamwela4799
    @dominicakamwela4799 3 роки тому +1

    hahaa et samahani brother

  • @godfreymwacha2340
    @godfreymwacha2340 3 роки тому +1

    Huyo ndie big mwenyew
    Nakukubali san mtu mbadi

  • @abrahmanabdallah8479
    @abrahmanabdallah8479 3 роки тому +1

    Yani dunia wanawake kujifanya wanaume kaawaidatu angekua ahojiwa juma lokole hapo engeachili matusi na lana utafikiri hakuna mwisho wa mtu

  • @ramadhanmnyomoka5643
    @ramadhanmnyomoka5643 3 роки тому

    Saf Sana

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому +1

    ❤️❤️❤️💯

  • @loychrss315
    @loychrss315 3 роки тому

    👏🏿👏🏿👏🏿BIG

  • @aishaomari944
    @aishaomari944 3 роки тому

    Wanawake hatutak kulala enheeeeeee ttz nn mbona mnachukua majukum ya boy

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 Рік тому

    Nimeshawahi kubebwa na huyu dada anapambana ase

  • @azizaisack2572
    @azizaisack2572 3 роки тому

    Namkubali San huyu Dada anapamban San