Je suis comorien, je vous suis depuis lyon france. J'adore le mikate ya chila, chez nous ,on mange ça tous les jours. Merci pour cette vidéo et du courage
@@ShunasKitchen Karibu Shuna,Allah akuongeze maarifa ili tuendelee kukula kwa macho 😁 na sisi wanafunzi wako, mafunzo yetu ya upishi uongezeke kua Bora, Saum Maqbul
mashaallah chila tamu hizo mejaribu zimetoka laini na testy😋👌🏻
I love shuna kitchen tanx alot mamy u help us alot...if u feel the same plzz like below😍
Nimependa sana hongera
mashallah unafundisha vizur yani nimefahamu maramoja
Mashallah napenda mapishi yako💝unafahamisha vizuri sana.
Sana mashallah
Unatumia mchele gani dear
Mashaallah hongera ntajaribu one day
Mashaallah mashaallah,I like it aunt Shuna
Maashallah nakukubal sanaa😘
Asante Sana dada...this has become my very picky eaters favourite pancakes.....shukran sana
Asalam Aleikum Dear,mashallah Ajab n yummmmmmmy. In sha Allah nitajaribu kesho.
Ma shaa Allah .wachaa nijaribu na mimi in shaa Allah
MashaAllah .shukran kwa video nzur .God bless you
Nitajaribu nimezipenda
MASHAALLAH SHUNA SHUKRAN HABIBTY
Nmependa mashallah
Mashallah na je kama huna naz
Sster mchele wa basmat je inakuwa nzur ?
Shukran habibty🥰
Can i use rice flour and milk instead of coconut milk
A alykm maa shaa Allah hbbty❤ and thnks kwa upishi nimejarb na mm lakn haijafanya vitobo tobo sijajua kwa nn😢
Shukran may Allah bless you
Mashacala
Mash Allah habity
Nice and easy to try
Je suis comorien, je vous suis depuis lyon france. J'adore le mikate ya chila, chez nous ,on mange ça tous les jours. Merci pour cette vidéo et du courage
Habbty me natak kujua kupika pancakes
je kama nina unga wa mchele wafaa kwa pishi hili?
Mashallah nimependa
Naomba tip please, ni mchele gani mzuri kutumia. Mashaallah umebarikiwa sana.
mimi nimetumia basmati, ila mchele wowote unaweza kutumia. Shukran habibty
Ma sha Allah
umetumia mchela gani?
Assalam alayeikum? aunty shuna watumia mchele gani?
Asanteeee😋😋😋
Asante napika kesho inshallah
Asante sana kwa kutufundisha kupika,kupitia page yko nimejifunza mengi ,Allah akubariki
ameen ameen shukran dear
Asalam aleikum swali jee ukiroweka kwa jisaa moja na nusu huwezi pika chila
Thank you , good gluten free bread
Naomba jb
Nazi gani uliyo tumia? ya chenga au ya unga au fresh. Shukran habibty
Mashaa Allah
Masha Allah 👍
Unachoma upande mmoja haizungushwi? VP Kama watumia Michele Wa chenga tui la Nazi kiasi gani kwa chenga glass mbili au vikombe viwili?
Mashallah 💓
mashaa Allah 😘😘😘
habibty kama una group whtsap la mapish naomba uniunge tafdhal
Mashallah, mchele gani unatumia
Mashallah zinavutia
Naweza kutumia unga wa mchele
Mm hua nikipika hazifanyi vitobo tatizo nn?
angalia uzito wa mchele unaosaga na usagike vizuri
Mashaallah
Yummy 👌😋
Jazakillah khayra ukhty VP nkifanyia mchele mpya ule ulotoka shamba mwaka huu maana nkipika wali natumia maji kidogo mno.
tumia vikombe 2 na nusu uangalie uzito wake
shukran dear
@@ShunasKitchen jazakillah khayra
Mashallah shukran da
Alf Mashallah mamy
U hv very good recipes. I would like to try this fr breakfast. Any ideas how.
Nimefahamu sana Asante kwa kutufundisha
Habari Mimi naomba pishi LA triangles nalipenda lakini sijui linavyopikwa ahsante kwa pishi LA chila
A.akykum nenda kwa @raqya kitchen
Mash Allah Dada,
Asante sana kwa kuangalia
@@ShunasKitchen Karibu Shuna,Allah akuongeze maarifa ili tuendelee kukula kwa macho 😁 na sisi wanafunzi wako, mafunzo yetu ya upishi uongezeke kua Bora, Saum Maqbul
Nice. What do you serve it with?
Tea
meat, any curry or just tea
Naomba kujua ni mchele gan mzur kwa hii mikate mana naona mimi nikipika mikate inanata kwenye meno
Mashaa Allah, shukran
masha Allah
Nice mam
Mchele gani mzri @shuna’s kitchen
nimetumia basmati
Mashallah,shukraan kwa mapishi mazur🥰
Nice
Mashaa Allah I Allways love your foods😙😚😚
Thank you
Ma shaa Allah it looks so nice 👍🏼 have to try it tomorrow In shaa Allah
in shaa Allah please let me know how it goes 😊
Shuna's Kitchen salaam walikum thank you so much just finished them they look so lovely thx a lot will try at IFTAR time In shaa Allah 💜❤️
@@ShunasKitchensamahan kwaiyo mafuta hutumiii 😢
Mashallah rahisi sana kutengeneza...aunty tuletee recipe pizza ya kamba
in shaa Allah dear nitajitahidi, asante
Shuna is the best mashaaAllah
💜💞♥️
MashaAllah you have good talent may Allah give you more than this😋
Mashaallah💕
Shukran jaziilan, nimejaribu shila zimekuja bombastic sana. 🙏
Kama una group ya WhatsApp naomba uniunge.
Mashallah
Umetumia kikombe gani kupimia mimi ninakile cha 250ml kinafaa kupimia
Thank-you I Love Chila
Kama una unga wa mchele je vipimo vyake vp hapa nilipo unauzwa unga wa mchele mm nimenunua kilo 1na nusu sukar nite vp na tui naomb jibu samahan
Kuengezaa waziwa ya maji haina tatizo
Mashallah 👌👌
Thanks.🌹❤
Thank you dear
Can I replace the coconut milk with cow milk? In my area it's difficult to get coconut milk
Yes you can, thanks for watching :)
Je mchele wowote au mpaka uwe vip au pembe
Hata mm nataka kujua
Mchele wa basmat unakuja hio mikate?
yes infact yeye katumia bismat na kuna mtu kamjibu hapo juu ila ni mchele wowote waweza tumia according to hyo comment just helping if u don't mind
Masha Allah thx
Thanks lv 💅
Shukran Sana Jazakhah Lwah Kher HABIBTY
Mashaallah 👌
Umezipenda
Thank 😍
Nimejaribu lakini zimeshikana nilipoweka kwenye sahan na haziachani je nimekosea wapi... au mchanganyo mwepesi sana
Inawezekana labda haukukauka vizuri juu au mchanganyiko wako ulikua mwepesi sana au mchele haukua mzuri kwa chila.
A.alaikum shuna,naomba kuulizia Kama Sina fryingpan ya chilla,naweza tumia chuma kingine ambacho hakigandshi?
ndio, muhimu iwe hakigandishi tu
Hi da shuna je kuna tofaut ya mikate ya chila na vibibi
Mashaallah
Ndio hvyo hvyo
Nazmia unapika vizuir
Hujawa kituwangusha Allah ibarik
shukran dear
Mashallah thanks dear
Je basmat pekeee unagaaa aw mchele gani
mchele wowote unafaa dear
Nawauliza Kama sisi tulio mashabani hatuna hizo mashini uga wasagavipi tafadhali Sana nijibu
Una uroweka halafu una twanga baadae unachanganya na tui
Dada nitumie mchele wa aina ipi maana nataka kujaribu.
Nimesaga lakin kwambalii unavichengaaa
Nimejifunza kupika vingi kwenye hii page yako
Ukianza kutia huweki mafuta kwenye chuma
Kwenye pan huek mafut
Hapana
Shukran