Mikate ya chila | Vibibi vya mchele | Jinsi yakupika vibibi vya mchele vilaini na vitamu.
Вставка
- Опубліковано 4 гру 2024
- #mikateyachila #vibibivyachila #vibibivyamchele
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Mahitaji:-
Mchele vikombe2
Tui kikombe 1 na 1/2
Maji kikombe 1 na 1/2
Iliki
Mayai 2
Kikombe nusu unga wa ngano
Hamira kijiko chakula
Sukari kikombe 1/2 -3/4
English recipe press the link ➡️ Rice pancakes 🥞 | How to make soft rice pancakes.(Vibibi vya mchele). • Rice pancakes 🥞 | How ...
Vibibi | Mapishi rahisi ya vibibi vya unga ngano na ugali | Vibibi vya nazi | Vibibi vya kisoga. ➡️ • Vibibi | Mapishi rahis...
If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ ua-cam.com/video/4lGq0pNtEBY/v-deo.html
you all probably dont give a damn but does someone know a tool to get back into an instagram account..?
I was dumb lost my account password. I appreciate any assistance you can offer me!
@Kamryn Rory instablaster ;)
@Keegan Karsyn i really appreciate your reply. I got to the site thru google and im in the hacking process atm.
I see it takes a while so I will reply here later with my results.
@Keegan Karsyn it did the trick and I now got access to my account again. I am so happy:D
Thank you so much, you really help me out :D
@Kamryn Rory happy to help =)
Mashaallah inapendeza ajabu santeee. Nitajaribu
Asante
Mashaallah shukran navipenda sna ivyo vibbi
Masha Allah habinth nmependa
Mashallah, umefahamisha step by step kwa njia nzuri sana na ya kufahamika.Allah ibarik.
Ameeen asante sana🥰🥰
Ameen shukran
Mshlh nzuri tena sana
Sanaa shukran habibty 🥰
mashaallah kipenzi vitalmu sana hivo vaonyesha
Vilaini na vitamu sana😋😋👌🏻
Sanaaaaa tu😋😋😋👌🏻
Guuudd
MashaAllah ❤
Tamu Sana😋
Mmy nataka kuipika saiv kwajili ya usiku nikiloeka mchele wang saiv haitakua na shida nijibu please
Ma sha Allah mkate huu ni mtamu sana kwa nyama kavu rukia wanitia njaa za asubhi 😋👌🤣🤣
😋😋😋😋😋👌🏻haha pole sanaaa mpenzi
😂😂😂😂pole mpenzi
Naomba dd kuuriza kama nazi auna jee maziwa yanafaha
inshallah nitavipika nimevipenda sana
Shukran habibty 🤲🏼🥰
Ma shaa Alllah you are my favorite
Nimevipenda sana vibibi
Mashallah napenda jinsi unavyo muelewesha mtu je nafasi ya nazi kama hauna unaweza tia maziwa
M .pia nauliza jamani tujuze mpz
M pia jmn tusaidie
Sijawahi jaribu kupika vibibi na maziwa
Raha ya mikate ya chila ni nazi
mashaAllah...zinavutia sannnaaa
Asante sana Amrah 🥰🥰
Mashacala
Thanks
Maashalah
Mashallah 😋 😋 😋
Mashallah
Maashaallaah
Hizi vibibi huwa hazipikwi pande zote?
Da ruki hk kwa maharage acha tu mama mashallah ila me huwa navipika bila kuw3ka unga wa ngano inshallah leo nmeloweka mchele kesho na me napika hvy vya kuweka na ngano😚😚😚😚
😂😂😂😂😂nangoja mrejesho
@@RukiaLaltia nmeshapika sis mashallah
Mashaallah nzuri ajabu
Asante
🤣 🤣 🤣 🤣 Ety kibib chako 😃😎😎jaman
Nilijaribu vimeiva lakini havijaweka vitobo wapi nimekosea
Love it
Asant
Nipate na nyama kavu hapo 😋🔥
Kabsaa sista sista 😋😋😋👌🏻
Looks so good mashaAllah
Shukran🥰🥰
Habbty, .. kwanini mkorogo wangu HAUKUUMUKA, !!??
Lakini japo zimetoka ivo ivo vizuri tu
Mashallah!! Vinavutia sana,shukrani kwa kutufunza,nami nitafanya,ila naomba unijuze mie brenda yangu haina uwezo wa kulainisha mchele kiasi hicho,je, naweza tumia unga wa mchele badala ya kuroweka na kusaga kama ulivyofanya ili nipate matokeo mazuri??
Ndio waeza
Umetumia mchele gani Dada
Amazing 😍👌
Thank you
Mimi nimepika ira ngano sijaweka boss wangu ari ngano ira nimeweza my vitamu asante sana ira nimekichoma kote kote😂❤️
Jaman mm nimejarb imegoma imetoka mbaya kabisa ila nilichanganya na maziwa
So sio lazima ugeuze upande mwengine iwappo utafinika mfiniko juu?
Sio lazma
Unaeza tumia maziwa
Ndio
Km huna Nazi unaweza tumia maziwa
Dada mm sina tui la naz nina naz ya unga je inafaa tafadhar naomba unijibu
Changanya na maji moto upate tui
je unaweza kutumia unga wa mchele badala ya mchele
Mchele gan umetmika
JE KAMA AUNA NAZI INAKUAJE DEAR??
Kama sina nazi naweza kuweka nini badala ya nazi??
Mara ya mwanzo kuona chila zinatiwa mayai na unga wa ngano..
WEWE you're just a critical hater
@@mwamussa Wewe mpumbavu mmoja..
Kwani lzm uweke tui la nazi?
Lazma eeh
Unga naeza koroga after kublend
Waeza eeeh
Hivi mchele Huwa unalainika kabisa au kunavuchenga chenga vinabaki?
Yeah huwa zinabaki kwambali
Ni mchele wa aina gsn
😋😋😋😋😋
Hueki chumvi
Pls my Dr rukiyaa unayo book yako ulothowa Dr cooking book pls I wnt to kno pls my name is ellham Rustam in short aunty Lilly dr
Hey,Dr cooking book ndio nani , kindly text Mia via instagram Rukias_kitchen cz simjuwi huyo Dr cookng
Nazi gani uliyotumia habibty
Ya pakiti
MashaAllah ❤
Mashallah