YAPASWA KUJUA: Wasanii wengi wa AWALI ni wahanga na waathirika wa kazi zao za muziki wakati walipotoka kimuziki, baadhi ya project walizotoa awali zilikuwa kubwa kuwazidi wao hivyo ni waathirika wa uwezo wao wenyewe. Kuna albamu nyingi za zamani kama zingetoka katika siku za hivi karibuni basi zingefanya mauzo ya kusangaza sana kwenye utiririshaji wa DIGITALI. (Uwezo)ý
kizazi sana ,, big up kwa malegendary , show them what God gave you...
Diamond kasema TID ni noma,Domokaya and Man Doja live music,respect 👊👊👊
Weuwee I TID ❤️ my Tz country 💃
Ckujua km TID ana sauti ya maana km hvo, noma sana
Tid anajua sanaaa yaan daaah
legends for the ❤
Nakubaliiiiiiiiiii
Wakaliiiiiiiiiiiiiiii RIP NDOJO
YAPASWA KUJUA: Wasanii wengi wa AWALI ni wahanga na waathirika wa kazi zao za muziki wakati walipotoka kimuziki, baadhi ya project walizotoa awali zilikuwa kubwa kuwazidi wao hivyo ni waathirika wa uwezo wao wenyewe.
Kuna albamu nyingi za zamani kama zingetoka katika siku za hivi karibuni basi zingefanya mauzo ya kusangaza sana kwenye utiririshaji wa DIGITALI. (Uwezo)ý
Wimbo unanikumbusha mbali sana
Huu ndo mziki tunaoutaka
Dah Dojoh umeenda zako 💔💔
Rahisa na Patrick Kanumba waoane
Tid mnyama mtu hatarihatari
Kata simu kalale
Amna msinii km kaka Tid sure
Mtoto Mdogo sana wweeee
Mnyama niyeyeeeeeh
Pumzika kwa amani dojo
Daah🔥🔥🔥
TD hatari
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Rip man dojo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubal
🔥🔥