Daaah! Maisha yetu ni safari, rest in peace Man dojo.. Nakumbuka mbali sana kipindi tunaimba hizi nyimbo pale geto Arusha nyuma ya Cedda kwenye kota za polisi alipokuwa anaishi Dojo na kaka yake Chriss, I'm so sad tumepoteza mwanamziki muhimu sana. Mamlaka husika zichukue hatua kali zakisheria zitakazo wabaini walio husika na kifo cha huyu mwamba.
so pure! so talented.. uwezo wao haujaoungua hata nukta pamoja na kwamba nu miaka mingi imepita tangu wafanye hizi records...af washkaji hawazeeki hawa.. au ni mimi tu naona..😂😂
Wanaojua mziki waulize eti ukiwa unaimba au unachana ukiwa umekaa inatakiwa uwe na ujazo wa pumzi kiasi gani?? Kwanza kuchana ukiwa umekaa nao ni uwezo mwingine kwenye swala la pumzi

Hawa jamaa mziki wanaudai sanaa
MABRADHAZ BONGO FLAVA HONOURS YOU DESERVE IT mna UNYAMA MWINGI madhaFanta**
Hawa jamaaa wako na talent sana pia huwa napenda sana tone yao so unique
Daaaah!!Allah awajaalie sana mandojo na domokaya.Blessed.
yani kuzaliwa afrika bahati mbaya yani vipaji kama ivi mtu anakufa masikini
so pure! so talented.. uwezo wao haujaoungua hata nukta pamoja na kwamba nu miaka mingi imepita tangu wafanye hizi records...af washkaji hawazeeki hawa.. au ni mimi tu naona..😂😂
Innalillahy wa innaillahy rajiun 😢 Lala salama ManDojo 💔
Watu wabaya sana
Binadamu tulipo fikia daa noma rip mandojo kipaji kimeenda
Among best Tanzanian singers
Nalia na mola kumbe wanga ndio wanamix
Zamani watu waliimba kwa sababu wanavipaji Leo hii hamna kitu
Dunia hii wakati mwingine iko very unfair.Hawa jamaa mpaka kesho wanatisha lakini wanaovuma mmmhhh
Allah akulaze mahala pema peponi Mandojo tulikupenda sana ila Allah kukupenda zaidi
Hawa jamaa nawakubali Hadi kesho
Inaweza kuisha miaka buku najelo huu mziki nikama wajana aisee
Dadekiiii nyie watu ni noma
hawa jamaaa ni level nyingine kabisaaaa daah mimekumbuka mbali sana aiseee!!
Mziki wa bongo unadaiwa na hii miamba
mziki mzuri ni mziki mzuri tu
Vocals🙌🙌🙌 wallahy
Muziki
Dope .....yaani wa motooo sana
Wanamziki
nakubali....sana jamaaa nawatamani san
Mungu ailaze roho mahali pema
Way back flani kama ngoma mpya kwa watoto wa juzi
Good music alive 🔥🔥
Hakika mziki huu tunaupenda sana mziki wenye kuelimisha
No beila any more truth coming now 🧐💪
Hawa jamaa ni kiboko saaana
Za nzuko wenyu walome elo mlimota nawakabar sana wanyandugu
Hawa ni zaid ya mafund nawakubali sana
Ila binadamu noma hadi mtu afe ndio mnasifia wakati yuko hai mulikuwa hamuwaoni acheni unafiki
😢Kaz yake mola da❤❤
Dah way back Niaje ni goma langu
Daah, RIP Mandojo, mnajua sana brothers
Wajuba wanajua hadi roho inauma
🔥🔥🔥🔥💫
Ebenaaaaaaa eheeeeeeeeee daaaaaaaaaaaaaaaa aiseee 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nyie ni nyokooooooooooooooo mmenikumbusha mbaliiii sanaaaa daaaaaaaaaaaa
Mi nimekumbuka mbali mpaka machozi yamenitoka😭😭😭😭😭😭
Rest easy mandojo
Legendary 👊🏿👊🏿👊🏿
wanamuziki
Good music
Hawa watu wanajua sana kuimba live
Legend RIP 😢
Wanaojua mziki waulize eti ukiwa unaimba au unachana ukiwa umekaa inatakiwa uwe na ujazo wa pumzi kiasi gani?? Kwanza kuchana ukiwa umekaa nao ni uwezo mwingine kwenye swala la pumzi
Wee ukiwa umekaa, pumzi inakata fasta ila mwamba anachana sio pw
Rip 😭 KING Legend Man Dojo
Mziki wa kweli duh
Rip dojo😢😢
Pumzika Kwa aman Kaka ❤
Innallillah waiina illah rajiuun
Mungu apumzishe kwa amani
Rest in peace 😢😢😢
noma sana sana oiii
RIP Mandojo😓
Wachaaaa weee vipajii havifiiii
💔 dojo banjo r.i.p
Nice music RIP DOJO
Dah so sad, may soul in paradise
Hawa balaa
gr8
media sahv wanapost sana ila hamkuwapa heshoma mwanzo hi ndo tz wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
RIP JEMBE
🎉🎉🎉
daah
R.I.P
Rip legend
🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟🤟
😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
R.I.P