🤣🤣🤣imebindi nicheke kwanza pole yake Charli utaoa upende usipende,don't look material things 😂😂jamaa alitaka mke msomi akasahau mke ni tabia,somo kweli Asante Anko
Daaah ila yote nimipango ya ALLAH maana hakuna mpanga mipango zaidi yake naa hivi hushangai kuwaoa wanawake wawili siku moja na waelewane nawaishi nyumba moja wote sio kawaida ila JALALI tuu kukusudia
That was great❤hogera sana followed from Dusseldorf Germany 😮🎉
Asant san nzuli sana
Hongera sana Kwa simulizi Anko J
Ni simulizi nzuri, nimeipenda kwani inagusa uhalisia wa maisha katika jamii.
Utakoma Side!
Da ila pole Side
THE LAST TEMPTATION IS THE GREATEST TREASON, TO DO THE RIGHT DEED FOR THE WRONG REASONS. WONDERFUL STORY 👏👏ANKO JAY.
I'm no.2 nice & thanks simulizi mix 🙏🏻
Asante kwa simulizi fupi simulizi mix mnatuzingua mnatuletea kipengele kimoja kimoja, utamu unaishia njiani💜💜
Ni nzuri sana
Side we noma! Dah!
Anko j asante kwa simulizi nzuri fupi na yenye kusisimua na yenye mafunzo asante 🥰🥰🥰🥰
💥🔥🔥🔥 bonge la story 🙏🏻 anko jj
Waoooo❤❤❤❤
Nzuri sana❤❤❤❤
Mhhhhhhhhhhh😊😊😊😊😊
Wau amazing story good job
Simulizi mzuri sana
🤣🤣🤣imebindi nicheke kwanza pole yake Charli utaoa upende usipende,don't look material things 😂😂jamaa alitaka mke msomi akasahau mke ni tabia,somo kweli Asante Anko
Alitaka msomi lakini alipomuona mwenye tabia nzuri alibadili nia yake. Ila alichezewa kupewa alichokikataa tangu awali.
Anko me naipenda san Saut yk❤️
@@ankojay8882 nami naipenda wako mm nadra🤭
Leo sijachelewa namba 5
Nzuri sana ❤❤❤
Simulizi nzuri sana hongera
Ulipata wakati mgumu sana kaka
Nice story
Anko jay
Thanks a l lot
❤❤❤
Ankojay mwenzangu
Kila mtu na mtuweee! Yaani hapo ipo siku kitawaka😅😂😅
😂 Uyu naye mwanaume kicheche tu
Assnte ank j kwa simuliz nzur
Ank j asanti kwa simulizi
Ahsante
Nimeipenda sana hii similizi
Leo niko wakwanza
Asate sana simlizi mix ako j
Nimependa nizuri sana
Mmmmhhh
Watu wanaroho mbaya maskin
Ok
Side unatamaa 😂😂😂😂
Asante kwa simulizi fupi taaamu
Mmm me .Naona hukumpenda nasra
🙏🙏
Duuuh,sasa itakuwaje jaman kubadilishiwa mke?
Hahaha habari ndio.hio Charles na taulo
Daaah ila yote nimipango ya ALLAH maana hakuna mpanga mipango zaidi yake naa hivi hushangai kuwaoa wanawake wawili siku moja na waelewane nawaishi nyumba moja wote sio kawaida ila JALALI tuu kukusudia
Side anataka mke msomi bala ya kuoa msomi kampenda ambaye siomsomi ama kweli mapenzi hayachagua wala kubagua
Changa moto za maisha hizo lkn moyo ukipenda mtu ucmdhulumu yule anae pendwe mwisho ndio hutokea mambo haya
🤣🤣😍🤩🔥🔥🔥🔥
Ni vurugu mechi kila mtu ana hatia labda Nasra
Bona inaluka Luka Dana ama n kwangu tu
😂😂😂😂
Sikuhizi hamuna simulizi kali kali kabisaaa
Ssa ha2jajuwa wazaza wameamuwa kipi kuolewa
Ukiwa munongo usiwe msahauli...useless walikuwa zamani wapenzi..je wote wawili hawajuwani majina...wanakaa nyumba moja wawe hawakujuwana..
Ndio hapa muandishi ana bumba huyu
❤️❤️❤️
Nice story