KIVUMBI, WAZIRI MKUU ALIVYOMBANA MKURUGENZI NA MUWEKA HAZINA, AIAGIZA TAKUKURU "WACHUNGUZWE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 173

  • @ismail-vf4zw
    @ismail-vf4zw Рік тому +19

    Rais ajaye,
    Naomba siku moja aje kuwa rais huyu waziri mkuu, namkubali sana na Mungu amlinde sana, maana huyu ndiye mwenye uchungu na fedha zetu, hapa kazi tuu👏👏👏👏👍

  • @barakamsungu5260
    @barakamsungu5260 Рік тому +6

    Majaliwa 🔥🔥🔥 yaani huu ndio uzalendo na uwajibikaji, safi waziri wangu na Mungu akubariki.

  • @Patrick-rf6ro
    @Patrick-rf6ro Рік тому +9

    Tunakupenda Sana Mheshimiwa Kassim Majaliwa, waziri Mkuu....piga kazi

  • @ndenengokimaro4502
    @ndenengokimaro4502 Рік тому +3

    Safi sana ndg wazir mkuu keep it up

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 Рік тому +9

    Ndio maana Kwa Hali hii naunga mkono kubinafsisha bandari maana watanzania tumezidi wizi!!!!!

  • @philberthmoses3794
    @philberthmoses3794 Рік тому +17

    Hizi nyakati tumezimisi sana zinaitwa papo kwa papo
    R.I.P. JPM

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 Рік тому

      😭😭😭daa magu kweli hatutamsahau

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 Рік тому

      Magufuli angeota kumchagua huyu kuwa Makamu wa Rais, leo hii tungekuwa na Rais boooora kabisa. Majaliwa anachapa kazi huo ndio ukweli

  • @batilda4920
    @batilda4920 Рік тому +16

    Watu Wanapiga ela tu!tunabamwa Sisi wajasiriamali ela wanakula tu watu kiulaini Sisi tunabamwa makodi kila kukicha😢

  • @ndenengokimaro4502
    @ndenengokimaro4502 Рік тому +2

    Safi sana ndg waziri mkuu keep it up

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 Рік тому +2

    Mollah akupe afya njema Baba majaliwa 🇹🇿🇦🇪

  • @mohddelo
    @mohddelo Рік тому +5

    Unatukumbusha enzi za magu safi sana

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 Рік тому +4

    Sukuma ndani wote hao mkuu

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 Рік тому +4

    huyu ndio waziri mkuu wa JPM tulie mzoea sijui alikuwa wapi sasa inayonyesha karudi asante mungu

  • @jumamtunze3372
    @jumamtunze3372 Рік тому +2

    GOOD kazi ni ufuatiliaje sio meza na mafaili tu ofisini

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 Рік тому +7

    Mheshimiwa Waziri mkuu simamia ukweli na kuwatetea wananchi wako tunaanza kuwa na imani na wewe, hata wakikuchukia Sisi watanzania tuliowengi tunakuhitaji katika Taifa hili na tunakuamini.

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Рік тому +6

    Ifkie mahali watunz vifaa tiba wawe makamanda JWTZ kidogo wanauchungu na Nchi hivi vinavyofichwa sehem kesho kutwa vinaenda hospital binafsi vibovu vinaletwa hapo

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 Рік тому +1

    Jamaniiii eeeeeeeee, Waziri mkuu umenipa Raha sana Mzalendo wa kweli, Over mkuu wa Mkoa msitaafu wa Tabora MWANRI.

  • @FahmiAbdalla-oi8ed
    @FahmiAbdalla-oi8ed Рік тому

    AHSANTE MH WAZIRI MKUU KASSIM MAJAALIWA(BIG UP

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 Рік тому

    Me nakwelewa mzee kwanz ww una hofu ya mungu

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg Рік тому

    Mungu akuride majariwa

  • @Yunis-hn9hn
    @Yunis-hn9hn Рік тому +3

    Watu wanaupiga mwingi nikimuona waziri mkuu namkumbuka baba Magufuli😢

  • @juliusmataso5773
    @juliusmataso5773 Рік тому +18

    Badilisheni namna ya kuwapata Wakurugenzi na Wakuu wa idara. Tangazeni hizo kazi watu wafanye interview ili mpate watendaji wazuri lakini kwa kuchukua makada wenu mnawapa nafasi haya matatizo katika nchi hayataisha. Kuna watanzania wengi wazuri katika utendaji na usimamizi lakini hawapati fursa kwasababu sio makada wa chama. Badilikeni chukueni hatua.

  • @TahyaNasser-k7f
    @TahyaNasser-k7f Рік тому

    Safi sana muheshimiwa

  • @sefuswalehe2173
    @sefuswalehe2173 Рік тому +1

    Mungu akubariki waziri mkuu. Yaani uwe rais itapendeza sana

  • @pesa-kt9hp9jy6e
    @pesa-kt9hp9jy6e Рік тому +3

    Kuna siku atakuwa mkubwa zaidi ya hapo anafanya kazi vizuri

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 Рік тому

      Hawezi watu wamesha muona wapigaiji wengi ndani ya Chama lake hawawezi kumpa

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 Рік тому

    Mjomba me nakukubali sana yani siku ukigombea urais kura yangu lazima nikupe Inshaallah maana unapiga kazi

  • @emanuelkilangilo5585
    @emanuelkilangilo5585 Рік тому

    Yan waziri mkuu naomba Mungu siku aje kuwa naye Raisi

  • @ulaweboy9826
    @ulaweboy9826 Рік тому +1

    We ngoja mungu pekee atalipa ameeen😢

  • @mwaiphamkuruto1087
    @mwaiphamkuruto1087 Рік тому

    Watanzania hyu mwamba wenu anafaa kuwa Rais haya kazi kwenu sijasema mwaka gani lakin anafaa saana Maguu the 2nd

  • @saidymbiliko5567
    @saidymbiliko5567 Рік тому +6

    Kwani kuwanyonga kabisa haiwezekani ili kupunguza watu wasiofaa.

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 Рік тому +1

    Mama hafai katika usimamizi anaonyesha ana kaa office ni tu😊

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 Рік тому +1

    Tupeni kazi hizo.Wako wastaafu wenywe weledi na uzoefu ambao wanaweza kuwasaidia kama mtawahitaji.

  • @mohddelo
    @mohddelo Рік тому +2

    Weka ndani wnakula hela za wanyonge

  • @guyasidotto1198
    @guyasidotto1198 Рік тому +4

    Tatzo ajira muhimu Kama hizi mnawapa watu kichama

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 Рік тому +1

    Kuna kazi, pesa zinajenga majumba yao. Wanashindwa kusema pesa hakuna hapo zimeliwa zote.

  • @bigilimanyavani6818
    @bigilimanyavani6818 Рік тому +2

    Na bado wilaya jilan hapo Kuna uhuni mwingi sana

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 Рік тому

    Kwanza mkurugenzi anamuita mh naibu waziri mkuu😂😂

  • @HashimTamambele-cz8be
    @HashimTamambele-cz8be Рік тому

    Watukumbusha mbli mzee

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 Рік тому +1

    Huyu alifaa kabisa kuwa Raisi semaCcm mtu kama huyu mjomba Kassim itakuwa ngumu hapo huyo mkurugenzi mweka hazina mkandarasi wana watu huko juu hata akiwatumbua atakuta wamehashiwa mikoa mingine na alishakutana nayo kamtumbua mtu Tabora kamkuta mpanda anaendeleza wizi hiyo ndiyoTz

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 Рік тому

    Wezi mpaka wanaishiwa uongo wa kujibu duhhhhh hatari wameiba mpaka basi hahahaaaaaa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому

    Dah! Nchi hii,,,!!!!

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +4

    Hivyo vifaa vitaibiwa vyote hao wete ni wezi

  • @andrewmwita119
    @andrewmwita119 Рік тому +1

    Mzee wetu alipoa sana sijajua shida ilikuwa nini lakini anatakiwa awe hivi akipoa tunajisikia wanyonge kiasi kwamba tunamkumbuka BABA 😮😮.

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 Рік тому +1

      Kweli kabisa akifanya hivi tunapata faraja tunaona kweli baba Magufuli aliacha mtu.

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 Рік тому +6

    Hpo kwenye "WACHUNGUZWE" ndio huwa kuna haribu kula kitu,maana huwa inaishia juu kwa Juu,just some childish STUNTS

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 Рік тому

      Mkurugenzi wa jiji la arusha kafungwa miaka 20 hakuna mambo ya kuishia juu juu

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Рік тому

    Mh hapa changalamacho hata mm nisie kuwa na elimu nimeshaona kuna wizi fedha hakuna zimeshaliwa

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni Рік тому +2

    Yaani zahanati inajengwa mwaka mzima 😅😅😅😅

  • @ngendaniyeniyonkuru8826
    @ngendaniyeniyonkuru8826 Рік тому

    Aisee Kigoma bado ni Shamba la bibi.🤦🤦🤦🤦🤦

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Рік тому +1

    Degeree hizo..🤣🤣🤣....Bure kabisa , MAVICHWA BOKSI ...!..Vifaa mnashindwa hata kuvifunika NYLON...!
    Hao watumishi ni JINGA kabisa..Hela ipo lkn wamekaa tu kama MISHIPA , afadhali hata MSHIPA unaenda kushoto na kulia..!..PUMBAAAV sana

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 Рік тому +2

    Hii Tanzania haiendelei kwa sababu watu sio wafanyaj kazi ni ujambaz tu

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 Рік тому +1

    Hii nchi ni ya hovyo sana. Hiyo kazi ya usimamizi hata mtu wa darasa la Saba atasimamia.ila Hawa viongozi kuanzia mkurugenzi,mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya hakuna kazi wanazofanya Hawa. Kazi ni kila pesa tu wa miradi.

  • @salumoneustace4039
    @salumoneustace4039 Рік тому

    sasa kama watendaji wenyew hawajielewi kwa hali ya kawaidaa Jpm aliwaitaa vilazaa DED, mtunza hazna, manunuzi wote wapo ofc moja lkn cha ajabuu wanapshana kauli... hao ni sehem ya watendaji wa serikali walowaklshaa wengne wapo wengi kulkoo maelezoo pesa znapigwaa kila kukichaa watz wanalia njaaa gharama za maisha zkoo juuu, maji tatzo , afyaa bado kisiki afu serikali inakuja na kuwatwishaa mzigoo watz kwa kulipaa kodi kumbee pesaa wapo waliozishkliaa kwa manufaaa yao binafc

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Рік тому

    Asante waziri wetu mkuu. Tumekuona. Asante baba. Pambana na uzembe wote. Tusaidie baba. Msaidie sana mama rais wetu ktk ufuatiliaji wa karibu kama huo

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 Рік тому +4

    Waziri mkuu safi! Ila jitahdi ufanye mazoezi upunguze ktambi! Make tunakutegemea 2025! ( Mchaka mchaka)

    • @VascoMlimakifi
      @VascoMlimakifi Рік тому

      😅😅😅 Sawa kabisa ni rais ajaye huyu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Рік тому +4

    Hawa ni hatari sana.

  • @Uk0382M
    @Uk0382M Рік тому

    Dah watumishi wa serikali hamutuonei huruma walipa kodi. Sura zenu tu zinaonesha ni wezi na waongo kama watoto wadogo tu. Mnajikanyaga kanyaga tu.

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 Рік тому +2

    mzee hao awakuelewi unaongea nini ukiwaona kama watu vile apo wanatamani ata ufe waendelee kuiba.. ni watu hatari sana hao.

  • @qasammamachinya4448
    @qasammamachinya4448 Рік тому

    Asant asant sana mh

  • @nasrahamadi7570
    @nasrahamadi7570 Рік тому

    Kwa kubananisha huku mpaka waseme😂

  • @williumteete2626
    @williumteete2626 Рік тому

    Watakuwa hawajawagana sawa. Ndio maana wanapishana maelezo

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 Рік тому +1

    Jembe wangu majaliwa nakuombea uwe juu zaidi ya hapo ila tatizo uko chini ya mamlaka ungekuwa juu ningechinja mbuzi

    • @VascoMlimakifi
      @VascoMlimakifi Рік тому

      😅😅😅😅 hata Mimi ningechinja ngamia

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 Рік тому

    Mbona pesa zilishapingwa???

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Рік тому

    Fukuza hao Majambazi,hawa ndiyo wanafanya tumchukie Rais samia

  • @victormushi6641
    @victormushi6641 Рік тому

    sheria ya kwanza ya mwizi wa serikalini ni unyenyekevu na kufunga mikono na kuwa msikivu kinafiki. ukimpa kisogo umeisha anahamisha zote wala aibi.

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Рік тому

    Kasim majaaliwa. Simamia haki. Siku ukitangulia mbele za haki MUNGU atakuuliza. Mamlaka ni majukumu mazito. Simamia haki mkuu.🇰🇪

  • @bigilimanyavani6818
    @bigilimanyavani6818 Рік тому

    Na bado wilayan jilan hapo Kuna uhuni mwingi sana

  • @ImmaThelonewolf-bk2cx
    @ImmaThelonewolf-bk2cx Рік тому +1

    Wewe ndio kiongozi mkuu wa nchi hii huyo mwingine yupo tu na biashara zake za nchi

  • @alisalimo2861
    @alisalimo2861 Рік тому

    Baba hao ndio wanaoturudisha nyuma mzee wanajali matumbo yao tuu

  • @gracemwakibolwa7910
    @gracemwakibolwa7910 Рік тому +3

    Mii nikajua hapo hapo unawafuta kazi walafi wakubwa hao kila mtu anaongea lake havieleweki.

    • @nitumesokoni3164
      @nitumesokoni3164 Рік тому

      Hao wote wanaojichanganya wako chini ya Mkurugenzi, Mkurugenzi ni mteule wa Rais. Hapo angekuwepo JPM Mkurugenzi angekuwa hana kazi sahiz

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 Рік тому

      @@nitumesokoni3164 true jpm alikua hana maelezo mengi akijua wote wapgaji

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    waziri mkuu nenda arusha jiji mkurugenzi na timu zake wanafanya hayo hayo ya kigoma
    tena wale wamezidi

  • @bilid4128
    @bilid4128 Рік тому

    Mkuu hamna hela hapo wameshapiga kitambo...hela wamekula ...Toka 2021 hela iwe tu kwenye account bila kutolewa ..haiwezekani

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 Рік тому +2

    Sasa hii itasaidia nini na wakati nchi haina raisi kelele tu za bure

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 Рік тому

    Namuomba mungu cku moja huyu majaaliwa awe raisi wa tz

  • @emnanuelimtui1805
    @emnanuelimtui1805 Рік тому

    Nchi hii itafikia mahali mpaka bakora ndo watu waende

  • @vero57
    @vero57 Рік тому

    Wanapedelea vitambi vyao tuu hao , hakili hakuna kabisa utawekaje vitu kama hivyo nyumba haijaishaa??? Waongoo tuu wote hao waziri mkuu majaliwa

  • @alvinbenito5243
    @alvinbenito5243 Рік тому

    Yaani waliojabidhiwa dhamana ya kusimamia serikali ni wazembe kupitiliza, matumbo mikubwa laini akili ndoto, kuanza wachunguzwe kama elimu yao inabidi hawa wazembe.

  • @ramadhaniyahaya7286
    @ramadhaniyahaya7286 Рік тому

    Jamani viongozi wengine hata aibu hawana nihatali mpaka wawe wanahukumiwa hapo hapo miaka 5 na kufatiliwa ana nini

  • @icclcharters3389
    @icclcharters3389 Рік тому

    🤣Nnapocheka zaidi ni pale ambapo mkurugenzi wa manunuzi anaposema hajaona dokezo halafu viumbe waliokaa nyuma yake wamejishika mikono kama wanaheshima sanaa kwa waziri mkuu na watanzania kwa ujumla kumbe wanafki wakubwa!

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Рік тому

    Ha ha ha Waziri Mkuu huyu hopeless!

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Рік тому

    Ukitoka home uko kwenye V8 umekalia kodi zetu miradi haiendi unasubiri kustaafu ule mafao huo ni upuuzi piga bomu hapo.

  • @SilasStanwell
    @SilasStanwell Рік тому

    Wezi hao wanaibipu selikari wanapiga mahesabu yao kwanza waibe kiasigani sukuma ndani hao

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Рік тому

    Nalia mimi naona uchungu mimi tunalipa kodi kwanguv wat wazichezda koda zetu

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Рік тому

    Hapo kwenye kuchunguza ndo huwa wanachekecha mamb yanaishia hapo hapo

  • @josephmwalwanje4430
    @josephmwalwanje4430 Рік тому

    Jembe iloo

  • @HashimTamambele-cz8be
    @HashimTamambele-cz8be Рік тому

    Ivi unaweza kupewa nafasi ya pale juu angalau miaka 5 tu

  • @HareemaMct
    @HareemaMct Рік тому

    Hii ndio afrca bhana

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Рік тому

    zimeshaliwaaa😅😂

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 Рік тому

    Mpaka kasema mh mkuu wa wilaya duuuuu

  • @godsankarabwe3641
    @godsankarabwe3641 Рік тому

    Hapo mheshimiwa hujaenda kijiji cha samwa wamepunga pesa

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 Рік тому

    Hayo ndo madhara ya kupitisha wabunge na madiwani bila kupingwa ndo inasababisha mnakulana wenyewe kwa wenyewe bcz hakuna wakumnyooshea mwenzake kidole hivyo sishangai kwa mautumbo hayoo.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 Рік тому

    UKIRUDISHA MIKE USIONDOKE WAPO WENGI MKUU

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 Рік тому

    Pesa walishakopesha

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому

    Yanii watuhawa washugulikiwe hivi utawala wa wazungu sie hatuwezi sifurahii ila ndio tulivyo aibu tupu

  • @AstonyMathayo-hn9th
    @AstonyMathayo-hn9th Рік тому

    Kiukweli ata mimi natamani ata kesho mama aachie kiti majaliwa akae maana ndie mtanzania ninae amini ata tunyooshea wapumbavu kwajili yamaendeleo yawatania

  • @SAHILSHAABAN
    @SAHILSHAABAN Рік тому

    Hakuna hayoni magizitu

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 Рік тому

    Hivi sijawahi kufahamu ,Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa mkoa wanafanya kazi gani ? Mbona ni kama hawaitajiki sasa kama ni hali kama hii.

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 Рік тому

    Uje ukague Barabara ya kutokea busweru kwenda shibura mbona wanasua sua na mbunge wa ilemela Mabula yupo tunataka kujua wanainchi cause hiko slow mno

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 Рік тому

    Mkurugenz ,, mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa xote n teuz za Rais ,majaliwa hana mamlaka ya kuwatengua ,,hapo sa hz angekuepo Rais kngeumana

  • @bockerbocker8495
    @bockerbocker8495 Рік тому

    Madhara ya kupewa nafasi Watu wasio na sifa ndiyo haya,nafasi zinakuwa za mchongo,hovyo kabisa na cha ajabu,kuna Mkuu wa Wilaya,Mkuu wa Mkoa,Mwaziri wapo,hovyo kabisa

    • @nitumesokoni3164
      @nitumesokoni3164 Рік тому

      Tatizo hawa wote wanateuliwa na mtu mmoja ndugu yangu. Mkuu wa Wilaya au Mkoa hana sauti kwa Mkurugenzi maana wote wanashtaki kwa mtu mmoja

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Рік тому +1

    Majaliwa uwe unatembea na difenda.

  • @jamesyohana4848
    @jamesyohana4848 Рік тому

    Mimi nawaamini wate ambao wapo juu yaan rais na wasaidiz wake wote

  • @GeraldDanieltarimo-ke3ik
    @GeraldDanieltarimo-ke3ik Рік тому

    Huyu mwamba anafaa