JINI MTOA MAJINI NDARO MGANGA STEVE MWEUSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 545

  • @OmariRa-by1hh
    @OmariRa-by1hh Рік тому +46

    Kama wew ni mshabiki wa ndaro na Steve mweusi basi wew gonga like hapa twende mbele. STEVE MWEUSI and NDARO MJESHI KIKOFIA mbele daima nyuma mwiko ❤❤❤❤

  • @ChikophejjeJjewangub
    @ChikophejjeJjewangub Рік тому +31

    Nakubali waganga wangu npen like zangu bc za kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @samuelmtwe2388
    @samuelmtwe2388 Рік тому +31

    Jamaa ulikuwa comedian tangu luiche sec...Kuna siku nilivaa buti kubwe ulinicheka mpaka nikataka kuzichapa na mbwa wewe😂😂😂Masatu Amoni, , , Superstar from Machazo✊

  • @edwinnamutali5897
    @edwinnamutali5897 Рік тому +7

    Am a top fan from Kenya. Ombi langu kubwa ka Mungu ni awajalie urafiki wa milele Steve na Ndalo.

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Рік тому +83

    Aha dah kama umetazama video hi mpaka mwisho 😅😅😂😂😂😂😂Angusha like ya upendo

  • @MartooNdale5480
    @MartooNdale5480 Рік тому +14

    Eti neext😂😂😂 wee ndaro haujui😂 mob ❤ from🇰🇪

  • @ke1shavohbryo
    @ke1shavohbryo Рік тому +13

    😂😂😂waah shidaa tu..mazongo love from kenya...❤❤ like hata moja

  • @lumumbadunia1921
    @lumumbadunia1921 Рік тому +12

    Wakwanza mimi nipeni like zangu❤❤❤

  • @gerysongratian
    @gerysongratian Рік тому +13

    😂😂😂😂😂😂 UTATOKAAAA .... sitokiiii...... aaaaaaaaaaaaaah ... haaaaaaaaaah WE STEVE WEWEEE

  • @ZainaHalifa
    @ZainaHalifa Рік тому +154

    Kama mnawakubali Steve na ndaro gonga like hapa maana leo nimekua wa kwanza

  • @BonithNimpagaritse
    @BonithNimpagaritse Рік тому +8

    Ndaro big up sana umeongea kiburundi😂😂😂
    " KARARYOSHE. Nakubenda bule sana kakangu kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @TimoRuto-zo4ow
    @TimoRuto-zo4ow Рік тому +22

    Big love from Kenya 🇰🇪

  • @Yusufumchombo
    @Yusufumchombo Рік тому +2

    Nawakubali aiseee waga napenda sana kuanglia show zenu Ndaro n Steve

  • @Officialldjiza
    @Officialldjiza Рік тому +9

    Kila ck napambana niwe wa kwanza nashindwa😂😂😂

  • @hamisiabeidkazumari9790
    @hamisiabeidkazumari9790 Рік тому +9

    Dah nimecheka sana mpaka nimetokwa na Machozi 😂😂😂😂😂😂

  • @ShabaniKwizera
    @ShabaniKwizera 10 місяців тому +3

    🇧🇮💯tuko pamoja sna ndugu zangu steve n ndaro✌️🇧🇮💯

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 Рік тому +5

    Ndaro jamani si hata ungevaa kama mganga 😹😹ila nomaaa🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @muhamadikipemba1749
    @muhamadikipemba1749 Рік тому +14

    Mjeshi kikofia na mwanae Steve🔥🔥🔥

  • @lilinalamri7643
    @lilinalamri7643 Рік тому +12

    😂😂😂😂😂 ndaro you have made my night Leo😂😂

  • @JosephMahondo
    @JosephMahondo Рік тому +5

    Steve na ndaro mnatisha sana naomba kuuliza ivi hajira yupo wapi.??

  • @KelvinKhalifa-ih7pn
    @KelvinKhalifa-ih7pn Рік тому +7

    Nawa kubali sana ma brother

  • @SaidIssa-ow8ee
    @SaidIssa-ow8ee Рік тому +8

    Ila stevu mweus na ndaro awa ni wehu😂😂😂

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 Рік тому +6

    Steve,ndaro MUngu anawaona😂😂😂😂😂

  • @FrankjumaNdakama-g1c
    @FrankjumaNdakama-g1c Рік тому +6

    Wanatisha Sana Hawa mbwe Dada wimbo wa Steve we Ndaro la waganga.....😁😁😁😁🌹🌷🌹🌷💯💯

  • @AlexisCyamatare
    @AlexisCyamatare 3 місяці тому +1

    Alexis from Kigali Rwanda ...yaani sometime huwa nakosa chakusema.. hhhhhhh nawapenda sana Stivendaro

  • @DaudHenry
    @DaudHenry 5 місяців тому +1

    Nakubali san washikaji wangu👍👍

  • @JohnEritienSadiki-ht8cw
    @JohnEritienSadiki-ht8cw Рік тому +6

    Nimekuwa wakwanza bro

  • @fatmamdhwafar8279
    @fatmamdhwafar8279 Рік тому +10

    Congrats Steve na Ndaro for the best work 😅😅😅😅😅

  • @SharifuAlbughul-ls4mw
    @SharifuAlbughul-ls4mw Рік тому +6

    Sem. Steve kapendeza na hayo mavazi mze😂😂😂😂

  • @RamsonDeus-gf8dt
    @RamsonDeus-gf8dt Рік тому +11

    Nawakubali sana hawa jamaa nawatakiaa maisha marefu

  • @KabaKaba-y5e
    @KabaKaba-y5e Рік тому +1

    Steve pongezi kubwa kwako umezidi Tanzanie mzima mimi naishi Congo naitwa Sylvain pongezi kubwa

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 Рік тому +2

    😅😅😅sio huyoo haki steve ni mtu mjinga ..ndaro kapiga jamani steve😂😂😂si angeeleza tu mwenye koti ndio msanii😂😂

  • @johnnkanah
    @johnnkanah Рік тому +7

    iPo Siku mutakuja kuhuwawa na uwo utapeli wenu 😅😅😅

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 Рік тому +14

    Great series Steve Ndaro😂😂😂😂group

  • @AmosRichard-uh3rh
    @AmosRichard-uh3rh 6 місяців тому +1

    Nakubl san ndaro na steve🎉😢😢😮😅😊

  • @jeanclauderukundo8559
    @jeanclauderukundo8559 Рік тому +3

    Jameni alieskia kiburundi mganga Ndaro akisema KARARYOSHEEE twende sote pamoja kwahizo like hapo 😂😂😂😂😂

  • @NancyNomantiah
    @NancyNomantiah Рік тому +5

    Nmecheka sauti mpya ya steve😂😂😂😂😂

  • @DivinJackson
    @DivinJackson Рік тому +8

    Mume juwa kabisa 🇨🇩

  • @Rajab-Raj
    @Rajab-Raj Рік тому +7

    Mjeshi kikofia😂😂😂😂

  • @AbelNIYUKURI-i5m
    @AbelNIYUKURI-i5m 9 місяців тому +2

    pamoo sana stevve . niko burundi

  • @kusasiraarthur2764
    @kusasiraarthur2764 Рік тому +5

    🤣🤣🤣🤣 “Ija hanu” this our language from western Uganda 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬

  • @MuhidiniLebba
    @MuhidiniLebba Рік тому +3

    Steve si mzima wallah tena😅😅

  • @RaphaJm-qz2ei
    @RaphaJm-qz2ei 9 місяців тому +2

    Uhakik wazeee kama mnmkubal stev sema yeeeeeeee aaaah

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity Рік тому +4

    😂😂😂😂 Ndaro leo mmeuwaa sanaa

  • @MussaBustotant-dd8ty
    @MussaBustotant-dd8ty Рік тому +5

    Nawapenda sana from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bannyboe1
    @bannyboe1 Рік тому +4

    Dah nimecheka aseee adi dangotee😂😂😂

  • @IqramNoman-gu3xr
    @IqramNoman-gu3xr Рік тому +1

    Weka mikono yako tuombe yan hiv ah hiv h😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @sulejunio
    @sulejunio Рік тому +9

    Ndaro na stivu🎉🎉🎉🎉❤

  • @AhadiBwanyungu-j6s
    @AhadiBwanyungu-j6s Рік тому +2

    Steve mweusi unanitowa mbavu zote nacheko ukomujumbe wa muganga ndaro yaani sasa nyinyi nimatapeli wamujini ilamuwemakini kisijekikawakutakibayamwisho wakutunza watu

  • @mbish280
    @mbish280 Рік тому +9

    creativity 💯💯

  • @fredyezekiel252
    @fredyezekiel252 Рік тому +4

    Kwani steve unashida gani😂😂😂😂

  • @BawiliKakozi-l6d
    @BawiliKakozi-l6d Рік тому +8

    Nikinga Liya nakuwaka nacekaceka😂❤❤🎉

  • @kaparohafidh2915
    @kaparohafidh2915 Рік тому +6

    Dangote ndo hbr za mjini😢😢😢

  • @Jeanmariebayubahe-yv5qx
    @Jeanmariebayubahe-yv5qx Рік тому

    Kararyoshe😂😂kirundi tuletea mpaka igizo iishe ndaro🙌🇧🇮🇧🇮

  • @PatricMwantimwa-nx4nh
    @PatricMwantimwa-nx4nh Рік тому +20

    Bigup to you two great men

  • @VICTORZING-k2c
    @VICTORZING-k2c Рік тому +3

    Big up ndaro&steve😂

  • @elwinmlaponi1084
    @elwinmlaponi1084 Рік тому +3

    Wee ndaro haujui 😂😂😂😂😂😂

  • @aslamraslan2295
    @aslamraslan2295 Рік тому +2

    Ngo kararyoshe 😂 that is Kirundi 🇧🇮🇧🇮

  • @mariamirakoze-ep8pz
    @mariamirakoze-ep8pz Рік тому +3

    😂😂😂😂Steve ww n ndaro wawaachiye tu 😂😂😂🇧🇮🇧🇮

  • @YusufDon-sl7qx
    @YusufDon-sl7qx 2 місяці тому

    Mimi ni WA 522 like yangu

  • @SOS_VILLA
    @SOS_VILLA Рік тому +1

    Wewe Zombie👿👿Simba la masimba dangoteee😂😂..........wee ndaro🙆 Ganga la waganga😂

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 Рік тому +3

    Ila Steve nyie nampenda anavyoongea tu mm😂😂😂

  • @neemaelias3577
    @neemaelias3577 Рік тому +6

    🤣🤣🤣 jamani ninyi watu huwa na wasiwasi na akili zenu ukute ni wehu

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 Рік тому +4

    Hawa jama machizi kweli 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @depsattabobby5950
    @depsattabobby5950 7 місяців тому

    Mkoa wa Mara tuna mkubali sana steve pamoja na ndaro❤ 😊😊😊😮

  • @LudovicWilson-v8k
    @LudovicWilson-v8k Рік тому

    Ndaro na steve pongez kwen ma brother

  • @Ishanieothumani
    @Ishanieothumani 6 місяців тому

    Nimejamba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaaaah jomn jomn Steve

  • @JosepitaJosepita-lq4bg
    @JosepitaJosepita-lq4bg Рік тому

    Nimeipenda sana from MOZAMBIQUE

  • @adrianobihabwa3464
    @adrianobihabwa3464 Рік тому +7

    Nakubari sana my home boys

  • @LydiaStephano
    @LydiaStephano Рік тому +1

    Nyie watu hapana kwakweli😂😂😂😂 nimecheka mpaka nimekojoa 🤣

  • @rsautoservice984
    @rsautoservice984 7 місяців тому

    Hii steve noma daaah nimecheka sana..sieuyoooo...

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz 9 місяців тому

    Nawakubali san steven anamualibia mwezie atak kumsikiliza😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amosmani9579
    @amosmani9579 Рік тому +2

    Kararyoshe ,, iyo Kirundi 💪💕💕💕🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @hbmutevu
    @hbmutevu Рік тому

    Noma sana..frimy Kenya⁦🇰🇪⁩⁦🇰🇪⁩

  • @GilbertIrankunda-l1u
    @GilbertIrankunda-l1u Рік тому +1

    Nyiye Steve na ndaro mutaniuwa kichwa

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому

    Steve ukiwa muislam utapendeza sana maana kanzu na kofia imekupendeza karibu san ktk uislam

  • @boltonluchivya748
    @boltonluchivya748 Рік тому +3

    We Ndaaro, haujuiii😂😂

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Рік тому +1

    Eti mganga wee naijua hio mbwa mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤😢😢😢😢😢

  • @brysonkisebwa8148
    @brysonkisebwa8148 11 місяців тому

    Hahaaa 😂karadyoshe big up mganga ndaro

  • @damagemweusi
    @damagemweusi Рік тому +32

    𓽤ONE LOVE FROM KENYA🇰🇪nipeni like zangu

  • @hhhHh-sx6wn
    @hhhHh-sx6wn Рік тому +1

    Ndaro please huko kunguruma hatakama we ni mrog bt wengine hatuja firimba urembe kitambo ujue

  • @husseinhassani5386
    @husseinhassani5386 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaah hiii daaaaah kumamake tishaaaaa saaaaaana

  • @giffugilah7257
    @giffugilah7257 11 місяців тому

    Mzing huku ni kembetenya, Nyaire na mnawakilisha c eti nini

  • @sidneyvibez2489
    @sidneyvibez2489 Рік тому +18

    Likes za wakenya jamani❤❤❤

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 Рік тому

    Kwa kweli mjini bila ujanja uwezi toboa maisha duuh,mganga wa magumashi kafeli steve kamuhuzaa😂😂😂😂

  • @gagaboy7753
    @gagaboy7753 Рік тому +3

    Naeza taka kuona behind scene stive akisema ( we ndaro ,hawujui, magalamagagagaga 😂😂😂😂hapo mwisio sijashikanisha vizuli

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 Рік тому

    Hii ya Leo nzuri Hadi nmecheka😊

  • @user-cb1zc8ye3ymsumbiji
    @user-cb1zc8ye3ymsumbiji 9 місяців тому

    Ivi hili suala la kuamba like huwa ni ushamba au ni kitu gani mana ndo utakuta mtu anaanza mara oh wa kwanza mm nipeni like zangu!hizo like ni hela?

  • @enockerasto9248
    @enockerasto9248 Рік тому +4

    Ilaaaaa steaveeee😂

  • @RashidAbdul-mv4ph
    @RashidAbdul-mv4ph 8 місяців тому

    Aahii wametisha kweli 😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊

  • @NkeshimanBarton-dk7zk
    @NkeshimanBarton-dk7zk Рік тому +3

    Mnahalibu siri za watu 😂😂😂😂

  • @JumaHaruna-h3q
    @JumaHaruna-h3q 11 місяців тому

    Nawakubali sana Hawa kaka zangu

  • @Setifils
    @Setifils Рік тому +3

    Steven mweusi na ndaro verry smart🎉

  • @boscovyamungu3519
    @boscovyamungu3519 Рік тому +9

    😂😂😂😂ndalo kararyoshe uriguhendabantu 😂😂😂❤ mukowajanja nauyo mweusi murakwiranye kuvyomukora munaeneyana ❤❤❤😂 but you're so funny guys ❤

  • @jaxflavour1180
    @jaxflavour1180 Рік тому +4

    Nawakubal Sana twende sawa like zangu

  • @DariusKasitu
    @DariusKasitu Рік тому +2

    😂😂😂et nakunya 😂😂stivu bana daaha

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 7 місяців тому

    We ndaro haujui...ila Steve umetisha..😂😂😂😂

  • @anastazialushika
    @anastazialushika 10 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😅😅 hii kali

  • @hamisisalim
    @hamisisalim Рік тому

    😂😂😂 Steve ni mkali wallah msimfananishe na watu wengine

  • @OmmyMbughi
    @OmmyMbughi 5 місяців тому

    Mmetisha sana kwakwel nawapenda bure