Mim nilikuwa na lafiki tukapendana kwel lakin kumbe alipitia manyanyaso kwenye utoto hatimae akawa anajidifens mala zote..nilimkosea siku Moja weee hakunisamehe tena Kwa dhat mpaka Leo basi tukawa kwenye uhusiano lakin kulikuwa na visasi juu ya visasi na treat ment mbaya kabisa..kweli nilikuwa nampenda nayeye pengine alikuwa ananipenda lakin haikuwok ...mana tukiwa pamoja ni bad memories no kuaminiana tena ...hali ilikuwa mbaya kabisa ikabid nimuache tu aende japokuwa nilimpendaga Sana nayeye ndo mtu niliewahi kumpenda kwel kabisa sijawahi kumpenda mtu kama yeye but hakuona upendo wng...Yan nilihisi kuchanganyikiwa kabisa baada yakutonipa nafasi nyingine baada ya kumwambia maneno haya baada yakuniuzi nikamwambia kama vip tuachane achana na mim mana ninao wanaonipenda wengi tu alafu wewe unanichukulia powa weeeeee...baada ya kumwambia ivyo tu hakunibembeleza Wala nin Sasa yeye akafanya kwel..akanitumia mimeseji kujielezea nafasi yng kwake na jinsi gani alinipenda lakin baada yakumwambia maneno Yale ameumia Sana..basi nikajirudi baada ya meseji zake nikamwambia basi nimekusamehe yaishe ilikuwa hasila tu baada yakukupigia cm lakin ukawa hupokei ndo nikakasilika nikasema tuachane lakin mm Bado nakupenda ...Aya tusahau tu baby tuwe kama mwanzo weeeee...ndo akawa amebadilika vitu vingi Sana hakunisamehe nakunipa nafasi sim akawa hapokei ila anatuma meseji tu..nikimuuliza y hupokei cm anasema hawez kuniangalia mana hayupo sawa na hataki kuniona mana atalia akiniona..Yan vituko juu ya vituko visasi juu ya visasi ful kunitreat vibaya fulu kulia muda wote Yan mbona nilijuta...inshot tunapendana Bado lakin hatuwez kuwa tena pamoja mana tukiwa pamoja ni bady memories kugombana muda wote..ilituchukua kama miaka mitatu iv until now..nikimpotezea ananitafuta nayeye akinipotezea namtafuta lakin tukianza kuchati tu kugombana muda wote ...Yan nimeamua kumuacha japokuwa Bado nampenda Sana....mana nikimpotezea ananitafuta hayo ndo maisha yetu but Toka juz mei tulivyogombana nimeamua kumuacha tu hatakama nampenda ila sitomtafuta tena japokuwa namkumbukaga
Hayo uyasemayo ni kweli kabisa yapo ktk jamii tunayoishi nayo, na inasikitisha sana kwa maadili yalivyoporomoka, na pia kuna baadhi ya watu haswa wasanii ndiyo kioo cha jamii wanahalalisha mahusiano yao mitandaoni na kuendekeza Zinaa kwa kubadilisha mabwana kila wakati, na wengine hadi wanaonyesha watoto waliozaa bila ya kufunga ndoa na kila mtoto na baba yake.🤔😞😠
Madam wallahi mtihani,mm ni mwalimu tuliwajataza watoto wasije na simu form two ,tulimkamata mamake kaja mchana kweupe , macho maangavu anasema naombeni mpeni simu yake kanunuliwa na mchumba wake innalillahi wainna ilaihi rajighuni,msiba mzito inaumiza na inasikitisha
Ovyo mama wengine viumbe wasojitambuwa walee wenyewe majumbani 😮wanatengeneza taifa bovvu lisilo na Mabadiliko si mueke sheriya hapo Skuli anayefuata akaye asotaka aondoke
Tujitahidini kulea watoto Kwa mafundisho alotuachia Mtume Muhammad Swalla llahul alayh wassalim
Allah akubarik Madam

Asante madam Leila
Tunakupenda tuko pamoja
Alla akuhifadhi na hasad
Mashaallah madam leila ❤ tunajifunza mengi kwako ❤❤❤
Shadia
Mungu atuhifadhi na wazazi hawa,amin.
Jazakallah khayran
Jazaka Allahu Akhire
Madam your so intelligent ❤
Dada mungu akubariki sana unabusara sana
Amiin 🤲🏽
Yaani wa mama kwakweli ukiwasikiliza wanakuvunjia ndoa yako , sijui nikutupenda sana au vipi yaani ukimuomba ushauri anakwambia rudi tu nyumbani
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝❤
Hayo uyasemayo ni kweli kabisa yapo ktk jamii tunayoishi nayo, na inasikitisha sana kwa maadili yalivyoporomoka, na pia kuna baadhi ya watu haswa wasanii ndiyo kioo cha jamii wanahalalisha mahusiano yao mitandaoni na kuendekeza Zinaa kwa kubadilisha mabwana kila wakati, na wengine hadi wanaonyesha watoto waliozaa bila ya kufunga ndoa na kila mtoto na baba yake.🤔😞😠
Mi ninachoona huyo mwanamke ana hakumpenda huyo kijana ni anaishi nae tu ,ila ana mtizamo wake mbaliii
Kweli nawashkuru mlicho kiongea maana malezi yawatoto yanaanziaga chini haswa sosi wa kina mama hio nikazi yetu kuwafwatilia watoto
Sley queen nda sista duu..au pis kali
Bitoz sikuiz wanautwa sharobaro madam...
Kwa vijibwaa ,
Madam wallahi mtihani,mm ni mwalimu tuliwajataza watoto wasije na simu form two ,tulimkamata mamake kaja mchana kweupe , macho maangavu anasema naombeni mpeni simu yake kanunuliwa na mchumba wake innalillahi wainna ilaihi rajighuni,msiba mzito inaumiza na inasikitisha
😳
Ovyo mama wengine viumbe wasojitambuwa walee wenyewe majumbani 😮wanatengeneza taifa bovvu lisilo na Mabadiliko si mueke sheriya hapo Skuli anayefuata akaye asotaka aondoke
😢🎉🎉🎉
😂😂😂😂
MD Leilah wengine hujihumuza wanajifanya hawajui ata km wamekukosea
Iyo ni kweli kabisa...