ALLY KAMWE" WAMEFUNGWA NA TIMU YA DARAJA LA 6/YANGA NDIO TIMU TISHIO/WAJIANDAE KUPOKEA GOLI 10

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Leo July 17,2023 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ameeleza maandalizi yao kuelekea Msimu mpya wa Ligi kuu ya NBC.
    Aidha Ally Kamwe amesema kikosi chao kimekamilika kwa Asilimia zote na kipo tayari kutoa ushindani mkubwa kwenye mashindano yote watakayoshiriki na watafanya vizuri

КОМЕНТАРІ • 35

  • @ayubukedimundi3221
    @ayubukedimundi3221 Місяць тому +2

    KIUKWELI Kabisa yaani APO KWENYE Thank you NIMEKUKUBALI SANA Positive

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 Місяць тому +2

    Safi sana Kamwe -- " Nitafurahi sana tukimnyoosha Jemedari na timu yake " kono la nyani tena " ili kufunga kinywa chake.

    • @peterkandaya565
      @peterkandaya565 Місяць тому

      Angalie na nyie maije mkapigwa 6 - 0 manake mlishawahi kuchezea halafu sio ya mchongo Kama ya kwenu ya kununua wachezaji😅😅😅😅😅

  • @user-uf8ot1mq8c
    @user-uf8ot1mq8c Місяць тому +4

    Mwaga makopa Ally Kamwe

  • @PrinceYanga-pl6rm
    @PrinceYanga-pl6rm Місяць тому +2

    Nakukubali kakak

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 Місяць тому +2

    Simba inacheza na Sevilla yeye haja zaliwa akaandike MABANGO ya MZEE MAGOMA 😅

  • @SamsonDaniel-ch2jn
    @SamsonDaniel-ch2jn Місяць тому +1

    Ila jemedari saidi anazingua Sana

  • @EliakimuBura
    @EliakimuBura Місяць тому +3

    Ahahahahahah ali kamwe we ni mwamb😊😊😊😊

  • @francepaul7711
    @francepaul7711 Місяць тому

    Mwenyekiti 🙌🙌🫶🫶

  • @JoshuaKashongole
    @JoshuaKashongole Місяць тому +1

    Yani ni ham na huyo bin kazumar vbya mnooooo

  • @kigura_jr
    @kigura_jr Місяць тому +1

    Mwandishi anahisi kasikia vibaya 💛💚💛💚

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m Місяць тому

    Kweri kafungiwa Koro cta moja na Tim ya chini Toka misr

  • @chuggamwachaa-kb7iv
    @chuggamwachaa-kb7iv Місяць тому +2

    Wewe nawasiwasi nawewe unaweza ukawa ubwabwa

  • @gharibbilal9180
    @gharibbilal9180 Місяць тому

    Ali Simba huyoo

    • @Itselars77
      @Itselars77 Місяць тому

      Wewe ndo simba😂😂

  • @prince783
    @prince783 Місяць тому +1

    Kwaio nyie wakubwa kuliko ahly

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c Місяць тому

    Simba ilicheza na Sevilla inayocheza na Madrid pia.watani Bado Hamna jipya SEMA mnajitafuta ongezeni bidii maana hata hiyo Augsburg inajitafuta pia.

    • @SalvatoryMbigili-m2f
      @SalvatoryMbigili-m2f Місяць тому

      Inategemeana sevilla walikuja wafanya usafi wa uwanja still wakawafunga😂😂😂😂😂😂😂

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c Місяць тому

      @@SalvatoryMbigili-m2f 😁hutaki kuamini kuwa Sevilla ilicheza na Simba na alikuwa nafasi ya nne La Liga Spain!! Mbona yanga itacheza na Augsburg ambayo ilikuwa nafasi ya11 bundesliga.

    • @Itselars77
      @Itselars77 Місяць тому

      ​@@Yuleyule-u6c😂😂 Sevilla walikuja kutalii ndo maan hata mechi wakatalii bado wakawakanda na mlivyo washamba mkaomba viatu 😂😂

  • @alitante4279
    @alitante4279 Місяць тому +1

    Magoma mmoja sawa na Utopolo wotee 🐸

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h Місяць тому +1

    Watakuwa wamecheza na mamaako

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 Місяць тому +1

    😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m Місяць тому

    Subrini makoro ringi. I.anze.mtakoma Kono Ra nyani .Rina wausu

  • @VeronicaEmmanuel-t2v
    @VeronicaEmmanuel-t2v Місяць тому +1

    Ila uyu mwamba eti kunawatu wanatumiwa Whatsapp maendeleo ya tmu zao hii imeenda na wamekula SITA

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 Місяць тому

      Huyu dogo anamuudhi mpaka aliyetoa mkojo wake kumtengeneza

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Місяць тому

    Kamwe hao wanawavizia wachezaji wetu. Tuwe makini.