Thank you Mzee Said, you are full of wisdom, its hurting , but SIMBA SC Should forgive Chasambi, He's a young lad still with a chance to redeem Himself, . To err is human, and the league is still wide open. All the same congratulations YANGA, TOP OF THE LEAGUE.
aaaah mzee saidi tafadhali bwana hivi unakumbuka pasi iliyopigwa na aucho upande wa kulia wa yanga likaenda kupigwa goli na mzize sikumbuki ilikua mechi na nani ila mechi za mwanzoni kabisa
Kaka mwambie mzee said match ya Yanga vs prison sokoine dakika 38 au 40+ ya msimu jana goli la pili la pacome aucho alipiga rabona ilio zaa asist ya goal ilo
Naomba likes kwajili ya mze Said kwa kweli imetuumiza sana hii mech ya jana.from Moz🇲🇿Tz🇹🇿
yanga bingwa❤❤❤❤
Tulofurahi kwa matokeo ya sare tukutane hapa kamdomo😂😂😂😂
Hahahaaa…… tupo
Tupooo
Tupu 😅😅😅
MUNGU AMEJIBU MAOMBI😁😁😁
Bado furaha inaendelea kwa yanga hii hatushuki kileleni kizembe
Mzee Said leo ameongea kama mtu mzima timamu anavyotakiwa! Hongera babaangu
Thank you Mzee Said, you are full of wisdom, its hurting , but SIMBA SC Should forgive Chasambi, He's a young lad still with a chance to redeem Himself, . To err is human, and the league is still wide open. All the same congratulations YANGA, TOP OF THE LEAGUE.
He is young lad
What u mean help me😂
Daaaa mzee said kaumia pole sana mtani
Tusiwe wanafiki mzee Said tumefurahi😂😂😂
mzee said unajuaaa bolii uko vzr🙌✌️respect mzeee🫡
Leo no 3 LIKE 10 KWA MZEE SAIDI JAMANIII 😂😂HAYA HANAKIPI CHA KUTUAMBIA MZEE SAIDI ILI HATUOE MAWAZO YA SARE😂😂😂
Hapo sawa kumpata mzee Said umenifuraisha sana dah mzee hana Raha sana
Ndobogo 😂😂😂😂ha jamn mzee said 🎉🎉🎉
Mzee said katika sasa Kasema Leo Sito sema kwa hasira❤❤❤ mzee said
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila mzee saidi Mungu akuweke sana
Safi sana mlumendagu Mzee saidi Elia wako anapepea kama anafukuza sungura siku hizo hiyo haipo IPO gusa achia twende chasambi,
😂😂😂😂 muze saidi pole sana muzee wasalasa
Mzee saidi kachafukwa leo 😂
😂😂😂😂nilikusubir Sana Mzee said hatimae umekuja mwenyewe pole Mzee said
Nakukubali sana broth saidi
Hahahahahahaha SSA mzee said cc kumchangiaaa chasambiii ni kosaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
akuna kama mzee saidi❤❤❤❤😂😂😂😂
Hahahahahaha mzee Saidi bana 😂😂😂
Mzee wangu ishi saaana ❤
Asante Mzee said waambie Hao ni mashabiki maandazi kwelikweli
Mm naona chasambi mechi ya yanga atafunga aminn maneno yangu
Pole Mzee side
Yaaan noble kacheza na pawasa😂😂😂😂😂Kaaaah mzee sijui bzri lkn sidhani hapo umenidanganya
Kwa mara ya kwanza namuonea huruma kolo dah, hili ni pepo😢😢💛💚
Kingilii😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mzee said bhan mungu akupe maisha malefu
Dah sema leo mzee said kaongea kwa hisia sanaa 🥲🥹😅
aaaah mzee saidi tafadhali bwana hivi unakumbuka pasi iliyopigwa na aucho upande wa kulia wa yanga likaenda kupigwa goli na mzize sikumbuki ilikua mechi na nani ila mechi za mwanzoni kabisa
Pole sana Mzee Said....ila kwann kutuita Walume ndagu?😅😅😅
Hajakosea Sana mzee Saidi alisema thalatha. Lkn wamepata thanina😂
😅😅😅
Eti simba inafoward wakali mzee Said mbavu zangu mpk mabeki ni mafoward😂😂🫶🙌
Nilikuw nakusubilia sana mzee wangu
Nimecheka sana 😂😂😂 chagamba Kawa chasambi na chasambi Kawa changamba ❤😂😂😂 nime furah sana
Leo umenifurahisha sana
Nimefurahi sana mzee said kafungwa lakin nafrahi sana kumusikiliza mzee said
😂😂😂 mzee said noma sana
Said mzee wangu salam kwako
Role model wangu Max
Timu yangu 😂😂😂
Mzee saidi unajua sanaa mpira baba
Aisee tushakua walumendagu😅😅
Kweli kabisa mzee said 😂😂😂
Mzee said gwaaaa 😂😂😂gwaaaa😂😂😂😂 shikamoo Mzee said
😅😅😅😅😂😂Leo Yuko kauzu sana kidogo akupge
Jamani Mtakuja Kumuua Mzee Wa Watu Chagamba Ameshindwa Hata Kuongea Apumua Tuu.Jamani Mzee Wetu Said.,🤣🤣🤣🤣
Pole mzee saidii😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Jamn mzee pole jamn mzewetu
Mzee said kaaza polepole kamaliza kwa ukal😅😅😅😅😅
Ipo siku Chagamba utawambwa makofi na mzee saidi subiri tuko paleee😅😅😅😂😂
Nilikusubir sana mzee
Ila Mzee Said Bana Ety Mpir Tuchez Sis Alafu Tutowe Drow😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂mzee shikamoooo
Leo mzee said ndo nimekukubali😂😂😂😂
Nakupenda sana baba angu nipo upande wako kuhusu chasambi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa tutafanya kipindi au tutaanza kuchekana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo akuna kamruzii😂😂😂
Yani simbirisi Yamuze Said wamefunga goro2 oooooooosimbirisi😂😂😂😂
Mzee said Yuko Sawa kama tadunu tanadu,mungu kaonyesha uwezi wake.. .. .......,,,,,,,😀😀
Simba haina Straiker lakin wenyewe tunabisha. Straiker anazurura tu uwanjani mipira inagonga ikianguka hakuna mtu kipa anaangusha mipira kibao. Pia kocha ni muoga akipata tu goli anatoa mshambuliaji anaingiza mkabaji timu akisawazishiwa inapata ugumu kuongeza goli
Huyu Mzee said haeleweki😂😂
Nilikuwa nasubili sana mzee saidi😂😂😂😂😂
Walipuliza sana wapi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee saidi upo sawa
Ila chagamba we yanga inaonekana unafuraa sana
Mzee Sideeeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpira tucheze sisi afu tutoe droo sisi😂😂😂😂
Mzee saidi mbona kapanic😜😂😂😂
Uso umenyanyamukaaaa😂😂😂
Jana mze saidi simba kanyimwa penati ateba alichezewa faulo na mkwara
😂😂
Sasa unamwambia Mzee Saidi yeye ni TFF ??
😅😅soma tena koment yake@@richardnganya2311
Kwel kabis ilitakiw iwe penalty
Mzee Said Alisema Leo Fountain Gaty Wanakula Hamsa,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Presure imeanza mzee wangu we jitahidi isikupate baba😂😂😂
Baba mlee saidi ulemsemo wako wa maulaga nguwe ne umekukuta
Nimecheka sana eti mashabiki njaa ndo wanaomsema Chagamba😂😂😂😂😂😂,kapagawa😂😂
Mzee SAIDI njoo KOROGWE Kuna soda ZAKO
Bhana mdg tunafanya kipindi au tunachekana😂😂😂😂
Daaaaah! Ila said bn ety ndobogo
Mpira mcheze nyinyi,magoli yote mfunge nyinyi,na mjitoe kileleni nyinyi😂😂😂😂
Hatimaye mzee umekujaa😂😅😂😅😂😅😂😅😂😅😂😂
Naomba Chasambi boy apewe ulinzi mkali.
Ilaa mzee saidii
Mzee ubarikiwe snaa we ni mtu wa moira kweli
Chagamba usimcheke mzee Saidii 😂😂😂😂
Uwanjani kuna mtu anakuita toa pasi huku ila mzee saidi 😂😂
Aucho kashapiga kitambo
😂😂 Chasambi Kawa Chagamba😂😂😂😂
Tukimufata. Mzee said miaka 10 hatubebi ubingwa 😂😂😂😂😂
Mzee unajua
Side😂😂😂katika ubora wake😂😂😂😂
Wewe chagamba eeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yani leo mzee Saidi anamuita Chagamba,Chasambi😂😂😂
😂😂😂😂😂eti wakudaaah
Magoli yote tumeyafukunyua wenyewe😂😂😂😂😂😂😂
Kaka mwambie mzee said match ya Yanga vs prison sokoine dakika 38 au 40+ ya msimu jana goli la pili la pacome aucho alipiga rabona ilio zaa asist ya goal ilo
Mzee Said, ulisema mnafunga ngapi vile???😅😅😅
God is good
Mzee saidi yupo vizuli sana kwenye mpila kujifunga ni kawaida Sana huwa vinatokea tu
Sasa kama chasambi alitengeneza goli la ateba mnamlaumu nini kufunga goli la pili😂😂
Gonga like hapa mzee said oyeee😅😅😅😅
Uyu mzee anafuraisha sana
😂😂😂😂😂😂waaaa waaaa😂😂😂😂😂daaah 😂😂😂😂😂😂
Marefa wa Bongo ile sjawahi kuiona 😅😅😅😅 kauli ya mzee wetu
Wee mzee unavutuko kwel😅😅😅😅😅😅