Bola ya wewe kaka unaakil ya mpila unajua nini maana ya dakika 90 wao waache wajitoeufaham yanga sio kama wanavyoichukulia atakuja kulia m2 dakika za jion na awatoamin macho yao
We ulikuwa miaka 9 kuanzia 2000 mpaka 2009 ushindi wako kwa Simba ni droo 3 ndo uliambulia jumlisha na kipondo cha 5-0 sio 5-1 tuelewane kdg😂😂😂😂😂@@mussamlendela792
Miraji kakayangu sikuzoto huwa na sema wewe ni mwanaume halisi ... Na kama unandoto za kusomea ukocha basi kaza ivoivo kakyangu wewe nizaid ya kochaa unajicho la mpira... sema gamba 😂😂😂😂 kunawakat anamswal ya miyeyusho sana eti diar alikuwa anaomba maji jaman😅😅😅😅
Changamba unatokosea sana maramoja anaongea ndondo unampa muda mchache wakina mzee said wanaongea utumbo unawapa muda mwingi tumechoka tumeamua tukwambie kweli tu
Asante Miraji Kwa kumtia moyo Dube wetu, endelea Dube usife moyo we kaza buti huo ni upepo tu Mungu atakusaidia utafunga tu magoli
Ni yanga the best binguwa
upo vizuri sana kaka milaji
Sema Chagamba Uwaga Anajuw Kuchambuw🎉❤🎉
Kaka miraji unajua sana mpira 🫡
Miraji and Chagamba, great work, You both give honest analysis of both SIMBA SC and YANGA, No biasment, .This league is definitely tough.
Za ndaaaaaani,Pitso Masimane ndio kocha wa Yanga ,ni suala la muda tu😂😂😂😂😂❤
Uuuûuuiiiiiiikama makolo Yanga iliwafunga gori5💛💚💛💚
We ushawahi kupiga 6-0,5-0 sio 5-1 za mchongo wa kina Chama,Baleke,Inonga na MKUDE😂😂😂
Miraji mmoja tu🎉🎉 mjinga haelew💪
Mira mara moja
Ongea 🎉🎉
Huyu jamaa anajua mpira pia anajua kuuzungumzia🎉
🎉🎉🎉🎉
miraji njoo unioe nahayo maneno yako tu😂😂😂😂😂😂❤
Wacha we
Kweli milaji shangilia msimu ukiisha
Unajuwa miraji
🔥
upew uwaziri mbon unaongea vizur ❤❤
Wapi Mzee said
Miraji unamuumiza mwenzio bega
Miraji anajielewa
Miraji uko simati sana nimekuelewa
👏👏👏👏🦁🏆🏆💪💪💪💪💪🙏🙏
Kila La Eli Yanga nawatakia Ushindi wa kuchukuwa Ubingwa Ligiku Tanzani Yanga
Huyu miraji nilikusubiri
Huyu jamaa anajua Sana sema hapa mjini ni connection
Yanga Na Prinziner Athumani China Aliwai Kufunga Hivyo.
Ongea kaka wenzio weng kaz unafik 2
Kama Kawa recoord😂😂 😂 Miraji weeeeeeeeeeeweeeee 😂😂
Bola ya wewe kaka unaakil ya mpila unajua nini maana ya dakika 90 wao waache wajitoeufaham yanga sio kama wanavyoichukulia atakuja kulia m2 dakika za jion na awatoamin macho yao
Acha kukalili maisha
Kukalili maisha muhimu maana tulikalili mechi nne mfupulizo yanga akimpakua simba niikawa hvyo wewe nani unajiongelesha vya ovy ovy
Bola ni bora .mpira siyo mpila rudi shule jifunze matumizi ua R&L
We ulikuwa miaka 9 kuanzia 2000 mpaka 2009 ushindi wako kwa Simba ni droo 3 ndo uliambulia jumlisha na kipondo cha 5-0 sio 5-1 tuelewane kdg😂😂😂😂😂@@mussamlendela792
Miraji kakayangu sikuzoto huwa na sema wewe ni mwanaume halisi ...
Na kama unandoto za kusomea ukocha basi kaza ivoivo kakyangu wewe nizaid ya kochaa unajicho la mpira... sema gamba 😂😂😂😂 kunawakat anamswal ya miyeyusho sana eti diar alikuwa anaomba maji jaman😅😅😅😅
JEAN C. AHOUA ANAUWEZO WA KULIRUDISHA ILA MMMH. UYO SELE BWENZI SIJUI ITAKUWAJE HUYU MWAMBA HILI GOLI KURUDI SIJUI.
tup manen malamojaaa
Kama lile la Morrison alipo wafunga namungo
Sema uyu jamaa ataftiwe radio awe chambuz oya sports arena hamumuoni huyu mwamba
Leo chagamba miraji umemkatisha mapema sana kuongea
Bega la chagamba 😂
Jamaa anajua boli huyu
Nyinyi wahadishi habari ndomnasema ivyo ss yanga tunaukubari uongozi wetu
Huyo nae ahamie yanga mbwa tu
Huyo sio kuma la mama akoo. Anaongelea mpira
Chagamba dah mkovizuri Sasa naomba uwe unamuhoji Habibu na Mara kwa Mara naye jamaa inafurahisha sana unavyomuhoji tunakosa burudani yake ya maneno
Huyu jamaa huwa simuelewi
Mbinu kwa Simba ulikuwa unawataka viongozi watoke waongee kwanini sio yanga?
Changamba unatokosea sana maramoja anaongea ndondo unampa muda mchache wakina mzee said wanaongea utumbo unawapa muda mwingi tumechoka tumeamua tukwambie kweli tu
umechoka wewe kaka kila mmoja na faida yake mzee zaidi kazi yake kutufurahisha sisi ukitaka points msikie miraji tu mzee saidi tuachie wenyewe
Magoli yt yalofungwa jn ,mi naona goli la kenigolidi ndo goli la mn niloliona .
Limewafikisha wap ilo goli la maana??? Sema goli zuri sio la maana lingekua la maana lingewasaidia
Like za milaji na dosa tujuane apa
Mshindi wa mechi ya simba na yanga ndo bingwa wa mwaka huu chukueni hii
Katika wachambuzi wazuri tz ni miraji wengine wote ni bendera tu
Pamoja sana
Miraji kombe mtaleta au mwaka robo ndofuraha yenu. Akuna kitu nyie tu mnataka kutuvuga mtashindwa