Video zenye dakika nyingi ndio nzuri kwa sisi wanazi tunaopenda kufuatilia matukio ya mabasi tz.. KAZI nzuri machejo, tuwekee nyingi kwa nyingi wanazi tuburudike👍👍
Hiyo baraba tunaomba iwe na njia tatu yakupanda mbili tena ziwe pana na kushika iwe moja pana. Selikali kama inaerewaga somo hiyo hapo ni hatari sana mimi ni dreva wa miaka 26 sasa napita kwenye njia hiyo nihovyo kuliko maereza hasa wa gari ya manual kupandish mbaya zaid police wanaakili za ajabu inaonesha hawana fan za udreva wanakupiga fain ukiovateki mliman ivi hawa wanaakili kweli. Mlimani gali ukichenji gia gar inafer kupanda. So ukiwa sipid angarau 30 /40 inabidi unitaidi upande hivo gar isije kufeei kupanda ikiludi nyuma tu munakufa rais wa tz tunakuomba tupanulie huyo njia iwe njia 2 kupand kushuka njia 1 pana au njia 2 tena
Ni ubunifu mzuri hata ambao wanausikua tu mlima kitonka wanafaidi kupitia ibunifu wako.siku nyingine tupeleke hadi mwisho wa njia tuione tz kupitia chenell yako.ukiendeleza ubunifu huu kuna siku utavunja rekodi ya kuwa na watazamaji wengi
Chejoo ooooooo Asante chejoooo tuna enjoy chejoooo video zako ni noma brother
Mlima wenye vilima vyake Tanzania 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu ndiye chejoo huyu ndiye fundi machejo ooo machejooo
Hii njia ni finyu sana. Kwani wahusika hawaoni au
Video zenye dakika nyingi ndio nzuri kwa sisi wanazi tunaopenda kufuatilia matukio ya mabasi tz.. KAZI nzuri machejo, tuwekee nyingi kwa nyingi wanazi tuburudike👍👍
Sana machejo kazi nzuuri 🔥🔥
Njia iyi duhhh
DTR la kuparamia milima🙌🙌
Napakumbuka kitonga tulipotumbukia na bus la binkleb Hadi bondeni Ila tulinusurika
Duuuu pole sanaa ndugu yangu
Kitonga kweli ni barabara hatari
Mwendo kali sana
238 DTR sauti ya braza Michael ikiskika
Asante Sana chejoooo
Barabara hii kwa nini isipanuliwe na kufanya njia nne?
Hiyo baraba tunaomba iwe na njia tatu yakupanda mbili tena ziwe pana na kushika iwe moja pana. Selikali kama inaerewaga somo hiyo hapo ni hatari sana mimi ni dreva wa miaka 26 sasa napita kwenye njia hiyo nihovyo kuliko maereza hasa wa gari ya manual kupandish mbaya zaid police wanaakili za ajabu inaonesha hawana fan za udreva wanakupiga fain ukiovateki mliman ivi hawa wanaakili kweli. Mlimani gali ukichenji gia gar inafer kupanda. So ukiwa sipid angarau 30 /40 inabidi unitaidi upande hivo gar isije kufeei kupanda ikiludi nyuma tu munakufa rais wa tz tunakuomba tupanulie huyo njia iwe njia 2 kupand kushuka njia 1 pana au njia 2 tena
Ni ubunifu mzuri hata ambao wanausikua tu mlima kitonka wanafaidi kupitia ibunifu wako.siku nyingine tupeleke hadi mwisho wa njia tuione tz kupitia chenell yako.ukiendeleza ubunifu huu kuna siku utavunja rekodi ya kuwa na watazamaji wengi
🔥🔥🔥
Hapo mlikuwa mnapanda au kushuka
Walikuwa wanashuka.
Asante.
Inapanda hiyo
❤❤❤