SHIRKI NDANI YA KITABU CHA BARZANJI || MUNAQASHA MKOA WA TANGA
Вставка
- Опубліковано 18 гру 2024
- #alhaajartvkenya #kenya #mombasa
SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE
Instagram: Alhaajartvkenya
Twitter: Alhaajartvkenya
Facebook: Alhaajar Ke
UA-cam: Alhaajartvkenya
© Al Haajar TV Kenya 2023
ALLAH akuzidishie ilmu zaidi sheikh wangu na ALLAH akulipe kheir kwa kazi unayoifanya
Mashallah upo vizuri shekh Bachu
Shekh Muhammad bachu upo vzr maxhaallah
Shekhe Muhammad mungu akuhifadhi,,,,,,na wale watu wa kukata clip msijaribu
Sheikh Muhammad bachu Allah akujaalia subra masufi watu wanamtuma ushabiki
Allah akulinde na killa shari
Shekh wangu mazinge swali lake si la kielemu . Allah akuhifadhi sheikh mazinge usijenge hoja kwenye haditj ya mtume fanya istghfar na heshma kwa nabii muhamad
Mazinge kumbe ni mtupu pia,sasa akakae kwa Bachu afunzwe.
Ndio msimamo mzur kbs usio nashaka mbere yamwenyezimngu akika yupo sahii ktk njia yamwenyezimngu namtume wake Muhammad
Hapa sheikh sabaas al kubraa anaenda vizuri
......Mimi ni mzee niliojaaliwa kuona vidio zote za mdahalo wa Zanzibar miaka hiyo, haikutusaidia zaidi ya kutugawanya zaidi. nilikuwa shabiki kama vijana wetu wa sasa walivyokuwa. Team Sabas na Team Bachu. Tubadilike tuna Mwongozo bora, tumeachwa mbali sana Mashekhe msipoamka waumini tutawaamsha.
Sawasawa ww nimzeetu simwenye kufatilia dini ndomana ukufaidika chochote mbona wenzio tumefaidika mpakaivi saivi alhamdulillah
Nikweli Mzee hiisasa ishakuwa fitnakubwa ukiangalia kwa kawaida utadhani wanaelimisha lakini sivyo hapa watakufa wameamsha fitnakubwa mno maana hili halijaisha wewe utaona , wachamungu waliopita hawakutaka kuyasema kuzisema tofauti zilizo kwenyevitabu kamahivyo Kwakuwa vipo pandezite hata kwahao wanaojitakasa kwamba nakujiuta watu wa Sunnah, wema waliopita waliyaona mengi na wakayanyamazia kwaajili ya kuchunga umoja, kwakweli huu ni mpasuko juuyetu japokuwa wengine wanaona ni kielimisha,
Tungejuaje km Usufi ni uzushi ktk Uislamu? Alhamdulillah minakasha imesaidia sana na ndio sie tukaacha maulidi na kuabudu makaburi.
.... Angalau kila familia INSHAALLAH itself binti mmoja asomeshwe kwa hali na mali, awe Gynecologist wetu wa kuwazalisha wenzake!.....
Naam 💯
Ahsante sabas
Shukrani shekhe sabasi kwa kumnyoosha mtu
😂😂😂 una wazimu 19-0, Usabasi umemponza jamaa yenu.
@@eddieeddie2755
Mnachojua Ni matusi lkn elimu hamna Mana kumbe hata hayo majazi hamjui
@@abuidifundi2016 😅😅😅 labda Majahazi, sisi tuliokua hatuna elimu tumemuelewa mtoto wa Bachu kiurahisi kabisa.
Muhammad Nasoor Bachu nimchekeshaji tuu , anasoma mambo mengi sana anauliza na anajejibu mwenyewe kama vile Wakiristo shida niuelewa
Mawahabi wanaufaham mdogo sana Allah anasema mema yaondoa madhambi je na mungu amefanya ushirikina nae pia mtume ana sema sadaka inafuta madhambi nae amefany shiri bona hawa mawahabi hawaelew pia nabii issa anasem mim naumba na uhisha nahuo ni ushirikina hawa wanawez wakamtukana mungu Allah anasema ulizeni Kijiji nahakusema uliseni watu wa Kijiji jaman somen fani
Issa anauwa na kufufua kwa idhini ya Allah si yeye kama yeye soma suratul Al Imraan mwishoni mwishoni
@@universitylink na sadaka nayo wap mtume amesem kwa idhin ya allah
@@universitylink na mema yaondoa madhamb wap Wapi amemalizia Allah kusem kwa idhin yang kuwen waelewa somen fani mtajua
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa shekh Bachu, unatufungua macho
Mashallah sheikhe wangu sabasi kubra fundishe hawa mawahabi vizuri hawa hajui balagha na nahwu
Hakuna cha balagha ,sabasi ni mtupu kabisa na amefunzwa.
Sheikh anajiamini,mm namkubali njoo kenya uwakomeshe pia hawa masufii
Aje kenya huyo sheikhe lako tutamfudisha
et mbn mm sisikii jamani cm yangu inanini nahamu yakusikia Mohamed Bach jamani anavoweka vitu
Yaani huyu shekh anakimbilia tu jambo pekee eti uelewa mdogo😂😂acha kumpa mtume sifa za Allah unakufuru wewee Sabaaasi
Somaa vizuri kaka 😂😅
Halafu muda wake mwingi anatumia kumdhambulia sheikh tu lakin sijaona hoja hata moja ya kirlimu aliyoitoa kumrudishia kumjibu dhrikh yeye anataka mke tu ndio hoja yakr na akaoe sufi mwenzie wakafanye maulid juu ya makaburi wakisherekhekea harusi yao lakin haifai mushrikina akaoa mtu wa tawheed katu
Sabas mungu akuweke wàllah
... Ustadh Sabas na Ustadh Bachu junior tutafurahi next vidio zijazo mnazungumzia masuala ya TMMC INSHAALLAH.
TMMC ndo nini
TANZANIAN MUSLIM MEDICAL CENTRE.
Jamani jamani lugha haisomwi mitandaoni lugha ukubali kusugua kwenye majamvi usomeshwe kwa muda sio miezi 6 wajifanya ushajua lugha sio kozi za secondary😂
Masha sheikh Sabaasib upo vizuri sana
Sabas majaaaz😂😂
Sabas kaogeshwa
@@salemshaban2413 SABBAS MAJAZIIIII
@@Nuru_ya_sunnah.officialmaajaaz maana yake ni nini?
Maashaallah shekhe sabbasi umeuwa mtu
Upewetu mkeo
😂😂😂 pumbavu zake , Usabasi umemponza
@@eddieeddie2755
Wewe Ni mwislamu au ?
Kama Ni mwislamu wapi umekufunza kutukana?????
@@abuidifundi2016 nani amekwambia UPUMBAVU ni tusi? Umeenda shule?
@@eddieeddie2755
Kwaiyo Kama sii tusi inahukumu gani katika sheria ❓
@@abuidifundi2016 hukmu yake ktk lugha ya kiswahili ni km ifuatavyo:
Mpumbavu ni mtu aliefundishwa akajua maana, lkn bado akawa anapinga.
Sabas umetuaibisha sana hebu nenda ukarekebishe tena
Ssalam Aleykum. Nani anakumbuka mnaqasha wa miaka ya 90 Zanziba? Iliandaliwa na aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amur! Tusipoteze muda, huu ni wakati wa kuanzisha fikra za kuwa na hospitali ya rufaa itakayoitwa TMMC (Tanzanian Muslim Medical Center).....
Mashaallah
Sheikh sabas mashallah uko vizuri yataka mtu aliyesoma na yuwaendelea kusoma ndio aweze kukufahamu sio kusoma nusunusu kisha alete maradhi katika mujtamai
Yaaaaan mnakaaa kupunga maulid tu mbn machafu yanafanywa mengi tu ungekuwa unasimama bx Kila sehem
Muhammad nassor bachu bachu bachu bachu simba simba simba
Ukifatilia sana wasomi mnaipeleka dini siko na mnawapoteza wasiosoma dn na hua mnasema tusome dini but tutasoma kwa nan
Shekhe sabasi kaburi umeaibika sana joho si elmu
Kweli Shekh wangu Sabas una kazi ya kufundisha mtu uelewa mana ni madrasa hasaa ikiwa mtu anafahamu maana moja tu ya neno ni kazi kwamba km mbuzi ni mnyama tu wakati kuna mbuzi kifaa pia
Hii dini ni manhaj samawiyah , mfumo uliotoka mbinguni haruhusiwi mtu yoyote kuongeze lake katika dini . Kila kitu kimebainishwa na sheria..mwalimu wetu ni mtume tufuata alilofundisha ,
Kwan Yy kaona lipi Kwa sabas alichokiongea Cha maana Kwa Kila hoja iliotolewa hapa lip kajibu
Sabaas Umeogeshwa hauna
Mlichukulia Ibnu Bachu wa kawaüda leo mnakıona cha mtena kunı
HUYO KAMANDA ALILALA MöCHOKOZA WENYEWE SASA MWAİONA NGONDO MWAFUNGA MILANGO
😅😅😅😅😅😅😅
(majaz tu ndugu zangu)
Hawakujua yatakayowakuta
Mvua za masika
@@omarsima2763
Yusuf Dıwani alilijua hiloo alipoomwa munakash akakaa kimyaaaaa
Sasa Sabbas ameona chamtemakunı
Sidhani kama wataomba Niqash tena hao
ila ibnu Bachu mashallah kwakweli
mashekh wa twarıqa kıabao
maznge mbogo cjuı Abubakar cju Yusuf Dıwan cjuı nani wote wametulizwa na kijana mdogo sana
walizania janja janja wanayowafuanyıa makafırı
et mazngne anaulızwa swali kakibiwa fasta kwa dalili na yy akarıdshıwa swali kımyaaaaas!!!
Hahahahahaha
Yaani kila sehemu ushabiki tumeangamia
Hamna jibu ni majazi tuu
Kabxa walim dharau xx a aibika peupee
Mswalieni mtume jamani kwa wingi hata mkiwa pekee yenu lakini sio kusoma baranje ndo kumswalia mtume
Eti kinyume cha ukafiri ni madhambi kweli 😂😂😂😂😂 mzee umepiswa kweli!!! Hivi sie waislamu tuliona madhambi unamanisha ni makafiri hya wee mweupe huna madhabisio ama ushakuwa kafiri tuambie jombaaa😂😂😂😂😂😂😂
Hiyu mtoto anajua jamani
HUYU KIJANA NI MPOTOFU KIJIZUZU SANA HANA LOLOTE WALLAAHI BILLAAHI TALLAAHI HAJIELEWI
Kiukweli hueleweki kila nikitulia napata majibu ya majahazi.
Hatarii sabass majaaz
Sheikh Bachu you are the man.
This Sabas is just a mediocre.
He is beating around the Bush.
Mbona hawa watu wa Maulid hoja zawo ni balagh tu wakati hadith ziko wazi?
In Uganda pia wanakuaga hivo hamna tafauti.
Lakini nyingi ma wahabi hamna ilimu ndio balagha hamjui
Its because you guys have not graduated in terms of islamic education can you allow someone to operate your head if he have not finished his studies
Uyu motot wabachu akika mwenyezimngu amuifaz yamkini nikatika wanachuoni muimu ktk bararetu laafrica nadunia nzima huu
Hajafika kiwangob hicho lakini anajitahidi mungu amuongeze hapo kwa uwanachuoni vigezo bado kwa ane yajua vigezo cha mtu kuitwa mwanachuoni
@@Kalaharidesertstormni kweli huyo barobaro anajitahid Allah amlipe kwa jitihada zake
Mwanachuoni kw mbumbumbu km ww, mtt wa bachu bado sana ni chekechea anatakiwa asomeshwe fani za ilmu
@@JamalAbdallah-m1o kijana apo salama na ala na fanni anayo hatujapata mtume kutufindisha kupitia majazi au sarfu na yeye ndiye afsahularab sio sisi hapa hata matamshi ya maneno yanatushinda shida ya watu wa twarika wame fanya dini iwe dili za kujipatia kipato wakizinduliwa watu wana pata presha sasa mambo imebainika ...swaha ddiku watwalaalfajru,... Jogoo kasha wika na mianga ya alfajiri isha chomoza ....
لِّيَهْلِكَ مَنْ هَلَكَ عَن بَيِّنَةٍ وَيَحْيَىٰ مَنْ حَيَّ عَن بَيِّنَةٍ
Sikilizeni maantiki ya kinachosemwa msiweke chuki kwa kujali sheikh wako.
Muhammad bachu ni mkweli kabisa katika uzito wa juu.
Sabasil majaaz amekuwa mfano wavpunda aliyetafuta pembe zake na akarudi bila maskio
Nilichogundua bachu hatumii elmu anatoa tu mawaidha tu
9:03
Hoja 19 hakuna saabas kajibu hatamoja
Sabasiii aacha mashirki hayoooo acha mzee
Yaani bado hamjui huyo dogo..waallaahi anaelim..atawataabisha
Busara itumike nadhani mngekuwa wafundishaji alafu mkamuachia Allah uongofu kwani naona kama wasiojua ni wengi kuliko wanaojua.
Hekima inahitajika,,,
Masha llahu! Masha llahu! Sheikh wangu Sabaasib
😂
Majazi 19-0😂😂😂
sabbass utakoma siku ya pili
😂😂😂😂sabass majaaz
Wanakaaaa wakipiga makelele tu wakati wake zetu wanazalishwa na wanaume mungefanya mambo walau kujenga mahospitali mnajifanya mna Eli saaana alafu waliotunga vitabu hawana elimmu wewe bachu ndio upo top Tanzania mzima ndio umesoma
Tuliwaambia mtoto wa Bachu ni atakua sniper wa haqqi ktk munaaqasha huu biidhnillaah
Sababu hana ujanja ujanja na uongo.
Clip za shaykh sabas mbona zinakatwa vip hapo
Xx tukusaidie nn
Hana alichokiongea eti
Kilamara uelewa Sasa wewe sabas ebutwambie unayodalili ipikututhibitishia kuwa huouelewawako ndiosahihi weweumetiaaibu kujibumaswali kwa majazi hilihuwalinawakumba wasiojuwa kitabu na sunna
Kwa sabab yeye anaongea majazi tu na kusema ""wewe ufahamu wako mdogo😂😂"
Daah sabbas hamna kitu kabisa
Bachu wallah ww ni kiboko halafu mwamba ayo majaz nmetumia unajua san nahs raha san kukuskiliza
Sabas umeroaaaaa huyu mtoto mulimchujulia poa
NARUDIA TENA AL HAAJAR TV MUACHE UNAFIKI NANTIE
WAPENI WATU VIDEO ZOTE,, MZIKATE ZA UPANDE MWINGINE HUWO NI UNAFIKIII
WAPENI WATU ZOTE AU TOENI KILA MTU KWA WAKATI WAKE WATU WAZIJUDGE
MIMI SINA UPANDE ILA M ACHOKIFANYA SIO SAHIHI
Ww wahabi acha unafik
Jaman sheikh bachu ulisema utampa ibnu taymia dadako 😂au unaogopa atakuaja kuwa mtu wa majaaz?? Kaka sabbass majaziiii 😂
Haqqi lazima ijulikane watu wamekalia ubwabwa tu ndo maana wanatetea maulid
Alafu hatujawahi kukuona ktk masjid mtoro walau ktk busati la mtoro wewe Bado mdogo sana
Bachu bado kabisa kasome
Sheikh wangu muogope mungu,nafsi yako inajua dhahiri kuwa sheikh saabas amezidiwa!! 🙏🙏
Sabasi acha shirki
sabas mzee wa majazi
14:44 ilo njoo tatizo la ma wanafunzi wa kileo ikiwa sheiku alikoseya na ukaona kweli alikoseya why usiache makosa yake kusema Ibn Tayyimiya alifanya na Jaffar al Barzanji alifanya wote walifanya shirk uyo upofu
Mtamkumbuka yule wa kenyaa alyesema malaika walipamgaa östarı mpka mıngunıı
yaaan , nı bora Mkıyamalızıa öıtamdao . Lkn hapa mmekuja kudhıbıtısha kuwa kweli uongo shırıkı na hamkuwwza kutetea na UMMA umeshaelewa
ila nawatıkıa kher kwa wotee!
Watu wa maulidi kweli pilau lishaharibu akilizao
Masha Allah munaqasha mzuri, zaidi pitia hapa ua-cam.com/video/eq9Ms2Kg6HA/v-deo.html
Nyie HAAJAR TV,, musiwe wanafiki na nyie,, huwo ni munakash Kwann musiweke wote haki sawa then
Watu wazijudge hoja
Asa mnaweka wa upande wenu tuu?
Sheikh fuatilia,mimi nilikuwepo bilivyowekwa ndivyo vilivyojitokeza,sheikh saabas kafunikwa mnooo
Kweli Shekh wangu Sabas una kazi ya kufundisha mtu uelewa mana ni madrasa hasaa ikiwa mtu anafahamu maana moja tu ya neno ni kazi kwamba km mbuzi ni mnyama tu wakati kuna mbuzi kifaa pia
Hakuna kifaa kinaitwa mbuzi.
Kabao chambuzi sio kibao Cha mbuzi.....