Asalam alaikum.Ikiwa kila kitu lazima kithibitishwe kwa aya za Quran na Hadithi kutoka kwa Mtume S.A.W, basi naomba aya zinazo thibitisha kwamba kueka vipaza sauti misikitini na fani ni sawa.
Mm nimekuelewa shehewetu asiekuelewa anajizimadata mwenyewe kwakutaka ushililona uwendelee kazikwao ww ushatuzindua anaetaka afate asietaka basi atakitana na molawetumlezi hiyo siku
Naam huo ndio uisilamu sahihi, na ndio sababu ya kutumwa manabii tangu ilipo wekwa misingi ya dunia , na si kuwaomba manabii, mawalii au makaburii kama wanavyo potosha watu wa maulidi
Enyi mnao coment kwa kupinga anacho ongea huyu bwana mohamedi Bacho, mbona mimi nina muelewa vizuri tu? nyinyi ni wapi hamumuelewi? au ni ushabiki tu na chuki sisizokuwa za msingi? mbona mimi namuelewa vizuri sana?
Mwambieni huyu Pimbi Bachu kuna radd ya sheikh SABBAS KUBRA aende akajibu. Mbona kaingia mitini au ndo kashaelewa. UWAHABI ni chama cha kisiasa sio dini hiyooooo
Iko nyingine ya jana poa inaonyesha bachu anahaha ajui ashike lipi Na hivi ameaga anaondoka nchini hadi ramadhan iishe wakati za chini ya kapeti ni ANA ENDA KUTAFUTA MSAADA Iangalie video ya Sheikh Sabas ameitoa jana. Bachu ni Mzee wa kugoogle.
Huna lolote tafsiri niyakwako kutaka kichwani jaafar barzanjii nimwanazuoni mkubwa huwezi kumkosoa lugha kwako shida sana hufai katafsiri maneno ya wanazuoni wanafani nyingi wewe huna hata moja porojo tu
Shekh umemaliza kwasababu woa hao wengine Wana hoja za lugha ya kiarabu Hawana hoja za point, mwanzo walitutaka tuamini haleluya ni لا إله إلا الله Kisha saivi point ni kwamba Maulidi ni shirki hawataki wanasema tafsiri sio, Sasa tafsiri sio lkn point zote ndio zinavyo eleza maulidi ni shirki
@@ramadhanhajji ss kumbe unashabikia wingi wa coment uwo ndio uzandik ktk dini muhimu waache kufanya kwa maslahi waeke mdahalo km kweli wapo kw ajili y dini cy dunia n w2 watapata faida ili kuondoa mizozo ktk uislamu 2 kaka
Nikwa maslai yadini watu wajuwe hakki kama umerusha kwenye social media lazima uachie comment nimoja katika elimu koliko mdahalo mdahalo utawafikia wangapi acha jazba katika dini fata hakki popote itokapo
Asalam alaikum.Ikiwa kila kitu lazima kithibitishwe kwa aya za Quran na Hadithi kutoka kwa Mtume S.A.W, basi naomba aya zinazo thibitisha kwamba kueka vipaza sauti misikitini na fani ni sawa.
Mm nimekuelewa shehewetu asiekuelewa anajizimadata mwenyewe kwakutaka ushililona uwendelee kazikwao ww ushatuzindua anaetaka afate asietaka basi atakitana na molawetumlezi hiyo siku
wamie hawajakuelewa hadisasa
Kashaishiwa huyu anarejea humo humo kasoma kiarabu cha tuition saiv anajifanya sheikh kwa kiarabu cha tuition hlf anakuja kutafsir vitab kwa kiarabu hicho muache akasome kwanza
Naam huo ndio uisilamu sahihi, na ndio sababu ya kutumwa manabii tangu ilipo wekwa misingi ya dunia , na si kuwaomba manabii, mawalii au makaburii kama wanavyo potosha watu wa maulidi
Enyi mnao coment kwa kupinga anacho ongea huyu bwana mohamedi Bacho, mbona mimi nina muelewa vizuri tu? nyinyi ni wapi hamumuelewi? au ni ushabiki tu na chuki sisizokuwa za msingi? mbona mimi namuelewa vizuri sana?
Mwambieni huyu Pimbi Bachu kuna radd ya sheikh SABBAS KUBRA aende akajibu. Mbona kaingia mitini au ndo kashaelewa. UWAHABI ni chama cha kisiasa sio dini hiyooooo
We umesoma baranjanje tu
Iko nyingine ya jana poa inaonyesha bachu anahaha ajui ashike lipi
Na hivi ameaga anaondoka nchini hadi ramadhan iishe wakati za chini ya kapeti ni ANA ENDA KUTAFUTA MSAADA
Iangalie video ya Sheikh Sabas ameitoa jana.
Bachu ni Mzee wa kugoogle.
@@sama-_8368 Ajisalimishe tu na awaombe radhi Masheikh hapo ndo tutaona kuwa kdogo kasoma
@@mussakatoro8079 Kabisa, shida yake ni kibri tu
Huna lolote tafsiri niyakwako kutaka kichwani jaafar barzanjii nimwanazuoni mkubwa huwezi kumkosoa lugha kwako shida sana hufai katafsiri maneno ya wanazuoni wanafani nyingi wewe huna hata moja porojo tu
Unaona jaarari barazanji katia shirki kama mjinga mpagani.hivi inaingia akilini mwako? Wewe bachu sioni ajabu kumkufushisha barazanji nikawaida yamakafiri kufanyaivyo kwani hata mtume kakufurishwa mpaka kupigwa mawe nawatu kamawewe
Hii amepewa ilimu alete nyengine au ajibu mwaliko
Shekh umemaliza kwasababu woa hao wengine Wana hoja za lugha ya kiarabu Hawana hoja za point, mwanzo walitutaka tuamini haleluya ni لا إله إلا الله Kisha saivi point ni kwamba Maulidi ni shirki hawataki wanasema tafsiri sio, Sasa tafsiri sio lkn point zote ndio zinavyo eleza maulidi ni shirki
Kiarabu sio tegemezimama kwenye hukmu zadini hukmu ni elimu unatakiwa uketichini ufundiswe sio kwakuwa unajuwa lugha ndio kilakitu unakijuwa sivoivo
Alafu mbona sheikh sabasibulkubra na suleyman diwani wanafunga comment wanaogopann? Hawanahoja yakielimu