Magonjwa makubwa mvua za radi nyuki nyoka kila bata liwafuate wao na watoto wao li togo la kukataliwa lowe sehemu ya maisha yao mungu afute kibari mbele za watu mnuke kama mavi ccm kila mnapopita watu wawazomee togo ya kaini kuzurula na kutangatanga iwe huu yenu ccm mungu awakomeshe kabisa
Kiukweli maali tunafikia wa Tanzania pabaya sana kwelibinadamu tunauwawa kama wanna wanyama mungu awalaani wote na damu ya marehemu irate kila mmoja nafamiliazao akika aimpendezi mungu
TUNDU TATIZO LAKO GOMBANISHI NA MDINI SANA HALAF DINI HUIJUI NA UCHA MUNGU HUNA MANA UNASAPOTI USHOGA ANYWAY POLENI NA MSIBA ALITAKIWA AKAMATWE SIO RISASI
Kuna ubaguzi wa hatari ktk taifa ili , kuna anayeuawa kama inzi na kuna mwingine nibwana mkubwa hata kusema naye ni hatia kubwa tutavuna mbegu tu ni kanuni

Poleni sana watz wote isipokuwa wauwaji , iko siku yote yataisha
Poleni sana wafiwa na watanzania wote pole sana
Huyu ndiyo mwanasiasa pekee ambae kila akisimama kuongea basi wewe shika kalamu na karatasi kuandika kile anachokizungumza, maana ni madini matupu 🙌🙌
Kabisaaa
Mtu pekee mkweli na asiyependa ujinga katika siasa" MHESHIMIWA NDUGU TUNDU ANTIPAS LISSU"
Damu haipoteagi bure,they will pay this
BORA NIPENDE MAVI KULIKO CCM
😭😭😭😭😭 Mungu mpumzishe Kamanda wetuJembe mahali pema pepon Amiin 🙏
Hakuna wala hatutegemei chochote wala hatuna tumaini lolote kwa jeshi la polisi isipokuwa tumaini letu liko kwa Mungu tu na si vinginevyo
Me ningekuwa mgombea wa uraisi bola nikaombe msaada njee make hii CCM ni zaidi ya shetani mwishoe watetezi wataisha na ss tutaburuzwa2
Polisi na serikali yao Hawajielewi
Mungu yupo
Yupo mungu msemaji wa mwisho mungu ata xmama nasi
Duuh,,,halafu tunaimba Mungu ibariki Tanzania,,,,,,,,,,,
Kiukweli maali tunafikia wa Tanzania pabaya sana kwelibinadamu tunauwawa kama wanna wanyama mungu awalaani wote na damu ya marehemu irate kila mmoja nafamiliazao akika aimpendezi mungu
Mbaya sana mambo haya kutokea
Polen wafiwa. lakin mauaji haha Lisa Nini. Mungu atusaidie kuipata busaral
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa haya mnayopitia Mwenyezi Mungu ainusuru nchi yetu na Hawa majangiri
Poleni sana wafiwa mungu atawalipa hawa makafili
Ndugu yake George hasira alizo nazo anataman awe rambo
Watu wenye akili timamu hawawez kuachia madaraka kwa sawasawa tupu siasa za maalim seifu zishapitwa na wakati #
Ongea kamanda
Ivi nyinyi ccm hamta kufa?ok ipo sk mungu atawanyesha haswa hawa poŕisi mmmh
😭😭😭😭😭👏👏 chadema yangu npaka kabulini
Aise haya mambo yanatuumiza sana sijui lini yataisha
Tundu Lisu ndo anadanganya watu na kuapampu
Inauma sana 😢mimi niko radhi kubeba mabomu nijilipue na hawa ccm
Huyu munae mwita mama
Mfumo wa kuteka umebadirika imebaki kuua
TUNDU TATIZO LAKO GOMBANISHI NA MDINI SANA HALAF DINI HUIJUI NA UCHA MUNGU HUNA MANA UNASAPOTI USHOGA ANYWAY POLENI NA MSIBA ALITAKIWA AKAMATWE SIO RISASI
Poleni lakini serikali ya ccm ni lini tutauana mpaka lini
Poleni sana, it's very sad
Huyo ni samia
Inaumiza sana😭😭😭
Kuna ubaguzi wa hatari ktk taifa ili , kuna anayeuawa kama inzi na kuna mwingine nibwana mkubwa hata kusema naye ni hatia kubwa tutavuna mbegu tu ni kanuni
Jina GEORGE MBONA LINAANDAMWA KILA KINA
😂😂😂risasi inayotoka juu inatafuta kiuno cha gorge, mungu aturehemu
Kama atuta pindua inchi hii atuwez kutoboa bas miaka yote haya yatatutokea sana tu mbona
Huyo RPC anatakiwa ajiuzulu na kusaidia uchunguzi
Wana julikana lakini hamchukui hatua mna stori tuu😂😂
Hii ccm ilipofiki nipabaya sn,harafu wanasema imeshinda kwa kishindo,duuuh!
Hawakufanya uchunguzi wa matokeo kama hayo huko nyuma,usitarajie kuwa sasa watafanya
Sifa kubwa ya kiongozi nikuwaunganisha watu,Tanzania tumekwama wapi inatakiwa mpaka sasa tuwe tunajadili mambo ya kimataifa
Duh tunaisha tunduma manyoni mauaji 25 nani atapiga kura ndugu zangu tumeisha
Inaumiza sana🤔
Kumbe kaka yake ni soja visasi vitalipwa
Inauma sana
siku hizi CHADEMA ndiyo chama cha AMANI wanauawa.
Acha tu tunaburuzwa na ccm
Watz ni majinga kwelikweli. Imagine hapo kijijini hapajachafuka 🥹🥹🥹
Wee ni wa Nchi gani ndugu
mm naichukia sana ccm naomba nawengine jamani naomba tuctoe ushilikiano wwte kwa wenyeviti wao
😭😭🥲
San
Ivi mbwa zitaendelea kututesa Hadi lini
LISU WEWE NDIO UNAOULISHA WATU KWA KAULIZAKO ZA OVYO .WEWE NI SHETANI MUOVU.
MM N G Y G !?
Ifike hatua wakiuwa mmoja nasisi tunavamia kituo uwa wote choma na kituo
Huyo mkuu wa wilaya anahusika na hicho kifo na ndio mipango yao.
KWANZA WANGEWAACHIA WAZIKE WENYEWE WAUAJI