Mipango mizur yenye mitazamo ya mbali, mungu ibariki yanga, mungu wabariki wananchiiii,mungu wabariki, GSM na manegement yote ya yanga na Tanzania kwaujumla
@@musanjopeka837 Hajui hajui hii ndo mizuzu yenyewe inayokibilia kuComment bila kuuliza sio Arsenal tu aangalie Ligi ya Italy Spain Argentina kama Bocajunio au River Plate Aangalie Jezi zao zilivyo zinamatangazo mangapi??
Nafikiri ungetenga muda wa kuangalia taratibu za uwekezaji ndani ya vilabu upoje. Yanga hakuna biashara ya Hersi katika mikataba yote na masharti yanataka wawekezaji zaidi ya mmoja na siyo mmoja kama ilivyo kwa Simba ambao walipata bahati ya kuwa na miwekezaji mmoja kwa sababu ya wao kuwa wa kwanza kuanza mchakato.
Kauli,mzuli,enginea,rais,wetu,yanga, African 🙏💛💚🧡💛💚🧡💛💚🧡
Mipango mizur yenye mitazamo ya mbali, mungu ibariki yanga, mungu wabariki wananchiiii,mungu wabariki, GSM na manegement yote ya yanga na Tanzania kwaujumla
Injinia. Heris. Wewe. Ni. Kiongozi. Mashuhuri. Unaeelewa. Kujibu. Maswali. Kistaarabu. Kuliko. Wengine. Big. Up. Sanna.
Nawapongeza Sana jsm kwakiwango walicho fikia has kwamambo waliyo yafanya mpaka Sasa mungu awabariki sanaaaaaa!
Aje aongeze nguvu 💚💛💛💛💛💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆
Umejibu kizungu yani safi sana
Injinia hekima yko inashinda uvundo,haowote ni moo akili matope umewajib kisomi kwani walishindwa mtihani wa ngumbaru
Hongera sana Injinia unaongea bila kelele wala papara wala kuropoka ropoka kama yule mzaramo Manara angepiga kelele hapo studio nzima
Rais wa yanga mumenifanya nisahau mwaka tulio pitisha bakuli majukwaan kasato one😅😅😅
Hongera maneno mazuri gsm
Huyoo. Mnafiki. Jemedari.mwenye. Chukii. Mnnoo. Na. Yanga
Safi sana maneno mazuri
Very strategic
Good manji aludi
Safi sana hiyo
Ni kauli njema kwa maslahi ya yanga
hao waandishi baadhi yao ni wanafiki ngassa na yanga wamezungumza ujaambiwa umwambie atalipwa yeye analijua hilo lakulipwa huo ni unafiki
❤❤❤
Hivi hawa GSM ni wadhamini au wafadhili
Kesho la mtu mmoja moo mtasubili sanaa
Good news
Kwan jof rey anavuta bang domo jeusi
Kaja kuikomboa yanga
Safi sana gsm
Kosa unaongea na wanafiki hasahasa Jemedari asie na data anategemea kusimulia anacho sikia hajisomei na kuelewa kama mz was data chambuzi la Tz
Mimi. Silipendi. Hili. Makonde. Ni. Nuksi. Mkubwa. Jemedari. Mbuzi. Aliefeli. Fukin
Wewe Injinia Manji akiweka mikono yake hizo biashara zako utatangaza wapi na hakuna wadhamini wanaweza kuwekeza sehemu moja kibiashara inakuuma sana
Ndugu yangu inawezekana mbona kutangaza kwenye timu moja biashara tofaut tofaut tu ucjali kwa ilo mdau
We nawe mpira hujui arsenal kuna wawekezaji wawili pale
@@musanjopeka837 Hajui hajui hii ndo mizuzu yenyewe inayokibilia kuComment bila kuuliza sio Arsenal tu aangalie Ligi ya Italy Spain Argentina kama Bocajunio au River Plate Aangalie Jezi zao zilivyo zinamatangazo mangapi??
Nafikiri ungetenga muda wa kuangalia taratibu za uwekezaji ndani ya vilabu upoje.
Yanga hakuna biashara ya Hersi katika mikataba yote na masharti yanataka wawekezaji zaidi ya mmoja na siyo mmoja kama ilivyo kwa Simba ambao walipata bahati ya kuwa na miwekezaji mmoja kwa sababu ya wao kuwa wa kwanza kuanza mchakato.
Injinia simba wakisikia jina lako waumia mno piga kazi dogo
Ongela gsm
Chapeni kazi GSM
Ahxant
Simba ni selekali
Kwendraa
Yanga mbele nyuma mwiko
@@dickmalove5544 hahaha waaaape salaaaaam