mohamed makwega Mudi Mpaka apo nimekusoma ila Ivi Uyu aidali kesi nabosi wake mkamashapu wapo AI? Maana kipindi icho nilikua naitwa kauzu sasa jinalangu lakuzaliwa limeludi naitwa Matola
Mudy mwanaharakati,unatuwekea vitu vya kukumbuka mbali sana hasa kwenye hizi ngoma za mchiliku,Naomba unitafutie kile kikundi kilichokua kinaitwa dawa ya nyota nakumbuka kama kilikuwa kinamilikiwa na ccm walikuwa wanapida mchiliku wanatumia na magitaa.
Asa , Amini kama ujaupata Umahuti ujaumbika, , ukiwa una akili timamu, ucmcheke mtu kisa. Ana kitu,. Muziki fundisho Kwa Kila mja wamwenyezi mungu
My cousin Haidari Kesi ndio alikuwa incharge wa Night Star kwao Ilala mtaa wa Morogoro na Songea.
Kaka, naomba namba yako... Yangu ni 0713538427
Uyu aflan yupo wapi jamaniiii waenga washaelewa
Kaka hapa leo umeniweza
Sitasahau siku nipo kwenye gar naenda kumuona baba amelazwa muhimbili kila nikisikia hii machozi yananitoka
Tunaokumbuka enzi zetu,Gongs like tuwe pamoja.
mohamed makwega Mudi Mpaka apo nimekusoma ila Ivi Uyu aidali kesi nabosi wake mkamashapu wapo AI? Maana kipindi icho nilikua naitwa kauzu sasa jinalangu lakuzaliwa limeludi naitwa Matola
Mmenikumbusha mbali sana eziizo ibendi ipo mwananyamala nauyo Mumbai alflani na wakumbukawajomba zangu 😭😭😭
Mudy mwanaharakati,unatuwekea vitu vya kukumbuka mbali sana hasa kwenye hizi ngoma za mchiliku,Naomba unitafutie kile kikundi kilichokua kinaitwa dawa ya nyota nakumbuka kama kilikuwa kinamilikiwa na ccm walikuwa wanapida mchiliku wanatumia na magitaa.
Hatari kaka!
Leo ntakesha nasikiliza hizi ngoma
Hahahahaha pole babu!
Muddyb Mwanaharakati kaka hebu zitupie nyimbo zote za night star
Kaka utuwekee na topaz
Nice
Karibu sana Latifah!
@@TamuzaKale asante sana
Latifah ulikua wapi kipindi hicho??
Nilikuwa mdogo mama angu alikuwa akiipenda sana
Muddy nakupongeza kwa nyimbo za kizazi chetu na hasa hizi za mabingwa mchiriku😃😃😃
Karibu tena, kaka!
@@TamuzaKale kwani umeleta mali mpya?
@@nassorolikoko9191 Bado kaka. Nilizidiwa na kazi kidogfo...