Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Yani hii miziki ninaweza kuisikiliza kutwa mzima bila kuchoka
Da ile ya ajali ya meli mv bukoba siipat nmeimx sana
Hata Mimi naipeenda
Dar atali sana co poa kipindi icho wengi.awajaingia mjini
Sio powa kitambo sana
Yupo wapi mwanangu majojo da maisha sio kitu chochote hii ngoma kila ninapoisikia huwa mwamba wangu nakukumbuka ulikuwa unaipenda sana. Kapumzike kwa mola majojo
Mambo sindiyo hayo nilikuwa nazitafuta hizi ngoma miyaka yote yutb nilikuwa sizipata na familia ipate paset yke
karibu sana hapa umezipata
Protex majo bado upo tanga mbona kimya sana
Bado ngoma ya Machemba ametoweka
usisahau ku-subscribe mzigo unakuja
Dah kitambo sana....
yaaah, umepotea sana
Mjombaangu ndie alie fanya nipende mnanda maisha bwana sasaivi anawajukuu 7. Nakumbuka alininyoa denge tukaenda kwenye mnanda kuludi baba akawaka nikanyolewa para usiku 😂😂😂