Uchungu wa Mwana-Omary Omary (1996)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @ismailabdallah7853
    @ismailabdallah7853 11 місяців тому +1

    Daaaa nakumbuka mbali sana mwamba tupia kwavile umeludi hukochicha😊

  • @rashidhashim6687
    @rashidhashim6687 Рік тому +1

    Superb ❤. Love this one, probably one of the best.

  • @jemadarimimi1642
    @jemadarimimi1642 Рік тому +1

    Dah,kitambo sana ,nakumbuka baba mpanju mipapa, ndo ngoma zake 1994 na kuendelea hv

  • @husseinjuma7653
    @husseinjuma7653 4 роки тому +2

    Data yani maisha bwana yanamabadiliko kweli enzi izi data we acha sikia maujumbe hayo izi sio singeli jamani ni noma sana.

  • @adammillanzi6087
    @adammillanzi6087 4 роки тому +2

    Du..! Yan acha tu. Sijui Kama Kuna m2 mwenye mashairi Kama mzee omary omary. Jamaa kipaji tuache masiala.

  • @rafiakilindo516
    @rafiakilindo516 5 років тому +6

    Muddy mm nataka nyimbo za juma MPOGO zakitambo sani zile kama Shelia ya ndoa kidodose kinyago msela nisaidie kaka yang

  • @YahayaBaharia
    @YahayaBaharia 8 місяців тому +1

    Uwezi kusikia tusi hata moja umoja. Nakumbuka mjombaangu alinunua caseti akawa anaeka hii nyimbo tukawa tunashindana kucheza utasikia Lima Lima mjomba 😂😂😂

  • @allykuyawa4832
    @allykuyawa4832 5 місяців тому

    Enzi hizo Omary alikuwa anafaa miwani isiyo na kioo

  • @aishamkomwa6125
    @aishamkomwa6125 4 роки тому +2

    Nimewakumbuka mapacha wangu mungu.walaze.mahali pema

  • @nassorolikoko9191
    @nassorolikoko9191 5 років тому +4

    Safi sana bro....uchungu wa mwana....!!!

  • @ngwerumbaula818
    @ngwerumbaula818 2 роки тому +1

    Safi sana kwaku tuwekea mnanda

  • @kurwaally4967
    @kurwaally4967 5 років тому +3

    ahsante kwa kutukumbusha kitambo hicho, tutafutie na za urahibu buti kubwa m2 wangu

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  5 років тому

      Hakuna noma kaka!

    • @rajabrwambow9660
      @rajabrwambow9660 7 місяців тому

      Albamu ya mtoto wa udongo fanya mpango tupate nyimbo zake atomic music balaa

  • @sadilwambo9701
    @sadilwambo9701 3 роки тому +2

    Hatari hizi ngoma 🙏

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 2 роки тому +1

    Nakumbuka wakati huo mimi nasoma shule ya msingi kaka yangu ndio alikuwa na rafiki yake mmoja ivii wao ndio ilikuwa mambo yao haya kipindi hicho daa spat kusema mana asaiv kaka yangu mwenyewe alishaiaga dunia miaka kama kumi hivi iliyopita

  • @zegemachips4599
    @zegemachips4599 3 роки тому +1

    💛💚😃😃😃 show ze2 big up.

  • @jumasimba6583
    @jumasimba6583 2 роки тому

    Huyo jamaa katika mnanda akuna hata mmoja aliemfikia omari omari 95/96

  • @zegemachips4599
    @zegemachips4599 3 роки тому

    Mpini umepigwaa htr oyooooo

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 5 місяців тому

    Naomba wimbo wa machemba

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 5 років тому +1

    safi sana muddy, ila kilio changu kaka muddy Topaz na Idaya na Mahakama

  • @georgembwana658
    @georgembwana658 4 роки тому +1

    Nyimbo wamenilogea mwanangu

  • @dullahmmebela3123
    @dullahmmebela3123 3 роки тому +3

    Rip fundi!!!

  • @JumaSimba-lz2bw
    @JumaSimba-lz2bw 6 місяців тому

    Kila ukizisikiliza hizi nyimbo hazichoshi

  • @dauda-adamadam6283
    @dauda-adamadam6283 2 роки тому

    Eu lembro quando era jovem naquele tempo ai na Tanzânia tinha ido na disco teca para dançar Mnanda e muito bom

  • @maundumwingizi8027
    @maundumwingizi8027 4 роки тому +2

    Sauti ya utawala...

  • @salumumandai8086
    @salumumandai8086 3 роки тому +2

    Hii nyimbo in ya mwaka1995

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  3 роки тому +1

      Shukrani mkuu. Ngoja tuweke sawa rekodi. Je, unakumbuka chochote kile kingine kinachotokana na wimbo huu? Pengine tuandikie katika sehemu ya maelezo kama kutunza kumbukumbu!

  • @saidimwanja9159
    @saidimwanja9159 8 місяців тому +1

    Omari Omari alitisha sana enzi zake dah

  • @AllyMohammed-ku9jq
    @AllyMohammed-ku9jq 5 років тому

    Asante naomba wibo nagu mwada WA atomik

  • @Chemba67
    @Chemba67 5 років тому +1

    Mwanaharakati unatisha........

  • @swabialli8542
    @swabialli8542 2 роки тому +1

    Nani anaijua jina la nyimbo yake ya mv bukoba

  • @muddysangaraza7963
    @muddysangaraza7963 3 роки тому

    Kwenye albamu hii kuna nyimbo inaitwa pesa iposti kaka kama inapatikana

  • @fakimwakisu
    @fakimwakisu 2 роки тому +1

    Muddy pandisha Beach Boy kama unayo atomic

  • @ibrahimmhando2119
    @ibrahimmhando2119 10 місяців тому

    hapo inanikumbusha shule ya msingi sokoine nakina madundo;nizar magandi

    • @swabialli8542
      @swabialli8542 4 місяці тому

      Wewe nani umewataja masela wangu. Salva kisandali .juma kibichwa mzuzuri.samko. bayina hashim.

    • @swabialli8542
      @swabialli8542 4 місяці тому

      Kumbe wewe mhando .mimi juma MKEKENA hapa

  • @musaumakusa4698
    @musaumakusa4698 4 роки тому +1

    Kenyan frag

  • @nurorashidi6856
    @nurorashidi6856 5 років тому +1

    Hatariii sana

  • @khadijachembela5946
    @khadijachembela5946 4 роки тому +2

    Nakumbuka hiyo ngoma mikoloshini llkuwa lnatamba nimetokea masela Kama wote