Mwenyezi mungu utupe mwisho mwema na tuwe wenye kupokea kitabu chako kwa mkono wakulia kitabu kitukufu Quran, n utuepushe na adhabu za Dunia na akhera na umueke sheikh wetu Nyundo mahali Pema pepo na walio tangulia na uwafanyie wepesi wa kabri na uwape nuru katika makaburi Yao nasi siku yetu ikifika utufanyi wepesi nautupe husnaallfatma Amin Amin.
Mwenyewenzi mungu akurehemu sheikh akuingize janah
Mwenyezi mungu utupe mwisho mwema na tuwe wenye kupokea kitabu chako kwa mkono wakulia kitabu kitukufu Quran, n utuepushe na adhabu za Dunia na akhera na umueke sheikh wetu Nyundo mahali Pema pepo na walio tangulia na uwafanyie wepesi wa kabri na uwape nuru katika makaburi Yao nasi siku yetu ikifika utufanyi wepesi nautupe husnaallfatma Amin Amin.
Allah akuzawadie pepo hakika umefikisha ❤❤❤
Alla akurehemu shekh nyundo kaburilako liwe mojakatiya mabustani ya jannah
Amin
ALLAH AKUFANYIE WEPESI
Amin
Mashaallah allah akurehemu
Allah akuingize janah shekhe nyundo
Amin
mungu akulekhemu innallah wainnaa illlahi rajun
Mungu akulekhemu innalillah wainnaa lillahi rajiun
Allah akurehemu sheh nyundo na alitiye nuru kabur lako
Rahmatul aleiy
Alla atuj lie mwisho mwema
Mawaidha yako yawe sababu kuingiwa na Imani zetu
Allah azidi kulijaza nuru kaburi lako sheikh nyundo
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭