Mungu kweli unatisha Ibariki kazi ya mtumishi wako azidi kuokoa roho za mamilion za watu na kuliweka taifa letu la Tanzania kuwa na hofu ya Mungu,Ili siku Moja taifa letu likanyakuliwe kwa ushindi siku ya Mwisho Barikiwa sana Baba
Kanisa bila kujal madhehebu ni wakati wa kuingia kazini sasa Bwana anao watu anawatumia katikati ya uharibifu na lengo kuu la kuja Yesu Kristo ni kutuokoa twende mbinguni🙏
Mimi yangu nitakuja nayo mkononi nikirudi Tanga, sitasahau kanisa langu la kiroho, lilinipokea baba yangu magembe songa mbele, leo uso umekua na Nuru, asante kwa Yesu amekufuta machozi,
Samahani nilikuwa naomba nitoe ushauri kwenye Jambo moja linalo husiana na viongozi wanao kaa kwenye viti vya mbele, wanao kuwa nyuma ya mchungaji anapo kuwa anahubiri, naheshimu uongozi wao na kazi yao kubwa, lakini nataka niseme Jambo moja kwamba tunapo kuwa tunasikiliza neno la mungu wote tunakuwa wanafunzi, kwahiyo ningependa kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, wangetengewa viti vyao viwe mbele ya waumuni ili iwe rahisi kumsikiliza mchungaji anavyo kuwa Ana hubiri. Lakini pia itawasaidia wao wenyewe kuwa active pindi ambapo mhubiri anapo kuwa Ana hubiri, lakini Mara nyingi wakikaa nyuma ya mhubiri tafsiri yake ni kwamba wao wamesha fuzu kile wanacho fundishwa,.kufanya hivi Haina maana heshima yao ya kuwa viongozi itapotea hapana, heshima yao itakuwa pale pale. Neema ya kristo iwe nanyi nyote ameen.
mimi nkuombea mtumishi wa Mungu azidi kukuongoza ktk mapenzi yake ili umtumikie ktk kusudi lake umeonyesha unyenyekevu umeacha mali ukaona Mungu ni zaidi nakupongeza sana
Mungu afanye makubwa zaidi na zaidi natamani kupata tv kabisaaa nikiwa nyumban songwe niwe namfuatilia mzee wangu popote aendapo maana Kuna vitu huwa napokea kutoka kwako baba na huwa sibaki ktk hali ileile ,,,,Sasa tupate Goaspal campaign TV muda wote tu
MUNGU akubariki sana Baba Yetu @Magembe kwa kutuwekea channel hii na tuko tayari kufwatilia kuhusu uamsho. Ahsante kwa sababu hujaamua kulala mpaka KUSUDI la MUNGU kutimia
Waoo,hii ndiyo Maana ya Revival......, ninaona Uamsho Mkuu Unakuja Tanzania Vinywa Vya Makuhani wa Kweli Kutamka #KWELIYAMUNGU. Revival Over Revival in Jesus Mighty Name!!
Me nimekuwa TAG TANGU 2009 Nimekuwa mchungaji TAG tangu 2023 ila kwa uhalisia me ninamfuata mzee wangu Magembe live bila kumung'unya maneno me ni litoto la simba from Mbeya songwe kwa sasa nipo Kagera ndiko natumika.
Mwanadamu anapita, wapo waliojiita watoto wa Kulola na alipita. Ni bora umfuate Yesu anayedumu milele na milele. Makanisa haya ni kama mabasi ktk safari
@@bahatimshali2731 huwezi kumjua Yesu kama hujahubiriwa na aliye tangulia kumjua. Na ni vizuri kumheshimu aliyekutangulia kikubwa awe anakuongoza katika mema. Warumi 10:14 Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?
Pastor magembe hili unaweza kuona ni dogo lakini liwe fundisho kwa viongozi wetu wa juu wanaodhani kuacga taasisi fulani basi hutaendelea wala kusimama tena. Nakuombea Mungu akufanikishe katika maono haya yalete matunda katika ufalme wa Mungu watu waokolewe na siku moja tuingie mbinguni. Na viongozi mjifunze msitumie matishio kwa wachungaji walioitwa na Mungu kuwafukuza na kuwahamisha kwingine pasipo yeye kuridhia bali mtembee kweli ya Mungu na mwaheshimu watumishi wa Mungu, msitumie mamlaka ya uongozi kuwakandamiza wach. na kuwapa hofu
Mtu wa Mungu aliyeokoka au hajaokoka usitende dhambi yoyote ni mbaya inatesa saaana! Sana nimeona mateso ya dhambi sana. Iwe familia msitende dhambi ni mbayaaa sana.
Mungu akupe maisha marefu Mzee, I receive your blessings Dad 🙌🙌🙌🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Nabarikiwaa sana adi machoz yaninitokaa .Mungu akutunzee sana babaangu
Amen baba MUNGU wa MBINGU NA NCHI aendelee kukuinua mtumishi wake Moses Magembe
Mungu akutunze sana na maono yako yatimie pia. Bwana Yesu KRISTO awe kiongozi
Amen Mungu akusaidie Mch Magembe,leta watu Kwa Yesu
Injili ya kweli iliyoubiriwa na mch Moses kolola.
Mungu kweli unatisha Ibariki kazi ya mtumishi wako azidi kuokoa roho za mamilion za watu na kuliweka taifa letu la Tanzania kuwa na hofu ya Mungu,Ili siku Moja taifa letu likanyakuliwe kwa ushindi siku ya Mwisho Barikiwa sana Baba
Baba Mchungaji Mungu wa Mbinguni akubariki sana katika Jina La Yesu Kristo AMINA .
❤
Baba mungu akubaliki sana .mm nakufatiliya sana ktk maombi.leo hii nashuudia matendo makuu mungu aliye nitendea kwa sasa nimepata mtoto.
Barikiwa sana, tunabarikiwa na mafundisho yako
Nakupenda mchunguji wangu mm naish Kenya naomba uweke no zako kwa mtandao ili tupate kuchangia ujenz wa kanisa
Kanisa bila kujal madhehebu ni wakati wa kuingia kazini sasa Bwana anao watu anawatumia katikati ya uharibifu na lengo kuu la kuja Yesu Kristo ni kutuokoa twende mbinguni🙏
MUNGU akubariki SANA baba nafuatilia ibada niko Mwanza
Mzee Mose mungu wambinguni akubariki na Yale unayo yapia ndiombolea Ya muchristo mwenyewe nakupenda sana natamani Ufike kwetu Uganda ninge kua nawuezo ungekua Umeshafika nakupenda namungu aendelee kukuvika nguvu kwanyakati zamwisho huuu mimi Congomani lakabila Lawa Nyamulenge
mshukuru Mungu baba kwa kukutoa huko Mungu anakupenda furahia sana ungeendelea huko ungeenda motoni Mungu ana jambo na wewe
Ninawapongeza pia watu wa media kwa kazi nzuri mnayoifanya Mungu awabariki. Ninyi ni watu wa muhimu sana hongera
Mimi yangu nitakuja nayo mkononi nikirudi Tanga, sitasahau kanisa langu la kiroho, lilinipokea baba yangu magembe songa mbele, leo uso umekua na Nuru, asante kwa Yesu amekufuta machozi,
Baba tunakupata toka china ubarikiwe sana kazi yako ni njema
Lazima kile ambacho Mungu ameweia ndani yako kitatimia na uamsho utaifikia Dunia nzima tuko pamoja nakuombea baba yangu
Naomba Mungu akupe maono ya kufungua Radio ya PCC amen
Bonge la maono
Amina baba.moyo wangu na akili zangu nipo kwako.unanitia moyo kwa kazi maalum ya Mungu iliyo mbele yangu.
Huyu anaenda kuwa powerful kuliko hata gwajima
Samahani nilikuwa naomba nitoe ushauri kwenye Jambo moja linalo husiana na viongozi wanao kaa kwenye viti vya mbele, wanao kuwa nyuma ya mchungaji anapo kuwa anahubiri, naheshimu uongozi wao na kazi yao kubwa, lakini nataka niseme Jambo moja kwamba tunapo kuwa tunasikiliza neno la mungu wote tunakuwa wanafunzi, kwahiyo ningependa kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, wangetengewa viti vyao viwe mbele ya waumuni ili iwe rahisi kumsikiliza mchungaji anavyo kuwa Ana hubiri. Lakini pia itawasaidia wao wenyewe kuwa active pindi ambapo mhubiri anapo kuwa Ana hubiri, lakini Mara nyingi wakikaa nyuma ya mhubiri tafsiri yake ni kwamba wao wamesha fuzu kile wanacho fundishwa,.kufanya hivi Haina maana heshima yao ya kuwa viongozi itapotea hapana, heshima yao itakuwa pale pale. Neema ya kristo iwe nanyi nyote ameen.
Tunakusubiri na HUKU KAHAMA , barikiwa Sana na YESU KRISTO, Amen
Amen baba ubarikiwe na BWANA YESU
mimi nkuombea mtumishi wa Mungu azidi kukuongoza ktk mapenzi yake ili umtumikie ktk kusudi lake umeonyesha unyenyekevu umeacha mali ukaona Mungu ni zaidi nakupongeza sana
Huyo mzee mie huwa namuelewa sanaa
Amenii
Ameni kwa kazi yako.. njemaa Sana kwakweli Asante Sana kwakweli Mzee wangu
Mungu akubalike sana mtumishi wake kazi tu izonge mbele🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mungu afanye makubwa zaidi na zaidi natamani kupata tv kabisaaa nikiwa nyumban songwe niwe namfuatilia mzee wangu popote aendapo maana Kuna vitu huwa napokea kutoka kwako baba na huwa sibaki ktk hali ileile ,,,,Sasa tupate Goaspal campaign TV muda wote tu
Mungu azidi kukuinua bab yetu kipenzi
Baba songa mbele nakuombea nakupenda.Yesu aendelee kukufunika
Mungu akutie nguvu baba, na kuwa na moyo mkuu, la msingi usiende kinyume cha Mungu, mengine Ni kawaida kwa dunia hii, kusemwa, kwa lolote lile.
Balikiwa mtumish w Mungu mchungaji wetu injili yako haichosh ninzur mno
Mungu akutunze mzee wangu jipe moyo mkuu utashinda
Yesu anarudi, muda umekwisha. Hali zetu kiroho haziko vizuri tunahitaji uamsho wa kweli tujiandae kunyakuliwa.
I love you Mzee wangu Magembe
Ameen senior Pastor ❤
take the buildings leave me with the Holy Spirit! says Rev Maghembe
Una ukwel sana mzee Mungu akutie nguvu una mafundisho ya ujumbe wa malaika wa tatu mcheni Mungu na kumtukuza
Nomba uniombeye Mimi iri mungu andelee kunivika nguvu zakumujua Mungu ,na usaidie kwamaombi kabila Letu linateswa sana Eastern DRC Congo MINEMBWE
Mungu akupe kuzidi kustawi zaidi na zaidi
Mungu aendelee kukupigania🙏
Baba Mungu wa Mbingu na Nchi azidi kukutunza.
Yesu akutunze Mzee Magembe wewe ni kulola wa mwisho HP tz na kwingine
HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE,MWOKOZI YESU NI MBABE SANA
MUNGU akubariki sana Baba Yetu @Magembe kwa kutuwekea channel hii na tuko tayari kufwatilia kuhusu uamsho. Ahsante kwa sababu hujaamua kulala mpaka KUSUDI la MUNGU kutimia
Mzee Magembe ni Mtumishi wa bwana Kabisa, wiki 2 watu Tele kabisa.
Sifa na utukufu zimrudie mungu wetu
Atakayempenda Mungu na kuzishika amri zake naye ataheshimishwa
Waoo,hii ndiyo Maana ya Revival......, ninaona Uamsho Mkuu Unakuja Tanzania Vinywa Vya Makuhani wa Kweli Kutamka #KWELIYAMUNGU.
Revival Over Revival in Jesus Mighty Name!!
Ameeen baba Mchungaji Mungu akubariki 🙏
Watu miasaba Mungu amekupa kibari.pamejaa na wengine wapo nje
Hili somo la Leo ziri sana mchungaji.Mungu akupe nguvu .
Mungu akubaliki sana kwa injili yako.
Mungu akubariki sana duuu watu number ni wengi hivi
Ama kweli ijue kweli nayo kweli itakuweka huru,hongera sana baba,
Mungu ukulinde na mabaya yote.
Amina Injili iende mbele
Me nimekuwa TAG TANGU 2009 Nimekuwa mchungaji TAG tangu 2023 ila kwa uhalisia me ninamfuata mzee wangu Magembe live bila kumung'unya maneno me ni litoto la simba from Mbeya songwe kwa sasa nipo Kagera ndiko natumika.
ubarikiwe baba mimi ni litoto la simba
Mwanadamu anapita, wapo waliojiita watoto wa Kulola na alipita. Ni bora umfuate Yesu anayedumu milele na milele. Makanisa haya ni kama mabasi ktk safari
@@bahatimshali2731 huwezi kumjua Yesu kama hujahubiriwa na aliye tangulia kumjua. Na ni vizuri kumheshimu aliyekutangulia kikubwa awe anakuongoza katika mema.
Warumi 10:14 Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?
Hutoshi kuwa mchungaji, magembe akifa utamfuata nani, anayo mbingu ya kukupeleka? Mfuate Yesu aliye njia, kweli na uzima
Acha ujinga
Mungu akubariki baba
Mungu akubaliki sana baba
Mzee ako sawasawa sana binafsi nimemuelewa
MUNGU MWENYE NGUVU AWABARIKI SANA
Amen mzee wetu
Glory be to God. We Glory
❤❤ Mungu akutie nguvu
Mungu akutie nguvu
Magembe ukitabasamu au ukicheka Da!Yani unakuwa bonge la Baba
Hongera baba askofu!
Yesu ni Bwana
Baba akubariki zaidi Tunakusubiri sana Tukuyu
Ahsante sana Baba kwa huduma
Barikiwa baba yetu
Mungu nimwema akukumbuke mwenya haki hakima inakubeba Mzee namba ya kuchangia
Tuko pamoja Baba tunakupenda sana tutachangia
Hakika vita unavipiga mtumishi songa mbele Umeajiliwa na Mungu siyo watu
Katika makanisa watu wenye maono makubwa huwa wanazuiwa na udini😢😢 hata tusifikie na ukuaji mkuu..
Pastor magembe hili unaweza kuona ni dogo lakini liwe fundisho kwa viongozi wetu wa juu wanaodhani kuacga taasisi fulani basi hutaendelea wala kusimama tena. Nakuombea Mungu akufanikishe katika maono haya yalete matunda katika ufalme wa Mungu watu waokolewe na siku moja tuingie mbinguni. Na viongozi mjifunze msitumie matishio kwa wachungaji walioitwa na Mungu kuwafukuza na kuwahamisha kwingine pasipo yeye kuridhia bali mtembee kweli ya Mungu na mwaheshimu watumishi wa Mungu, msitumie mamlaka ya uongozi kuwakandamiza wach. na kuwapa hofu
Mtoto wa Yesu mteule huyu
Mtu wa Mungu aliyeokoka au hajaokoka usitende dhambi yoyote ni mbaya inatesa saaana! Sana nimeona mateso ya dhambi sana. Iwe familia msitende dhambi ni mbayaaa sana.
Mtumishi ulitenda shamba gani
Ulitenda dhambi gani
Mungu amempa huyu Mzee watu
Panda makanisa baba, tuko pamoja sana mzee wangu mch Magembe. Mungu akubariki sana baba
Baba tunaomba namba ya MPESA kwenye Screen mimi nipo Uingereza nina mchango wangu wa ujenzi. Tunakupenda na mungu akubariki kwa kazi njema
UAMSHO NI LAZIMA UTOKEE.
Nakuelewa baba ❤❤❤
Amen❤ panda baba
Magembe Oyeeeeeee!
naiona kasi Mungu juu ya kanisa lake
TUNAOMBA baba utaje namba marakwa mara Ili WASIO WEZA KUSOMA wasikie tu
Amen amen amen Mungu akubariki sana Mtumishi wa Bwana
HALELUYA 🎉🎉
TAG tutamkumbuka huyu mzee
😅😅😅😅😅 eti mungu wako kiroboto daah🎉🎉🎉
Mungu wa mbinguni akuinue baba
Amina baba
Amen amen
Mimi sina no zako pasta
Amina
Barikiwa baba tupo pamoja tunakuombea
Mimi ni toto la simba
MUNGU awabariki