Nimejifunza ya kwamba ulimi ni kibaka mkubwa saana alieshindikana hiyo ni kweli kabisa na nikajifunza ya uwepo ni unatumika kwa muumba jala jalali na kwa binaadam unatumia neno kuwepo kwako asante kwa kujifunza haya hakika kiswahili ni lugha tamu sana
Kiswahili tunajua lakini huyo anatumia misamiati ile uliyo dadavuliwa ila wengine tunatumia kile kilicho Dada vuliwa kiufupi yeye yupo sawa na sisi tupo sawa pia🙏🙏🙏 brother yupo vizuri great 👍
Mie ni kijulanga mpenzi na shabiki wa lugha akrama ya kiswahili, huyu bwana namsharifu popote pale alipo. Maneno yake matamu yanirovya rovurovu na kunitebweresha tebwere huku nikijiona nyumbani na kuzidi kutabaruku naye kila uchao. Mwenyenzi Jalia ambaye twasujudia kila kunapokucha amjalie saada na sudi katika hii sayari ya tatu 🙏
Sounds Like Nyerere Somehow 🙄One Love Brother #SnS Mpeni Time Huyo Jamaa Hata Mara 1 Kwa Wiki, Hope tutajifunza Mengi #Elimu Haina Mwisho#Swahili To The World 🗺
Joram Mimi ni chifu nipo huku morogoro nimekuelewa sana pia nimependa falsafa zako ni Nzuri sana hakika wewe ni mswahili aswaa hongera sana Mimi ninakuita Dactari Joram mswhili
For all of u outsiders who dont understand this guy I wanna say ama swahili speaker and I dont understand a word he is sayin koz his swahilli is of literature
Kijana anajua hakika tulidhan bingwa wa misemo ni Mrisho Mpoto kwa kizazi kipya kumbe wapo vijana barubaru kama huyu wana sifa lukuki za kumwaga ngeli na ngali rahaja na misamiati lukuki hakika twaelekea kuzuri
@@ramyali6347 jamaa anajua ira kaka umeongea point unakuta mfano neno moja la kingereza lina maana zaidi ya mbili ukijua maana moja ukashindwa maana nyingine ndo hujui kingereza.
@@franciskyombo9394 hakumfanyi hajui kiingereza. Maana hata kwenye kiingereza kuna maneno hayatumiwi na watu wakawaida ila waandishi wa vitabu tu kwaajili ya kupamba kazi zao. Na waingereza wenyewe siyo kwamba wanayajua maneno yote. Siyo kweli. Na hayo aliyotumia huyo jamaa mengi hutumika kwenye mashairi na mingine yanamepatiwa maana zake nyingine mfano Shelabela watu wanatumia-- "Ovyo/mambo ya ovyo ama yasiyoleta maana . Ila moja tu hili mtimbwiriko linatumika sana tu visiwani kwenye harusi na rudia kwenye nyimbo ya zuchu Litawachoma ametumia "timbwiritimbwiri mpaka mapamazuko " siyo kama hayajulikani ila hayatumiwi tu.
Vijulanga wengi wanakasumba za kikoloni....wamejawa na ufukufuku na mangungumbaro ambayo huleta songombiingo katika mijadala. Ahsante kwa matumizi mazuri ya gayagaya za waswahili na ukumbusho wa msemo wa "Zani halina hazina ni ukuba wa mbeleni".
Baada ya kumsikiliza Joram na kiswahili chake! Je tuendelee na mpango wa Kiswahili kutumika kama lugha ya interview alafu mwendesha interview awe Joram?!😂😂😂
Ukisema Hadi zanzibara..unamaanish Zanzibar ni ya mwisho kw kiswahil kuliko Tanga na Mombasa ...kuwa na adabu na zanzibar ww ipe heshima yake kweny kiswahil Tanzania na Dunia mzima
Huyu jamaa fundi sana wa kiswahili jamaa hakosei hata neno moja la kiswahili tofauti na ndugu zangu wengine hukosea kwenye matamshi na hata kwenye matamshi tumezoea kuona kiswahili chetu kikiharibiwa na hata wanaojifanya waandishi wa habari Joram Nkumbi ni fundi huchoki kumsikiliza 👍🏼
Joram alitamka neno sheherekea ambalo halipo kwenye kiswahili, Neno lililowepo ni sherehekea ambalo linatokana na mzizi wa neno "sherehe" Kama vile lilivo neno furahia linavotokana na neno "furaha"
Nilikuwa nafikiri najua kiswahili lakini baada ya kumsikiliza Joramu Nkumbi nikagundua kuwa kiswahili changu ni hovyo kabisa. Siku hizi namfuatilia sana ili kuongeza misamiati, misemo na Nahau za kiswahili
Kama umesoma lugha au fasihi kila lugha huwaga inakopa maneno toka lugha nyingine mfano kiingereza chenyewe kimekopa maneno Mengi tu toka kwenye kijerumani, kifaransa na kigiriki, pia hata kiarabu nacho kimekopa maneno toka lugha nyingine mfano lugha ya kiebrania, kiajemi na lugha nyingine za mashariki mwa kati. Kwahyo ni kawaida lugha yoyote kuwa na maneno ya lugha nyingine kutokana na mafungamano mbali mbali kama biashara na kijamii kwa jumla, Mfano uhusiano wa miaka na miaka baina ya oman, Iran na pwani ya afrika mashariki umeathiri Kiswahili kuwa na asilimia 32 ya maneno ya kiarabu na kiajemi kidogo kwa kuwa hawakuwa wengi sana.
Joram anajua sana alishatufundisha kuhusu historia ya hayati mwl Julius nyerere tokea amezaliwa mpk umauti ulivyomkuta tukiwa secondary
Nimejifunza ya kwamba ulimi ni kibaka mkubwa saana alieshindikana hiyo ni kweli kabisa na nikajifunza ya uwepo ni unatumika kwa muumba jala jalali na kwa binaadam unatumia neno kuwepo kwako asante kwa kujifunza haya hakika kiswahili ni lugha tamu sana
Hongera ndugu, unaongea kiswahili kizuri maneno mazuri yana bashasha sana.
Kwa mbaali unafanana na mwigulu .
Wote ni Wanasingida
Kwani huyu Jamaa ni mtoto au ndugu wa Mwigulu Nchemba? Mbona nafanana kwa sura na sauti? Pia Msingidani?
My Kenyan🇰🇪 swahili is broken and not fluent lol.
Much love to Tanzanian swahili ❤❤
acha hizo bana
Kaelezea ukweli😅😅😅
Umeenda zako kuomba KAZI dakika ya mwisho mara paaaa! Unafanyiwa interview na huyu msela.. natoroka mie🏃
Hahaaaaaahahahaaaaaaaa
🤣😁🤣🤣
Umenifanya nife naona
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Am proud of you brother Joram. Much love.
Hapo kwenye matumizi mazuri ya ulimi umenikosha sana mtaalamu 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😄
Hongera Sana Comrade Jorum Nkumbi wewe ni hazina ya nchi .
Kiswahili tunajua lakini huyo anatumia misamiati ile uliyo dadavuliwa ila wengine tunatumia kile kilicho Dada vuliwa kiufupi yeye yupo sawa na sisi tupo sawa pia🙏🙏🙏 brother yupo vizuri great 👍
My classmate my neighbourhood..Friend indeed.Singida
Huyu mdigo maneno yake yanamaana sana Asante sana ndugu
Mie ni kijulanga mpenzi na shabiki wa lugha akrama ya kiswahili, huyu bwana namsharifu popote pale alipo. Maneno yake matamu yanirovya rovurovu na kunitebweresha tebwere huku nikijiona nyumbani na kuzidi kutabaruku naye kila uchao. Mwenyenzi Jalia ambaye twasujudia kila kunapokucha amjalie saada na sudi katika hii sayari ya tatu 🙏
Ndugu hii amjalie Saada na Sudi watoto? Au Kuna maana nyingine ?hebu nijuze maana kiswahili nimejua kina mengi.
Hahaha! Kijulanga mwenzangu umenena ulumbi Mororo sana! Naam tukuze kiswahili chetu tuache kuongea kiswahili shelabela. Nayeyuka
@@bintik2311 sudi ni bahati njema, heri, najaribu
❤
😂😂😂😂kumbe wengine wapo humu wamejificha
Sounds Like Nyerere Somehow 🙄One Love Brother #SnS Mpeni Time Huyo Jamaa Hata Mara 1 Kwa Wiki, Hope tutajifunza Mengi #Elimu Haina Mwisho#Swahili To The World 🗺
Joram good language clear swahili 🤗🤗🤗
Mimi nimependa kicheko tuuu 🙌🙌🙌
Waaaaah... kama kweli sijui kiswahili huyu jamaa kanifunza
wapwani twazijua semo hizoo ,bara kidogo muksheri
@@mathewdyzymaleyafrica9128kweli brother
Mungu akubariki sana kaka
Joram anaongea kwa Utononoti uliotukuka kwelikweli.🎉❤
#kingmusic ebu yaweke kwenye nyimbo ili yakae milele, maana nikiwaomba hili #wcb, kesho mwanangu atasoma matusi ao yasio kheri. 🇺🇸
My classmate at Mwenge Catholic University 👏🏽👏🏽👏🏽😍😍
Mwaka gani
Joram Mimi ni chifu nipo huku morogoro nimekuelewa sana pia nimependa falsafa zako ni Nzuri sana hakika wewe ni mswahili aswaa hongera sana Mimi ninakuita Dactari Joram mswhili
Huku Joram, kule Oni sigala
Wasikilizaji itabidi kila mmoja wao awe na kamusi 😂
Huyu barubaru anatusaidia waja chochole kutondoa utondozi wa kuzungumza shelabela
Like him... he's really fund wa kiswahili
Huyu ni Mbuji huyu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣si amenichekesha hataree jamanii 🙆
Huyu jamaa ukikaa nae huwezi nuna, anaoneka nimcheshi sana
Usongombwingo na ufukufuku, nitamletea mandungumbwaro aseee. Ntamueka chini kirago cha ukuba wa mbeleni.
Kijana wa singida katishaa Sanaa munyampaa huyu
Tumesali wote jumapili hii TAG AREA D DODOMA. IBADA YA KWANZA
Asante kaka
😄😄hakika nimejua sijui🙌🏻
African Language its so beautifully
Talented Joram go great bro
Safi sana ..saafi.
Hongera sana kaka nimekubali asee
For all of u outsiders who dont understand this guy I wanna say ama swahili speaker and I dont understand a word he is sayin koz his swahilli is of literature
Mtimbwiriko 🎉🎉🎊👌🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa anafanana na wazulu
Acha uwongo bna
Kijana anajua hakika tulidhan bingwa wa misemo ni Mrisho Mpoto kwa kizazi kipya kumbe wapo vijana barubaru kama huyu wana sifa lukuki za kumwaga ngeli na ngali rahaja na misamiati lukuki hakika twaelekea kuzuri
Mrisho hapa hafui dafu
@@abidandastanmaliyatabu1373😅😅😅😅kwakweli
Hakika humejawa ,, endendea kubalizi kiswahili kweli hadimu na hadhimu
Nami nitiririke maneno mithili ya maji mtoni, kweli, nimebarikiwa na hazina ya maanani itokayo kinywani mwa ndugu yetu JORAM...
Kongole
Duuh hatari lugha yangu ya taifa mie mkongo
Kama hivyo Mir masai
Kuna muda naonaga tusibishane kiswahili anakijua zaid nani
Kiswahili ni kigumu 🤣🤣
Sana tena Sana. Ndo maana ht sekondali unaambiwa sm gumu ni kiswahili, maana kumegawanyika mno.
Kutojua misamiati aliyotumia hakumfanyi mtu hajui kisw. Lugha ni ufasaha siyo ukubwa wa misamiati.
@@ramyali6347 jamaa anajua ira kaka umeongea point unakuta mfano neno moja la kingereza lina maana zaidi ya mbili ukijua maana moja ukashindwa maana nyingine ndo hujui kingereza.
@@franciskyombo9394 hakumfanyi hajui kiingereza. Maana hata kwenye kiingereza kuna maneno hayatumiwi na watu wakawaida ila waandishi wa vitabu tu kwaajili ya kupamba kazi zao. Na waingereza wenyewe siyo kwamba wanayajua maneno yote. Siyo kweli. Na hayo aliyotumia huyo jamaa mengi hutumika kwenye mashairi na mingine yanamepatiwa maana zake nyingine mfano Shelabela watu wanatumia-- "Ovyo/mambo ya ovyo ama yasiyoleta maana . Ila moja tu hili mtimbwiriko linatumika sana tu visiwani kwenye harusi na rudia kwenye nyimbo ya zuchu Litawachoma ametumia "timbwiritimbwiri mpaka mapamazuko " siyo kama hayajulikani ila hayatumiwi tu.
Hakika hiki nichuma afu kinaonekana kina soma sana vitabu
Vijulanga wengi wanakasumba za kikoloni....wamejawa na ufukufuku na mangungumbaro ambayo huleta songombiingo katika mijadala.
Ahsante kwa matumizi mazuri ya gayagaya za waswahili na ukumbusho wa msemo wa "Zani halina hazina ni ukuba wa mbeleni".
Baada ya kumsikiliza Joram na kiswahili chake! Je tuendelee na mpango wa Kiswahili kutumika kama lugha ya interview alafu mwendesha interview awe Joram?!😂😂😂
Kwanza ongea neno interview kwa Kiswahili 😂
@@UMMAHWASATIYYAH mtimbwiriko🤣🤣🤣
@@UMMAHWASATIYYAH 😀🤣🤣
Uswahili ndio interview
Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Haahah jamaa ana sauti nzuri sana
Umenena ingawa si mneni wa waneni ila umenena, nayeyuka nikiweweseka kiwendawazimu😂😂😂😂
Kiswahili chapwani khaswa hichi ndo mambo zetuu sie watuu watanga, mombasa, hadi zanzibar
Ukisema Hadi zanzibara..unamaanish Zanzibar ni ya mwisho kw kiswahil kuliko Tanga na Mombasa ...kuwa na adabu na zanzibar ww ipe heshima yake kweny kiswahil Tanzania na Dunia mzima
Mambo zetu?! Kiswahili kwisha kufeli mpk hp 😂
Safi sana..
Hiyo ni Shang ya tz kwetu Kenya 🇰🇪 sisi husema nakulombotove
Anaakili sana huyu jamaa! naweza mpataje
Nunua kamusi ya Kiswahili usome
Utampata msununu
"Fikra mkururo"😂
🤣🤣🤣🤣🤣eti mtimbwiriko
Kweli huyu ndugu amejaliwa kuongea vema lakin nimebarikiwa sana sana na kicheko chake
Amini kuwa umebarikiwa sana kwa hekima na busara za maneno you are good my bro
Kongole ndugu 👏🏿
Anaongea kama watu wa Mombasa Wallahi...
Kama nyerere fulani ivi, anakuja halafu anakataa
Unachangamsha sana kwa ulumbi wako!
Special craft
Uko sawa tatizo ni haya mangungumbalo
Daah huu ugumu wa maisha mwaka huu tutaona mengi kila mtu anajaribu kutoka , bibi tozo njoo huku uone watoto zako wanajaribu kutoka
😀😀😀
Huyu jamaa fundi sana wa kiswahili jamaa hakosei hata neno moja la kiswahili tofauti na ndugu zangu wengine hukosea kwenye matamshi na hata kwenye matamshi tumezoea kuona kiswahili chetu kikiharibiwa na hata wanaojifanya waandishi wa habari
Joram Nkumbi ni fundi huchoki kumsikiliza 👍🏼
Joram alitamka neno sheherekea ambalo halipo kwenye kiswahili,
Neno lililowepo ni sherehekea ambalo linatokana na mzizi wa neno "sherehe"
Kama vile lilivo neno furahia linavotokana na neno "furaha"
Hongeraa mnyampa Nkumbi
Nilikuwa nafikiri najua kiswahili lakini baada ya kumsikiliza Joramu Nkumbi nikagundua kuwa kiswahili changu ni hovyo kabisa. Siku hizi namfuatilia sana ili kuongeza misamiati, misemo na Nahau za kiswahili
Hapa me kiswahili sijui
Nemenena mimi nimenena ingawa mimi simuneni wawaneni
Daah😀 huyu mwamba ni tajiri wa misamiati🤣
SGD to the world
Hamna kitu apo mwambieni huyo jamaa aje zanzibar
😂😂😂we waweza ,mtu akifanya jambo zuri akaonekana mpongeze choyo yatokea wap
Wa Tanganyika neno kudra, Sikudhamiria, hidaya, siha njema wao pia wanaona maneno mapya😂
Mashallah, kiswahili FASAHA
Much love swahili lg
Aaaah hyu mwamba anakijua kiswahili haswa sijawahi kuona kiswahili kitamu km hiki
😂😂 duuuuu kiswahili kigumuuu jaman tutafsirieee hapo mangungumbaloooo
Bila hata kuchanganya ndimi
Jmn jmn joram alikujag shule an lzm kwanz ucheke uyu jmaa Ni balaa😂😂😂🙌🙌🙌
Huyu jama ana nyozo nyoza 😂😂
Umetufuza lkn kikubwa nime cheka sana 🤣🤣🤣🤣
Nawezaje kupata ktabu cha ulumbi na walumbi nipo mwanza
Updated version ya mpoto hii apa 🙌🏿🤨
Super Update kabisa
Unaweza ukafikiri anaongea lugha ya nchi frani kumbe ni lugha ya taifa la Tanzania
Kiswahili cha kawaida sana kikubwa jamaa anatohoa kwenye kiarabu arafu anachanganya na tungo za mashahili
Kama uandishi wako ndiyo huu basi hicho alichozungumza siyo kisw cha kawaida kwako, na maneno ya kiarabu yapo zamani hayo hakuna alilotohoa hata moja.
Kama umesoma lugha au fasihi kila lugha huwaga inakopa maneno toka lugha nyingine mfano kiingereza chenyewe kimekopa maneno Mengi tu toka kwenye kijerumani, kifaransa na kigiriki, pia hata kiarabu nacho kimekopa maneno toka lugha nyingine mfano lugha ya kiebrania, kiajemi na lugha nyingine za mashariki mwa kati. Kwahyo ni kawaida lugha yoyote kuwa na maneno ya lugha nyingine kutokana na mafungamano mbali mbali kama biashara na kijamii kwa jumla, Mfano uhusiano wa miaka na miaka baina ya oman, Iran na pwani ya afrika mashariki umeathiri Kiswahili kuwa na asilimia 32 ya maneno ya kiarabu na kiajemi kidogo kwa kuwa hawakuwa wengi sana.
Wivu
😂😂😂 furaha furifuri
Huyu jamaa ni balaa
Poet speakin
Jamaa mwamba kabisa......
Hehehe nayeyuka nikiweweseka kiwendawazimu hehehe
Dah!! fundi huyu
Uyo m2 anasauti tamu sana yakutangza 🥰🥰
Aache sifa, atakua anajielewa mwenyewe. ..akikupigia sim hupokei, unajua tu nini kinafwata..
🤣🤣🤣🤣🤣 we muache tu awaweweseke kiwendawazimu
..raha kumskiliza
Yuko vizuri 😂😂
Kweli anajua
Mbona kama anaongea kiswahili cha Zanzibar
This guy is Mathematician by professional but accidentally amejikuta ni mswahili fasaha 👌🏾
Ok... by proffesion.
Bingwa wa lugha
Atajiuwa huyu jamaaa kiswahili safi chatia raha harafu kuna kicheko ndani yake!! samahani wana nzengo nawezaje mpata huyu jamaaa
He is my classmate
Huyu jamaa nifundi wallah nataman angali kuwa mimi ndo yeye yan