Lifungwe tuu maana ndani yake linafadhili ushoga na usagaji kuendelezwa xo trump hataki ndio maana hotuba yake ya kwanza alisisitiza marekani jinsia ni mbili TU mwanaume na mwanamke...tumuombee Mungu jamaa anamawazo sahihi kabisaaaa
@@paschalcharles3617Hapo ndio umesema nini sasa? Kina Democrats na Hillary Clinton wana matatizo gani hebu fafanua. Haitoshi kutoa matamko yasiyo na maana
Wenzetu wabunge ndio wanaandamana kweli kunatofauti ya nch zilizoendelea na zinazoendelea.... Huku kwetu Africa utasikia wanaanchi muwe mstari wa mbele😊😊😊😊😊😊😊
Wataanzaje nawakati wao wanakula kiulaini na serikali inawapumbaza Ili wawaonee wanyonge .. Tanzania hapo mpaka wabunge wa upinzani nao ni ccm tu kimchongo hakuna siasa hapo nyumban ni upumbavu tu tizama mafano Kwa hao wasanii wenu ... Kila mtu eti ccm mbwa Koko hao
Tafsiri ya kuandamana Ni kudai au kushukiza Jambo zuri litokee au Jambo baya liondolewe kwa ujumla anaeandamana Ni yule mwenye maslahi na suala husika. Ndiyo maana wait wanaandamana na Wala sio wananchi. Walipoandamana wananchi kupinga matumizi mabaya ya ufaziri wa kivita na kuunga mkono genocide hao majaa walikalia viti kwa shampen
Wavunje kwa kweli😮😮😮..... Sijawah hona hata ajira zao walizotangaza hapa Bongo na shirika lipo.... wanakula wachache tuuuu.....😢😢 Sema Non government Org(NGO) zitakuwa na hali mbaya sana
Huwezi kuziona😁 mpaka michongo ila ni shirika linalotoka mishahara minono Sana ndo maana ajira zake huwez ona waziwazi Kwanza we ni nani mpaka uzione kirahisi, Hilo sio shirika la kichina wazungu Huwa Wanatoa Pesa za Maana
Kwani Africa hakuna mashoga ???? Hili ni janga la dunia wewe ukiletewa mavi ule na unajua ni mavi kwa nini ulee??? Kujitegemea muhimu sana ili kuondokana na kuwa tegemeziii Pambaneni naa TZ yenu acheni mambo ya nchi zingine
Wamarekani wanajwambia capitalism enemy of democracy (upebali ni hadui wa demokrasia). Zingatieni haya maneno. Kumbuka china hakuna ubepali Russia hakuna ubebali
Na yeye hasidi mkubwa wa kuendelea kuwapiga na kuuwa wenzetu nae mshenzi mmoja hasidi mkubwanafiki anaejidai kuzuwiya vita Ghaza na huku anauwa na majahil wakubwa wa kizayuni wanafiki wakubwa wote
TRUMP Alivyo M bishi Ata Uwoo Mswada Wakiupeleka Bunge la Senator Bado TRUMP Ana Senator wengi kuliko Wale wa upande wa Pili Akiona Anapigiwa kelele Ata zuia Pesa Kwenda kwa Shirka ilo hayaa changeni Nyinyi Mnao Tetea TRUMP Mweu 😂😂😂
Ukiwasikiliza Wabongo wanavyoshabikia hili jambo ndipo utagundua upeo wetu wa kufikiria! Kwanza, mosi wakati wengi mkidhani Waafrika including Tanzania ndio wanufaika wakuu wa USAID ukweli ni kwamba Mnufaika MKUBWA wa USAID ni Afghanistan! Kuna mwenye akili timamu asiyefahamu jinsi ambavyo US imeivuruga Afghanistan tangu miaka ya 70; kuanzia Zama za Vita Baridi hadi miaka ya karibuni?! Afghanistan imebomolewa kila mahali!! Sasa ni nani asigharamie UHARIBIFU uliofanywa na Marekani kama sio Wamarekani wenyewe?! Mnufaika Namba 2 ni ISRAEL ili aendelee KUUA WAPALESTINA lakini katika kukatiwa misaada Israel hawapo!!
Watu hawachewi kubadilika,mulisema trump ni kiongozi bora Leo imekuaje tena? Mmemkataa yule dada,Leo ata mwezi bado dunia inajuta,utafikiria ndio marekani ni rais wa dunia?
Hawa ndiyo wale wakutetea LGBTQ hawana jipa nimashetani yanayo jificha kwenye uvuli wa haki za binadamu kwa kutetea mapenzi ya jinsia mmoja pia niwakumbushe wa Tz wenzangu hawa jamaa wapo pia Tz kwa mwavuli wa haki za binadamu
wote muna comment ushoga tu muna jua imesaidia kiasi gan hio shilika la USAID huku afrika duka lipi anauza ARVS kama sio hilo shilika linalotowa misada dawa sikipotea mahosipitarini munaanza kuitupia lawama sirikali
Wewe kila taifa litumie pesa zake , Trump kata kabisa misaada yote Afrika alaaa! Afrika imekuwa kama kinda la njiwa miaka yote, Afrika imezoea pesa za bure ndiyo maana tumekuwa wajinga sana , hata viwanda havijengwi Afrika, Trump kata kabisa misaada yote Afrika kataa.
@zebedayokatamaduni9676 tatizo sio kukata misaada jinsi anavyochukua sheria mkononi... Sasa kama ndo hivyo hiyo congress ifungwe bas maana nini faida yake jambo lolote linatakiwa lipitie congress wapige kura....
Yni Uyoo Dada Angekuwa Yupo Tanzanian Kisha Anaongea Ivyo Kabla Ajamaliza Utasikia Ajulikani Halipo😂😂😂 Uku Kina Mwijaku na Steve Nyerere Ungewasikia Unamuitaje Rais Ni Dictator Unasemaje Kuwa Rais Anafanya Maamuzi Ya Kidicteta Wewe Umetumwa na Mabeberu 😂😂😂 Ssa Sijui Uyoo Dada Anaemuambia Trump ivyo Nae Katumwa Na Baba levo😂😂😂
Lifungwe tuu maana ndani yake linafadhili ushoga na usagaji kuendelezwa xo trump hataki ndio maana hotuba yake ya kwanza alisisitiza marekani jinsia ni mbili TU mwanaume na mwanamke...tumuombee Mungu jamaa anamawazo sahihi kabisaaaa
hilo ni kweli wanajifanya wanatoa misaada kumbe wana malengo yao ya kishetani. hatujiulizi misaada gani hio isiyo na mwisho!!
Hilo ni shirika la demokratic na wakina Hilary Clinton 🚮
@@paschalcharles3617Hapo ndio umesema nini sasa? Kina Democrats na Hillary Clinton wana matatizo gani hebu fafanua. Haitoshi kutoa matamko yasiyo na maana
Hilo shirika halina maslahi na USA, hao wote wanaogopa maslahi yao kupotea
Ni shirika la demokratic na wakina Hilary Clinton
Wewe hujui maslahi ya USAID kwa Tanzania?. Au vidonge vya VVU inafikiria vinatolewa na nani?.
Wenzetu wabunge ndio wanaandamana kweli kunatofauti ya nch zilizoendelea na zinazoendelea.... Huku kwetu Africa utasikia wanaanchi muwe mstari wa mbele😊😊😊😊😊😊😊
Hawana lolote hao wabunge ni WAPUMBAVU TU wanatetea Kwa sababu USAID ni shirika lao la maboss zao wakina Hilary Clinton 🚮
Hata Tanzania hawataki wao tu kwani wakiomba kibali si wanapewa lakin wanawatanguliza Raiya
Wataanzaje nawakati wao wanakula kiulaini na serikali inawapumbaza Ili wawaonee wanyonge .. Tanzania hapo mpaka wabunge wa upinzani nao ni ccm tu kimchongo hakuna siasa hapo nyumban ni upumbavu tu tizama mafano Kwa hao wasanii wenu ... Kila mtu eti ccm mbwa Koko hao
Tafsiri ya kuandamana Ni kudai au kushukiza Jambo zuri litokee au Jambo baya liondolewe kwa ujumla anaeandamana Ni yule mwenye maslahi na suala husika. Ndiyo maana wait wanaandamana na Wala sio wananchi.
Walipoandamana wananchi kupinga matumizi mabaya ya ufaziri wa kivita na kuunga mkono genocide hao majaa walikalia viti kwa shampen
Bado amjasema. Endelea kutoa kibano kila kona😅😅😅
Trump mitano Tena
Dunia imechangamka🎉
Huku trump, kule kagame,pale m23, kule putin , pale Traole yaani ni motooo
Imechangamka kweli Kaka 😂😂😂
Umesahau machine Netanyahu
Na bado tuko mwezi wa 2 tumebakisha miezi10 tutaona vioja mpaka mwakani
Siku za mwisho
😂😂😂😂😂
Hawa ni wahalifu kama wengine ..Wachapwe viboko
Na bado mtazidi vurugana zaidi wenyewe
Lifungwe tu, Ndio wahamasishaji wa ushoga
Mashoga hao
Trump hacheke na wowotee 😂😂😆🔥
Anaulinda wake moyo
Hao wabunge wapumbavu,wanasambaza ushoga kupitia hiyo misaada wanataka tuendelee kapewa misaada
Shirika linalooongoza kwa kuharibu vijana wa Afrika na ndo shirika linaloongoza kwa kuwapa nguvu za kipesa mashoga wakubwa
Africa atuna mpango na ilo shirika atuna masilahi nae.
huna unalojua😅
Haya ndio maandamano sasa wakenya wachaneni na Yale yenu 😂😂
😂😂
This is a press conference and not maandamano jifunze utofauti✌️
Maandamano Ya Kuiba Ubwabwa Bungen..😂😂😂😂
Wavunje kwa kweli😮😮😮..... Sijawah hona hata ajira zao walizotangaza hapa Bongo na shirika lipo.... wanakula wachache tuuuu.....😢😢 Sema Non government Org(NGO) zitakuwa na hali mbaya sana
Huwezi kuziona😁 mpaka michongo ila ni shirika linalotoka mishahara minono Sana ndo maana ajira zake huwez ona waziwazi Kwanza we ni nani mpaka uzione kirahisi, Hilo sio shirika la kichina wazungu Huwa Wanatoa Pesa za Maana
@Mahene-w1l ndio wajiandae sasa😜
Wafute Kila kitu tuendage tu shamban
Hatun shida na misaada yao
@@Mahene-w1lHilo ni shirika la demokratic na wakina Hilary Clinton ndo maana Trump anawakazia
Toka achaguliwe hata miez bado 😂😂😂😂
Hilhan Omar👏🏼👏🏼👏🏼
Hatutaki USaid hii huku Africa,haitusaidii bali huishia mifuko ya wachache.
Kumekucha kweli tutaona mengi mwaka huu bado uchaguzi wa🇹🇿 yaan mwaka wa matukio
taifa lenye nguvu africa tujitegemee wenyewe
Trump atawashinda hata ikitokea akashindwa kulivunja ila sidhani kama litakuwa na sera kama zamani! Kitumbua kishaingia mchanga!
Kimewarambaaaaa,sasa mtakuwa bize kujadili mambo yenu na kutuacha na sisi tupumueee
Kumbe wenyew ni wahanga ila wanafanya sisi ndio tuna shida
Wimen 😂🙌🏻
Tunajua huu mwaka niwamwisho na Elon musk ndio rais
Yan hapo Bado hawajasema
Africa ikatae mahusiano na shirika hilo la kishenzi
Nime penda uyo dada wa kwanza alivyo ongea adi rahaa sanaa 🥰🥰
Kwani na wewe unahitaji misaada yao
Huyo dada ni msomalia
Sema luga inakuchanganya unaona kama anaogea point sana mbona Kuna wachina hua wanaongea vizuri sana na hua husemi wewe mtumwa wa luga
Hichi chama cha democratic ndio kinaongoza kwa kuhamasisha kueneza ushoga na usagaji. Shirika lifungwe2
Wabunge wana wivu dhidi ya Musk...pia inaonekana wazi kuwa bado wanachuki na Trump. Sasa awamu hii watapata taabu sana na moto ndo umeanza😂😂😂
Sipati picha wabunge wa chadema waandamane kama ivyo😂😂😂
Mbona kama ni muislam huyu
Combination ya Trump na Elomaxk nimeikubalin ni sawa na Benzema na vini😂😂😂
Kwani Africa hakuna mashoga ???? Hili ni janga la dunia wewe ukiletewa mavi ule na unajua ni mavi kwa nini ulee???
Kujitegemea muhimu sana ili kuondokana na kuwa tegemeziii
Pambaneni naa TZ yenu acheni mambo ya nchi zingine
Huyu elon anaonekana ana kiburi mtu wenyewe wa africa kusini kumbe😮
Shirika la USAID ni Shirika la Kishetani, wanaambukiza Ushoga na Usagaji kwahiyo maamuzi ya Trump ni Mazuri na yanatakiea kubarikiwa
Hawawawezi Trump na Musk wanashindia bangi mbichi 😂😂 jamaa ashachukua nchi tulizeni tu makomwe.
😂😂😂😂
Haulipi tax pekee yako tunalipa pia ila litokeee tuuu mashoga nyie
Hili usaid lilisapoti sana ushoga na kufadhili hata kama linasaidia duniani
Trump 10
Kibongo bongo apo polisi kibao utawaona hapo ndo tunafeli😂😂
Unafikiri wao hawatumii polisi kwenye hizi ishu?? Bado hujaifatilia marekani vizuri
@@IBENGMlakini hawakurupuki
@@IBENGMlkn bongo watamfanyia hivo Rais?
Lifutweee tu mashoga haoo nyambaff😂😂😂
Njoo Tanzania sasa, thubutu.
Wamarekani wanajwambia capitalism enemy of democracy (upebali ni hadui wa demokrasia). Zingatieni haya maneno. Kumbuka china hakuna ubepali Russia hakuna ubebali
Shirika la unyonyaji Dunuia kupitia upumbavu wanao uunda wao afu iwe Biashara africa😂😂😂
Safi tramp hatuki msadaa sisi saiviii
DEMOCRATIC ina wapigaji wengi sana na wanajificha kwny kivuli cha human rights sasa wamepatwa
Picha limeanza la miaka minne
Afrika ijitegemee tu ina kila kitu
Huyu atakuwa msagaji
si mzima
😂😂😂hizo dawa tumieni wenyewe wazungu sisi hatuzihitaji
Ss nimeelewa Kwann Trump anatakiwa kuombewa
Hawa watu Wana TENGENEZA magonjwa halafu wanataka kutumaliza waache ujinga bhas
Kuna wapuuzi wa CCM watakuja kuwakosoa hawa Wabunge wa 🇺🇸...😂😂😂...wakati wao wanaiba kura upinzan😂
😂😂
Na yeye hasidi mkubwa wa kuendelea kuwapiga na kuuwa wenzetu nae mshenzi mmoja hasidi mkubwanafiki anaejidai kuzuwiya vita Ghaza na huku anauwa na majahil wakubwa wa kizayuni wanafiki wakubwa wote
TRUMP Alivyo M bishi Ata Uwoo Mswada Wakiupeleka Bunge la Senator Bado TRUMP Ana Senator wengi kuliko Wale wa upande wa Pili Akiona Anapigiwa kelele Ata zuia Pesa Kwenda kwa Shirka ilo hayaa changeni Nyinyi Mnao Tetea TRUMP Mweu 😂😂😂
Ukiwasikiliza Wabongo wanavyoshabikia hili jambo ndipo utagundua upeo wetu wa kufikiria! Kwanza, mosi wakati wengi mkidhani Waafrika including Tanzania ndio wanufaika wakuu wa USAID ukweli ni kwamba Mnufaika MKUBWA wa USAID ni Afghanistan!
Kuna mwenye akili timamu asiyefahamu jinsi ambavyo US imeivuruga Afghanistan tangu miaka ya 70; kuanzia Zama za Vita Baridi hadi miaka ya karibuni?! Afghanistan imebomolewa kila mahali!! Sasa ni nani asigharamie UHARIBIFU uliofanywa na Marekani kama sio Wamarekani wenyewe?!
Mnufaika Namba 2 ni ISRAEL ili aendelee KUUA WAPALESTINA lakini katika kukatiwa misaada Israel hawapo!!
Trump kaliona genge la wahuni la wapiga pesa viongozi wa Marekani watakuwa hawana pesa na viongozi wa Afrika watakosa pesa Dunia imenoga
Hatuitaki
Afrika hatutaki misaada
😄😄😄😄
Watu hawachewi kubadilika,mulisema trump ni kiongozi bora Leo imekuaje tena? Mmemkataa yule dada,Leo ata mwezi bado dunia inajuta,utafikiria ndio marekani ni rais wa dunia?
Kazi hipo Mask ana mask kweli
Baba mwenye kitambi
Natamani waanze fujo nchi hiyo na wao waone
Hawa ndiyo wale wakutetea LGBTQ hawana jipa nimashetani yanayo jificha kwenye uvuli wa haki za binadamu kwa kutetea mapenzi ya jinsia mmoja pia niwakumbushe wa Tz wenzangu hawa jamaa wapo pia Tz kwa mwavuli wa haki za binadamu
Hiyi misaada inatulemaza akili
Pesa nyingi wanazipeleka kwenye ushoga ..Bora livinjwe waunde shirika jipya litalokua chini ya serikali na litakalokaguliwa
Sahii wapuuzi Hawa Trump yupo sawa unatoa Hela kwa mataifa mengine ili upate Nini?
WANAMICHEZO TUMEONA KOMBE LA DUNIA WHITE HOUSE
Wamarekani nchi wameiyuza kwa wafanya biashara
Kwaheri mashoga nendeni mkaleee wajukuu
Trump asingekua rais tu nilijua tu hivi vote vitatokea
Ndo ulaya ukisikia unafikiri watakubali kuburuzwa
Trump anaamua kama nchi ipo mfukoni mwake
Binadamu kusaidiana banaah huyu trump nilikuwa namkubali kumbe chenga kinyama anajiona mgawa rizki kweliiii😂
Kuna wachache wananufaika na hayo mashirika.. Trump kashtuka na pia hayana faida na wamarekani😂
Hiyo misaada si ndio inayofanya mlazimishwe kuwa mashoga? The aid comes with strings attached
Pambana kivyenu
Mnaweza TZ KUNA Mashoga kabla hata ya kupata uhuru
Mombasa huko ndio usiseme hatarii tupu
Bongo mshapigwa mabomu na kusambalatishwa
Africa ufisadi umezidi ..Kujenga tu tundu moja choo milioni 100 sio kwamba hatuna pesa
😂 nazo tunakopa 🥹
Mwaka wa dola kubwa duniani kudondoka😂😂😂😂😂
Acha ndoto zako. Dollar kuanguka ili shilling iendewapi?
@InnocentZamkulu pumbu soma
@@InnocentZamkulu😂
@@adiaygo8546 Acha ujinga.
Kumepambazukaaaa
Na bad nyie mahogany had 4 iishe
M
Trump na mask ni vibaka
WATANYOOKA TU
Nusu ya waliopo hapo wakipimwa rinda utakuta limetatuka 😂😂😂 mnatetea matumbo yenu tu wahovyo nyiev
😂😂😂
😂😂😂
Ushoga umeguswa Sasa wanahaha
Hawa ndo wanawapenda waafrika KULIKO trump anavuopenda waafrika wajitegemee
Hatariii...
KUMEANZA KUCHANGAMKA
Trump abari zake kama 😂😂kazaliwa kenya vulugu kila siku
😂😂😂😂😂😂 tukome sisi wa kenya 😅
@mariamkimtai693 mukamchukue babayenu huko watu hawan haman
Kumekucha
wote muna comment ushoga tu muna jua imesaidia kiasi gan hio shilika la USAID huku afrika duka lipi anauza ARVS kama sio hilo shilika linalotowa misada dawa sikipotea mahosipitarini munaanza kuitupia lawama sirikali
Limewaletea Vilainish..🚶🚶🚶
Wajinga
Yaani trump anajiona km mungu mtu 😢
Unataka afanyeje pesa ya zinapotezwa kipuzi
Wewe kila taifa litumie pesa zake , Trump kata kabisa misaada yote Afrika alaaa!
Afrika imekuwa kama kinda la njiwa miaka yote, Afrika imezoea pesa za bure ndiyo maana tumekuwa wajinga sana , hata viwanda havijengwi Afrika, Trump kata kabisa misaada yote Afrika kataa.
@zebedayokatamaduni9676 tatizo sio kukata misaada jinsi anavyochukua sheria mkononi... Sasa kama ndo hivyo hiyo congress ifungwe bas maana nini faida yake jambo lolote linatakiwa lipitie congress wapige kura....
Yni Uyoo Dada Angekuwa Yupo Tanzanian Kisha Anaongea Ivyo Kabla Ajamaliza Utasikia Ajulikani Halipo😂😂😂 Uku Kina Mwijaku na Steve Nyerere Ungewasikia Unamuitaje Rais Ni Dictator Unasemaje Kuwa Rais Anafanya Maamuzi Ya Kidicteta Wewe Umetumwa na Mabeberu 😂😂😂 Ssa Sijui Uyoo Dada Anaemuambia Trump ivyo Nae Katumwa Na Baba levo😂😂😂
😂😂
Ndo walikuwa wanapigia pesa huko 😂😂
Kabisaa
😂😂@@GeorgeElias-p5o
Stay humble democrats 😂😂
Mapema Tu Trump Kimeanza Kuonyesha Rangi Yake Halisi ya UDictator Uchwara Pumbaav sana Wanao Lisapoti hili Jamaa
Mimi mwenyewe nashangaa tunampenda wakati hapendi watu weusi hata kidogo
Uyu Elon nimtu hatari sana kwa huu ulimwengu inabidi apunguziwe ukali ili awe na bilionea wakawaida maana lengo
Lake nikuwa mtu wakutawala
Trump anajua mengi
Hao ndo wanasambaza ushonga Africa na hizo hela zao
Trump mungu akulinde kwa kuzuia ushoga hao wote wanao piga kelele ndo wabasapot ushoga