Wimbo huu unanivuta sana katika tafakari makini juu ya maisha tuliyonayo hapa duniani...Mungu tusaidie amani ya kweli yatoka kwako peke yako hatuwezi kuipata penginepo ...barikiwa waimbaji hawa nasi tunaoendelea kufuatilia. .
Haleluya mbarikiwe sana huu wimbo umenigusa ni kweli nimeona waimbaji tuliokuwa tunaimba kipindi kile miaka ya 2009 kwa Sasa naona wamekuwa wazee kabisa. Mbarikiwe kwa kazi nzuri taji zenu ninawangoja mbinguni
Roho yangu Inaumia Sana Ina Chubuka Ina Vuya DAMU Kidonda y’a Kiroho na Ji Uliza mi na Kufiya Nini na Bangu bote ? Dhambi Kanu nilotenda yenye Si weze Ukuhurumiwa ??? Dunia Buchungu
Kuanzia mpangilio wa vyombo vya mziki, sauti na ujumbe wenu huwa vinanibariki sana, Mungu awabariki sana wana wa Mungu.
Hngr sana solorist na waimbaji wote Kwa kazi nzuri unayoifanya BWANA AWABARIKI SANA
Mungu azidi kuwaba ufunuo na awakumbuke katika ufalme
Wimbo huu unanivuta sana katika tafakari makini juu ya maisha tuliyonayo hapa duniani...Mungu tusaidie amani ya kweli yatoka kwako peke yako hatuwezi kuipata penginepo ...barikiwa waimbaji hawa nasi tunaoendelea kufuatilia. .
Amina
very interesting song for worshiping God....may the Lord bless this choir ...
Kwaya hii tangu niwajue mwaka wa Elfu Mbili na kumi na tisa 2019, umezidi kunibariki sana.
Uchezaji kwa guitar unavutia mno!
Haleluya mbarikiwe sana huu wimbo umenigusa ni kweli nimeona waimbaji tuliokuwa tunaimba kipindi kile miaka ya 2009 kwa Sasa naona wamekuwa wazee kabisa. Mbarikiwe kwa kazi nzuri taji zenu ninawangoja mbinguni
Mungu awabariki sana na awape marifa sa❤❤❤
Ni baraka sana kuisikiliza Sauti ya Jangwani. Mola awabariki watumishi.
nyimbo nzuri sana hii yakutaka utulivu kwenye Ibada mbarikiwe sana.
Toka Oman 🇴🇲🙏nawafuatilia Sana,mrushe hewani wimbo wa "Daniel' tunduni mwa Simba tafadhari
Ombi limepokelewa, Barikiwa
Amina kwaya jangwani mungu awabariki washiriki wote jumla na wanakwaya kwa kuonyesha kiwango chenu cha uimbaji
Aseee Bwana azidi kuwatumia Kwa Kazi yake
Hongereni sana yaani wimbo mzuri umetulia nasichoki kuusikiliza,,,,yaani umeendaliwa kwa ufundi
Well done blessed
Mbarikiwe sana sauti ya jangwani
Jamani 😢 nyimbo zenu zinaugusa moyo wangu sana ....Mungu aiinue kazi yenuu sana sana
Mungu aniinue
Dear brothers and sisters, this choir is a blessing, may God bless them abundantly
Amen you too,May God bless you you too Abundantly
Bwana aendelee Kuwatia nguvu ili kazi ya Mungu imalizike tukapumzike kwa baba wa mbinguni
Mnanibariki kwauimbaji wenu
Napenda nyimbo zenu
Tupo wengne tumekuja kukutana na ww tunaumwa tupate kuponywa
Tena wengne wanalia wanashida kiroho leo yesu na uwafariji
Nawapenda sana,nanabarikiwa na nyimbo zenu
naomba wimbo wa upepo unapovuma huswikwa swikwa yale yaliyo zaifu
Mbarikiwe sana.
Mungu awabariki sana
Kweli napendezwa zaidi MUNGU awbariki
Endeleeni kubarikiwa
Hivi hizi ndio kwaya za kusikiliz faraja tosha
bwana awabarki sana
Mungu awabariki wote nawapenda Sana mungu azidi kutubariki
Amani
Good song
Amen
Jangwani
Instruments,harmony
AMEN 🙏🙏🙏🙏
Emeeh.
Amina.
❤
Amen
Mbarikiwe sana kwa nyimbo nzuri
Mwenaaman yabwana
Kwa kwel jangwani mbarikiwe sana .ila tunawaomba hata zile nyimbo za zamani muziweke mtandaoni
Amina
Nmebarikiwa sana # MUNGU awabiriki zaidi @ msikomee kuimba hapa duniani tu# Bali mkawe waimbaji wanzuri na hko mbinguni😁😁😁😁😁😁
Roho yangu Inaumia Sana Ina Chubuka Ina Vuya DAMU Kidonda y’a Kiroho na Ji Uliza mi na Kufiya Nini na Bangu bote ? Dhambi Kanu nilotenda yenye Si weze Ukuhurumiwa ??? Dunia Buchungu
Bwana amesikia. Barikiwa
Jamani mwenye audio ya huu wimbo na nyinginezo za hii kwaya anitumie kwa njia ya what's app(0684156572)
Noted
MUBARIKIWE SANA
amina
nice
y
Nyota ya asubhi imeibwa na kanisa la mtaa gan?
Unasema nyota za asubhi zitaimba
Waimbaji hawahawa ndiyo wameimba huo wimbo wa nyota ya asubuhi,, kanisa la ushirika shinyanga, kwaya sauti ya jangwani
Kwaya hii hii ya sauti ya jangwani ndio wameimba wapo shinyanga mjini kanisa la ushirika
Hawahawa jangwan
Ndio Mtumishi wa Mungu
Mungu awabariki sana