- 32
- 1 648 759
Ushirika Adventist
Tanzania
Приєднався 5 сер 2018
This is the official UA-cam channel for Sauti ya Jangwani Sda Choir.
SIKU YA MSIBA - Sauti ya Jangwani OFFICIAL VIDEO
Karibu utazame video ya SIKU YA MSIBA ya Sauti ya Jangwani
Wimbo unahusu kisa cha wazazi wetu wa kwanza ADAM na EVA walipoanguka dhambini.
Shiriki kusambaza Link hii kwa wengine ili ubarikiwe na Bwana
Wimbo unahusu kisa cha wazazi wetu wa kwanza ADAM na EVA walipoanguka dhambini.
Shiriki kusambaza Link hii kwa wengine ili ubarikiwe na Bwana
Переглядів: 13 109
Відео
NGAZI ILIONEKANA - Sauti Ya Jangwani SDA Choir (Official Video 2024)
Переглядів 20 тис.6 місяців тому
Usiogope wala kuhofu kuhusu Pambano la Kiroho, maana Mungu, Baba Yetu ameahidi ulinzi kwetu. Malaika na Roho Mtakatifu wanatuzunguka kutulinda na kutuongoza katika Pambano hili. Audio by Home Musical Studio (Maswa) Video Directed by Marcozaky
Twaikumbuka safari- Sauti ya Jangwani JR May 29, 2024
Переглядів 2,2 тис.6 місяців тому
sang at Kahama Net Event 26.5.2024 thank you hope chanel for video.
Sauti Ya Jangwani - picha video na sinema May 16, 2024
Переглядів 1,3 тис.6 місяців тому
Sauti Ya Jangwani - picha video na sinema May 16, 2024
Sauti Ya Jangwani - SASA NASIMULIA April 28, 2024
Переглядів 4,7 тис.7 місяців тому
Huu ndiyo wimbo wa kwanza katika album namba Moja ya kwaya hii. Wimbo huu unatoa historia na nasaha za ukuu wa Mungu kwa mwanadamu karibu ubarikiwe.
MIAKA MINGI - Sauti ya Jangwani Sda Choir OFFICIAL VIDEO 2024
Переглядів 44 тис.7 місяців тому
Kuna namna flani unaweza kukatishwa tana na changamoto za Maisha lakini kumbuka Mungu hajawahi kukuacha miaka yote amekuwa na wewe kaika mapito Yako hata leo katika hilo unalopitia amini Mungu hatakuacha. MITHALI 10:3 Kwa Mawasiliano Tafadhali tuandikie ama tupigie: sautiyajangwanisdachoir@pankajdepuSharma.gmail.comShar@gmail.com 255 764 054 316 Shinyanga - Tanzania CREDIT: Artists: Sauti ya Ja...
Sauti Ya Jangwani - Amani April 24, 2024
Переглядів 1,6 тис.7 місяців тому
Sauti Ya Jangwani - Amani April 24, 2024
Sauti Ya Jangwani - Alishuka April 24, 2024
Переглядів 3,2 тис.7 місяців тому
Sauti Ya Jangwani - Alishuka April 24, 2024
Sauti ya Jangwani Junior - Shetani anapiga Myayo. wakiimba live Dec. 2023
Переглядів 9897 місяців тому
Sauti ya Jangwani Junior - Shetani anapiga Myayo. wakiimba live Dec. 2023
Sauti Ya Jangwani - Tunalo Tumaini March 21, 2024
Переглядів 4,1 тис.8 місяців тому
Sauti Ya Jangwani - Tunalo Tumaini March 21, 2024
Sauti ya Jangwani sda choir-Ngazi(@HopeChannelTanzania @MAHUBIRI TV @HOPE MEDIA NGBF )
Переглядів 6 тис.Рік тому
Sauti ya Jangwani sda choir-Ngazi(@HopeChannelTanzania @MAHUBIRI TV @HOPE MEDIA NGBF )
Sauti ya jangwani sda choir-Maisha ya kiroho(@MahubiriPrMmbaga @HopeChannelTanzania )
Переглядів 7 тис.Рік тому
Sauti ya jangwani sda choir-Maisha ya kiroho(@MahubiriPrMmbaga @HopeChannelTanzania )
#SAUTI YA JANGWANI #SDA NEW SONG - #KUMEKUCHA
Переглядів 105 тис.6 років тому
#SAUTI YA JANGWANI #SDA NEW SONG - #KUMEKUCHA
#sauti ya Jangwani S.D.A new song - Naiwaza siku ile
Переглядів 243 тис.6 років тому
#sauti ya Jangwani S.D.A new song - Naiwaza siku ile
#Sauti ya #Jangwani - Mti wa mtini #Mpya #New
Переглядів 127 тис.6 років тому
#Sauti ya #Jangwani - Mti wa mtini #Mpya #New
Sauti ya Jangwani - Bahari ya shamu
Переглядів 215 тис.6 років тому
Sauti ya Jangwani - Bahari ya shamu
Sauti ya Jangwani SDA choir - Bwana Leta Usikivu katika Ibada
Переглядів 147 тис.6 років тому
Sauti ya Jangwani SDA choir - Bwana Leta Usikivu katika Ibada
Sauti ya jangwani SDA Choir - Enyi wachawi wote
Переглядів 290 тис.6 років тому
Sauti ya jangwani SDA Choir - Enyi wachawi wote
Sauti ya Jangwani SDA choir - Kila siku ipitayo
Переглядів 121 тис.6 років тому
Sauti ya Jangwani SDA choir - Kila siku ipitayo
❤
Nawapenda sana naendelea kubarkiwa asantee
❤❤❤❤❤❤
Amen ❤❤❤❤
Amen ❤❤❤❤
Jangwani huwa mnanibariki sana,lakini naomba wimbo wa Daniel tunduni mwa simba naupenda sana
Nyimbo nzuri,jangwani wangeendelea na utunzi kama huu, wangekuwa mbali sana.
Amen
Good
Saudi nzuri Sana na ujumbe wa kweli
Saudi nzuri Sana na ujumbe wa kweli
Ahsante kwa kuweka Imani yangu imara zaidi Amina.
Dah wimbo mzuri sana ujumbe makini sana nimeipenda
❤
Ameni Mungu zaidi kuwainua
Nawapenda❤
Naomba Siri ya mafanikio yenu, kwa monekano hajapungua kabisa, Bwana azidi kuwabariki!!
❤
❤Mubarikiwe sana
Amina watu wa Mungu, Kuna wimbo wenu mpya naona Kipande tu Whatsap unaombwa "Mwovu Shetani Anatenda kazi kwa kasi ya ajabu, Anajua muda wake umeisha!" Naomba kuupata wimbo mzima
Mbarikiwe sana. Mnanikumbusha mbali sana❤❤
Nimekubali jina la yesu nimekubali ni kuu mno❤
Amin
Mbarikiwe sana Sauti ya Jangwani
Niliutafuta sana tangia niusikie kizota net event, mbarikiwa
Mungu awabariki sana maana mliimba nyimbo zenye ujumbe mzito AMEN.
very interesting song for worshiping God....may the Lord bless this choir ...
Mungu awabariki sana kwa huduma yenu watumishi wa Mungu
Haleluya watu wa mungu muwe na usk mwema mungu wa mbinguni awaatamie kama kuku aatamiavyo vifaranga vyake.
Mungu awabariki sana na awape marifa sa❤❤❤
Mch zephanih peter makorongo chemba waimbaji hawa nyimbo zenye mafundisho kweri wabaekiwe
Hongereni sana wanafamilia wenzangu
Zalisheni vipaji vya badae ili waendelee na hiki
NDABAKUNDA CYANE
Mungu awabariki sana ipo siku tutaimba pamoja kama Mungu atapend!
My favorite choir✊
Safi sana Mungu awabariki sana nawapenda Sana
Amina
Njilo sda
Wimbo huu umenitoa machozi Mungu tusaidie
Wimbo mzuri sana!!
Bwana Mungu azidi kuwabariki. Napenda Nyimbo zenu Maana Zina ujumbe kwelikweli.
Mbarikiwe
Hakika
Seasoned singers of all time, mbarikiwe Sana , kutoka Nakuru kenya
Napenda nyimbo hizi ambazo ziliimbwa na waimbaji wakiwa ndani ya roho mtakatifu na wakiwa ndani ya maandiko! Waimbaji wa Leo wanaimba nyimbo za kusifu vitu vya ulimwengu
nahisi upako
Amina
Nawafuatilia ktoka Nairobi Kenya, nabarikiwa sana kwa nyimbo zote za kwaya hii.