ua-cam.com/video/waCMSG9x3jM/v-deo.html Shalom huu hapa👆👆👆ni wimbo mpya wa NEEMA CIZUNGU . Wimbo umejaa upako ,wimbo wa Faraja. Jkibarikiwa share na wengine.Amen
Ohh saniko nafata iyi nyimbo minasikiya Nina fika mbinguni na inakitiyaka moyo saniko mu shida vraiment maman neema Mungu akubariki ginsi n'a weye unatubarikiyaka ku nyimbo zako 💖💖💖💖💖💖💖 il love you mamy 🙏🙏🙏🙏 grand respect aussi
I simply love your songs...they speak to my soul and times am passing in, be blessed and continue ministering in truth and Spirit, representing from Kenya
Dada NEEMA CHIZUNGU mbona unafurahisha saaaana kwa hiyi nyimbo AMETENDA TENA mimi ki kimi nafurahi tu kabisa na MUNGU akuwezeshe na uendeleye tena kizidi hapo
Mungu akupe ushuuda wewe unaye soma iyi ujumbe ahijalishi ndungu nama rafiki wamekutupa nakukutenga tambua Mungu ana neno la mwisho kwajili ya maisha yako atatenda tena
Barikiwa sister Neema Cizungu, asante kwa wimbo huu mzuri ambao unatia sisi moyo. Keep going ahead in evangelizing people allover the world. Shukrani zetu kwa mwenzi wako ndugu Ezra Asumani kwa kukuunga mkono katika kazi ya uimbaji.
Woow wimbo mzuri sana. Naamini nitauimba siku moja kama ushuhuda
Asante sana
@@NeemaCizunguOfficial ylp
Neema jaman Ana sauti hata iweje wimbo wake utakusisimua na unaingia hadi moyoni barikiwa
Umesema maneno yaliyo mdomon mwangu
Amina.Tenda tena kwangu Yesu wangu..Nipo tayari sasa kukusikiliza.❤🙏🙏🙏
ua-cam.com/video/waCMSG9x3jM/v-deo.html
Shalom huu hapa👆👆👆ni wimbo mpya wa NEEMA CIZUNGU .
Wimbo umejaa upako ,wimbo wa Faraja.
Jkibarikiwa share na wengine.Amen
Maman neema mungu wangu akubariki Sana tena Sana Siku modja nita ku onatu mama santé
Nami nitakuja imba ck moja kwa ushuhuda kabla ya mwaka huu kuisha haleluya
🇰🇪Tuna shukuru sana Kwa wimbo huu Kabisa tu na shukuru 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🇨🇩🇨🇩
Amina, Asante
Ohh saniko nafata iyi nyimbo minasikiya Nina fika mbinguni na inakitiyaka moyo saniko mu shida vraiment maman neema Mungu akubariki ginsi n'a weye unatubarikiyaka ku nyimbo zako 💖💖💖💖💖💖💖 il love you mamy 🙏🙏🙏🙏 grand respect aussi
Soyez abondamment béni Maman Neema. Une chanson avec onction de Dieu. 🎉🎉🎉🎉🎉
Vrmnt Mungu ababariki kuiyi nyimbo
Wimbo mzuri nàamini huu utakua ushuhuda wangu Karibuni tu❤
Pole sana mama faraja tele kwangu kupitia hii wimbo mungu atatenda tu n'a kwangu siki ijazo kaliémie RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi barikwa sana
Amen ubarikiwe sana dada yangu niko fiere na weye sana, MUNGU azidi kunowa zaidi nazaidi🙏🙏🔥🔥🔥💯💯👌💋💋💃💃💃
amen, Asante
Very nice song ever ❤❤❤❤❤❤❤ Mr. Mwabuka & Miss Neema, well done
Asante sana baba maana uko natenda kila siku juya ya maisha zetu
Amen mungu azidi kuhongeza mafuta maradufu mama yangu❤️❤️👌💖💖💖👌💪💪🙌🙏⭐🔥🔥🔥
amen amen
Maman neema mungu wangu akubariki Sana tena Sana Siku modja nita ku onatu mama santé ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akuongeze mafuta Maman Neema cizungu hihi nyimbo ni mwisho be blessed 🙌 😇
Bwana apewe sofa amen kwa wimbo uyu
Nashukuru mungu ametenda tena kwangu 🙏🙏🙏
Asante nyimbo zako ni zuri sana uwa zina nibariki zaid. nimefurai kushikiliana na uyu ndugu Sifaeli nae namkubali sana
Ubarikiwe.sana.kazi.nzuri
amina, Asante
Songa.mbele.na.Bwana.yesu
Haleluyaaa🙏👍
Kweli Yesu amekutendea, zidi kubarikiwa
Jambo neema ninapendakanyimbozako kwikwelii unaimbak vizulii💋
Amen Amen Amen Amen🙏🙏🙏🙏🙏 met God keep bless you❤😀
Asante sana mama kwa kazi yako pia MUNGU akubariki
Mungu Bwana!
Asante Sana Mama Neema ft.Sifael Mwabuka.
I simply love your songs...they speak to my soul and times am passing in, be blessed and continue ministering in truth and Spirit, representing from Kenya
Nyimbo yaupako inanibariki sana kabisa Mungu awawezeshe
Amen
Asante Mungu akubariki nyimbo zuri sana
Mungu wetu akubariki sana mujakazi wa Bwana wetu Yesu kristo.tuna barikiwa sana na huduma Yako.
Mumgu awabariki sana Dada 😍
Amina ameniokota na Mimi pia bariiwa
Kazi nzuri sana. Mungu akubariki mwanangu.
Amina mama, Asante Saana
Heeeee amekuogota kweli kwanza mwenyewe nimekusaahu mama ubarikiwe sana
Naku shukuru mungu ku toka moyoni mwangu, merci sœur n'a nga pona musala kitoko
Kila siku una tubariki Mama,be blessed
Mama na furai Sana na wimbo
Barikiwa ma chérie
Hongera sana nami napenda sana kuimba duu umenibariki
Nabarikiwa sana kwa wimbo uyo my sister.Mungu akuongeze mafuta zaidi uzidi kupanda juu sana
KAZI NZURI SANA HONGERENI
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri
Amina amina amina 😍😍
Bwana Mungu!
Asante Sana Mama Neema.
AMEEN KUBWA, wimbo mzuri na video ipo 🔥 🔥 Sana🙏🙏🙏
Dada NEEMA CHIZUNGU mbona unafurahisha saaaana kwa hiyi nyimbo AMETENDA TENA mimi ki kimi nafurahi tu kabisa na MUNGU akuwezeshe na uendeleye tena kizidi hapo
Mungu akupe ushuuda wewe unaye soma iyi ujumbe ahijalishi ndungu nama rafiki wamekutupa nakukutenga tambua Mungu ana neno la mwisho kwajili ya maisha yako atatenda tena
amina
ubarikiwe saaaaaaana dada ❤️
Ametenda na ata endeleya kutenda ubarikiwe sana dada🔥🔥🔥❤️
Barikiwa sister Neema Cizungu, asante kwa wimbo huu mzuri ambao unatia sisi moyo. Keep going ahead in evangelizing people allover the world. Shukrani zetu kwa mwenzi wako ndugu Ezra Asumani kwa kukuunga mkono katika kazi ya uimbaji.
Asante sana
napenda sana jimbo zako zinanifariji
Amina Mungu akubariki sana
amina
Ameen, ametenda tena
Ubarikiwe saana Dada neema unanibariki mno nyimbo zako 🙌🙌
Napenda sana nyinbo zako naamin na mimi atatenda,Amina
Napenda sana nyimbo zako Neema Mungu akubariki sana
Nabarikiwa sanaaaaa
Kweli imeonekana kwa mungu
Amen Amen 🙏
Wow nice song mummy,,,naomba nami yesu anitendee,,be blessed 🙌
Nyimbo yakutia moyo sana...ubarikiwe dada❣️
Asante Mungu kutufikisha tuliko fika. Ubarikiwe Mutu wa Mungu
Be blessed nice video
Oh my God. Best song of 2022..
My national anthem
Asante sana
Strong sms to us hahaha Ametenda tena
Shalom, nyimbo nzuri sana na video Ina viwango vyote. Barikiwa sana.
Asante sana
Avery blessing one
Hlw dada nyimbo zako nzuri sana,ila natafuta ule wimbo ni nani kama wewe na sadaka za sifa,kila nitafuta sizioni
Amen,zitaingia mda sio murefu
Ila kazi yako ni njema sana,Jitahidi ufike Jerusalem
Mungu Azd kukutumia Dadaangu ❤️Mi nabarkiwaga sana na Nyimbo zako dada 🔐
Amen, ubarikiwe
Wimbo mtamu sana. Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu.
Asante sana
Barikiwa tena maman neema
amina, Asante saana
MUNGU ASIFIWE
Barikiwa sana mama yangu. Mungu akuzidishie upako
Barikiweni sana wapendwa. Tokea Bukavu tunawapenda na huu wimbo ni mtamuuu
Merci maman
Good bless you my sister
Tunashukuru Mungu kwa uduma yako
Ubarikiwe
Suis fière de toi ma sœur chérie 🥰, Que Dieu te bénisse abondamment
Amen
Avance servante de Dieu suis bénie par tes chansons
God bless you
Waoo what a nice song!Hongera sana my dear Neema keep on moving woman of God 🙏
Amen siz,thankx
Amina, ametenda tena.
Amina asante
Yooodi mtoto wetu buyana kama mere
Ubarikiwe sana mama😍😍
Amina
What a song!!!!🥰💓💓🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍🤩😍😍😍
I love you❤
Asante sana kwa wimbo ametenda tena kwangu Yesu
Amen
Demeure bénie servante de Dieu! 🙏🙏
Amen
Sois bénie maman neema
Every hours minutes I have to listen to this song my young I love this song
Amen,God bless you
Nashukuru Mungu kwa kila jambo
Amen amen servante de Dieu
Feeling refresh A men be blessed
Glory to GOD
Amen 🙏❤️
Amen Amen Ametenda Kabisa
Hongera sana Ney wangu
baraka sana ma maman
Ubarikiwe sana dada
Amen dear 🙏💓💓💓💓🇰🇪
Waow Barikiwa sanaa,mum Mungu azidi kukutumia zaidi,naomba unibe collab,barikiwa
asante sana ubarikiwe na wewe
Kazi safi. Mungu awabariki
Amennnnn