Neema Cizungu
Neema Cizungu
  • 111
  • 5 389 356
HUU MWAKA,IBADA BY NEEMA CIZUNGU
HUU MWAKA,IBADA BY NEEMA CIZUNGU
wimbo huu umeimbwa ibadani ila bado clip yake rasmi itatoka hivi punde
tunawaomba mwendelee kuburudika na wimbo huu.
Переглядів: 2 784

Відео

NEEMA CIZUNGU,HUU MWAKA
Переглядів 29 тис.7 місяців тому
HUU MWAKA BY NEEMA CIZUNGU
Neema cizungu AMETENDA live
Переглядів 12 тис.8 місяців тому
Neema cizungu AMETENDA live
NEEMA CIZUNGU,MAPITO LIVE
Переглядів 30 тис.8 місяців тому
NEEMA CIZUNGU,MAPITO LIVE, Nawapenda sana naomba mkisikiliza wimbo huu share Kea watu 10 ili kusapoti huduma hii Mungu awabariki sana
Nina swali naomba mnijibu by Neema Cizungu
Переглядів 1 тис.8 місяців тому
Nina swali naomba mnijibu by Neema Cizungu
MADHARA YA KUKOSA SIRI MAISHANI.
Переглядів 1,5 тис.10 місяців тому
MADHARA YA KUKOSA SIRI MAISHANI.
MSALITI
Переглядів 1,1 тис.10 місяців тому
MSALITI
KUNA WATU USIWAOMBE MSAADA HATA KAMA UNA SHIDA ... , by Bishop Ezra
Переглядів 1 тис.11 місяців тому
mambo muhimu ya kijamii by Bishop Ezra usisahau ku share ,ku comment,ku like na ku subscribe kwenye channel hii pia toa maoni yako ili tuendelee kuelimisha jamii watu wapone fikra zao
MAPITO BY NEEMA CIZUNGU
Переглядів 342 тис.Рік тому
MAPITO BY NEEMA CIZUNGU karibuni sana wapendwa wangu kwenye channel hii wimbo huu wa mapito ni ushuhuda halisi wa mapito katika maisha yetu ya kila siku. Najisikia nikutie moyo sana wewe unaye pitia mapito haya usikate tamaa Mungu atayamaliza nawe utaafurahi.Najua wimbo huu utagusa maisha yako kwa kiasi kikubwa sana ikiwa huja okoka basi chukua hatua ya kuokoka . Neno kuu : Mapito yanaweza kuch...
KARIBU ROHO remix by Neema Cizungu
Переглядів 21 тис.Рік тому
KARIBU ROHO (Remix) by Neema Cizungu 255672555095 shalom wapendwa , Nimejikuta narudia tena kuimba wimbo wa karibu Roho ,Nimekuwa nikipigiwa simu na watu wengi wakiomba kurudia wimbo huu na sasa upo tayari , Nitafurahi sana ukiusikiliza usisahau ku subscribe like au toa comment yako na ukiweza pia naomba share wimbo huu kwawengi ili ujumbe huu uwafikie wengi,Nimatumaini yangu kwamba Roho mtakat...
Anapindua by Neema Cizungu ,+255672555095
Переглядів 62 тис.2 роки тому
anapindua by Neema #255672555095# karibuni sana marafiki na wapenzi wangu ninayo furaha kubwa sana kuleta wimbo huu wa ushuhuda wa maisha ya mtu mmoja alie pitia taabu kubwa hadi kujichukia lakini Mungu mwaminifu alimtoa kwenye shida hiyo na sasa wote waliomtukana kwajiili ya mapito wanaona waziwazi namna Mungu anavyo zidi kumtetea na kumuinua na wewe yawezekana unapitia pito gumu sana maishani...
BAKI NA MUNGU by NEEMA CIZUNGU (Official Video)
Переглядів 12 тис.2 роки тому
BAKI NA MUNGU by NEEMA CIZUNGU (Official Video) Wimbo huu ukitie nguvu wakati wa shida yako na mapito Wimbo huu uinue imani yako na moyo wako pia Usiogope mapito unayopitia yana mwisho wake utayasahau Kuna watu watakuacha na wengine watakimbia kwa sababu unapitia mapito ila wewe Baki na Mungu ipo siku Mungu atajibu na waliokukimbia watashangaa gena kuona Mungu amekujibu watakuja mbele yako kupi...
Neema Cizungu live at RHIC
Переглядів 4,1 тис.2 роки тому
Neema Cizungu live at RHIC
Neema Cizungu Live performance in Rdc
Переглядів 2,1 тис.2 роки тому
Neema Cizungu Live performance in Rdc
Neema Cizungu akihubiri injili mitaani dar es salaam
Переглядів 3,6 тис.2 роки тому
Neema Cizungu akihubiri injili mitaani dar es salaam
NAKUANGALIA WEWE by NEEMA CIZUNGU#+255672555095#
Переглядів 274 тис.2 роки тому
NAKUANGALIA WEWE by NEEMA CIZUNGU# 255672555095#
THE BEST 8 SONGS(FULL HD) OF NEEMA CIZUNGU DVD
Переглядів 46 тис.2 роки тому
THE BEST 8 SONGS(FULL HD) OF NEEMA CIZUNGU DVD
NEEMA CIZUNGU AFUNGUKA KUACHIKA NA MUME, KIFO CHA OSINACHI,MUZIKI WAKE
Переглядів 23 тис.2 роки тому
NEEMA CIZUNGU AFUNGUKA KUACHIKA NA MUME, KIFO CHA OSINACHI,MUZIKI WAKE
NYIMBO 17 ZA SIFA NA MAABUDU,TENZI ZA ROHONI By NEEMA CIZUNGU
Переглядів 42 тис.2 роки тому
NYIMBO 17 ZA SIFA NA MAABUDU,TENZI ZA ROHONI By NEEMA CIZUNGU
TUMRUDIE MUNGU-NEEMA CIZUNGU SMS SKIZA 9868498 to 811
Переглядів 281 тис.2 роки тому
TUMRUDIE MUNGU-NEEMA CIZUNGU SMS SKIZA 9868498 to 811
BONNY MWAITEGE ft PAPA OLIVIER-SITAOGOPA
Переглядів 7 тис.2 роки тому
BONNY MWAITEGE ft PAPA OLIVIER-SITAOGOPA
AMETENDA TENA - Neema Cizungu ft. Sifaeli Mwabuka SMS SKIZA 9868511to 811
Переглядів 210 тис.2 роки тому
AMETENDA TENA - Neema Cizungu ft. Sifaeli Mwabuka SMS SKIZA 9868511to 811
Neema Cizungu - Bishop Ezra | Leo SMS SKIZA 9868505 to 811
Переглядів 3,8 тис.2 роки тому
Neema Cizungu - Bishop Ezra | Leo SMS SKIZA 9868505 to 811
NEEMA CIZUNGU FT SIFAELI MWABUKA | AMETENDA TENA (OFFICIAL AUDIO)SMS SKIZA 9868511 to 811
Переглядів 14 тис.2 роки тому
NEEMA CIZUNGU FT SIFAELI MWABUKA | AMETENDA TENA (OFFICIAL AUDIO)SMS SKIZA 9868511 to 811
Neema Cizungu_Zaidi (Official Audio lyrics)
Переглядів 4,5 тис.2 роки тому
Neema Cizungu_Zaidi (Official Audio lyrics)
Neema Cizungu_Pendo lako (Official Audio lyrics)
Переглядів 2,7 тис.2 роки тому
Neema Cizungu_Pendo lako (Official Audio lyrics)
Neema Cizungu _Baki na Mungu (Official audio lyrics)
Переглядів 4,2 тис.2 роки тому
Neema Cizungu _Baki na Mungu (Official audio lyrics)
Neema Cizungu
Переглядів 4,8 тис.2 роки тому
Neema Cizungu
Bishop Ezra Assumani_akemea waimbaji,neema cizungu
Переглядів 3,1 тис.2 роки тому
Bishop Ezra Assumani_akemea waimbaji,neema cizungu
Sahau-Neema Cizungu
Переглядів 95 тис.3 роки тому
Sahau-Neema Cizungu

КОМЕНТАРІ

  • @BusaneJoël
    @BusaneJoël 6 годин тому

    ndiyo ubariki wesana ❤

  • @DanielMussa-u6w
    @DanielMussa-u6w 17 годин тому

    hakika unasaut ya kubembeleza nainjoi sana kuziskia sichoki nabaki nalia tu

  • @agastarboss9260
    @agastarboss9260 День тому

    ❤❤❤❤❤ songa mbele maman peperushe inch na utusaidiye kutuombea tupande kiwango tusaidiyane huku kupeperushe inchi

  • @user-si3nn4xq1n
    @user-si3nn4xq1n День тому

    Asante sana dada Mungu akuongeze mafuta

  • @edusilalahi8609
    @edusilalahi8609 2 дні тому

    Amen ,,,, GBU from Indonesia ,,,🙏

  • @BERILDENGE
    @BERILDENGE 3 дні тому

    From Kenya imeshikaaaaa

  • @MercyWambui-kf7ol
    @MercyWambui-kf7ol 4 дні тому

    I have always loved you you are a great Minister of God ❤❤❤

  • @AntoinetteDada
    @AntoinetteDada 5 днів тому

    Mungu akubariki

  • @JeanSebifura
    @JeanSebifura 6 днів тому

    Cmci côté d ivoire

  • @akinboomolara9160
    @akinboomolara9160 6 днів тому

    I came across this song on a tiktok post. i need english interpretation as I am from Nigeria. I would appreciate it. Am deeply touched by this sound.

  • @RafikiMpolee-n8i
    @RafikiMpolee-n8i 11 днів тому

    Yaani unavyo imba kwa pozi kama vile hutaki huna mambo mengi dada yangu nyimbo naipenda miaka mingi na haijawahi kufutika moyoni mwangu Mungu azidi kukutumia

  • @RafikiMpolee-n8i
    @RafikiMpolee-n8i 11 днів тому

    Nabarikiwa na sana na nyimbo zako Mungu azidi kukupaka mafuta dada

  • @mugawefredricksamuel475
    @mugawefredricksamuel475 11 днів тому

    Wonderful gospel song. Is this from Tanzania? Be blessed

  • @justinewaka-ceou4934
    @justinewaka-ceou4934 11 днів тому

    Très belle chanson mais très triste je ne comprends pas ce qu'il chantent mais j'adore ça 🫂😰😰🎶👌👌💔🇳🇨🇳🇨

  • @cathmavindi9831
    @cathmavindi9831 12 днів тому

    ❤❤❤❤ amen

  • @ArletteBavon-ot6hg
    @ArletteBavon-ot6hg 12 днів тому

    Asante sana kwanyimbo nzuri kabisa mtumishi wanyimbo zainjili mungu aongeze upako

  • @fungaingwarai
    @fungaingwarai 12 днів тому

    This song hei makes me I don't know

  • @SILVANO460
    @SILVANO460 12 днів тому

    mungu akubaliki

  • @marthaayuma7065
    @marthaayuma7065 14 днів тому

    Amen 🙏

  • @FadhiliSanga-gq1yy
    @FadhiliSanga-gq1yy 14 днів тому

    Mungu akutunze sanaa . Nabarikiwa sanaa na msg zako kwa nyimbo

  • @davistonui1784
    @davistonui1784 14 днів тому

    Hakika kilocho na mwanzo kina mwisho wake naendelea kubarikiwa kwa hi wimbo Dada

  • @maveriusmunsha7293
    @maveriusmunsha7293 16 днів тому

    Someone to translate for me this song in English please

  • @malembakaiza4684
    @malembakaiza4684 17 днів тому

    Wimbo mzuri nàamini huu utakua ushuhuda wangu Karibuni tu❤

  • @malembakaiza4684
    @malembakaiza4684 17 днів тому

    Nilibaki bila marafiki Mungu ni muaminifu. Mapito haya

  • @salomeatieno2161
    @salomeatieno2161 17 днів тому

    Kabisatuu Amen 🙏 Amen

  • @salomeatieno2161
    @salomeatieno2161 17 днів тому

    Kabisatuu Amen

  • @KagheniSemida
    @KagheniSemida 17 днів тому

    Bien chanter

  • @clarissebacunvemubagwa1866
    @clarissebacunvemubagwa1866 18 днів тому

    Tu chantes bien ma sœur 😊

  • @LuckHamwiibu
    @LuckHamwiibu 18 днів тому

    The song is great

  • @ElizabethNunda
    @ElizabethNunda 19 днів тому

    ❤❤❤❤❤

  • @LameckNdayikengurukiye-go4ck
    @LameckNdayikengurukiye-go4ck 19 днів тому

    Ni kwa Damu ya Yesu kweli

  • @ChaniceNicimpaye
    @ChaniceNicimpaye 19 днів тому

    Amen

  • @mgetajohnsimon4442
    @mgetajohnsimon4442 20 днів тому

    Hongera dada kwa nyimbo nzr

  • @safiw.elongo4368
    @safiw.elongo4368 20 днів тому

    Amen! Aaamen papa chabani na Maman Neema Mubarikiwe saana.❤❤❤❤❤❤❤

  • @Ghislainetumaini
    @Ghislainetumaini 21 день тому

    Mungu ni mwema

  • @KaserekaAlphonse-s3x
    @KaserekaAlphonse-s3x 22 дні тому

    Grance mutombo

  • @user-uk5gi1wk6i
    @user-uk5gi1wk6i 23 дні тому

    Nyimbo zako zina ni jengaka saaaaaana 🎉🎉

  • @MukabaNadine
    @MukabaNadine 24 дні тому

    Mungu azidi kukubariki dada

  • @SherylChogo-jp2eq
    @SherylChogo-jp2eq 24 дні тому

    From tiktok,wow I like the song❤❤❤❤❤❤

  • @abigaelnelly
    @abigaelnelly 25 днів тому

    Amen🙏🏾

  • @eugeneeshitemi3655
    @eugeneeshitemi3655 25 днів тому

    This song touches the core of my heart. Nikiskiza huu wimbo huwa unanitia moya sana... I am so blessed and encouraged. Nina imani yote yanapita, asante sana mama Mungu azidi kukuinua na uzidi kuwa wa baraka kwa watu wote. My prayer is that after all these issues of life, when God blesses us, tusimsahau tukajiingiza kwenye anasa zadunia. Lets keep on seeking God. He's the same God in the valley and on the mountain. Be encouraged.

  • @NeemaDesheshe
    @NeemaDesheshe 27 днів тому

    Ameen

  • @dinacharokiwa4849
    @dinacharokiwa4849 27 днів тому

    Mungu akubarik8 Neema nyimbo zako zinanibariki sana.

  • @NeemaDesheshe
    @NeemaDesheshe 28 днів тому

    Ameen

  • @agneshassan4712
    @agneshassan4712 28 днів тому

  • @OlivierKULIMUSHI-bz6uy
    @OlivierKULIMUSHI-bz6uy 28 днів тому

    ❤❤❤

  • @agneshassan4712
    @agneshassan4712 28 днів тому

  • @neemadeogratius
    @neemadeogratius 28 днів тому

    Mungu akubariki sana

  • @AbudoulKarim-vj8lt
    @AbudoulKarim-vj8lt 29 днів тому

    Very good 👍 👏 👌

  • @WalifaWalifa
    @WalifaWalifa 29 днів тому

    Dada Neema nyimbo yako ya MAPITO nimeipenda ninapo isikiriza nashundwa kuikinai napenda kuisikiliza mala kwa mala kutokana na ujombe wa nyimbo yako mungu akubariki akupe nguvu ya kuimba nyimbo nzuri.