WAZIRI SILAA TANZANIA HAKUNA MAANDAMANO KAMA NCHI NYINGINE | BAJETI YA SAMIA INAGUSA MAENDELEO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 чер 2024
  • Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi na mbunge wa jimbo la Ukonga Jerry Silaa amesema Tanzania hakuna maandamano kama nchi nyengine sababu bajeti ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inagusa maendeleo.
    Silaa ameongea hayo wakati alipoalikwa kuwa mgeni rasmi changizo la ujenzi wa kanisa sabato lililopo kigogo freshi Ukonga jijini Dar Es Salaam.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 5

  • @mwalimumstaafu8529
    @mwalimumstaafu8529 3 дні тому +1

    Kwa hofu ya Mungu sidhani. Tatizo kubwa tunalo kwa sawa ni uwazi. Mfano mzuri ni ubinafsishaji bandari. Sisi tunataka ubinafsishaji ufanywe kwa uwazi na wananchi ambao ndio wenye maliasili wasikilizwe maoni yao. Tumekuwa na hofu kubwa na maliasili zetu kwani kuna watu wachache wanazinadi.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 дні тому

    Hapo kanisani au msikitini?

  • @samsonmwenda8727
    @samsonmwenda8727 3 дні тому

    Bro mbn ww mchapa kaz mzur Sana sasa huku unaenda wap?

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 дні тому

    Mbunge Mpina mbona mkamtoa mtu huyu? anawatu anawawakilisha. kweli mmesindwa basi kuongea nae? ila serikali yetu pia inamambo mengi..w/biashara hawasikilizwi. Mbona Magufuli alikuwa anakimbia mbio kuwasaidia wakat Rais Samia alikuwa msaidizi wk? inaumiza san kwa kweli

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd 3 дні тому

    Kaka sijawahi kuwazakua wewe unaweza kua chawa