Andy On The Beat - Hosanna (Official Visualiser)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 сер 2024
  • Subscribe to the channel for more
    • Andy On The Beat - Hos...
    Stream/Download Hossana linktr.ee/andy...
    Song written & Performed by #andyonthebeatke.
    Produced by ‎@championzmuzikgroupworldwide
    & ‎@MeChaoMusic
    Visuals by @k'magik
    Follow Andy On The Beat on socials
    www.instagram....
    www.tiktok.com...
    Hosanna Lyrics ⬇️⬇️⬇️
    Uuuuuuuh eeeeeeiiii
    They call me andy boy eeeh
    Mechao music
    Mmmmmh
    Sitaogopa chochote Wala yeyote
    Imani yangu haitatikisika
    Najua mungu yupo muda wowote
    Sijali aah sijali
    Duniani nilikuja mwenyewe
    Mbinguni nitarudi mwenyewe
    Hata wapige kelele sijali
    Wanakesha kutwa wakinisemasema
    Hivi andy mungu gani anamsemasema
    Hawajui tofauti ninaemuabudu na yule wao
    Hanaga unafiki anajibu kwa mazao
    Usikubali binadamu wakuhukumu vibaya
    Vibaya
    Hawajui wewe na mungu nini mlichopanga
    Mlichopanga
    Usikubali binadamu wakuhukumu vibaya
    Vibaya
    Hawajui wewe na mungu nini mlichopanga
    Mlichopanga
    Sitaogopa chochote Wala yeyote
    Imani yangu haitatikisika
    Najua mungu yupo muda wowote
    Sijali aah sijali
    Aaah hosanna eeeh
    Hosanna
    Hosanna hosanna hosanna hosanna eeeh
    Hosanna
    Aaaah hosanna eeeh
    Hosanna hosanna hosanna
    Aaaaaaiiii onananananana onananie olalalalalalala
    Anajua siku utapata siku utakosa anajua
    Anaona ukitapatapa ukisonona anajua
    Riziki mafungu saba yeye ndo anagawanya
    Usishinde ukishika tama wamekugawanya
    Usikubali binadamu wakuhukumu vibaya
    Vibaya
    Hawajui wewe na mungu nini mlichopanga
    Mlichopanga
    Usikubali binadamu wakuhukumu vibaya
    Vibaya
    Hawajui wewe na mungu nini mlichopanga
    Mlichopanga
    Sitaogopa chochote Wala yeyote
    Imani yangu haitatikisika
    Najua mungu yupo muda wowote
    Sijali aah sijali
    Aaah hosanna eeeh
    Hosanna
    Hosanna hosanna hosanna hosanna eeeh
    Hosanna
    Aaaah hosanna eeeh
    Hosanna hossana hosanna
    A Mechao Music Inc. Production (C) 2024.
    #hosanna #andyonthebeatke #musicvideo #kenyagospel

КОМЕНТАРІ • 128