Ndio sisi wote wanadamu, hasadi na uhasama ndio mapito yetu. Tumuombe Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi atupe nafsi zenye kuridhi kulhali jua au mvua. Shukrani kwa ujumbe maridhawa Bi Sabah.
Kumbe Sabah huu ujumbe wewe ulikua wa kwanza nakumbuka kipindi kile cha makuzi nishasikiliza hizi msg...those time east African melody nice msg, shukran shangazi..
Wimbo ulitungwa na omary mzee,,uliingiziwa sauti na khadija yusuphu ukaja kuimbwa rasmi na zuhura shabaani ukamilikiwa east African melody ukawa wimbo wa kundi hauna mwenyewe hivyo version ya pili akaja kuiimba sabaha saluum muchachu baadae khadija akaja kuimba version ya 3 hii ilitokana na ingia toka ya wasanii kwenye band
Swabaha twakupenda mpakaleo twasikiliza nyimpo nzuri sauti yenyeladha humtiwa nyoka pangoni❤❤❤
Mashaalah mamaangu nakupenda sana mungu akuweke wewe ni fundi wa taarabu
Ndio sisi wote wanadamu, hasadi na uhasama ndio mapito yetu.
Tumuombe Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi atupe nafsi zenye kuridhi kulhali jua au mvua.
Shukrani kwa ujumbe maridhawa Bi Sabah.
Inshaallh leo yetu kesho ya mungu🙏🙏🙏
Sabah, umenibamba sna na huo wimbo
Maashaallah mama ww Allah akupe maisha marefu hauna makuu na mtu
Kumbe Sabah huu ujumbe wewe ulikua wa kwanza nakumbuka kipindi kile cha makuzi nishasikiliza hizi msg...those time east African melody nice msg, shukran shangazi..
Hata uwabebee turubai
Wimbo huu uliimbwa na Zuhura Shaaban pale Melody then akaimba khadija Yusuf na Sabah pia
Upo wapi mwenzetu..king of taarab ni rukia ramadhani ❤😂
@@sandukuladhahabuuhakika
Wimbo ulitungwa na omary mzee,,uliingiziwa sauti na khadija yusuphu ukaja kuimbwa rasmi na zuhura shabaani ukamilikiwa east African melody ukawa wimbo wa kundi hauna mwenyewe hivyo version ya pili akaja kuiimba sabaha saluum muchachu baadae khadija akaja kuimba version ya 3 hii ilitokana na ingia toka ya wasanii kwenye band
Nashangaa inakuwaje binadam tuna roho zaifu wabaya kweli wabaya binadam kweli wabaya🥰🥰🥰👏🔥🔥🔥
Walimshinda mungu. TUTAWAWEZA SISI . KHER UKAE NA PAKA.
hatari na nusu
Mashaalah taarab yenye mafunzo🎉
Mash aallah
Nakupenda Sana maana uliniosha
Allha akuweke inshaallh❤❤
Huna baya kwangu mama sabah kukupenda tu
Penda Sana vitu via zamani❤
Apa uliimba👌❤❤
The song is lovable , actually .
i used to love this song back in the early 2000s for the CCM PARTY CAMPAIGN
Hakika. ilikuwa ni bonge moja la wimbo kwa kipindi hicho na mpk sasa bado inapendwa
those days on TBC taifa radio with one band radio called MKULIMA
Nakupenda sana mama Sabaha
Raha ni leo kesho ni bahati
Kabsa❤💯
❤❤ nakupenda
Eenh,,wasema si jema jitho la mja,
Halima
2023 Ataree 🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️
Mashallah ❤
Binadamu 🥰😍😍
binaadam mbaya jamani cjui tukoje.
kweli binaadamu wabaya
Mashaallah
Haaaaaa akika apo
Dude langu hili milele
Endelea kusubscribe Channel yetu iliondoma kwa bahati mbaya na sasa tumerudi tena!
2023
I like taarab
big up
I love it
Alitop
❤❤
hiinyimbo iko vizur
Tamsana
Just love w
Uko
Vi
Omari kopa
👌💕
2024
❤
jahaz
Kweli kabisa
Sp 210dc
Mustanira
Penda Sana vitu via zamani❤
💓💓🌺