TULIA ACKSON NA WACHOKONOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 2 години тому

    254kenya tunawaget loud and clear ❤❤❤

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 5 годин тому +2

    Kuna mambo mengi sana yalikuwa yanaumiza kichwani mwangu ila nyie mmeshajazia kila kitu nilichokuwa kinanisumbua, You are doing great things. 👍

  • @kinungejulius4124
    @kinungejulius4124 7 годин тому +1

    Nimecheka Sana,kweli bro tushikamane tunaweza cc watanzania na Africa kiujumla.

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 6 годин тому +1

    Nimekubali iyo psychological analysis and morphological

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 5 годин тому +1

    Tuko pamoja sana nyie walimwengu wenzangu Naendelea kuwafatria🎉

  • @bloomcreation4578
    @bloomcreation4578 7 годин тому +1

    ❤ Bigup san wazee

  • @abdulapolinari178
    @abdulapolinari178 6 годин тому +2

    Hahaha😂😂 mwendo wa kushikilia bomba

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 7 годин тому +1

    Wasaaa!!!! mzuuri 🎉🎉🎉🎉

  • @NazoLongo-u8e
    @NazoLongo-u8e 5 годин тому +1

    Nimecheeeka! eti mwanamke mfupi hata kuachana nae nikazi ama nikweli

  • @islam-w1n
    @islam-w1n 4 години тому +1

    Hawa jamaa wanasaikolojia wazuri sana

  • @Jamesmwakisambwe
    @Jamesmwakisambwe 2 години тому

    Hizi bangi kumpa tulia nchi

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 5 годин тому +1

    Vibaka wapo wengi.

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 5 годин тому +1

    Mrindoko kuyarudisha maji alikuwa sahihi huenda Kuna jambo wazungu waliliandaa kupitia maji.ukiwa kiongozi mweusi mbele ya wazungu lazima wakutengeneze kwenye Mfumo wao.inaonekana walimchagua wamundeshe wanavyotaka wanaona haendi kama wanavyotaka.ulisikiliza maelezo ya tulia utaelewa.kwa nn wanamkasirisha.

  • @alimzee
    @alimzee 3 години тому

    Kazi Safi

  • @sylivanusbernard3325
    @sylivanusbernard3325 4 години тому +1

    Jamaa tangu nimjue alkuwa ni mtu wa vile aisee

  • @jumaachengo8479
    @jumaachengo8479 3 години тому

    Vichwa vya bahari ama habari😂

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 6 годин тому +1

    Mumeongea mpaka nimejihisi kuzimia

  • @AlexLeonardAthanas
    @AlexLeonardAthanas 3 години тому

    Lete part 2

  • @MilamboHandrian
    @MilamboHandrian 8 годин тому +1

    Safi sana kaka

  • @OmariChanja
    @OmariChanja 8 годин тому +4

    Wapili kwenye comments mimi nawaita Wazee wa Fact

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 7 годин тому +1

    Mimi mrefu jamani

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 5 годин тому +1

    ✍️✍️

  • @lizysimon7374
    @lizysimon7374 5 годин тому +1

    Wachokonozi mchokonoe habari za aliens

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 8 годин тому +1

    Safi sana

  • @PidiusNkwatiragi
    @PidiusNkwatiragi 8 годин тому +2

    Wachokonoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @angelousfrank6945
    @angelousfrank6945 8 годин тому +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @innocentbalahoza1491
    @innocentbalahoza1491 8 годин тому +1

    Hiyo ya wafupi 99% real happening, hawaachi hata uoe mke wa 10

  • @blackhood76tv
    @blackhood76tv 8 годин тому +1

    Fact naomba nimpongeze Ila ndalichako Naye mnamuonaje

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 години тому

      Ndalichako sura ngumu roho nyepesi

    • @HalimaNamangupa
      @HalimaNamangupa 3 години тому

      ​@@fahadfaraj6474ndugu yangu Hawa jamaa washakuteka kiakili Kila post yao wewe umo na kucomment kama kawaida Sasa ushauri wangu kwako Hawa jamaa wasikilize tu sio lazima uweke comment yako

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 7 годин тому +1

    NAPITQ

  • @RashidBusanya
    @RashidBusanya 3 години тому

    Iv nyie hamnaga kazi et mda wote ni kuchokonoa chokonoa tu

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 3 години тому

    Kama unavyo sema wandishi wa habari wa Tanzania wajinga hawajasoma Tulia Ackson wapi alipo tukana wazungu wa.eambiwa ukweli

    • @njeleinnovation
      @njeleinnovation 3 години тому

      Umesikilza ule mjadaĺa au na ww unsubiiri kusimuliwa???

    • @MohamedRashid-py7ro
      @MohamedRashid-py7ro Годину тому

      @njeleinnovation Tulia Ackson anaigia Swissland kwe mkutano wa mabunge au Bunge la Dunia tunafatilia huku Swiss sio wewe upo bongo