Mtoto ashangaza ulimwengu wa kipaji cha kukariri maandiko | Biblia inayotembea
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Barikiwa sana mtt mzuri Mungu azidi kukulinda na mabaya yte
Hongera sana bishop Gwajima kwa uwekezaji huu. Kwakweli mm nimeshangazwa sana.
Mungu nisaidie roho iyo iyo iwapo juu ya uzao Wang sawa sawa na mapenzi yako Ameni
Amen amen amen MUNGU n mwema kila siku,MUNGU anatumia mpka watoto.
Huyu mtoto ni mtumishi wamungu amenifurahisha mnoo❤❤🎉🎉
Gwajima ajae atunzwe atunzwe huyo mtoto ni gwajima wa miaka ijayo haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimejikuta Nalia kwa Furaha Mungu akubaliki Pia Awabariki Wazazi wako 😢❤❤
Mungu apewe sifa kwa kulipa kanisa kipawa cha watoto Hawa ,Kwa utukufu wa Hina lake
This is much amaizing, hakika MUNGU anatumia hata watoto wadogo wazazi ni wajibu wenu kuendelea kuvinoa vyombo kama hivi
Utukufu ni kwa Yesu. "Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee" MITHALI 22:6
Watoto sichoki kuwaangalia mmenibariki sanaaaaaaa❤❤
Mungu ni mwema Amen❤
Amin Amin.God is great.Hallelujah
Ni mjukuu wa gwajima au hapo sawa
Amen and Amen.
Mpaka nimelia Asante Yesu
Nimeshindwa kuzuia machozi ya furaha
Uyo siyo mutoto wakawaida yo nimaraika ariyevaa umbo ra mutoto barikiwa mwarimu was wondering watoto
It's amazing, powerful
Glory be to God
Amina San
Ameen
Jmn had raha
Mungu amtunze huyo shujaa
Amen amen amen
Heshima
Amen
wewe nishujaa mungu akutunze
❤
Halleluya
Hakika mlee mtt ktk Njia impassyo,Naye hata iacha hata atakapokua mzee
tazama kipaji cha motto huyu.lakini cha ajabu hata mkristo mmoja kulike Hanna wanapenda upumbavu th.
Nikiwa Dubai nimebarikiwa nikajikuta nikilia
Mhubiri wa.kimataifa.roho ya wivu kimbia ukaishi.nyikan.usione mafanikio ya mtoto
Amen Amen