Alikiba feat Rudeboy - Salute (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 24 тис.

  • @VihigaTraveller650
    @VihigaTraveller650 3 роки тому +88

    RUDEBOY:Tuombe Mungu inshallad Amina.....aepushe vijizamina

  • @evansfabian8882
    @evansfabian8882 3 роки тому +156

    Sijawahi pata likes za Alikiba naomba basi,nyimbo nzuri sana.

  • @arrickofficial
    @arrickofficial 3 роки тому +97

    Salute kwa wote watakao nipa. Likes ,A good music from KingsMusic

    • @KhadijaShango
      @KhadijaShango Рік тому +1

      Atariii yaani aitachuja kamwe nawee utabaki kuwa kigtu

    • @KhadijaShango
      @KhadijaShango Рік тому

      Wewe ndio msanii wangu wa ukweli

  • @ayshamohamed8208
    @ayshamohamed8208 2 роки тому +8

    Bro kuna mtu amekuiga hukuu
    Au basi
    King ❤️

  • @remmymwalau1280
    @remmymwalau1280 3 роки тому +62

    Walitukuta na watatuacha kwenye Game
    One love king KIBA & KING'S MUSIC kwaujumla

  • @husseinzimbwe7934
    @husseinzimbwe7934 3 роки тому +45

    Mbona mm sipati lyk jamaan twende na 🤴 king salute for everyone

  • @clausoscar2932
    @clausoscar2932 3 роки тому +86

    Msanii ninayemkubali dunian ALIKIBA the real KING

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 3 роки тому

      Hii ngoma ya kuwaomba Wazazi wa Pisi Kali akupe mototo wao kwa Jumla

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 роки тому

      Ngoja tuone Kama atamutoa Diamond pale kwenye trend, Diamond tayari yupo

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 3 роки тому +1

      @@Manumbu1 ukwel unao ww kat ya Salute na Kamata ipi nyimbo nzr, hayo ya trend utajua mwenyew

    • @alwattanchinga
      @alwattanchinga 3 роки тому

      ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html

  • @emmyleonard5939
    @emmyleonard5939 2 роки тому +8

    Video Bora yamwaka2021

  • @KIBEMBEMEDIA11
    @KIBEMBEMEDIA11 3 роки тому +56

    Alikiba naomba like 400
    Iyo music isha fika United states bro inauwa uku

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +50

    🔥🔥WALIO RUDIA KUANGALIA ZAIDI YA MARA MOJA TUJUANE 🔥🔥

  • @nalwagejules2472
    @nalwagejules2472 3 роки тому +90

    Kwako nimeshaga maliza maumivu ya bongo fleva big up king kiba I'm from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩like CAPE TOWN CITY 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @suleamberforreal7401
    @suleamberforreal7401 2 роки тому +6

    Kingkiba the Power

  • @Samalentech2
    @Samalentech2 3 роки тому +41

    Huu ni motoo hongera sana Alikiba naombeni like 1k wadau

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦:

  • @khalidabdala7648
    @khalidabdala7648 3 роки тому +61

    Mungu Saidia hi Ngoma Leo ikamutowe Yule chizi pale Juu✋✋

  • @K25795
    @K25795 3 роки тому +37

    TUOMBE MUNGU IN SHA ALLAH AMIN MWAKANI KIBA NAE ATAKUWA NOMINATED

  • @chegehumprey
    @chegehumprey 8 місяців тому +43

    Who is here 2024

  • @othu_tz9034
    @othu_tz9034 3 роки тому +68

    Jamani naomba hii ngoma tuipeleke number 1 haraka SALUTE kwake alikiba kajua kutuburudisha🔥🔥🔥✊

  • @marycianajulius8831
    @marycianajulius8831 3 роки тому +76

    Kazi iendelee ubunifu wa kimataifa nyimbo nzuri Sana mungu aendelee kukupingania katika kazi zako king kiba one 💕🙌👏

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому +1

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦

  • @shamsimansury7379
    @shamsimansury7379 3 роки тому +158

    Leo ndo nimeamini mfalume yupo mmoja Tz ,kama na ww unaamini ilo gonga like tuone 🤪

  • @tack-tv
    @tack-tv 2 роки тому +6

    Best video 2021 TANZANIA MUSIC AWARDS

  • @neemaabdala367
    @neemaabdala367 3 роки тому +92

    Tuombe mungu INSHA ALLAH Amiin🤲 king KIBA azidi kufanya yake . SALUTE

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 3 роки тому +2

      Hii ngoma ya kuwaomba Wazazi wa Pisi Kali akupe mototo wao kwa Jumla

    • @aidanprosper1808
      @aidanprosper1808 3 роки тому

      Sawa my neema ucjal mzik umerud kwa mwenyewe😀

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 роки тому

      Ngoja tuone Kama atamutoa Diamond pale kwenye trend, Diamond tayari yupo

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 3 роки тому

      @@Manumbu1 ss tunataka radha na burudan hayo mengine unajua ww

  • @chidydarvulelemrdv1642
    @chidydarvulelemrdv1642 3 роки тому +68

    Video of the year nani kaliona hili naomba 👍 like

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 роки тому +3

      Haiwez tokea iyo kitu maana mwaka bado mkubwa wazee ubunifu bado wapo studio japo jamaa kajitahid sana

    • @tchimbabykasmos2301
      @tchimbabykasmos2301 3 роки тому +3

      Jamaa noma sana the special king of bongo fleva kibaaaaaaaa

  • @mustonetz7444
    @mustonetz7444 3 роки тому +107

    Mama make nimeitazama mala 23 nabado naendelea
    SALUTE KING KIBA🇹🇿 SALUTE RUDEBOY 🇳🇬
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @azizafaki4899
      @azizafaki4899 3 роки тому +1

      Hata mm Yan napenda apo mwanzo kila saa narudish yaan fayaaa

    • @gladnessrowland4555
      @gladnessrowland4555 3 роки тому

      Msenge kweli wewe hHahahahaha ahahahahahaha ahahahahahaha ahahahahahaha hapa ahahahahaahha

    • @mustonetz7444
      @mustonetz7444 3 роки тому

      @@gladnessrowland4555 😂😂😂😂😂

  • @enockbarongo1439
    @enockbarongo1439 3 роки тому +5

    Only one king nipeni like wana king kiba

  • @onettebujumbura2698
    @onettebujumbura2698 3 роки тому +58

    I Salute you wa kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮 kw Heshima zenu🙌 # SALUTE 🙌🙌

  • @brightogbeide9776
    @brightogbeide9776 3 роки тому +113

    King Rudy never disappoint .......

  • @edwinmmary8459
    @edwinmmary8459 3 роки тому +47

    Mfalme ni mmoja tu na always atabaki kuwa juu siku zote *SALUTE KWAKO BROTHER*
    Dondosha like za kutosha kuipa heshima SALUTE.

    • @jumasherry9679
      @jumasherry9679 3 роки тому +1

      Nchumali Uncle Nchumali na Wasai ya Amerika

  • @cynthiawangui3468
    @cynthiawangui3468 3 роки тому +3

    Yani Alikiba, bado ni legend tu!!!!

  • @azizmazuma2969
    @azizmazuma2969 3 роки тому +53

    Naiangalia hii video hadi najiongelesha mwenyew Dah King🤴 amejua kuuwa like kidogo jaman tusiwe na wivu 😔

    • @jumasherry9679
      @jumasherry9679 3 роки тому

      Salute to Uncle Nchumali 😎💪👌🏋️‍♀️😊😁

  • @raheemkhalfani7209
    @raheemkhalfani7209 3 роки тому +37

    SWAHILI TO THE WORLD,,
    "TUOMBE MUNGU .........."

  • @brandonwakhanu3460
    @brandonwakhanu3460 3 роки тому +4

    Iko fit sana just do again kiba tunakupenda kama wakenya

  • @raymondmlaponi1092
    @raymondmlaponi1092 3 роки тому +141

    hii ngoma imetulia mov flan hv kaliii dondosha like yako twende sawa

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 роки тому

      ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html

  • @kaburaberchimas6515
    @kaburaberchimas6515 3 роки тому +469

    Mmmmmh!!umetishaaaaa!!
    Mke wangu ameniambia eti sifikish 100likes naomba likes zenuuuu wanaoona kiba Latisha Sana

    • @jumasherry9679
      @jumasherry9679 3 роки тому +4

      Yeeebababahh... Mkeo subiri tumkomeshe kwa Malaikss mengi mengi

    • @innayatsultany3938
      @innayatsultany3938 3 роки тому +3

      😂😂😂

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 3 роки тому +5

      Hii ngoma ya kuwaomba Wazazi wa Pisi Kali wakupe mtoto wao kwa Jumla

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 роки тому +5

      Ngoja tuone Kama atamutoa Diamond pale kwenye trend, Diamond tayari yupo

    • @ndonetz6342
      @ndonetz6342 3 роки тому +5

      @@Manumbu1 atamtoa bbb ako

  • @elisifajohn1772
    @elisifajohn1772 3 роки тому +46

    Waoooh... one milion viwers before the day... naomben like jmn

    • @georgemhalla8853
      @georgemhalla8853 3 роки тому

      Walichakachua, so UA-cam wamepunguza mzeee

    • @elisifajohn1772
      @elisifajohn1772 3 роки тому

      Hata hawajachakachua... huoni imerud kweny mstar

  • @allyallymakius1133
    @allyallymakius1133 6 місяців тому +16

    Walo Rudi kucheki hiii 2024 tujuane please

  • @wasaniiwandani4830
    @wasaniiwandani4830 3 роки тому +85

    Jamani nipeni like zangu kwa kunipoza maumivu ya kuchelewa kuangalia nyimbo hii ya taifa

  • @generalmwegama3384
    @generalmwegama3384 3 роки тому +101

    Tufikishe million views ndani ya saa 24, tell a friend to tell a friend king katoa kitu

    • @koalaness8921
      @koalaness8921 3 роки тому +2

      1M in 16hrs my predictions

    • @jamilahsuleiman9292
      @jamilahsuleiman9292 3 роки тому +3

      Kweli kabisa iv unatakiwa uangalie mara ngap ndo zinaongezeka.vwz

  • @pauljoel1562
    @pauljoel1562 3 роки тому +64

    Video nzuri Sanaa.
    Sasa achia album tuendele kujenga ufalme.
    🇹🇿 To the world

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦:

  • @daudilwena424
    @daudilwena424 3 роки тому +3

    Hatari Sana Alikiba umetisha

  • @eddy4998
    @eddy4998 3 роки тому +50

    tunakupa jina jengine KOMANDO SASA ni Ali kiba king kiba and KOMANDO Nani yupo na mm gonga like tuende sawa

  • @momboisaac7497
    @momboisaac7497 3 роки тому +62

    Alikiba never disappoints.. Rudeboy obvious. 👊

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 роки тому +202

    Aaah Jaman leo nimekua wa pili wapi like zenu jaman ....😭

  • @ronnyhmasigah6271
    @ronnyhmasigah6271 3 роки тому +2

    King kiba, rudeboy, hamna saralasi kazi safi. Aah.....jamani hapa sitoki

  • @simonkombo37
    @simonkombo37 3 роки тому +54

    This is more than a movie salute for General king kiba

  • @frankmusa5256
    @frankmusa5256 3 роки тому +248

    Aise mm Ni team mondi Ila uongo mbaya ALIKIBA ANAJUA KINOMA 🙌
    gonga like kama mm sio mnafiki

  • @zuwenamtangaza2166
    @zuwenamtangaza2166 3 роки тому +53

    Bonge la ubunifu i like that King still being a KING

  • @aliabdillahi6094
    @aliabdillahi6094 3 роки тому +2

    Wiiiiiiiiiii kiba ndo ywaimba mziki mzuri wa kudumu

  • @vincenttrust5406
    @vincenttrust5406 3 роки тому +47

    I see my brother king rude. Much love from Nigeria 🇳🇬

  • @rosemarymassawe1854
    @rosemarymassawe1854 3 роки тому +73

    He finally spoke kiswahili#rudeboy#Salute kiba😍😍tumwombe Mungu ishallah Amina🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @tanglesswilykriz2780
    @tanglesswilykriz2780 3 роки тому +62

    Alikiba to tha world🎉nipeeni likes za alikiba🔥🔥🔥

  • @kingshira6017
    @kingshira6017 2 роки тому +5

    Saluteeee

  • @halisimediatz
    @halisimediatz 3 роки тому +69

    Kama Chama la Wasafi Tuna Appreciate Ngoma zote Kali, congratulations Alikiba

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому +2

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 роки тому +1

      ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 роки тому +1

      @@officialyoungp5654 ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html

  • @nogabwoycomedian3287
    @nogabwoycomedian3287 3 роки тому +46

    King is back nipeeni ata like kumi tukiji bamba

  • @elardmadeez3382
    @elardmadeez3382 3 роки тому +38

    KingKiba kingRude 🇳🇬🇳🇬🇹🇿🇳🇬🇳🇬🇳🇬

  • @isawmsafi5710
    @isawmsafi5710 2 роки тому +3

    Nice song kiba ,,,,......shabiki wako namba moja kutoka kitambo

  • @kaheshi4537
    @kaheshi4537 3 роки тому +46

    Salute kwa watazamaji wote hii itabidi irudiwe 🔥🔥

  • @augustinomauki5969
    @augustinomauki5969 3 роки тому +58

    Daaah.....Anae kubali kua alikiba ndo Jeshi mwenyew piga like yanguvu hapa.....

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 3 роки тому +2

      Hii ngoma ya kuwaomba Wazazi wa Pisi Kali akupe mototo wao kwa Jumla

    • @augustinomauki5969
      @augustinomauki5969 3 роки тому +1

      @@saidjuma9782 🤣🤣🤣 kabsa ndugu

    • @Manumbu1
      @Manumbu1 3 роки тому

      Ngoja tuone Kama atamutoa Diamond pale kwenye trend, Diamond tayari yupo

    • @augustinomauki5969
      @augustinomauki5969 3 роки тому

      @@Manumbu1 mmmmh speed ikiwa hii iv iv tunamtoa maana ndan ya maalsaa 2 tayar 200k

  • @radojembe7347
    @radojembe7347 3 роки тому +96

    This guy so genius he deserve to be a king all the way from southafrica hit likes #Adam

  • @irenekombe8377
    @irenekombe8377 3 роки тому +3

    Salute king

  • @africanson4528
    @africanson4528 3 роки тому +54

    Rude boy Swahili on point.. 😊 SWAHILI TO THE WORLD 💪 AFRICA TO THE NEXT LEVEL 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ezesamson1090
    @ezesamson1090 3 роки тому +72

    KingRudeboy boy the owner of the best music ft Alikadiba the King of music.

  • @andersonmberi7672
    @andersonmberi7672 3 роки тому +39

    I don’t have anything to say waaaa am just repeating it like 100 times now it’s a hit

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 роки тому +3

    Kumbe mond Aliiba hii aidia chiz yule

  • @rukundowilly3228
    @rukundowilly3228 3 роки тому +73

    King Kiba dropped the summer Anthem, this is our summer hit in Rwanda

  • @jonahsammy9317
    @jonahsammy9317 3 роки тому +50

    "Tuombe Mungu insha'Allah Amina atuepushe na vijizabina".. Favourite line ..

  • @jaffryjeff7424
    @jaffryjeff7424 3 роки тому +53

    Never tired to watch this. Salute to all of you

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 3 роки тому +2

      The theme is dope and perfect when a man goes to a war then a woman stays patient for his man

    • @abubakarhajji5394
      @abubakarhajji5394 3 роки тому

      yebabaa

  • @geoffreymichael6372
    @geoffreymichael6372 2 роки тому +3

    Wamekutana wanojua kuimba sio wale wanaojiita namba 1

  • @jamalothuman1882
    @jamalothuman1882 3 роки тому +49

    Salute to everyone see good music from king kiiiiiba

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 роки тому +51

    Ally kiba ni komando ndio maana kavaa gwanda like kwa ngwanda lake

  • @wismermerwis5083
    @wismermerwis5083 3 роки тому +72

    Wimbo ni mzuri sana, hauchoshi masikioni, ujumbe mzuri, mziki mziri na video yenye heshima, salute to the King.

  • @delimachesa4916
    @delimachesa4916 2 роки тому +19

    Kiukweli Diamond Kaiga hapa.halafu still naiona hii ndo video kali

    • @bongoupdatestv9322
      @bongoupdatestv9322 2 роки тому

      Concept ya director sio diamond. Sema director ndo kaiga

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 3 роки тому +64

    Le plus grand chanteur d’afrique
    👑 👑 KIBA

  • @simonijoseph6032
    @simonijoseph6032 3 роки тому +39

    This is special speed views from you tube SALUTE for fans to king kiba continue

  • @toptrendswithessie4912
    @toptrendswithessie4912 3 роки тому +45

    We salute all women who stood by their men ....maisha ni hatua...trust the process

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 3 роки тому +1

      Hii ngoma ya kuwaomba Wazazi wa Pisi Kali akupe mototo wao kwa Jumla

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 3 роки тому

      @@saidjuma9782 Nakubal mkuu

  • @elishaj2827
    @elishaj2827 3 роки тому +4

    King kiba

  • @dannelkamau
    @dannelkamau 3 роки тому +56

    shout out and salute to the men with uniform(soldiers)...and their girlfriends who still remain faithful to them while protecting us and their countries

  • @mtokaboys2175
    @mtokaboys2175 3 роки тому +47

    Jaman ebu tujipongeze
    Kwa ushindi wa views
    King anawanyoosha!
    Gonga like tujipongeze pa1

    • @Kiulaini
      @Kiulaini 3 роки тому +1

      cha kushangaza eti views anaongoza but jamaa bado yupo juu eti kwa trend i think kuna mchezo unachezwa

    • @rizikibakar3186
      @rizikibakar3186 3 роки тому

      Tumewanyoosha

    • @privajoseph6038
      @privajoseph6038 3 роки тому

      ata mi nashangaa tunaongoz views af tunamda mfupi ngoma imetoka af et domo yuko juu yake tena

    • @japhetmanyonyi404
      @japhetmanyonyi404 3 роки тому +1

      Salute

    • @alfylegit9573
      @alfylegit9573 3 роки тому +1

      @@privajoseph6038 Domo hapendi kushindwa. Lakini kwa ukweli kiba ni mfalme hata wakilazimisha domo awe juu on trending. Sisi mashabiki tunajua domo hana lolote

  • @chinonsoakunwata2882
    @chinonsoakunwata2882 3 роки тому +58

    This one na bomb rude boy no de disappoint....🥰🥰🥰🥰I salute all my African brothers/sisters, one love..🥰🥰🥰.

    • @sultanadam5529
      @sultanadam5529 3 роки тому +1

      Salute yo to you all the way from east Africa 🇰🇪🖖🏽🖖🏽

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 3 роки тому +1

      Salute🙋‍♂️🙋‍♂️🙋‍♂️ you all way from the kingdom of Saudi Arabia

    • @royalroyal8633
      @royalroyal8633 3 роки тому +1

      Ok kig kig

  • @princessalisi4588
    @princessalisi4588 3 роки тому +2

    ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ God bless you Alikiba champions boy👑👑👑👑👑

  • @mohamedmussa3931
    @mohamedmussa3931 3 роки тому +81

    NICE VIDEO
    NICE VOICES
    GOOD ARTISTS
    GOOD MUSIC
    SALUTE FOR ALL FANS TANZANIA AND NIGERIA

  • @kambulatamwambablaisenews5128
    @kambulatamwambablaisenews5128 3 роки тому +40

    This is a singer guy, you feel the music till in your bonds. None of insult inside full of respect. Kiba you deserve our respect. Thank you a lot kwa mziki mzuri kama uyu naku fanya mungereza kuimba kiswahili kama mtu anae zungumza vizuri kiswahili. You an artist with an natural art in you bro. Big up

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦

    • @kamedia1066
      @kamedia1066 3 роки тому

      ua-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/v-deo.html

  • @musty2025
    @musty2025 3 роки тому +56

    Kiba fans let's make Salute 1m before 23hrs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @isakajunior7139
      @isakajunior7139 3 роки тому

      Remember Almighty Allah is not your father, to say fans of Alikiba have special place in heaven, you will be answerable for that words in the day of judgement

    • @musty2025
      @musty2025 3 роки тому

      @@isakajunior7139 Everyone will be answerable to their own deeds 😂😂😂stop being petty

    • @jumasherry9679
      @jumasherry9679 3 роки тому

      @@isakajunior7139... He might made a mistake by his mouth or fingers but let's not wish him a bad judgement. Though we can pray to Almighty God to forgive this human as our fellows

    • @musty2025
      @musty2025 3 роки тому

      @@isakajunior7139 You should just tell me to edit my comment, No one is perfect

    • @sammaisak7503
      @sammaisak7503 3 роки тому +2

      Tunafika in 22 hours 💪💪💪 let’s gooooooo

  • @sharoncinthia6593
    @sharoncinthia6593 3 роки тому +2

    Hizi ngoma mbili na video Kali sana. King kiba umeamua kuwapa adabu watoto wadogo kweli salute braza .l hope ur the best this seriously....

  • @jamieowino5756
    @jamieowino5756 3 роки тому +57

    SALUTE to all Soldiers wives whom are waiting patiently/ praying n waiting their hubbies to come home safely. #2Kings

  • @Bdazzo_Media_Tz
    @Bdazzo_Media_Tz 3 роки тому +71

    Hii salute NI balaaaa NAOMBENI like zangu jaman kutokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @chinemeremugagu4650
    @chinemeremugagu4650 3 роки тому +41

    Rudeboy voice is wonderful

  • @ronnyhmasigah6271
    @ronnyhmasigah6271 3 роки тому +2

    Mimi nimekwama hapa, daah...kali hii. ✅

  • @1725Co.k
    @1725Co.k 3 роки тому +42

    All the from Kenya salute to King and Rude boy

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 3 роки тому +166

    King ni moja tu apa Duniani. Twendeni tufikishe like 300 apa kwajili yake.

    • @officialyoungp5654
      @officialyoungp5654 3 роки тому +2

      𝘗𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦 𝘴𝘶𝘣𝘴𝘤𝘳𝘪𝘣𝘦 𝘵𝘰 𝘮𝘺 𝘠𝘰𝘶𝘛𝘶𝘣𝘦 𝘤𝘩𝘢𝘯𝘯𝘦𝘭 𝘢𝘮 𝘢𝘯 𝘢𝘳𝘵𝘪𝘴𝘵 𝘵𝘰𝘰, 𝘸𝘢𝘵𝘤𝘩 𝘮𝘺 𝘷𝘪𝘥𝘦𝘰 𝘢𝘯𝘥 𝘤𝘰𝘮𝘮𝘦𝘯𝘵 𝘱𝘭𝘦𝘢𝘴𝘦:

  • @kalamahafricanah3958
    @kalamahafricanah3958 3 роки тому +54

    Talent bila jasho I say ni moto. Hatununui views Team Kiba. Tunapenya bila jasho. This my 20th time to view💯💯💯. Nikichoka goma lanipa stamina. #salute. Keep on sharing and commenting!!!

  • @frankwachira22
    @frankwachira22 3 роки тому +64

    Alikiba remains the musician and Diamond An entertainer... Kudos Kiba

  • @Liamdorry
    @Liamdorry 3 роки тому +52

    This song is good morning , good afternoon , good night and bye bye love from BURUNDI 🇧🇮

    • @jumasherry9679
      @jumasherry9679 3 роки тому +2

      The theme is perfect when a man goes to war then a woman stays patient for his man💪😎👌🏋️‍♀️🤸‍♂️

  • @vincentonyango9801
    @vincentonyango9801 3 роки тому +37

    Legend Alikiba,salute...
    Much respect from Nairobi Kenya

  • @yoshuasaiba4652
    @yoshuasaiba4652 3 роки тому +194

    Timu kiba cjawahi fikisha like 50 Toka nizaliwe. Salute salute salute...

    • @jumasherry9679
      @jumasherry9679 3 роки тому +1

      Sasa ni 50 + 50 bac ndo ujue ata hela ukiomba elf 10 kwa Team Kiba utapewa 50000🤣🤣🤣🤣

    • @ansilamtana1511
      @ansilamtana1511 3 роки тому

      @@jumasherry9679 hahhaha

    • @felixmwita8752
      @felixmwita8752 3 роки тому

      fire

  • @farajambelengo4184
    @farajambelengo4184 3 роки тому +3

    Yaan ww mkaka napenda nyimbo zako Nakupenda Na ww pia

  • @fongangfrankline4558
    @fongangfrankline4558 3 роки тому +41

    I don't just know why God have to bless one man with everything. King Rude boy,you are indeed bless

  • @jonesiha6919
    @jonesiha6919 3 роки тому +117

    The only thing that Corona has failed to stop in this World is Alikiba's Music...

  • @randynebo6286
    @randynebo6286 3 роки тому +44

    Kenyans here tujuane 👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 2 роки тому +4

    Watu wana haki kutumia aidea yako kiba

  • @s.m.otriplebig4590
    @s.m.otriplebig4590 3 роки тому +53

    walio elewa movie imeishaje wa gonge like kwa heshima, one love king your no 1 musician in east africa no one like you