Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 24 сер 2017
- Download or stream the single here - SonyMusicAfrica.lnk.to/SeduceMe
Follow Alikiba on Social media:
Facebook - / officialalikiba
Twitter - / officialalikiba
Instagram - / officialalikiba
Music video by Alikiba performing Seduce Me (Official Music Video). (C) 2017 Sony Music Entertainment Africa (Pty) Ltd - RCA, under Exclusive License From KingKiba Music
vevo.ly/o8dqPr
Wale wa 2024 tujuane kwenye like apa
🔥🔥
❤❤❤❤
🤴
Still jam 2024
2024 anyone?
❤
❤❤
✋🏿
❤
😅😅😅
2024 n we still vibing to this jam💥💥
😊😊😊😊😊
2023 and i still vibe to this song like it was made yesterday ❤love you king kiba
Almost the end of 2023 and the vibe of the song is at its best
King kiba 🔥🔥🔥haufanyi kilichofanywa unafanya kinachostaili kufanywa
Uko vizur sana kiukwel safi saaana
Tulieni niwaambie kwa nini huwa nasema kuwa kiba ana akili na afanya kazi akimuhofia Mungu, Dont do like that,you're too smart dada,anamaanisha usikubali wewe mdada kuchezeshwa nusu uchi kwani upo smart na video inaweza pendwa hata kama wadada hawato vaa vibaya,"dadas ure too smart vaa kwa heshima, love u kiba.
David Vicent Munishi umeuwa
mh ndio maana yake au umefikilia2
2024 TUJUANE
February 18 2021 ukiangalia huu wimbo niachie like please maan duh
Team kiba forever.nyimbo poa sana
Joyce Kahigwa Ali King 👑
+first writter 🔥🔥
Joyce Kahigwa woyooooo
I love alikiba so much ..anaimba nymbo hana makeke mengi ..much love
good
Mungu akuzidishi miaka 20000ya kuishi dunian Aliy wetu and we love soooooooooooooo much
Vizur ccter kiba noma et?
Pasua kichwa
Chriss Danny Alikiba hiv we.binadam upo?
2024 Tujuane Kwa like Hapa
Now😂🎉
Baada ya kutazama Heat nyingine ya King nikahamia hapa kuseduce Alikiba ni King haswaaaaaa kwenye Bongofleva.
Huyu Kiba hatari aisee...... Naskia wale 7 stars zilipendwa taarabu" wamepanic kule
Kabla siku mbili,yaani ndani ya siku moja jamaa kesha gonga milioni
Hakuna msanii wa bongo aliyewahi kufikia rekodi hii
superbrain jojo sio bongo tu bali afrika nzima
+akida simba Nafikiri Wizkid ndiyo aliwahi kugonga milioni ndani ya saa 24,wengine hawajawahi hata Davido hajawahi.Hata Diamond hajaifikia hii.Ile salome ilitimizaga milioni ndan ya 3 days
kweli unajua kupend maana huna shobo!!! nakukubali sana nawanao kuchukia watasubili sanaaaa tyuuuu!!!
cyo tz mzee Africa mashariki na kati kwa mujibu wa Sony mzee baba #jojo
+Simon Mtuka Ok ok om
Corona inizuii kutazama hii ngoma Kama bado na wewe una itazama gonga like tujuane 💯
hana mpinzani😂😂😂kiba fo real
mixer ladha kibao❤❤❤i like
Halijawahi kutokea dude kama hili Dunia nzima Wazungu watakuja kuligundua liko so hot miaka 50 ijayo na litampa King uking wa Dunia #PopoteAlipoKingcommentna Likeyanguuuuyooooh.
who else is in love with this part of the song, "Too smart dada😍😍 they call me heartbreaker na majina mapya kila moja amenipa, wananiita kipusa ohoooo wapaswa kichwa.....😍😍😍😍
Rio Mo meeeeee
Rio Mo me 🙌
The song is doooooppee
they call me heart breaker
Rio Mo Anasema "I am too smart dada" sio too small data. Wimbo ni mzuri mnoo kwa kweli.
GONGA #LIKE KAMA NA,WW UMEIPELEKA HI VDO 1M CHINI YA MASAA 48
#KINGKIBA *kpenzi cha watu*
Nani anawatch hii song 2020? Gonga like tukienda. Much love from 254 #KingKiba the king of bongo
Kali tu sani.... Nani ana agree na mm💥💥💥💪🏽
Hii ni ngoma kali itapenya pole pole na hana haja ya kutoa wimbo mpaka mwisho wa mwaka ujao,tatizo watu wanapenda vitu rahisi vinavyochuja wiki mbili,hongera King Kiba
some how but,,,,,,,,,
Omari Bahali poa sana hiii ngoma ananikosha sana ndg wang big up sana my King Kiba
Marco Mwaimu huyo ndo king
Kwa song hiii wallah kusikiliza sichoki nazidi kupata wazimu
mpaka leo msimu wa nyimbo mya ya Mbio nipo nasikiliza hii seduce duh, hakika hili jiwe lilikuwa ni jiwe la mauaji, #mbio. Ambao tuko pamoja kote tujuane sasa natoka hapa naenda kuangalia video yake ya MBIO
Jumamosi kuu 11/04/2020 Natoka kwenye Dodo nimekuja ku seduce!!! 😊😊😊🎧🎧
King ni nin unachowekaga kwenye nyimbo zako kila tunapo zisikia zinakuwa mpya
kiba we kiboko baba nakupenda mpaka naumwa.nyimbo unacheza hutokwi jasho jamani loooh. hujawai kumuacha mtu salama watajuta kukufahamu Safari hii
taratiiibu
Pasua kichwa
alikiba hajawah kumuacha mtu salama jaman eeehh saluuuuuute
A year down na ngoma bado yatesa mitaani nchini kenya....kama wamkubali kiba gonga like tuzidi kuonesha upendo
Powerful
Tokooossss mon artiste💃🕺💞😍🥰🇨🇩
Tuongezee bidii kufika kesho iwe na 2 M. God works in a mysterious way
Brayton Sangs umeona ee. kila ukiiangalia utadhani mpya
Jacquiline Tenth jaman wanakalibia kutufikia kwahiyo tuzid she
jackline tuko pamoja me mpaka you tube wameanza kunizila nabado nazid kuangalia
haiwez fika
+Eben manning baki kushangaa paka wew saiv 1.6M nyoko kabisa
kiba watu wanakupenda sana .ukwel hiz rekod unazoweka kwenye music wa bongo na africa nzima znaweza kuchukua hata karne nzima kuzivunja .....madale huko hawalali wanawaza kukushusha..lakin cc tuko nyuma yako . .....tunata kufkia mwezi mmoja tufkishe milion kumi ..kwa kas hii tunafkisha...
M4 inatakiwa jaman!
Mungu ni kwema, tutafika tu!
Nassoro Mussa umesikia wimbo wao na pantoranking siuelewi
Melissa Mfaume ndoo maana #King aliamua telekeza nyimbo yake na Patoranking aliona ujinga. Kwahiyo Malkia alikuwa anataka King akiachia Song na Patoraking nayeye aachie nyimbo hiyo. Kumbe jamaa anacheza na ajili?
upo vizuri nakupenda sana kaka
🇨🇩🇨🇩🇨🇩💃🕺🥰😍 la vraie Star une belle mélodie
Wananiita kipusaa oooh Pasua kichwaa
Kila dakika nipo huku naangalia one million itafika saa ngap
Rebeca Kihwelo in 1 hour
Rebeca Kihwelo ndani ya nusu saa tutahit target ... Endelea ku re view😇😇😇
Rebeca Kihwelo ww team domo au?
Rebeca Kihwelo tayari one million 💪💪💪
Rebeca Kihwelo ishafika m moja. ado naangalia hapa
Wana 254 tuko ndani kuliko watz,,,aye!!kumbuka kuni#seduce
Cydah cannielevha seduced u
NDAAAAANIIIIIII....NDAAAAANIIIIIIIII...NDAAAANNNIIIIIIIII...fix our political famous accent
Mambo nihajra alikimbi nunoma San
Cydah cannielevha pamoja 254
Cydah cannielevha apo kabby umenena kabisaa
Unbeatable, unstoppable,undisputed King, unforgettable hits,never old.
From federal way 🇺🇸 alikiba the 💣 of all tymes
Juu tu sana !!!! wapi likes za wazito wa King'Kiba +254???
Davvis Mk upo wp ww
Davvis Mk nikoo
wow very nice songes
Radhiaabdallah Radhia niko mombasa county 001 !!
mamaeeee kibaaa fundi haki ya mungu hii ngoma hatariii 🎶🎶🎶🎶👊💉
Hamphrey Alphonce hataaaar hyu jamaaaa🔥🔥🔥
hatarii hii ngmaaa kama ulaya
kiba kweli wewenifundi hatalii nakukubali
Hamphrey Alphonce acha unafiki kaimba utumbo haman kitu, watu kama ww hamfai mnasifia utumbo tyu
Hamphrey Alphonce 😂😂😂😂dah sio kwa kumpa mbichwa uko sasa kaimba nini
3 years later still feels like i am listening for the very 1st time
And that is the meaning of good music🔥🔥🔥
Me to 🥰🥰🥰 listen to him everyday 🙏🏾🙏🏾🙏🏾😎😎
2022am here
Yes same here
Yes
Wananiitaa misifaaa ohhh pasua kichwaaaaaa duuu utadhani nyimbo imetoka jana kinggggkibaaa
Hakuna kama king'i kiba pigakekeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew
WoYoooooooooooooooooooooooo
oyooooooooooooooooo Shkamoon Team king kibaaaaaaa
King sio MTU mzuri hawezi kumuacha malkia wangu salama ona sasa wanaimba taarabu ha ha ha ha mtoto Wa ommy dimpoz haelewi elewi
mustaph yassin umeona ee
mustaph yassin safii
2021forever my king of music🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
All hail king kiba ❤❤❤
Hiyo sauti yako tu inanifanya nakosa ucngizi nikikumbuka seduce me naamka naangalia yaan hyo sauti tu nakojoaaaaa hivi kiba kwann unajua hivi jibu ni kipusa unstopable
nisheeedaaah
umetisha Rebeka 😂😂😂
Rebeca, nimekupenda bureee
Rebeca Kihwelo hahahahaha rebeka kihwelo
Rebeca Kihwelo I love u
Yaan whole day niko naangalia this video mpaka bando liishe
Brayton Sangs hahahahahaha itakua😂😂😂
Brayton Sangs aendeleee hivi hivii asitoe nfoma mpaka tummisss mama hii itaishiiiii
Lightness Manosa pamoja👏👏👏
Lightness Manosa tuzidi kuview dada ifike 1 million tuwadunge midomo
Issa I see you .....kwenye mziki mzuri
2020 tujuane hapa 👇👇 Kitu bado mbamba sana kitu fire 🔥💯✅ like kama bado unakubali hii ngoma 👉🙏🏿🔥hata 200 like and God bless u more
11/4/2020 nacheki ktu kikaliiiiiiii😘😘😘
Nyimbo hii imetulia yani unaweza kuagalia na wazazi na watoto kweli ww ni king kiba huwa hubatishi nyimbo zako zote hazinaga matusi wala kuvaa vichupi .Good job ali kiba
mariam bb umeongea point
Trueee
nice
mariam bb Anajielewa mzee wa Yoooh!! Sio wale wanuka maziwa 😀😀😀
mariam bb sio zile za kubinua matako na vichupi... Kuiga nje sana
king kiba fans ,mnanifurahisha tumerud tena #1 ila tuna jisahau tukaze tuweke record ata zaid ya wik 2 tuwe apo,lets keep watching tusichoke
Adam Hashimu -Safiiii...
+karim issa yap tukaze si unaona yani tukiwa bze kwa mda tukamata namba ytu tukisahau wanapanda so nikukaza tu , let's keep good music alive
+karim issa yap tukaze si unaona yani tukiwa bze kwa mda tukamata namba ytu tukisahau wanapanda so nikukaza tu , let's keep good music alive
Adam Hashimu sawa sawa
Adam Hashimu okay
Mimi Timu mondi. Ila hii song daah Alikiba ulitisha sana kaka
Hii nyimbo ilileta shida Sana na WCB wakitoa zilipendwa Ila seduce me daaaahhhhh🔥🔥🔥🔥
Diamond kama ww ni kichwa na unamsuri nyanyua jiwe hilo tuone??? Hatutaki kwaya zenu hizo mmejirundika kama fungu la dagaa wa mwanza lkn mmeshindw. Dhuu ninafrah kubw nahisi kuchanganyikiw kwajili ya alikib hajawi kutuangush mashabiki wcb mkale nyasi huko kama vip diamond rudi huku kigoma ukavue samak ziwa Tanganyika kwa uimbaj huo ata mi nawapig chini
Nickson Briton duuuuh wewe niatari sasa 😅😅😅
Yuko vizuri, kwanza alivyochanganya hiyo nyimbo m taaban nikiwa chooni kiba nikiwa bafuni sudece nikwa nalala niko nayo
ha ha haaa mim je
Shadya Shaban king king king king kiba
Hahahahaha sijui kusoma ila comment yako nimeipenda
3.5 leo tunatoboa au mnasemaje gonga like kama tupo mamoko
Alikiba bwana kijana m bunifu sana huyu
It's one of my favorite songs. I found it beautiful and sexy as much as I never really understood the lyrics❤ 🇿🇦
Please kingkiba fans tufikishe 3million to show diamond yakuwa usidharau mtu yeyote mafans wa alikiba let do this i love you so much may God bless you long life king kiba👌
Hellenah Willykeystar okay
Hellenah Willykeystari itafika tuu dea
Safiiii....kazi kazi
Hellenah Willykeystar uwiiiiiiiiiiii Ali utatuuuwa
Khadija Khadija Atatuuwa na mazishini hatokuja
Hot song
Wee Mungu akusimamiee ......ningekuwa na mafumbaa ningekupa kama zawadiiii
Once again You deserve to be The King of Bongo Flavour 🤙💪💪 watching #Seduceme from Mpanda Hotel
Alikiba you are something else you just bit "eneka" in one week while that song was on market in 3mouths Big up Even WCB naelewa wana uwoga sana kwa hilo nani anakubali kama alikiba kazima eneka tuachane na zilipendwa gonga like twende
erick nsabi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻👑👑👑🙌🏻🙌🏻
Saida Choti thanks
erick nsabi respect
erick nsabi 😂
🔥🔥❤👌
Binafsi nimependa mtazamo mpya wa video nilikuwa nimechoka na wasanii kuazima nyuma ama hoteli za kifahari kushoot movie wakiwa na wanawake waliojibleach mpaka meno.
Faiz Abdallah nimekusoma broh...bongo tumekalili
King ninouma
Faiz Abdallah ukweli kiba ako tafauti nao
fala kabisa,nyimbo ya AJE alikodesha hoteli pia,uzushi tu huu
Kevin Nganga wewe dio Fala get the fuck out of this page if u aren't kiba fun.eda huko kwa zilizopedwa dio maana anagagana na wa mama wazee huyo diamond wenu🖕
Timeless, it's 2023 still loving this 🇹🇿🇹🇿
Imetoka dodo imefunika na kufunga kila kitu mpk sasa hakuna Song Limeingia trending kwa masaa 5 mpk sasa alaaaaaaaaaaaaa wakaungana na quarantine yao bado king is king 👑 tuu
Q
5million wow tunasonga team kiba
I can like this song 20times and still not enought.. Love Our KIng KIba ,,, Seduce me like whattaaa hell
Naj King always be a king forever
we need to watch this song again
Am here in 2023, Ali's songs are truly amazing!
Nani Kama King kiba be blessed
Hii ngoma Nailaani Haitozeeka Kamwe
Wow
Kama Mpya Kumbe... Hizi ndo kazi za Utu Uzima
Like kama Umekubali Ngoma Haitozeeka
I don't like that, I'm too smart Dada. it makes me feel better
seduce me #####😁😁😁
Nomaaa sana huu unyama
Unainje ukikaludia
Saw this song on trace Africa years ago....fell inlove with Alikiba's voice.....this song is my favourite from him....the first song I ever knew from him.
Love🇧🇼🇧🇼
Love you my dearest singer
Love From Pakstar Point.
Milion 10 bado tu jmn tupate nyimbo nyingine ya taifa
Vipi kwniii
Good music Ali kiba
Love you from +254
bigup brother no one like you on this country so your music is very sweet
Jofrey Bahati so sweet
WANGOI SALIM Kenya iyo?
TUSIISHIE APO TUENDELEE KUWATCH TUUUU....
WANGOI SALIM tuko 254 kib
Wale wa 2024 tujuane kwenyelike apa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila mi siamini kwann hii ngoma ili stuck kwenye 12M .... hii ngoma ilibidi iwe 50M uko now
dyuuuuuhhh wabongo siyo wa sport sport aiseeeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌 nataka nikale karanga diamond getini kwa kiba 😁😁😁😁 maaaana najua Wasafi wamebakiza karanga tuuuu mziki hqkunaaaa 😂😂😂😂😂😂 kibaaaaaaaaaaaaa mwaaaaaahhh am too smart dyadyaaaaaaa
Views 1.9 tujikaze mpka saa kumi tuwe n m2
duh wewe noma
Shamimu Idrisa kabsaa ndugu
kibaaa kipenz cha watu
hehehe hatareee
Hellow King iyo nizaidi ya fire natamani uwo wimbo uchukue nafasi ya wimbo wa taifa yani Tanzaniax2 its means ikipigwa hiyo ngoma raia yeyote harusiwi kukaa lazima asimame liweni kosa la jinai kudharau ilo dude pasuwavichwa #Seduce me#
hahahahahahahahahhahahahahahahaha
sakina Omary hahahah
😘😘😘😘😘😘
hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha h
sakina Omary hahahahah umeniamsha dudeee
Addictive to the song and to this beautiful girl
Aisee aliyepiga hii beat ...heshima zake apewe
Who else watching this while scrolling down on comment? Hands up ✌🏿 like this 🙏🏻
George Bidance lol,me here
Purity Mumbi this song it kills everywhere 🙏🏻🙏🏻😍
George Bidance nikoo
George Bidance Mimi hapa
Iko juu big up to all who are tuned in
Japo kuwa sijui kiswahili ila mzee baba umetisha sana Huku Pakistan tunautumia kutulizia vita hata waasi wakiuskia wanasahau kupiga mabomu yao
Shirima Leodiga 😂😂😂😂😂
Shirima Leodiga wachaaa...mzeee....😁😁😁😁😁
Shirima Leodiga 😂😂😂yako kali
hahaha sawa wasalimiee
Hahaha atar xx apo umeandika lugha gan
This song is still fesh nikama imetoka Leo.
Ambao Bado mnalisikiliza hili goma tujuane
mm napita kila baada ya saa 3 nachek viewers duu this is king kiba buana
omario awesi good ilaitabidi upite baada ya lisaa maana king kanyosha sanaa
C umekosa kz
omario, kama mm yan kila baada ya nusu saa nachek pia
jamila cheyo mm kila dakika tatu apa nipo
midakika
This song is really trending hapa
Kenya
Every radio station or tv is playing it every hour
It's very awesome
Robinson Wamae imeshika nomaaa
Robinson Wamae ww kwl? We call him king Kiba
Robinson Wamae washitue wana bac
Robinson Wamae sio kenya pekee , ujerumani tuko ndani ndani ndaani unstoppable king mkali wao
Uwiii you Nailed my King kiba
The still alive years that isn’t simple to any other artist in tanzania seduce me no body may pay the but the king himself by so hot!!!! Ally i love you bro
This hit is hot till date.25th DEC 2020
kingkiba ulitoa ahadi kwetu kwamba seduce me ikifika 10M utaliamsha ahadi ni deni tumefikisha sasa
Kadogo.. pasua kichwa
Wanaotaka hii nyimbo ikae trending for 2 weeks like
Beni Mlisa sawa twende kazi
Wapi likes ya king kiba actually is the king of bongo
Alikiba is 🔥🔥🔥🔥
Gonga like kama tuko pamoja 2019
.🔥🔥🔥
Ali kiba utaniua mwenziooo.. Mara ya 23 nasikiliza jaman..
Muse Marwa nguvuu ni moja kuusikiliza mpk tupasuke vichwaaa
Muse Marwa mim ishapita 50
Mi zaidi ya 100 haki nimeusikiliza tangu ukote mpaka sasa hivi
Muse Marwa badooo ongeza m naangaria mpaka matangazo kabra ya nyimbo kila napopata mda niko hewan
l love this song, alikiba big up
Oya goma za kiba ata kama ninyakitambo but utafikiri katoa Leo bwana utunzi ni Bora Kwa nyimbo king is only one in East Africa is king kiba
I love this song to hell...kama unarudi hapa every hour kama mimi like...
Kama unapenda hii song kama Mimi nitafute
@@karanjakenyan8745nishakutafut 😂😂
@@halimanuriya Tumetafutana tunao upenda wimbo 🙂🙂
Nice one
@@karanjakenyan8745has
Ambaye bado anaangalia hii nyimbo mpaka Leo agonge like yake hapa
kaliii
Who still watching in 2019??
Kiba unajua mzee baba
Your the best king👑
Mchujo hakuna hapa kama imetoka jana
like za waliokuja hapa baada ya kuangalia new hit DODO.
Dodo and so hot na bado tena mawe mengne
Bado naicheki
Four years later and I'm here for this master piece from King 👑
Ngoma la dunia nzima 😘😘😘😘😘😘 love u KingKiba