Safi, Ushauli_ wasanii wa kisukuma wote mapungufu hayo mnayo, Tungeni nyimbo Kwa kisukuma mwanzo mwisho bila kuingiza kiswahili, Tunzeni rugha na Tamaduni zetu pamoja na uasilia wetu. Kazi nzuri sana mnafanya pia mpendane muemnafanya Tamasha la wasukuma wasanii Kila mwaka narudia Tena kirugha mwanzo mwisho ..👏 Ngw'abheja

❤
Huu ushauri ni mbaya haufai
ushauri zero huo. Una promote Ukabila wew
Honestly....This Is A Nice Song. Congratulations
❤❤ ngoma nzuri
Pamoja sana kamanda
Ok jumbe nzuriii sanaa mko good sana
Instanibulu😂😂😂😂
Nyimbo nzuri mno. Madancer wana nguvu ya kutosha
Hongera sana wimbo mzur
Nmeukubali❤
❤❤ safiii
Da wimbo muzuli sana
Du pebe katuacha kweli 😢😭😭😭
Duuh😢😢😢
Pimzika kwa amani Mzee pembe
Mbn ndio naisikia some things is good
Saf San kaka Kaz nzur❤
❤❤😂
👍👍
Wimbo mzur sana
❤❤❤🎉🎉🎉😂😂
acha iwakimbize hii nyimbo wanataka kuleta zalau kaka hatuna utani saivi na wasubili mwakani kwenye game tuko moto
Ilikuaga wapi hii nyimbo
Good
Et pembe amefark
HAPANA HAJAFARIKI BALI ALIKUFA NA ALISHAZIKWA.
Hhhhh et hajafarik bal alikuf duu mtian asa ap kun tofaut gan yakuf na kufarik hhhh