Tangazo rasmi la kanisa la TAG kuhusiana na Magembe kuhama TAG. Tulitaka sana abadilike awe kama..?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 171

  • @timotheostanley1469
    @timotheostanley1469 16 днів тому +9

    Mkigusa mmejichanganya ana ngv z mungu yule sio msaniii

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 16 днів тому +6

    Mungu ambaliki sana magembe yupo sawa

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 17 днів тому +14

    Mungu awasaidie sana mjitambue

  • @esther9892
    @esther9892 17 днів тому +10

    Mujuwe kama Bwana Yesu anarudi mutubu zambi,

  • @CesiliaMrema-y8p
    @CesiliaMrema-y8p 17 днів тому +10

    Magembe jembe la yesu,

  • @carolinemasaka1400
    @carolinemasaka1400 15 днів тому +1

    Mungu Awasamehe kwa Kumpiga Mawe na kumzihaki. Mtumishi wake wa kweli Aliyepewa Mzigo wa Kuubeba Uamsho wa kweli wa Kanisa Lake. Yesu Wetu yuu Malangoni. Tubuni Nyie wachungaji wa kuchumia Matumbo yenu. Oleeee Oleeeee Oleeee

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 17 днів тому +4

    Yesu tusaidiye sana na kutuvusha nyakati hizi za mwisho hizi

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn 17 днів тому +4

    Kiukweri mzee wetu magembe yuko sawa tag jitafakarin hasa viongozi kanisa liko hoi kabisa Mungu aliponye kanisa

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 17 днів тому +9

    Ninafikiri Magembe hajachafua TAG isipokuwa ni kuwa akisema TAG imekufa inamaana ameona kuna maovu yanayoendelea. Ila Magembe atahama TAG na wafuasi wenu na mali zetu

  • @jeckobass7502
    @jeckobass7502 17 днів тому +9

    Binfsi yangu magembe jembe sanaaa

  • @DeboraMsigala-k9f
    @DeboraMsigala-k9f 17 днів тому +2

    Mungu atasaidie tulijue neno la Mungu tusimame katika kweli

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 14 днів тому +2

    MAGHEMBE hajaasi nyie ndo mmemuasi YESU

  • @gaudencenkwera1040
    @gaudencenkwera1040 17 днів тому +3

    Hali nimbaya waovu kijitia moyo wakiikataa kweli. Yesu awasaidie

  • @zainaluoga1666
    @zainaluoga1666 17 днів тому +5

    Mungu awasaidie,uwongo madhabahuni hamuogopi.

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 17 днів тому +5

    Na hapa ndipo uamsho utabaki kwenye kauli mbiu msiishie kumsema vibaya mzee magembe chukueni hatua za machozi kuliombea kanisa na kulisimamia ni kweli hali ni mbayaaaaaaaa

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 17 днів тому +5

    Magembe Mungu akubariki Sana aaaaa,umekua baraka kwangu

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 14 днів тому +2

    MBONA HAMJIULIZI kwa nini WASHITIKA asimimia 90 wameamua kumfuata Mzee Magembe??? Mnabaki kupigia watu simu ovyo kuwaita

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 16 днів тому +2

    Mungu amefanya jambo jipya dhambi ya mtu haitamuasiri mtu mwingine mwanadamu simama kwA miguu y'ako Yesu amefanya ibada ndani ya mioyo ya watu Yesu hategemei din.Mungu awasaidie wasifu dini narudia din ni shule

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 17 днів тому +2

    Bwana Atukuzwe Mbarikiwe Sana Viongozi na washirika mliotulia vita ni kali aYesu yu Karibu tutafute sana kumaliza na Yesu Kristo Aliyehai. Hongeleni Sana kwa kutulia ni Bwana Mtayaona Matukufu Yake. It pains.

  • @lucaschacha633
    @lucaschacha633 17 днів тому +6

    Ni kweli Kanisa la TAG limekufa hawataki kuambiwa ukweli, Magembe amekua akawaambia ukweli

  • @VailethAkim
    @VailethAkim 17 днів тому +6

    Kuhubir Uamsho kweli ni Gharama.

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 12 днів тому +1

    TAG, Mnapaswa kubadilika nyie na kuwa kama MAGEMBE kwa alivyo sasa.
    Kwa sehemu kubwa, mbadilike nyie na Mfuate yale yalio ya haki tu katika MUNGU.

  • @bensonmwaikuju9226
    @bensonmwaikuju9226 17 днів тому +12

    Inaonyesha mnaipenda TAG yenu kuliko Yesu Mfalme! Anakuja mwanaume Yesu na kila jicho litamuona!!!!
    TAG jifanyieni tathmini

    • @isayamwanjoka3958
      @isayamwanjoka3958 13 днів тому

      Acha unafiki wewe

    • @bensonmwaikuju9226
      @bensonmwaikuju9226 8 днів тому

      @isayamwanjoka3958 Labda kama hujajua, mnafiki ni mtu anayeogopa kuongea kile anachokiamini kwa kuzihofia kashfa za mtu kama wewe. Unaweza ukashauri lakini huwezi kumfanya mtu aamini unachokiamini tena kwa kigezo cha kutukana. Mwanjoka gani wewe mwoga hivyo??

  • @EmmyRungwe
    @EmmyRungwe 17 днів тому +6

    Dah kanisa linakwenda wapi?

  • @HongeraCharles
    @HongeraCharles 17 днів тому +9

    TAG ya mtokambali ilishafirisika kiroho imekuwa dini kama dini zingine ni hatari sana kabisa kufungamana na serikali na wachungaji wa TAG ni usalama wa taifa sisi waumini tunaogopa hata kuwashirikisha mambo yetu tunaogopa kutekwa.

    • @FloraKenyunko
      @FloraKenyunko 17 днів тому +3

      Nimecheka kumbe🤣

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario 17 днів тому +2

      We huogopi kumbe wachungaji hao ni usalama! Du?

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 16 днів тому +1

    Ombeni Mungu awaonyeshe mambo ya kiroho na sio ya kimwil.

  • @DanielAnointed
    @DanielAnointed 17 днів тому +6

    Magembe tutamfuata popote anapoenda

  • @MasanjaMkama-bd9rc
    @MasanjaMkama-bd9rc 17 днів тому +2

    Kwn DHAMBI kujenga UFALME mmoja

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 16 днів тому +3

    MALI ZENU AMEWAPA HANA HATIA MZEE WA WATU SHIDA YAKE NI WOKOVU SAHIHI

  • @aloismwenda8975
    @aloismwenda8975 17 днів тому +6

    Acha uwongo hata unavoongea unaonekana mwongo

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 17 днів тому +7

    Mimi nasali tag ila ndo nimehama.tag ukihama unaonekana msaliti kumbe YESU anakuona kiumbe kipya.

  • @felicianvictor8223
    @felicianvictor8223 17 днів тому +4

    Hata mm naona ni kweli TAG imekufa

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 17 днів тому +4

    Ni kweli kanisa la TAG mmmmm

  • @emmanuelrweikiza6117
    @emmanuelrweikiza6117 17 днів тому +1

    Kwa kazi aliyoifanya mch magembe sikudhani kama inawezekana kukaa kueleza yaliyo kinyume kuliko yaliyo mazuri. Nadhani kuna kitu shetani amepanda kama wakati.ule wa kulola na lazalo ila Mungu ni mwema atampigania mpakwa mafuta wake na atasimama vizuri

  • @daudimgaya725
    @daudimgaya725 17 днів тому +3

    Mungu turehem

  • @molexevelist813
    @molexevelist813 17 днів тому +3

    Hakuna kitu apo mmevumilia yeye kupasua injili ya kweli au kuwatukana

  • @mwinjilistigodvoicemshanga
    @mwinjilistigodvoicemshanga 17 днів тому +3

    Nyie hamna tofauti na dini saivi

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 17 днів тому

      Ni mafarisayo tu Hawa, MUNGU atawajibu muda si mrefu

  • @danieljonathan6619
    @danieljonathan6619 15 днів тому

    Maghembe yuko sawa ✓

  • @aloismwenda8975
    @aloismwenda8975 17 днів тому +3

    Unamwaga povu sana ongea polepole tu

  • @JoyceMtambo-d1l
    @JoyceMtambo-d1l 16 днів тому +1

    Sawa Askofu Mzee mhiche wa TAG kizuiani

  • @petersongoma7183
    @petersongoma7183 17 днів тому +1

    Mmmmmh! Inauma sana watumishi

  • @justinemlula3482
    @justinemlula3482 17 днів тому +4

    Jitambuenii

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 16 днів тому +1

    Magembe.anahubiri.injili.ya.siku za.mwisho.ila kanisa haliwezi kufa.ni mawazo yake magembe anapenda.kuangalia.mabaya sana

  • @timotheostanley1469
    @timotheostanley1469 16 днів тому +2

    Vyeo sio utakatifu😂

  • @ChristinaKembe
    @ChristinaKembe 14 днів тому +1

    JAMANI jamani PESA GANI hizo jamani na wakati MCHUNGAJI ameanza upya jamani!!!

  • @ObadiaMgidange
    @ObadiaMgidange 17 днів тому +4

    Mmmmm mhiche sijakuelewaaa kabisaaa baba mbona kama siasa vle kulkoniii.. yaaani tag ya Sasa HAMNA kitu kabisaaaaa

  • @hakizawasaniinaceleales6238
    @hakizawasaniinaceleales6238 16 днів тому

    Magembe sio mwanasiasa

  • @CHEMCHEMIYAUZIMA
    @CHEMCHEMIYAUZIMA 17 днів тому +3

    mngempa uaskofu😂😂anyooshe rula

  • @AminaKyungu
    @AminaKyungu 17 днів тому +3

    Mbona magembe hajaongea mengi

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 15 днів тому

    T.A.G. ikoshida kwa uongozi wa juu idala 11 au 13 hizi zote zinahitaji pesa haithamini mshilika ambaye hana pesa T.A.G naipenda sana ila mifumo sio mizuri mtokambali angalia kama hutojali bas nimenawa mikono weka mifumo rafiki na sio mifumo kandamizi ili tubaki T.A.G nje na hapo inapoteza njia japo sio maombi yangu hayo Mungu awabariki

  • @isaacmligo9187
    @isaacmligo9187 17 днів тому +3

    Huyo msomaji mbona anaongea kama mipasho yuko serious kweli mtumishi

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 16 днів тому +2

    Mm nawaombea.tag mjitambue mjue.kuwa.dini.ni.shule dini ni.geleji kuna.shule.za.praiveti na kuna.shule za serlikali shule kuna watu hawana akili.kabisa na.gereji.kuna.vigari.havina.spea mmekalili.sana kuzisifia tag mmemsahau.Yesu nawashauri.bwana.din ni Yesu saizi kila.din mafreemasoni.yamejaaa na ni kweli kabisa linahitaji matengenezo kanisa.ni.watu.walioko kwenye dini zote

  • @edgarrich9895
    @edgarrich9895 17 днів тому +2

    Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii halama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 17 днів тому +1

    Changamoto kubwa sana

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 17 днів тому +1

    Mipasho miiiiiingi loooh

  • @JosephinaNyamahanga
    @JosephinaNyamahanga 17 днів тому +2

    Jamani huu moto wa uamsho tutausikia tuu

  • @JoshuaJohnas-sv4fn
    @JoshuaJohnas-sv4fn 16 днів тому

    Mchungaji Magembe MUNGU akubariki kwa kuisimamia kweli.
    Uamsho sio siasa kunyeyekea .p
    Mchungaji Magembe MUNGU WA Mbinguni akubariki.

  • @MosesMussa-s9n
    @MosesMussa-s9n 17 днів тому +1

    Ninyi ni chama Cha mpira. Jisajilini kama chama Cha siasa au mpira

  • @jimmymafufu7394
    @jimmymafufu7394 16 днів тому +1

    Zee fix kweli daaaaa

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 16 днів тому

    Pesaaaaaa shikamooooo

  • @erastomwambeje9920
    @erastomwambeje9920 17 днів тому +2

    Huko kunyamaza tayari ni tatizo.
    Mbona sisi wazungu wanatuchangia,tatizo wapi

  • @MathewMdaki
    @MathewMdaki 15 днів тому

    Acheni kupotosha agizo la Mungu. Hakuleta kanisa bali alokuja kuibubiri injili pasipo na ubaguz

  • @theopistakilasi5428
    @theopistakilasi5428 17 днів тому +2

    Ukiona watu wanaavizana habar za uamsho inamaana palikuwa na hali ya kulala.

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima 17 днів тому +3

    Niukweli kabisa tag jilekebisheni

  • @Shalom803
    @Shalom803 17 днів тому +2

    TAG haihitaji viongozi wenye mawazo mbadala. TAG mliachana na Askofu Mathias Ng'andu; na sasa ni Moses Magembe. Mnako kwenda siko. You seem you dont want to be challenged or to have someone with a different view

  • @tituslucas2348
    @tituslucas2348 17 днів тому +1

    Noooo ! Kanisa liko mbali sana na bahati mbaya nyie wakubwa hamtaki kubadilika ila shida ni madaraka tu na pesa

  • @ABELSIMON-z7w
    @ABELSIMON-z7w 16 днів тому

    UAMUZI WA MAGEMBE NI WAKIUME HONGERA SANA MTUMISHI

  • @ashelikilele167
    @ashelikilele167 17 днів тому +2

    Pesa zitawauwa hakuna chamana mnacho kijuwa nikukuza matumbo

  • @PhilipinaMakundi-n8u
    @PhilipinaMakundi-n8u 15 днів тому

    Magembe yuko sawa asilimia 100.Kanisa lijitathmini siyo kujitetea.mwenye macho haambiwi tazama.

  • @timotheostanley1469
    @timotheostanley1469 16 днів тому +1

    Tusiwadanganye tupo nyuma y mzee kw kwel 😂

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 16 днів тому +1

    MAGEMBE AMEOKOKA ANAMSIMAMO SAHIHI WA WOKOVU HANA MAKOSA

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 16 днів тому

    Magembe Yuko sawa hata kristo walimuambia anakufuru

  • @Mrkaugarifashion
    @Mrkaugarifashion 17 днів тому +1

    Jamani mimi nilikuwa TAG Lakini sasa nimehama maana siwezi kubakia kwenye uozo wa namna hii TAG jitambueni YESU analudi waambieni watu ukweri ole wao wachungaji wanao ificha kweri hayata ishia hapa duniani yuko mch. Mkuu anakuja Mungu awasaidie na MOSESI MAGEMBE Saa inakuja TAG mtamkumbuka

  • @Malak4.5
    @Malak4.5 15 днів тому +1

    Nyinyi ni viongozi wa Laodikia vipofu na uchi mnapenda pesa kuliko kuwaubiria watu Neno la kweli mtaingia mda c mrefu kwenye alama ya mnyama muungano wa Nikea

  • @ThimoththadeusSlangay
    @ThimoththadeusSlangay 17 днів тому +2

    Me naona mgejadili kwanini mnatukanwa na mkatukanika?

  • @gpupinternational
    @gpupinternational 10 днів тому

    kweli iwe kweli,tutapona.

  • @VincentyohanaYohana
    @VincentyohanaYohana 17 днів тому +3

    Unafiki Sana

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 17 днів тому +2

    kanisa lenu halijitambui kwa maubili ya mzee maghembe hamtaki kubadilika? Tag imeoza kwelikweli

  • @PhilipinaMakundi-n8u
    @PhilipinaMakundi-n8u 10 днів тому

    MUNGU mtunze Maghembe. Mwezeshe aendelee kuuhubiri wokovu wa kweli.

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 17 днів тому +1

    Alichelewa kutoka tu , na akishaanza huduma hyo asimamie utakatifu had wa mavaz ,na kukemea kujipamba

  • @NellyMadeni
    @NellyMadeni 13 днів тому

    Magembe yupo sahihi TAG ya Leo Haina tofauti na dini. Imejaa uhuni mtupu. Mbadilike msikomae Yesu yu aja

  • @timotheostanley1469
    @timotheostanley1469 16 днів тому +1

    Hajawachafua alikua ansm ukweli acha uongo bwna 😂

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 16 днів тому +1

    Mtajitetea sana kipindi hiki lkn ukweli TAG wapigaji

  • @KalekwaPaschal
    @KalekwaPaschal 15 днів тому

    Naona baraza la mafarisayo wakiwajadili mitume.

  • @MartinGidion-jc7jw
    @MartinGidion-jc7jw 17 днів тому +1

    Kahamia wapi

  • @HappynessNtambi
    @HappynessNtambi 17 днів тому +5

    Mbona magufuli alichangisha pesa Kwa wakristo kujenga msikiti? Kanisa la sasa nduguzangu mwaenda wapi? Upendo umewatoka?

  • @melkizedck
    @melkizedck 17 днів тому +2

    TAG ni kanisa zuri lenye mafundisho mazuri. Lkn kuna changamoto kila kanisa

    • @IvanNyasenso
      @IvanNyasenso 17 днів тому +3

      Kwa mdomon lakin unaposikilza, ila utekelezaj hata Roma Wana nafuu

    • @melkizedck
      @melkizedck 16 днів тому +1

      @IvanNyasenso hakika

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 16 днів тому

    Abadilike awe km nyny wachumia tumbo au

  • @estermgoma7451
    @estermgoma7451 16 днів тому

    We libaba linafiki sana

  • @LydiaMueni-n4n
    @LydiaMueni-n4n 16 днів тому

    T.a.g mkumbali uamsho mtapona msimwongelelee mtumishi mlikua naye mwacheni aubiri roho zipone

  • @EmmanuelJackson-sw5qw
    @EmmanuelJackson-sw5qw 17 днів тому +2

    TAG ilishakufa kiroho imebak biashara tu achen kudanganya watu nyiny shaur yenu

  • @SamwelRichard-ep4sd
    @SamwelRichard-ep4sd 17 днів тому +2

    Tag imekufa really

  • @paulkamete2947
    @paulkamete2947 17 днів тому +1

    Hapa ndio inaonyesha mnahitaaji uwamsho kweli! Sijawahi kuona TAG ikijibishana kweny mitandao kwani mkiambiwa kanisa limeoza si kweli Angalieni mliko anguka mkatubu

  • @timotheostanley1469
    @timotheostanley1469 16 днів тому +1

    Kanisa sio tag tu bwn

  • @GwakisaMwakyoma-hz1oi
    @GwakisaMwakyoma-hz1oi 17 днів тому +3

    JE KUAMBIWA KANISA LIMEKUFA NI DHAMBI? MBONA HAWA VIONGOZI WANABEBA VYEO KAMA UTAKATIFU.

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 16 днів тому +1

    Huyo anaongea ujinga2 kwan makanisa mengine yanaaza vipi huu ni upuuz

  • @eliyampesa4352
    @eliyampesa4352 16 днів тому

    Mtumishi unatakiwa ukasome fasihi elezi. Magembe kusema kanisa limeoza usipelekee Moja Kwa Moja kusema kalitukana kanisa eti na yeye akiwemo.
    Ni vizuri kusema ukweli juu ya Hilo kuliko kusema kiushabiki. Anza kuchunguza kwanza kuwa kanisa limeoza au la!

  • @beathaishengoma4469
    @beathaishengoma4469 16 днів тому

    Kiukweri ata mjitetee vipi kuna mambo yá ajabu sana

  • @GIDEONJOHN-xu1nn
    @GIDEONJOHN-xu1nn 9 днів тому

    mbadirike tu mmejaa siasa tu ndio maana hata KULOLA aliondoka huko

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 16 днів тому

    Mmekusanyana sasa kutoka kwenye makanisa yenu kuja kutupiga changa la macho