MUDA HUU WAUMINI WA KIBOKO YA WACHAWI WAGOMA KUONDOKA KANISANI HAPO WADAI WANATAKA WAJUE MWISHO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 151

  • @user-ic8dz9mw7e
    @user-ic8dz9mw7e Місяць тому +5

    Imeniuma sana kiboko ya wachawi kufungiwa 😭😭 wangemuonya tu, jipe moyo mtumishi hii ni vita tu,itaisha

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 Місяць тому

      Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.

  • @user-jl2br6ye2w
    @user-jl2br6ye2w Місяць тому

    Jipe moyo baba.kazi Yako ni njema mungu atakupigania utashinda.na kanisa litaendelea

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Місяць тому +5

    Jaman Kila mtu na Iman yake " mm binafsi bado sijamkubali kiboko y wachawi lkn alimponya mama angu mdg alipalalaiz kabisa kabisa sio uongo had anajisaidia hapo hapo ila kufikishwa pale kaombewa na kainuja had Leo anafua anafanya Kaz zake vzr tu

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Mungu utendee miujiz bab kwa mtumishe wangu afunguliwe

  • @user-el8rp6pd5q
    @user-el8rp6pd5q Місяць тому +2

    Mungu wa mbinguni atapigana na hii vita . Watasema mengi lakini mungu ndio msemaji wa mwisho na hili litapita baba yetu tunakupenda na tunakuombea sana

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 Місяць тому

      Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.

  • @AnnaSamo-em1gt
    @AnnaSamo-em1gt Місяць тому +5

    Wachungaji wanampiga vita Kiboko ya wachawi wanakosea sana, waige waislam hawawezi kusemana kwenye media kwa sababu ya misingi walioachiwa na mtume Muhammad. Wakristo tuna shida sana.

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de Місяць тому

      Sasa ww unasema waislam hawaseman ushawah ona padri anamsema padri mwenzake? Kuwa mkristo sio dhehebu Moja hayo na madhehebu tofaut tofaut

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai Місяць тому

      Makani kama haya yafungiwe watu wakafanye kazi siyo kutegemea miujiza miujiza feki hata kwa waganga mambo kama haya yapo

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru Місяць тому

      Kwa hiyo mtu akiwa mwakilishi wa shetani ajaye kama malaika wa nuru aachwe aangamize siyo hakuna kanisa la wachawi bali tuna kanisa la kumtangaza Yesu

    • @corrolesscps
      @corrolesscps Місяць тому

      @@JosefuSwai. Inawezekana Jamii ni Wachawi sana Tz, wachawi nao sio watu Wazuri hata MUNGU wa mbinguni hawataki, Biblia inasema, usimuache Mwanamke mchawi akaishi, na mambo yao ni ya Gizani sio Nuruni, ukrona hivyo Michawi iache uchawi kutwa kuumiza wwnzao tu sio Maendeleo hayo Yaani Wafrica watu weusi Mhhhh,!!! Wakati wenzao weusi hawadhuliani , weusi Mwenzake kanunua kitu kizuri wivu anawaza kumroga 🤮🤮🤮 Inaonekana Amewagusa hao watu wa Giza kwenye Jamiii 🤮🤮🤮🤮 na Mauchawi yao

    • @user-lq7vm5yr1f
      @user-lq7vm5yr1f Місяць тому

      Ndyo. Hii ni vita ya wachungaj Hakuna kngne.

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli Місяць тому +2

    Wapendwa Watumishi weghine acheni uchochezi wa Kumshambulia Mtumishi mwenzenu kwa Vile tu Mungu amempa Maono ya kusaidia wenye tabu shida na matesoo!! kaeni kwa Amanii tafuteni ushirikiano na yeye na nyie mjazwe nhuvu zaidi na Roho Mtakatifu. Mungu sio wa mapiganoooo yafadhalini acheni Uchawii

    • @HeppyRafaeli
      @HeppyRafaeli Місяць тому

      Mungu sio Wa vita sio wa Fitina na sio wa Chuki wala Sio wa Fitina na Wivu. Hapana Mungu Wetu ni waamani kwa sisi wote

  • @AnnaSamo-em1gt
    @AnnaSamo-em1gt Місяць тому +1

    Pastor Dominick Mungu yupo kaza utashinda na wataona nguvu ya Mungu ndani yako

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai Місяць тому

      Mungu yupi

    • @user-rq3ic3mt2j
      @user-rq3ic3mt2j Місяць тому

      Shetani naye yupo

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 Місяць тому

      Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.

  • @elizabethmalenga5221
    @elizabethmalenga5221 Місяць тому +4

    Kiboko ya wachawi Hana shida na mtu, ni vita ya sadaka tu.

  • @ThedoNdunguru
    @ThedoNdunguru Місяць тому +1

    Ee Mungu tunaomba uendelee kuwadhalilisha wachawi.kwa kumrudisha mchungaji wetuuu

  • @JustineSanga-r9e
    @JustineSanga-r9e Місяць тому +2

    Naipongeza selikali yangu kwa umakini wake Asante sana

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 Місяць тому +1

    Waumin wamuombe mungu. ata petro alifungwa kanisan malaika wakamtoa.nashaangaa kuna wa Kristo wanampiga Vita.

  • @NaomiAgreey
    @NaomiAgreey Місяць тому

    Dominika Hana matatizo ni hila za waovu tu na watu wasiomjua mungu ,Rais watu Hana usiyakubali tunakupenda Sana mama muache dominic atuhudumie Dunia ni ya mungu sio ya mwanadam mama turudishie huduma, kwa nabii wetu dominic,

  • @user-wv9wc6yr1u
    @user-wv9wc6yr1u Місяць тому

    Mwenyezi MUNGU ndy jibu lako mama na sio kiboko ya wachawi tujihathari sana na haya tuyaonayo

  • @RehemaKasanga-vu5nj
    @RehemaKasanga-vu5nj Місяць тому

    Kama Unajijua Wewe ni Mtumishi wa MUNGU wambinguni Acha kupiga vita Mtumishi mwenu Vita hiyo si Yake vita ni Ya Bwana Yesu

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Mama wanaosema mitumishe wa mungu nitapeli niwachawi ndio maana wanasema nitapeli wameharebiwa uchawi waho

  • @FfFf-yb9cp
    @FfFf-yb9cp Місяць тому

    Hio ni vita anavyofanyiwa mtumishi kwasababu watu hawataki kuona mazao na matunda mema na ndio maaana wanakupinga mawe lakin mungu ndiye anajuwa.

  • @user-rc9je9kp1e
    @user-rc9je9kp1e Місяць тому

    Mungu akusaidie kiboko ya wachawi tunakuhitaji hata wengine

  • @NathaliaMgimba
    @NathaliaMgimba Місяць тому

    Mungu aliye tenda miujiza yote hapo kanisani (CAC) ,ninaamini kiboko ya wachawi atarudi tu.MUNGU wetu halali wala hasinzii

  • @FelistarJeremiah-r3b
    @FelistarJeremiah-r3b Місяць тому

    Mwanadamu Kila mmja ata ongea lake Ila mungu ndio anajua ukweli Kati yetu mi coni Kama nivizuri kumfungia mtu kanisa ,, Kama ni sadaka pia mtu alazimishwi kutoa na kuwa watu mbn hamfuati mtu kwake ye anaomba mungu afanye

  • @MeshersHashrun
    @MeshersHashrun Місяць тому

    Mungu pigania ili swala mtumish wetu arudi

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj Місяць тому +3

    Makanisa ya pentecoste pamoja na TAG kuombea mtu hat mwenye mafua hawawez Kila kanisa hata watu mia hawafikish wivu tu machaw wakubwa

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 Місяць тому

      Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.

  • @OlivaBoni
    @OlivaBoni Місяць тому

    Mkombozi wetu atarudi aendelee na Kaz yake, watu wachache wanafanya hivo ili aaibike lakin mungu atamwinua zaidi, sisi wanadamu hatutaki mwenzetu awe juu tukiona anakuja kasi tunatafuta gogo aanguke apate aibu mungu atamsaidia na tunamwombea

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 Місяць тому +1

    Hivi ninyi watanzania Mnaamini wachawi ila kuamin Mungu kupitia watumishi wakehawezi kifanya mambo makubwa

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Wataseme mengi laminitis mungu nimsemaji wa watu waake

  • @AnnaSamo-em1gt
    @AnnaSamo-em1gt Місяць тому +3

    Shida watanzania wengi ni wachawi ndio maana wanampiga vita Kiboko ya wachawi. Alafu uhuru wa kuabudu uko wapi Tanzania??

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 Місяць тому

      Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Місяць тому

    Huyu alikuwa anaona mbali sana. Huyu kiboko ya wachawi alikuwa anaona mambo makubwa sana.
    Niliona ile dada anaomba mtoto wake aombewe anaumwa alikuja na mume wake kumbe huyo dada kazaa na kaka yake wa damu.
    Huyu mtumishi alikuwa anaona deper vibaya sijawahi kuona nabii anaona kama huyu

  • @AdamJonas-sx4mi
    @AdamJonas-sx4mi Місяць тому +3

    Huyu mtumishi wa Mungu hana kosa kabisa lakini Mungu aliyeiweka huduma hiyo ndani yake atamupigania. Atatoka. Hiyo vita ndo ile ya wa kina Petro kuwekwa gerezani na Herode ko tuendelee kumuombea

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 Місяць тому

      Mungu hapiganiu matapeli wanaotumia jina lake bali huwatapika!

    • @user-wv9wc6yr1u
      @user-wv9wc6yr1u Місяць тому

      Akina Petro walikuwa wanhubiri injili sasa hizo lak 5 za nini

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf Місяць тому

    Kwaza wakongo niwatu bie awana mambo mengi wanapenda sana kujishusha

  • @evamsuya8869
    @evamsuya8869 Місяць тому

    Kiboko wetu tunakupenda sana

  • @nicoledMalale
    @nicoledMalale Місяць тому +2

    wachawi wenyew wamefurahhh

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Mama tuna wagonjwa mdungu zetu Wana umuwa hatuna pesa ukienda kwa mtumishe tunapona tuomba mturundesheni huduma

  • @MasumbukaNhagara
    @MasumbukaNhagara Місяць тому

    Manabii ni wengi wengi wapo wa ukweli wapo wa uongo wengn wanataka maokoto tyuu kikubwa Amin unachokiamin mchungaj hyuu anacheza singeli mpk kanisan n ktunza Hela Kam maj

  • @PoulMilanzi
    @PoulMilanzi Місяць тому

    Tatizo wivu wa baadhi ya watumishi wa Mungu

  • @thefinalstand2022
    @thefinalstand2022 Місяць тому

    Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.

  • @user-jl2br6ye2w
    @user-jl2br6ye2w Місяць тому

    Duuu imenia sana.

  • @DeborahMatola
    @DeborahMatola Місяць тому

    Kwaimani tutashinda baba, tunakuombea shujaa wetu mtetezi wa wanyonge utashinda.

  • @Piscesblair
    @Piscesblair Місяць тому

    Upo ulazima wa kufanya uchunguzi katika tuhuma hizi. Watu wengi wanakwenda kwenye makanisa ya Kiroho kwa sababu ya kutotatuliwa matatizo yao kwenye makanisa mengine. Na tatizo lingine ni wivu wa huduma na rushwa kwa viongozi.

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Pleseee mama raising yetu tufungulie huduma mama ni

  • @ElizabethMvande-fd8mw
    @ElizabethMvande-fd8mw Місяць тому

    Mungu anasikia maombi jamani acheni Mungu aitwe Mungu

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 Місяць тому

    Tanzania ni wachawi ndio sababu M ungu. Aliachilia mtumishi wake kwa namba ya tofauti wanasema ni anadhalilisha eh wachawi wafe

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Ee mungu tukuomba utendee mijizi

  • @FelisterLigazio-mw3hh
    @FelisterLigazio-mw3hh Місяць тому +1

    Arudi Congo akawapotoshe huko

  • @user-jl2br6ye2w
    @user-jl2br6ye2w Місяць тому

    Hii ni vita tu naomba serikari itusaidie sisi wananchi .wenye shida.

  • @malkiavalente4736
    @malkiavalente4736 Місяць тому

    Tunakutegemea Nabii wetu

  • @hurumamwakalonge4043
    @hurumamwakalonge4043 Місяць тому

    Huyo ni muujiza kutoka kwa Mungu mwenyewe Hata Yesu aliambiwa hivyo hivo, hiyo laki tano walimpa nani awawekee akamyang'ang'anya

  • @HawaOman
    @HawaOman 6 днів тому

    Jamani wazir hana shida ila wattu

  • @celinamathias4601
    @celinamathias4601 Місяць тому

    Kwakweli Tanzania nchi Huru Kila mtu anaimani Yake na anatakiwa aende kokote akasali pale anapohitaji. Watumishi wa Mungu mpendane vita hadi makanisani haipendezi

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju Місяць тому

    Nyie kumanina zenu"mnatapeliwa pesa zenu"halafu nyoko nyoko nyoko"

  • @ElizabethMvande-fd8mw
    @ElizabethMvande-fd8mw Місяць тому

    Najua Kila Lilo na mwanzo Lina mwisho na bado mtashangaa mengi Yesu yupo kazini

  • @MauBonde
    @MauBonde Місяць тому +1

    Pelekeni watoto shule wakasome huo wote ni ukosefu wa elimu, walipokua wanaelekea waambiwe wabaki kanisani wachomwe moto waambiwe wakauone ufalme wa mbingu,serikali naipongeza sana ,uganda kibwetere kenya kuna waamini waliambiwa wasile mpaka serikali ikawaokoa dakika za mwisho na watu kibao walishakufa...

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh Місяць тому

    Kiukweli mungu atusaidie atupe na macho ya rohon pia

  • @HawaOman
    @HawaOman 6 днів тому

    Jamani mbona wazir anasema hajui kama kanisa limefungwa

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf Місяць тому +1

    Pia kunamtu kalipia kufungiwa

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Viongoze wa serekali msewasekileze watu niwaongo watu hapendwani tunaomba mturundsheni huduma Rais saima

  • @Nivocavitymalle
    @Nivocavitymalle Місяць тому +1

    Izo ni hila tu na mwisho wake mbaya mtajuta na hila zenu, Kama ilivyo mwisho wa hila ni mbayaa

  • @AnnaJulius-r5k
    @AnnaJulius-r5k Місяць тому

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @AnnaSamo-em1gt
    @AnnaSamo-em1gt Місяць тому +3

    Suala fedha hakuna anaelazimishwa wanatoa kwa hiari. Shida wachawi na siasa . Tanzania tuna shida. Wageni Kuta nje wanatuongezea kipato hamuoni hata hilo??

  • @AnnaJulius-r5k
    @AnnaJulius-r5k Місяць тому

    Anaficha huyu mama Kuna mambo mabaya hapo wanatoza pesa Ili umuone na Bado humuoni na pesa wanachikua

  • @HildaShoo
    @HildaShoo Місяць тому

    Vita niyabwana,atakupigania hatakuacha,ila mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe,

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l Місяць тому +1

    Yani wamemuoneya mtumishi 😭

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 Місяць тому

    Ufahamu wa hawa watu umefungwa,Mungu awafungue

  • @RevMwendowasaa
    @RevMwendowasaa Місяць тому +1

    Sasa naona viongozi wetu wameanza kuwa makini mimi naipongrza serikali kwa maamuzi hayo sahihi.tena mmechelewa sana.

    • @Hapygideon
      @Hapygideon Місяць тому

      Makubwa hata wewe unaroho mbaya hivo

  • @user-eg3fg3ic9q
    @user-eg3fg3ic9q Місяць тому

    hawa wanaomtaka wawekwe ndani wote

  • @GodwineMuchunguzi
    @GodwineMuchunguzi Місяць тому

    Kibwetele kawawiwa mapema asante mungu wautawala

  • @HawaOman
    @HawaOman 16 днів тому

    Niwiivu tumama tufungulie huduma mama

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 Місяць тому +1

    Tunaangamia Kwa kukosa malifa sio kosalenu Bali ufahamu tuu inaitaji msada WA MUNGU Bila MUNGU kutupa macho tumekwisha

  • @lauresiakitai654
    @lauresiakitai654 Місяць тому

    Mbona kwa waganga wakienyeji watu watoa Hadi magari nahawaponi ni Hira tu hizo wamuachie

  • @hurumamwakalonge4043
    @hurumamwakalonge4043 Місяць тому

    Watanzani Yehova wasamehe sana wamezoea maombi ya Kulea uovu na uchawi hasa mwacheni kiboko ya uchawi atusaidie atufungue

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf Місяць тому

    Napia kwakua sio mtazania ndio shida

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango Місяць тому +1

    Hii nchi haina mamlaka kikatiba kuzuiya kuaabudu / 1 haya ni mambo ya kiroho huyo haja bagua dini ya mtu yeye alikuwa ana tumia bibilia uchawi umetajwa katika maandiko sadaka zimetajwa kwenye maandiko kuumuwa mchawi sio yeye dominiki bali ni maandiko wewe unae muhukumu huna ushahidi wala kigezo cha kiroho isipokuwa ni chuki za kidini kuihusisha serikali kwa hizo sababu ,za wivu tajeni kosa la huyu jamaa /

  • @user-pw5lb6or4z
    @user-pw5lb6or4z Місяць тому

    Ana shida mwacheni watu Wana tesenka acheni Kama ujalongwa kaa kimya

  • @UgwuEmmanuel-u3v
    @UgwuEmmanuel-u3v Місяць тому

    Washikeni na wengine wengi

  • @Hapygideon
    @Hapygideon Місяць тому

    Wanaoona anashida ni wale wwanaozurumu watu na ndio maana wameona wataumbuliwa

  • @rosemsaki1111
    @rosemsaki1111 Місяць тому

    Wachawi saa hizi wanapiga sherehe😂

  • @jeckobass7502
    @jeckobass7502 Місяць тому +1

    Tusiwaone kama wajinga swala la Imani aiseee tuliache pia ukijakupat shida utakujakuwaona Hawa wapo sahihi msiwabeze Hawa shida ndio zimewaleta hapo😢😢😢😢😢

  • @user-xr4cd3ki4i
    @user-xr4cd3ki4i Місяць тому

    Huyo kiboko siyo mtumishi wa
    Mungu alilnitoxa laki tano mm nilitoka Moshi nikawa Sina skanifukuza nikajruxa siku hiyo hiyo kurudi Moshi

    • @ThedoNdunguru
      @ThedoNdunguru Місяць тому

      Kwani alikupora hiyo laki tano? Halafu ulitoa laki tano ya nini ? Wakati kiboko anaombea Bure ndio maana mliambiwa muwe na imani yakutosha,akiwa madhabahuni,lakini ninyi mna ng'ang'ania kumwona oficn,sasa ulitaka aiache hela au? Acha maneno mengi kwani kwa mganga mnapeleka ngapi?

  • @user-jl2br6ye2w
    @user-jl2br6ye2w Місяць тому

    Mama tunakuomba ingilia kati hili.

  • @MamaFeisal-s4g
    @MamaFeisal-s4g Місяць тому

    Mung amsmamie kibok wetu zid ya usda za ao wachungaji wenzie walaanow san tna peng kubwa san eeh mung yufanyie wepes alud

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Місяць тому +1

    Kwa mara ya kwanza naipongeza sana serikali, kwa staili hii matapeli wanakoma

  • @raiyaomary1988
    @raiyaomary1988 Місяць тому

    Mumfungurie mbona zumaridi huwa mnafunguria.ndo ana vituko kama vyote

  • @user-eg3fg3ic9q
    @user-eg3fg3ic9q Місяць тому

    inabid mfate kongo ataenda kufungua kongo

  • @beatricemortensen8533
    @beatricemortensen8533 Місяць тому

    Kwanini asijisajiri kama mganga wa Kienyeji, hakuna ukristo kama huo 😂😂😂😂😂.

  • @AbuuHamisi-j5l
    @AbuuHamisi-j5l Місяць тому

    Kaa chini mwombe mungu atakujibu so hakuna nabii duniani

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 Місяць тому

    Mama Mkombozi ni Yesu tu mbona unakufuru. Sa si msali tu mwondoke kwani asipokuwepo hamwezi kusali? Watokee wawamwagie maji ya pilipili!

  • @ZainabujelemiaZainabujelemia
    @ZainabujelemiaZainabujelemia Місяць тому

    Wachungaj wana wivu sana uyo kibok anaongea ukwer ao wanao mfanyia vigis niwachaw wanaogop kuumbuliw

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Місяць тому

    Hivyo kabisa

  • @PenelopeKalanje-t4n
    @PenelopeKalanje-t4n Місяць тому

    Wanaomutetea wamerogwa siyo mtu mzuri huyo

  • @JustineSanga-r9e
    @JustineSanga-r9e Місяць тому

    Watazania tujitahidi kumtafuta mungu wakweli hatakama unashida kubwa kiasigan

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Місяць тому

    Tajiri mshenzi mwizi na muhalifu

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Місяць тому

    Jiombeeni wenyewe yatapokelewa msimtegemee Mwanadamu mwenzetu

    • @eliamanimfinanga3957
      @eliamanimfinanga3957 Місяць тому

      𝓖𝓪𝓵𝓲𝓷𝓪 𝓶𝔂 𝓪𝓷𝓪𝔂𝓮 𝓶𝓽𝓮𝓰𝓮𝓶𝓮𝓪 𝓶𝓪𝓭𝓪𝓶 𝓶𝓽𝓾𝓶𝓲𝓼𝓱𝓲 𝔀𝓪 𝓶𝓾𝓷𝓰𝓾 𝓷𝓲 𝓱𝓲 𝓫𝓪𝓲𝓷𝓪 𝔀𝓪 𝓪𝓫𝓪𝓭𝓪𝓷 𝓷𝓪 𝓶𝓾𝓷𝓰𝓾 𝔂𝓪𝓷𝓲 nidaraja

  • @EveSaimon
    @EveSaimon Місяць тому +1

    Mkombozi wenu ni MUNGU au ni huyo nabiii wenu acheni mambo yenu kazi kufata miujiza tu someni neno acheni uvivu wa kutokusoma neno

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey Місяць тому

    Afya ya akili

  • @HappyBuffalo-yt7wf
    @HappyBuffalo-yt7wf Місяць тому

    Masikini kama nyiee mtajuaje wakati Watu wanao ulizwa NI wenye magarii Huna gari huulizwii 🤣🤦🤦🤦🤦 someni NENO nyiee acheni kudanganywaa

  • @HildaKiwasila
    @HildaKiwasila Місяць тому

    Uchaguzi unakaribia. Wagombea huongozana na Waganga wao WA matunguli ili akihutubia watu wampende YY na wamchague. Sasa Pasta Dominic Kiboko WA wachawi ataathiri Uganda wao kipindi hiki budi wamtimue Kwa visingizio. Vipi Yule aliyetabiri mambo 5 yatakauotokea TZ mwaka huu huyo mtume kakamatwa,? Wahusika wa kumfungia watapata kali watajuta!

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 Місяць тому

    Waacheni wakeshage hapo

  • @ZainabujelemiaZainabujelemia
    @ZainabujelemiaZainabujelemia Місяць тому

    Wanatak pesa.serekar.iyoo

  • @NaomiAgreey
    @NaomiAgreey Місяць тому

    Hivi nyie watumishi wa mungu mnafurai Dominick kufungiwa nyie kweli hamna mungu kama mpo ivyo nini maana ya upendo ,je kipindi cha yesu manabii na mitume walikuwa wengi tu sioni ajabu mimi na bado manabii wataongezeka Sana tu ili andiko litimie lazim

  • @ibrahimsaid9090
    @ibrahimsaid9090 Місяць тому

    Kwa kweli mtu na kwao sisi wacongo tumeona huo ni ubaguzi muko na haki kabisa Watanzania hata kumuuwa mutafanya hivo achukuwe akili mapema, anashambuliwa sana na mapastor wengi hata Hananja analiongelea wazi kwa wageni warudi inchi yaho

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 Місяць тому

    MUNGU amtetee mtumishi wake