TUNDU LISSU AFUNIKA TARIME, ATUMA SALAMU KWA RAIS SAMIA
Вставка
- Опубліковано 27 лис 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►UA-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Mr Lisu you are Good leader may the Lord the God of armies bless you.
Ahsante sana mr Lisu
Tundu Lisu for new Tanzania coz
1. Anaamn ktk utawala wa Sheria
2. Anakemea rushwa,wiz,ufisad hadharan
3. Anaamn ktk mabadiliko
4. Anaamn ktk Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguz
5. Hayumbishwi
6. Hahongeki
Tumchague Tundu lisu mwakani km Rais wetu mpendwa ila atatue shda za watanganyika,hawa ccm Tyr wameshndwa hawana Cha ziada zaid ya bunduki,vitisho,utekaji na rushwa
Tundu Lisu unatosha na huna mpinzan mwakani Mungu akubariki na kukuongezea cc wafuas wako tuko nyuma Yako baba kwa Hali na Mali.
Ameni
Salute Sana Mkuu ❤❤❤❤❤
Mzee wa kazi mh lisu
Nimeona hiyo mara kibao wanakodisha watu 😂😂😂😂
Nilazima mawakala wawepo ila wakibaki peke yao hawata hesabu kura watamtangaza mgombea wao tu
Jamani mm si mwana ccm ila viongozi wetu wawe wanatuekeza sera zao kuliko majungu na maelezo ya ccm wanayofanya
Mbogamboga mna shida sana
Kwamba mashekhe na maakofu waachane na shetani wajikite na mambo mengine
Huna mpinzan baba kwa siasa za Tanzania
Mh this is not pilitics hizi sio siasa kabisa,Dawa la libogo,watu wanasema kabisa tutawachoma kisu,no sera
😂😂😂😂wewe umekosa kazi toa Sera mbona ni mipasho kama hadija kopa.
Inawezekana wewe ni mdogo hujui maana ya Kampeni. Hivi nani ktk Wanachadema hajui Sera ya Chama chao? Kumbafffff😂😂
Mbogamboga hawajawahi kuwa na akili
Siku zote ccm Kuna mazuzu na mazombi wengi! Wewe toa Sera zako tuone! Siyo kuropoka ujinga hapo na uchawa wako.
Yeye akipita uraisi ataunda police wengine au Hana hoja
Hoja siyo kuunda jeshi jipya la polisi !! Hoja ni Polisi kutumika kinyume na utaratibu!!
Polisi hawa wakifata Sheria hakuna gumu ila wanalazimishwa kupindishwa Sheria
KWA SASA WATANZANIA WOTE TUAMUKE HASWA ,TUMECHEZEWA VYA KUTOSHA.I LOVE MY COUNTRY.
Tarime ndio ndio sehemu ambapo bado kuna wanaume kwenye nchi hii.
Mungu nimwema atajibu Kwa wakati wake
😊
Huu ni uchochezi na uchafuzi waa aman
Walitaka kuumuuwa lakini mungu kazuiya
CCM itaendelea hakuna Chama chenye kueleza walichokifanya sera zao ni kutukana Serikali.
uscho kielewa nn akueleze sera gan ana serikal?? ana jesh?? ana nn elewa kuwa huko ulipo waulize wamefanya nn miaka 62 ya uhuru had leo maji shida, barabara shida umeme shida ,hosptal hakuna madawa waulize hao ccm yko wametsaidia nn tofaut na k7uza mali za hii nchi
Yaani tangu mwanzo hadi mwisho hakuna kitu Cha maana
Ww umesema
Ongea wewe cha maana tukusikilize
@hamisachacha8104 mlete babako atuambie Cha maana kama hujakiona kwa LISSU!
Ndo maan ccm inawaxhinda kila uchangusi xera akuna lissss
Bando unalo la kusikilizia sera?
Inashinda kwa goli la mkono umesahau?
Kamanda lisu binafs nakuku balisana
Sasa lissu bro hii ndio sera yako sema tu ukweli alafu nitoke ccm nikufuate sera za mazengenyo tume toka huko sema nichi inaitaji nn naww ukipata utafanya sera ya kuubiri ccm tume choka brother
Sera haziongozi nchi, sera ni udanganyifu uliokomaa mf. Angalia sera ya Afya inasemaje na nini kinatekelezwa
@mosesmacha1080 ooh kwa hiyo tumchague kwa maneno ya ujinga km hii ya uropokaji ooh sorry my people
Sasa umchague yeye kwani ni mgombea ety anadi sera au anaelezea namna ya kushinda uchaguzi na si mgombea wagombea watakuja kunadi sera zao ndio utasikia watawafanyia Nini wananchi Yao watarime yeye si mtarime CCM elewa na si lazima wewe umchague ili awe kiongozi yaani ufikirie kupitia kichwa
@@GraceNaftal-x3j kwani mko na mwingine tena c ni huyu 2 unafikiria mtapata mwingine labda atoke ccm kama lowassa na nyalandu mmmmmmm mko tabu chadema ya ccm mtu aki toka ccm a anaenda ccm b chadema. Chadema hawana haja kuongoza nchi nikusuia vivya vingine kujifanya chama 2 maana ccm 1 zone hizi ndio inateza nchi lissu akaahidiwa uwaziri na aka kaa kimya kungojea saa hii tuna enda uchaguzi jaama ndio ana shituka akili chafu
Heche yuko wap
Watanzania tusilie kwamba maisha ni magumu kwa sababu mumeing'angania ccm
Nan km huyu mwamba
Ukitaka.sera.nenda.ccm.sisi.tunataka.ukombozi.
Sera za CCM ni goli la mkono na kuuza rasilimali zetu
Watu wanadai kwamba oooh sera sera sera
Sasa nyie ccm pamoja na sera zenu miaka Zaid ya 60 bado watu wanashida ya maji migogoro ya ardhi kibao washenzi nyie sisi nichadema Hadi kifo
KWA KWELI TANZANIA TUNA VIONGOZI WEZI SANA MUNGU TUSAIDIE WAJA WAKO.
Sasa hizo ni sera au taka taka
Siyo suala la sera !! Hapo ni mkakati wa namba ya kupata ushindi kwa mazingira yaliyopo.
Bibi yako wewe Alisha toa sera gani😅😅
Ila pale kwenye WEZI huwa unawaudhi hao mbogamboga😂😂😂
Wananchi Hakikisheni siku ya uchaguzi hakuna Masanduku ya kura feki kuingizwa kwenye vyumba vya kupigia kura!
Maana masanduku ya kura feki huwa yanaingizwa mapema ndani ya vyumba vya kupigia kura!
Hawa ndiyo Watanzania halisi mikoa mingine ni wahamiaji
Tumpate wap mtu km huyu
Hata mkoloni aliondoka akuamini kungekuwa na mwisho wake.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂