LISSU AANIKA MPYA " HATUKUWEKA WAGOMBEA WA KUTOSHA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 240

  • @Lugiko-o2j
    @Lugiko-o2j 2 дні тому +29

    Kwenda kupiga kura kwa nchi hii ni kuharibu muda wako bila katiba mpya hakuna uchaguzi ni uchafuzi tu

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 2 дні тому +2

      Pia kuwa ktk chama kama chadema ni ujinga na upuuzi tu mpaka chadema nao wabadili pia katiba yao ya kuongozwa kidikteta na mtu mmoja tu Mbowe kwa miaka 20?

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 2 дні тому +2

      @@TwahirBurhanKWA HIYO NDIO SABABU YA CCM NA TUME YAKE YA KUIBA KURA NA HAKI ZA WANANCHI ZA KUCHAGUA?

    • @mohammedya-assini6455
      @mohammedya-assini6455 2 дні тому +1

      ​@@TwahirBurhankabisa

    • @mohammedya-assini6455
      @mohammedya-assini6455 2 дні тому

      ​@@josephjohn2114haki ipi unataka😂

    • @jaromeedward781
      @jaromeedward781 2 дні тому +1

      Ni kweli kabisa kwenda kupiga kula Tanzania niuhalibifu wa mda

  • @mwitamarwa329
    @mwitamarwa329 3 дні тому +10

    Mungu ataingilia kati, hajawahi kulala.Tusubiri kushuhudia mkono wa Bwana ukitenda.

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 2 дні тому +7

    Uchaguzi Wa Tanzania ni Mgumu sana.

  • @EdwardJonas-og9xi
    @EdwardJonas-og9xi 21 годину тому +1

    Lissu usije ukakata tamaha wewe ndio unategemewa kulikomboa taifa hili mungu azidi kukutia nguvu

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 3 дні тому +9

    Feroooz mzee wa kulalamika

    • @meddymaulid5176
      @meddymaulid5176 2 дні тому +1

      Sawah sisi ni wakilalamika ila ipo siku pia itakuwa kwenu inshallah tuombe UHAI

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 2 дні тому

      Sio wakulalamika ni mambo yapowaz kabisa

    • @mohammedya-assini6455
      @mohammedya-assini6455 2 дні тому

      ​@@meddymaulid5176kwao kivip?

    • @Fundi12345
      @Fundi12345 2 дні тому

      Ninyi hamuna jambo jipia wahuni tu hamuwezi kukubali kama wananchi hawawataki munalazimisha kupigiwa kura ny8e endereeninkugomban tu

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 2 дні тому +1

    Tundulisu Mimi nawazo,kwanini tusiache kupiga kula kama hatuta kua na tume Hulu yauchaguzi,sisi wananchi tuta poteza Imani na ninyi viogozi, au ninyi viogozi mnaangalia luzuku tu,

  • @Furahinikatkabwana
    @Furahinikatkabwana 2 дні тому +7

    Uchafuz wa uchaguz ccm ni wez ila wajue leo wanalindwa na polis na wakala lakin Mungu hatazuiliwa kufanya jambo

  • @furahamwikombo-p7g
    @furahamwikombo-p7g 3 дні тому +9

    Tusiende kwenye Uchaguzi wa 2025 Bora uchaguzi uahirishwe,,,Hadi tupate Katiba mpya ya wananchi..Tupate Tume huru ya Uchaguzi..

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 2 дні тому

      Au tujiunge wote ndani ya chama kimoja tujenge Taifa letu tusiwe na vyamavingi maana havitusaidii chochote navijawahi kusaidia Taifa lolote huuniujingatu ulioletwa nawazungu maana hata ukiangalia marekani kilauchaguzi wanabadisha vyama na hakuna hatakimoja ambacho kiliwasaidia hata kimoja na sio marekani pekeyao yapomataifa kibao ya viamini vyama vyaupinza Tena some time ndio wanajaribu kabisa mfano Kenya marangapi wamebadirusha vyama je nimaendeleogani wameyapata zaidi yakuteseka zaidi ???

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 дні тому

      Ulisikia wapi

    • @MarryMwamwezi
      @MarryMwamwezi 2 дні тому

      Re msiende.

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 День тому

      😂😂😂😂mm nitaenda na kura nitapigia wagombea wa CCM ww ulale halafu matokeo yakitoka useme ccm wameiba kura

  • @sabriabdalla9562
    @sabriabdalla9562 2 дні тому +5

    Bila jino kwa jino hakuna liwalo.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb День тому

    Mungu ampige pig ampige pigo kuminambili yeyote atakayeingia Ikulu kwa Goli la mkono Ee Mungu kwa minyanyaso na damu za watu zilizomwagika ikamrudie huyo mama alaaaaaniwe maisha yake kwanza kwa kulitumia polisi vibaya kua na kupiga watu vibaya damu zimdai milele

  • @YasinOmar-f1j
    @YasinOmar-f1j 2 дні тому +1

    Jembe uko sawa bila katiba mpya natume huru hatuwezi toboa vinginevyo msituambie tena kuhusu ujinga wakuchaga tena hakuna uchaguzi Tanzania.

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 2 дні тому +4

    Kwa huu uchafuzi ni dhahiri kuwa,Ule msemo wa 4R leo uwe ndiyo mwisho kutamkwa tena.

  • @stevensteven4513
    @stevensteven4513 День тому

    Kilicho Baki Nikumsimamisha MWABUKUSI agombee URAISI kupitia UPINZANI baaaasi 🙌🙌🙌

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 2 дні тому +4

    In fact jeshi la polisi hawapaswi kuingilia upigaji kura. Wao wanapaswa kukaa mbali na kituo.

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 2 дні тому

    Eeeeeeee
    Mungu, pamoja na yote bado we
    Mungu ....

  • @AbdallahMatola-c3y
    @AbdallahMatola-c3y 3 дні тому +4

    TUNDULISU UTALIA SANA

  • @rizikikyando3289
    @rizikikyando3289 2 дні тому

    Jamani kwa nchi yetu kama viongozi wetu wadini hawata kemea dhanbi ya iharibifu wa uchaguzi kama wanavyokemea uzinzi, ushoga uasherati ufuska, hatuwezi kikombolewa kabisa ccm wanatuumiza jamani, hawaogopi wala hawaoni na wachungaji mashehe na maaskofu mapadre wanaangalia tu jamani mungu Tutazame kwa jicho la huruma by kyando

  • @SholeBigsaund
    @SholeBigsaund День тому

    Mwanzo nilitaka kukuamin samia kumbe hufai wewe ni pepo la kuzimu unataka damu zetu kwan kamakwer umeteuliwa na mungu huwez kuangalia watu wakufa wewe unasema uchaguz umeenda vzr jichunguze hauko sawa hao ulio nao karb wanakushauli ujinga kabisa mimi siongei kwasababu ya ushabiki mimi sio chawa wachama chochote wanakudanganya hii dunia tunapita tuu usiwanyime haki ya kuishi wewe sio mungu

  • @rizikikyando3289
    @rizikikyando3289 2 дні тому

    Hapana kwenda kupiga kura si kupoteza Muda ila tunamwonesha MUNGU WETU, jinsi ilivyo dharimu na mungu hawezi kumwacha mtu dharimu aishi, bipi siku mamboa ya babellone yatatokea, we subiri tu nimekaa pelee

  • @BeatusMsuha-p2g
    @BeatusMsuha-p2g 2 дні тому +1

    Nchi hii haina vyama vya upinzani bali wapiga debe wa CCM Na kila wakishibdwa hawakosi visingizio.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 дні тому +1

    Uku mitaani kilamtu anaipenda chadema na atukati tamaa

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk День тому

    Kumbe nchi yetu sio nchi ya kidemocrasia ni nchi ya chama kimoja. Mana yake tupo chini ya ulinzi.

  • @musamusahshafi1496
    @musamusahshafi1496 2 дні тому

    4R mwisho 27/11/2024
    Hakuna chochote zaidi ya wizi2

  • @sa3dasa3da87
    @sa3dasa3da87 День тому

    Nilikua simkubali saana Samia,lkn kwakua umesema tofauti ya Samia na JPM ni jinsia tu,nampenda yeye

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 2 дні тому

    Tundulisu wewe nimpinzani wakweli,ila kunammja wenu ni msaliti,siku moja utamjua, tena nimtu wako wakalibu kabisa, mungu atakuonyesha,

  • @SholeBigsaund
    @SholeBigsaund День тому

    Mwisho ndugu zangu watanzani tusipige kula kama hakuna katiba mpya

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 дні тому

    Ushauri tujifunze mifumo ya nchi za wenzetu

  • @salomeurio560
    @salomeurio560 2 дні тому +1

    Ushawishi wa CHADEMA ungekuwa umeshuka, mbona CCM bado wanatumia Polisi na kuiba KURA kwa sanaaa...
    Wameshashindwa kuingia wenyewe bila POLISI...

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 День тому

    Chadema hamna lenu mmekwisha mnashindwa na ACT kila ciku mnajisifu

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 2 дні тому

    Wataaminiwa kwa kuwa hujuma zinazofanyika tunaona,lingine viongozi wa siasa wawashirikishe wananchi na wanachama wao.

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 2 дні тому +5

    Mwandishi unauliza maswali ya kijinga, ina maana nyie waandishi ni vipofu hamuoni uhuni unaofanywa na serikali?
    Umetumwa na ccm usimchoshe Lissu.

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 2 дні тому

    Hali ya 2015 ni tafauti na 2024!

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 2 дні тому

    Tanzania tunatawaliwa kiimla ila serikali inatuzuga na kuzuga jumuiya ya kimataifa kuwa tuna demokrasia.

  • @geraldmassawe2663
    @geraldmassawe2663 3 дні тому +1

    Tatizo ni vitisho vya vyombo vya dola na Watanganyika wengi hawataki misikosiko wa vyombo vya dola

  • @PeterDaudi-z2z
    @PeterDaudi-z2z День тому

    Sasa kama migambo hawana mshahala lakin wamo tu 🤣🤣

  • @SholeBigsaund
    @SholeBigsaund День тому

    Kingine wanzania niwambie lisu ndie mpinzan ambae hateteleki anamisimamo anafaa ila wanamuogopa wahis akiingia madalakan atalipiza kisas

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 3 дні тому +3

    Kwa tume hii wapinzani Wana moyo

  • @paulmteki8196
    @paulmteki8196 2 дні тому

    Nyie wahuni mnachua Jambo moja tu. Watu wanapiga wasio andikishwa , mawakala wanapata wakati mgumu. Ila waandiishi hivi mpo kusaidia CCM au kutoa taharifa huru

  • @MohamedSleyim
    @MohamedSleyim День тому

    Bado hatujapata watu wa kutuongoza kwenye siasa upande wa upinzani.Tuna walalamikaji tu.

  • @PaschalBoi-z8h
    @PaschalBoi-z8h 2 дні тому +3

    Uh! ee mungu naomba uwahukumu mapema Hawa watu wa serikali wanahusika kuiba kura za wananchi na kujipa madaraka wenyewe

  • @YasinOmar-f1j
    @YasinOmar-f1j 2 дні тому

    Nikweli tutakuwa vichaa kuingia kwenye uchaguzi vinginevyo tutadili nanyie nahatutawaelewa sisi tumechoka juu yahawa manyan'gau.

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 2 дні тому +1

    Hadi damu sikioni!

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 дні тому

    Mungu mkubwa ameamua kutuonesha kwenye huu uchaguzi ili ujao tujue utakua vipi

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr 2 дні тому

    Nchi Haina demoklasia, kwanini watanzania tunachezewa, nibola kuacha kupiga kula twende tukalime tupate chakula tule nawatoto wetu,

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 2 дні тому

    Kwani uchaguzi laxima ufanyike 2025 si usogezwe mbele ili katiba mpya ipatikane ndiyo uchaguzi ufanyike?

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 дні тому +1

    Uchaguzi uwe huru na hski 2025 tumalizane na mbogamboga ukisogezwa mbele watauza kila kitu mwisho watauza hata utumbo na figo zetu kwanza ni wachawi sana

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 2 дні тому +1

    Nchi hi kwenda kupiga kula nikupoteza mda watawala hawataki tujitawale

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 2 дні тому

    Lisu badala ya kupambana na mpinzani wako unapambana na m/kiti wako

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 2 дні тому

    Lisu acha uongo ulikaa sana na mama Samia na ukasifia maongezi sasa unalialia nini .Na hata kushiriki uchaguzi hukushiriki

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 2 дні тому

    Now Mr. Lissu what next.

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 2 дні тому

    Samia must go

  • @salama1113
    @salama1113 2 дні тому

    washitakini mapolice inch za kimataifa wanashidwa kufata viapo vyao na kuwa police wa chama cha ccm

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 дні тому

    Mi nimeshuuudia chumba nilichopiga kura akuna mawakala kabisa yupo mmama anaeonesha majina ya wapiga kura na mkaka anaetoa karatasi ya kupiga kura nikajiuliza apa siwanaweza kuiba kiuraini

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 3 години тому

    Mpaka sasa baadhi ya wa tz wtulishakata tamaa kukupiga kura kwani wanatangazwa ambao hatujawachagua

  • @rockcitynative9985
    @rockcitynative9985 2 дні тому

    Lissu yuko sawa 100% Hakuna haja ya kushiriki chaguzi ambazo hazipo.

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 2 дні тому

    Haya mambo manayajua yalikwepo Sasa nie Kwa nn umegombea na mshasema haushiriki tena

  • @EmiryAgustino
    @EmiryAgustino 4 години тому

    Hii nchi wameifanya yakwao

  • @conasmalale1073
    @conasmalale1073 3 дні тому

    kweli mbowe na Tundu lissu wanatofauti kubwa sana

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 2 дні тому

      MBOWE ANASHAWISHIKA KIRAHISI SANA NA CCM KUFIKIRI IMEBADILIKA NDIO TOFAUTI YAKE NA TUNDU LISSU

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 2 дні тому

    Haina maana ya kupiga Kura kwa mambo ambayo serikali hii inafanya

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 2 дні тому +2

    Lissu amenawa mikono

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 3 дні тому

    ukweli tumesusia kuchagua maan ayandoyanatuhumiza mioyo

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 3 дні тому

    Mwiteni Nape na Makamba. Wanaweza kuonyesha wazi walichokidokeza namna ya upigaji wa magori ya uchaguzi.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 дні тому

    Dalili ya mvua mawingu tuliona tangia kwenye uwandikishaji

  • @DeograsiaNziku-xx2go
    @DeograsiaNziku-xx2go 2 дні тому

    Bill katiba mpya haki haipo kabisa

  • @peterjohnson167
    @peterjohnson167 3 дні тому +5

    Ninalo swali Tundu Lissu wamanisha kwamba Magufuli bado yu hai? Ipo siku mtakwenda Chato kuomba kaburi la Magufuli samahani.

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 2 дні тому

    Katiba gani wakati mlitoka kwenye mchakato wa katiba

  • @BozaNassoro
    @BozaNassoro 2 дні тому

    BILA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI HAKUNA KIJANA ATAMKA ASUBUHI KUENDA KUPIGA KURA

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 3 дні тому

    Sasa hivi hatutakubali uchaguzi wowote ufanyike bila ya katiba mpya na tume huru watanzania tusiingie kwenye uchaguzi wowote kuanzia sasa hata uchaguzi mkuu wa mwakani

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 2 дні тому

    Ni mtu wa ajabu sana Lissu unapiga kelele wakati hujapiga kura

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb День тому

    Mlikuwa wapi kwa hiyo hata mwakani mtachelewa?

  • @SamuelLainzar
    @SamuelLainzar 3 дні тому

    Polis saivi ni maumbwa wa liofunguliwa minyororo saiv wanang,ata Kila mtu saiv😢😢😢😢

  • @DeograsiaNziku-xx2go
    @DeograsiaNziku-xx2go 2 дні тому

    Wanatuwekewa viongozi kibabe hatakama hawana sifa inasikitisha sana

  • @johansenerasto5890
    @johansenerasto5890 2 дні тому

    Ccm ni janga la taifa letu

  • @lailahumaid2011
    @lailahumaid2011 День тому

    Tundulisu kijiba cha roho kwa samia

  • @SamuelLainzar
    @SamuelLainzar 3 дні тому +2

    Watanzania tunanyiwa kuchagua kiongozo Bora tulazimisha kuongwa na mambumbu wa ccm ilitu wale wao😢😢

  • @rajabumbwambo1301
    @rajabumbwambo1301 2 дні тому

    Sikuzote za kampeni,lisu tukumbushe,seragani ulizo waanbia wananchi kushawishi wakupigie kura?

  • @RockusssySanka
    @RockusssySanka 2 дні тому +1

    Jambo TV ni wa hovyo !
    Anachozungumza Tundu Lisu siyo ulichoandika na uandishi wa namna hii ni upotoshaji mkubwa wa taarifa.
    Mnajikomba kwa wakubwa na huo ni ujinga mkubwa .

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 2 дні тому

    Kwamba mliyajua hayo mapema, in fact haikuhitaji hata shahada ya Sheria kulijua hilo; tuliwaambia mapema na eti tukiwatahadharisha mnasema sisi ni CCM; sasa mnalalama nn? Ww hasa ulisema mtaingia kwenye uchaguzi na mtashindana na CCM bila uoga. Ulitegemea nn? Tuliwaambia acheni njaa zenu bila katiba, bila tume huru hamuwezi kuifanya chochote CCM; sasa unamlilia nani? Nawaambia isafisheni CHADEMA kwanza....muondoeni Mbowe kwanza ndio mtapata plan B.

  • @FelixMkini
    @FelixMkini 3 дні тому

    Upinzani hamkujua kuwa itakuwa hivyo? Mlipaswa kujua jamaniiiiiiiiiii,

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 дні тому

    Wewe mwandishi huamini kuwa lisu ni kelele yeye hugombana na yeyote jina lake inamshuhudia kuwa ni mtundu

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 2 дні тому

    Mimi nashangaa sana,Tundu Lisu,Lema na Mwambukusi niliwai kuwasikia mkisema hamtaingia kwenye uchaguzi mpaka Katiba mpya Tume huru ya uchaguzi,Tundu Lisu ulienda mbali zaidi ukisema kuwa mkiingia uchaguzi kichwa kichwa mkipigwa msilalamike.

  • @BARAKAJOSEPH-j4u
    @BARAKAJOSEPH-j4u 2 дні тому

    Bila shaka sasa ivi mbowe anakula kotekote

  • @HusnaH-t4v
    @HusnaH-t4v 2 дні тому

    Ccm itabami kuwa ccm tu awemwanamke awe mwaname ndio walewele wauwaji

  • @DaudiLukumay-rq3wk
    @DaudiLukumay-rq3wk 2 дні тому

    Ccm awaeziy tumia jasho lao kazi kuiba tu wakora kweli

  • @sturmiusbs
    @sturmiusbs 3 дні тому +2

    Very sad very sad

    • @paulsibu5770
      @paulsibu5770 2 дні тому

      True very sad Yani inauma mpaka tunakosa Majibu, Tunaelekea wapi Sisi?

  • @SweetBertMlinda-bq7mp
    @SweetBertMlinda-bq7mp День тому

    Bado hamjasema mbona,

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 2 дні тому

    Lisu acha kelele kwani ulijiandikisha.

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 дні тому

    Serikali ipinduliwetu

  • @MudyLibrary
    @MudyLibrary 2 дні тому

    Kama mimi cjapga kabisa

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 2 дні тому

    Odemba unapote sasa, kwani wewe uyaoni yalio tokea, acha unafiki

  • @LivingAlfons
    @LivingAlfons 3 дні тому

    Chadema viongozi tupeni go ahead

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 2 дні тому

    Nilikuwa nakusikiliza na kukuelewa, lakini kmbaad ya kumtaja vibaya jpm, nimeshakuona pumbafu, na iliyoongea yote pumba

    • @frankruhasha8577
      @frankruhasha8577 2 дні тому

      Pale ambapo mpumbavu anamuona aliye na akili ndo mpumbavu

  • @matanokitwana3249
    @matanokitwana3249 2 дні тому +1

    Tundu lisu mwenyewe hauja jiandikisha ,hamkua tyr Bali mpo tyr kwa migogoro tu

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 3 дні тому +4

    Hapana huu uwongozi wa sasa hamuna kitu

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 2 дні тому

    Hiv ikitokea kuna mtendaji wa chadema ameshinda, yan akawa kura zake zimezid itakuwa haya malalamiko yana validity au

  • @dulasaid2581
    @dulasaid2581 2 дні тому

    Kama hamja mfukuza mbowe hakuna mabadiliko.

  • @rajabumbwambo1301
    @rajabumbwambo1301 2 дні тому

    Tundulisu.hatasingida,ikungi kweli?

  • @petromsangi6856
    @petromsangi6856 18 годин тому

    Tusidanganyane tunatwanga mawe kwenye kinu

  • @HatibuSozi
    @HatibuSozi 3 дні тому

    Chamsingi bila tume huru tusidanganyane kwamba hata awe mmojatuu tukampambanie huyo huyo

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 2 дні тому

    SIASA ZENU ZA MATUSI NA UDINI UKABILA LAZIMA MFANYIWE RAFU USILALAMIKE MMEVUNA MLICHOPANDA