Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
MR LIGHT SHOW | MC GARA B AKASIRIKA NA KUSUSIA KIPINDI KISA WARDA KUMKATAA JAMAA DAKIKA ZA MWISHO
Вставка
- Опубліковано 8 січ 2022
- Kwa story Zaidi tufuatilie kupitia Mitandao :
►Twitter / tv3tanzania
►Instagram / tv3tanzania
►Facebook / tv3tanzania
►TikTok / tv3tanzania
Mapenzi hayalazimishwi jamn, asa hapo kakubali but huwezi jua hawatokaa hata wiki wakaachana!
safi sana kaka kaweka waz kwanni adangaye alafu badae waje wasubuane
Garab anaforce mtu apendwee Ila nimekuelewa😁😁😎😎
Ila hao wadada wanazingu naalicho kifanya Mr ni sawa kwa sababu kwanza analinda heshima yake pili analinda kazi yake isijeoneka wao ni wahuni Kuna kipande kimoja ase ukiangalia kweli unaweza sema hawa mademu wanaenda kutafuta wanaume wenye mali
Jaman sio wote
Uyu Kaka mc anajidai sana
Sio kujidai Kuna watu wataona wanaleta masihara kumbe watu wapo serious
Pole kaka yani awa wadada jaman
Garab Safi Sana Yani nitaendelea kufuatilia Mr right 👍 hapo wanais ni sehemu ya kuuza sura hapana wawe serious Mr right imewaokoa watu wengi inafundisha pia ajalizimishwa mtu
Habr yako kwani sikuhiz wanaonesha kipindi gani na saangp
Jamaa ana hasira sana
Mc gb kanuna atar ila warda amezid kuchachuwa sana
wanaume wote tuna takiwa tuwe ivoo kama mr gara b alivyo mtetea mshikaji so ni vizuri sana
Goood
Gara B nime kuelewa
Jamani napenda kutizama sana naomba muwe nabumaliziya
Mr Light jamani khaaa Mr right
Ushetani huu niwakimataifa.
Hivi niuwasilia hii show au joking?....
Kwani hao wanawake wanaenda kutestiwa kwa hao wanaume
ila mzuri sana
Gb rudi bwana
❤❤
😂😂😂😂😂 mbona kulazimishana
Acha kumlazimisha bana jamaa atateseka sana
Gara alibanwa kukukojoa bana akaona atoke kidogo kulimwaga 😂
huyo jamaa yuko sawa duh wanawake bhana
Mbalinga sana wengine tunabambeleza mpaka tukaona tuje Oman kwanza
🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅
Mbona sielewiii... Mpost Show Nzima ilikuwaje
Garab nimefurah na hizo swanga zako🥰🥰🥰
Naona watu wanavopigana kweny hayo mahusiano 😂😂😂
Kutafuta mume mapaja nje sabrana nini hicho umevaa sasa kama mzungu uchwara
naitaji kujiunga ❤
Vp
Long distance ndio mapenzi alonipangia mungu napenda sana
Hongera mimi yananipa pressure
unamkwara waatar😄😄😄
Naomba kuuliza hv hki kipindi nikweli unapata mchumbaa nakuona au. Nimaigizo tu nakama kweli unajiungaje
Haina haja ya kujiunga,, nicheki hapa tumaliza kila kitu..
Muhaya
Muhaya kafanyaje
Wanaringa
Wanaringa nn si wangekaa majumbani kwao
Hayo ndio maamuzi. Na ingekuwa hivyo siku zote, hakuna mtu ambaye angechukulia masihara hapo kwenye hili jukwaa
Kaman naomba kufahamaishwa kuhusu hichi kipind hiv ni kweli Au nn
Ni ukweli na sio maigizo
Ni kweli
Hii sasa laana tusubiri majibu
GARA B NA WEWE UNAZINGUA MTT WAKIKE HUYO ACHA KUMAINDI
Jaman mim mnieleweshe kwan hiki kipind kinalenga nin Zaid, kupata mume, kupima a nyota, au
Na mm celwag kabsa
Kupima Nyota😂
Hiki ni kwa ajili ya kupata mume au mkee Mtu sahihi kwako..
Atamimi sivielewi kabisa
Afu a nakuwa mkeo kabisa?? Sijaelewa
Nimepitwa mimi yani show ilikuwa moto
Jambo 87,000 and a lot teacher and a very busy man
}} p} a r[[[gttttt555
Ni stesheni gani na saangp
Hahaha mc akijama amejama namuona kwa jua kali huyu bwana
Ndio yy michael
@@habbyhalawa5266 namuelewa sana
Kumbe wapuuzi wanaoa kwel
Wadada weng hawako series
Kabisa wengine wanataka tuuh kuuza sura anaweza kuja wanaume ata 20 yeye bado hataki shida gani sasa
Hiki kipindi naomba kueleweshwa vizuri kina maana gani!!is it serious kwamba ndo kupata mume ama mke ama ni nini?na hata kama sio serious kwa kufanya hivi tunalenga nini?na kama ni serious,ikoje hii?????naomba kueleweshwa pls
Ni ukweli na sio maigizo
Mwenyew naitaj kujua
Gara B😂😂😂nmeishiwa poziii😂
Hiv kwenye dstv nichaneli namba ngapi wapendw
Inaoneshwa startimes Dstv haipo
Ni startimes
ANGALIA JUAKALI FULL HAPA ua-cam.com/channels/7qUYUyrM1ynVu7ZljTsDOg.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤭
Amevicha aibu
Nmm ntmpat mke bc