MR RIGHT AMCHAGUA TIFFAH AMKATAA MREMBO HUYU
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Kwa story zaidi za maisha, burudani, vipindi na za kila siku tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►JOIN OUR WhatsApp Group chat.whatsapp....
►SUBSCRIBE / @stbongotv
►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
THE BANTU JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 10 JIONI
SPOTLIGHT JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 12 JIONI
TWENDE JIKONI KILA IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 JIONI
FASHIONISTA KILA JUMAPILI SAA 1 USIKU
MR RIGHT SHOW KILA JUMAMOSI SAA 4 USIKU
KIU SERIES JUMATATU HADI IJUMAA SAA2:30 USIKU
THE SPIRIT NA IBADA LIVE KILA JUMAPILI KUANZIA SAA 4 ASUBUHI
MOVIE NIGHT NI KUANZIA JUMATANO MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA NNE USIKU NA MARUDIO MCHANA KILA SIKU
Hata mimi nashauri wanaoowana kweli wawe wanakuja kwenye shoo ❤❤❤
Mwijaku ndio baba mkwe wa kweli nakubali...ndio anayenogesha
Ila mwijaku🤣🤣🤣
Kwaiyo we mwinjaku ndo somo wa Mr.Right 🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
😀😀😀😀
Duuuu Mwijaku akauwa sana this show is amazing too much
That girl would have also be my favorite. Her beauty and body language speak better for long term relationship.
Much love from kenya, napenda the way your show goes,lulu hi
Duh wanasemaga wanene kwa sas awana soko lkn mbona hapo kachaguliwa mnenebndio muelewe mapenzi ya kweli ni kwa yule umpendae awe mnene awe mwembamba nfio toho ishapenda acheni kujidanganya kila mwanaume ana vigezo vyake kumpenda mke wa maisha yake
Mwijaku Anacheza vanga 😂😂😂😂
Haki ya mr.right wa sasahivi ni fireeee
😂😂 xo beautiful indeed.. nice choice brother the gal looks nice🎉🎉
Trust me bro. She is so beautiful. Only real men can choose that girl ✅
Nashauri muwe mnatembelea hizo ndoa na waje kwenye shoo !!
KBS
Exactly
😆😆😆
Hamna ndoa hapo 🤭🤣
Fact maaana usikute wanaaunganisha zinaa tuu
Hi number 2 dad is looking very clever I guess the day your daughter will get married you will dance like that❤😂😂
Kwani huwaga wanaoana kweli jamani😂😂, I love this show ❤
Sijui mm
Mmmh sio powa kabisa, nalilia kizazi changu ee Mwenyenzi Mungu nihifadhi na kizazi changu ktika mikono yako salama
A nice progress especially for those who have lost hope of getting a lover outside this scope
Such a cool show, much ❤ from 🇰🇪 Kenya.
The Most part uniliza at the same time kunifurahisha😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Congratulations keep it up good job 🎉🎉🎉🎉❤❤
Mwijaku wallah😅😅😅😅😅😅😅😅 wafrahisha show..mob love from254
Naomba siku moja watu waliooana kupitia hii show waje hapa tuamini kama ndoa ziko kupitia hiki kipindi
😂
Ila duu njoo mana wamesema macho niyako Ila awuoni 😂😂😂Awo umemupendeya ayo makaliyo tuu Akisha uyo dada nimushabu kuliko mwanaume😂😂
izo ndoa zinadumu kweli❤❤
Am addicted to this show more than of my country
Ya Kenya Haikou mature Kaa iii
Mi pia napenda nyiaaaaamaa
Love frm kenya❤❤😂😂😂
I love the show
Naenjoy sana kipindi hiki hivi ni wapi huwaga inafanyika I wish siku moja nihudhurie
Watu wa dar wanakula mtereree aisee waje na arusha bs tufurahie ulimwengu
Hivi hizi ndoa zinadum kwel namimi niende kujipatia❤
Mwijaku😂😂😂🙌🙌
😂😂😂😂😂😂Jmn mnawabaisha kunakapresha hapo😂😂
Right choice
Huyooo Mr right mbona anabinya makalio hivyooo kuna herii kweliii hapo
Siulimskia yule dada mr right kapita nyuma nyuma sitoboi
Delaaa is typing..... Mwijakuu
Upendo ni mzuri nw afya ni bora maradufu mjuane afya zenu jamani msione furaha kupata machaguo yenu kwa kila mmoja wenu .
Tiffa kampiga busy Mr right 😅😅😅 lulu diva kashtuka kuona tiffa ana mpiga Mr right ma busuuu😅😅😅
Nyiiiiaamaaaa😂😂🎉❤
😂😂😂😂😂😂😂
My God its Amazing I love this show
Mwijaku utampenda tu
Wakina dada kama unatako swala la ndoa msaau
Mwijaku I like brother unaweza
Hiiii dunia inaishia zake Sasa duuu
Mwijako weye😂😂😂
Iv wanaowana kweli au kama movie tuui
Hatari sana
Ivi ni kweli wanaoana kw mahali ya shingapi,?
Mwijaku my guy 😂😂😂😂
Mr mwijaku ni mtu wa kuongea sana.. anatabia ya vifujo fujo daah some time unahalibu show
Mwijaku 😁😁
Mwijaku lajifanya jitu la dini kumbe hovyo kabisa ndoa gani ya hivyo bwege wewe unaozesha huyo mwanau au sema unachochea watu kwenda kuzini dayuuthi weweee.
weka full episode
Vigezo vya mr right
Ndoa Gani hizo uhuni mtupu wanaenda kukazana wakimaliza kila mtu njia yake wametamaniana tu.
Alivyoshikilia hilo trakooo sasa
Hahah labda anakagua kama sio kigodoro
@@ShufaaJuma-he5po ila kweli maana wadada sikuhizi wanavaa mno magodoro
Nmependa babamkwe mshndi anavyo cheza😅😅😅
Mmh izi ndoa huwaga zinadum kweli jamani kahha
Nilikua naomba kuuliza hamuwezi kuweka kipande chote
Nilikua naombi wangekua wanatudi kwenyeshoo.kutwambia gisi wanaeshi kwenye ndoa Yao🙏
😂😂😂😂😂naipentsaaaaa
Mwijaku bhana😂😂😂😂😂
Mwijaku😂😂😂 hapana kwakweli
Hata ningekuwa Mimi ningemchukua huyoo
Wa dada wa humu asilimia kubwa wanapenda kuvaa vimini kwanini au ndo masharti
Wazinifu 😂😂😂
ili waonekane vizuri maumbile yao yaani hapa km ni mzinzi mzuri nenda kwny kipindi iki
@@stevemwandambo587 😂😂😂 kweli aise
Huyu mwamba alizingua sana aise😂
jamaa kamchagua huyu dada kwasababu anesikia anafanya biashara Kama yake na hanaingiza laki tatu
Upo moyoni mwake au kweny mawazo yake ukaona unachokisema nisahihi.. acha kukariri wewe,kikofia
😂😂😂😂😂😂so kwer,moyo ndoumeruhusu
😂😂😂😂😂😂Nimependa uwo mkumbatio🤼
❤❤
Sijapenda huyu kaka kashindwa kumchagua huyo alie vaa yellow 😢
Lulu sasa😂😂😂😂😂😂😂
Mwijaku anachangamsha mue munamwalika kila Siku nampenda
Niko zangu Kenya place machakos Ii kipidi uwa inanibaba soon nitawatebelea tU pia me nadai niwe Mmoja wenu
Kwan hii Mr right inafanyikia wap na mm nije nishiliki
mwijaku🎉😂
Mwijaku😂😂😂😂😂
Mwijaku😂
Me mwijaku simpendi kwenye hii show 😊
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂yaani ana mauza uza 😢😢😢
Wanaume wanawadanganya mkonde slafu wanapenda matako makubwa sas bila nyama matako yanatokea wap labda ufanye sajali ya matako
Ila jamaa haoni kabisa😂
Amekimbiliya shebu 😂😂😂akaja wanawake wazuri
Ila mwijaku kanifrahisha sana 😂😂
Mwijaku 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂mwijaku
Ila mwijaku nyieee
Ila uyu dada nae mzur japo mnasema kamchagua kwa sabab ya shep
Tena mzur sana TU afu inaonekana hana kinyongo
uyo mwijaku jaman siaende kwenye kipindi cha tarabu mbn anakela cana
😁😁😁😁😁 so funny
Nazan saiv biashara imekuwa ya waz kabsa
Hicho kilulu nacho kihere here😂
Ety mwijaku baba mkwe jmn aaah
uyu jamaa alikuwa alichagua Mali Ina nyama nyama , nzuri kinyama , ushindi
Kwakweli napataga rahaaa naomba muwaweke nawa vijijin😂
❤❤❤❤😅😅😅
Jmn Mr rite achague achague mwenyewe wadada wakowa stejin Kama zaman,hayo mambo yakuwaweka mbele cyo
Sema Gara B unapigwa na mwijako
Wanaendana kabisa
Mwijaku lazima uchungulie😂😂😂
Why u passing around between my interview 😂😂😂Tid
Yani uyu kijana anapenda wanawake mabonge 😂😂😂adi mtaani mamae
😂😂😂😂
Magret aliachwaje kwamfaano
sema nimegundua wakaka wengi wanapenda mademu wenye nyama😅
Ila uyo wa njano wange fit san
Sana
Mwijaku 😅😅😅😅
Nimecheka mpaka bas ila galab uwez utani
😂😂😂😂 uyu red guy ni mcheshi kweli😅😅😅😅
Ni mwijaku uyoo😅😅😅😂😂😂