MUKOKO TONOMBE: "NILIUMIA SANA KUONDOKA YANGA" | ASEMA YANGA WANAWEZA KUFIKA FAINALI YA CAFCL.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 22

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 16 днів тому +3

    Msema kweli mpenzi wa Mungu,inshaAllah utapata riziki yk utayojaaliwa M.Tonombe,Tz ni nchi ya amani/upendo/furaha UMELIDHIHIRISHA hilo,kila jema kwenye maisha yk ya Mpira,keep it up.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 17 днів тому +3

    Safi sana MKOKO KARIBU NYUMBANI , TIMU ZIKO NYINGI BONGO

  • @user-bw3fr8qu3i
    @user-bw3fr8qu3i 17 днів тому +2

    Tunakupenda sana

  • @mathiasmwamba5872
    @mathiasmwamba5872 17 днів тому +3

    Mukoko teacher

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 17 днів тому +2

    mukoko karibu tanzania

  • @BahatiTunze-qb7fi
    @BahatiTunze-qb7fi 17 днів тому +3

    Azid kupamba azid hapo kdg tuta muludisha jagwan

  • @user-iz3hs8jl5p
    @user-iz3hs8jl5p 17 днів тому +3

    hao ndo wachezaji wenye kuheshimu walikotoka sio wengine kutwa mtandaoni kusema yanga vibaya

  • @emiliankatura1684
    @emiliankatura1684 17 днів тому +4

    Huyu mwamba tumrudishe Wananchi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 17 днів тому +1

      hapana ni mchezaji mzuri ila kwa wananchiiiii Hana nafasi ....

    • @user-xe6jw8pt3d
      @user-xe6jw8pt3d 15 днів тому

      Aliekuja Kuchukua Namba ya Huyu MWAMBA ni YANICK BANGALA na Hayupo tena YANGA
      MWAMBA Arudishwe

    • @user-xe6jw8pt3d
      @user-xe6jw8pt3d 15 днів тому

      Aliekuja Kuchukua Namba ya Huyu MWAMBA ni YANICK BANGALA na Hayupo tena YANGA
      MWAMBA Arudishwe

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 17 днів тому +4

    Huyu jamaa anafaa kubaki ligi yetu tz

    • @PetroSamwel-vz6hg
      @PetroSamwel-vz6hg 17 днів тому +1

      Atabaki huyu mwamba c kashasema mkataba wake na mazembe umeisha hapa kaja kusoma ramani

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 17 днів тому

      ​@@PetroSamwel-vz6hghata mimi nahisi hivyo kwani amesema amekuja pia kuiona familia ya mke wake; kwa maana wakwe zake wapo hapa hapa Dar es Salaam na yawezekana ni watanzania na yeye kaoa binti wa kitanzania. Kwa hiyo kaja ukweni

    • @malietamalieta9658
      @malietamalieta9658 17 днів тому +1

      ​@@PetroSamwel-vz6hgujue tanzania wakongo wanapapenda sana na mayele angekuja kumsaidia fei ila kaogopa kukutana kitu kizito😂😂

  • @boazygodfrey9371
    @boazygodfrey9371 17 днів тому +3

    Hawezi Kurudi YANGA Tuna Malengo Makubwa Sio Kwamba Ana Uwezo Mdogo Ila Kwa Hatua Ya YANGA Tunahitaji Watu Wakubwa Zaidi Kama Kina Profesa, Aziz N.k Wenye Vipaji Vikubwa

    • @FadhiliYusuf
      @FadhiliYusuf 17 днів тому +1

      Nikweli ila usiseme ivyo

    • @user-wy5ox1xb1z
      @user-wy5ox1xb1z 17 днів тому

      😂😂😂

    • @user-xe6jw8pt3d
      @user-xe6jw8pt3d 15 днів тому

      Mh!!! Na Wale Kina MAUYA Wanafanyaje?
      Mbona Kila Mwaka wanaongezewa MKATABA

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 15 днів тому

      @@user-xe6jw8pt3d mauya na mukoko hawana tofauti sana ... Pale yanga sasa ni ngumu kucheza mkude mwenyew hapati nafasi ...Mauya c mchezaji mbaya ila confidence yke imeshuka Sana ila ni kiungo mzuri tu

  • @user-xe6jw8pt3d
    @user-xe6jw8pt3d 15 днів тому

    Tulipigwa KITU KIZITO
    Tulipewa CHICCO USHINDI😢😢
    Tukabadilisha kwa huyu MWAMBA
    Aucho akipata MAJERAHA Namba 6 Ni MAJANGA

    • @RobertSalum-vs9oj
      @RobertSalum-vs9oj 10 днів тому

      Kweli mwanangu , yaani eti tukatoa mkoko tukapewa chiko , very poor player 😂😂😂😂