Pastors Mmbaga, nimekufuatilia sana kwa muda mrefu sasa, nikitoka kanisani naanza kufuatilia somo lako, naamini siyo wewe bali nguvu itokayo juu, sifa na utukufu zimrudie Mungu aliyekupa kipawa hicho, Kwa muda sasa nimekuaa sina imani na GC hasa baadhi ya viongozi wake, , GC inafahamu kabisa kuwa La Sierra university ni chuo cha kichungaji cha kanisa la wadventista wa sabato ukiingia kwa website yao kuna kikundi kinaitwa Sabbath Kinship ambao wanakubaliana na mambo ya ushoga Yaani LGBT (Lesbian, Gay Bisexual and transgender), Kuna kitu ulishawahi kukiongea kilinipa ukakasi sana nisingependa kukiweka hapa Lakini yote kwa yote kinashabiana na hicho
Mtumishi wa Mungu Asantee kwa maneno matamu ubarikiwe kokote uliko Na uzidi kueneza nno lake christo jesu
Amen🙏🙏
Kupitia mahubiri yako maisha yangu yamebadilika.Barikiwa sana Pastor 🙏
Pastar napenda sana kufuatilia mahubiri yako, mungu aendelee kukwinua uzidi kutufundisha, na mungu akupe baraka tele nyumbani mwako
Napenda sana mahubiri yako pastor God bless and you family
God bless you man of God you are a teacher God bless you have a blessed night iam praying for you iam from baringo learning more about Bible thank you
Nazidi kubarikiwa
Nabarikiwa sana
Amen Pastor, Naomba Sabato ikiwezekana mteketeze live na sisi huku tufanye kwa imani🙏
Amen
LORD JESUS, humble me so that i can be worthy before you. Thank you pastor and be blessed and your family.
AMINA Amina 🙏🙏🙏
Mchungaji MUNGU akubariki sana
Nimepitia hii Leo, 29, usiku wa kuamkia JUMATANO, MAY 2024.
NIMEBARIKIWA SANA.
MUNGU ANISAIDIE
MUNGU AKUBARIKI PR.
From Kenya.
Nimebarikiwa sana.
God bless you pastor.
nabarikiwa sana
Asante Mungu kwa mtumishi wako umempa hekima ya kutuelimisha sisi, Mungu tusaindie
Nashukuru sana Mchungaji Mungu azidi kukutumia kupitia masomo yako nmejifunza mengi na pia nafunguka katika vifungo
Asante kwa kutuoa mahubiri mazuri siku zote.barikiwa sana mchungaji.....asante kwa maombi pia.🙏
Be blessed Pastor Mbaga
Kwel Mungu huinua watu wake kwa wakati wake.ubarikiwe Pastor
Ubarikiwee sanaa mtumishii mi nasubirii kwa hamu iyo series ya ufunuoo🙏🙏
AMEN
Pastors Mmbaga, nimekufuatilia sana kwa muda mrefu sasa, nikitoka kanisani naanza kufuatilia somo lako, naamini siyo wewe bali nguvu itokayo juu, sifa na utukufu zimrudie Mungu aliyekupa kipawa hicho, Kwa muda sasa nimekuaa sina imani na GC hasa baadhi ya viongozi wake, , GC inafahamu kabisa kuwa La Sierra university ni chuo cha kichungaji cha kanisa la wadventista wa sabato ukiingia kwa website yao kuna kikundi kinaitwa Sabbath Kinship ambao wanakubaliana na mambo ya ushoga Yaani LGBT (Lesbian, Gay Bisexual and transgender), Kuna kitu ulishawahi kukiongea kilinipa ukakasi sana nisingependa kukiweka hapa Lakini yote kwa yote kinashabiana na hicho
Amen Mungu akubariki sana
akii nampenda yesu christo kwakunipenda sana 🙏🙏
Bwana YESU asifiwe Mchungaji
Mimi nahitaji msaada wa maombi kwasabu. Mtoto wangu mlevi sana jina lake ni lumumba
Pastor mungu akubaliki na uweze kuisema kwer ya mungu pasipo kuogopa
Am blessed .....pst
Amen be blessed
Mimi najifunza Sana mafundisho yako nikiwa baa na ninaishi maisha salama Sana kupitia maubir yako mchungaji
Mtumishi naomba unisaidie hapo kwenye kula nguruwe imekaaje?
Thank u
Barikiwa Boss
Kupata tiba kutoka kwa mganga wa kienyeji...dawa ya tumbo maslani...
Inaweza chafua utakaso wa kikristo
Pastor Kijana wangu analewa anasema ataokoka akiwa Miaka 40 nisaidie kwa maombi jina lake ni Gilbert
Mungu aokoe uzao wa tumbo lako
Amen