Joram is true, economic freedom to citizens is most important. Look at ujamaa itself, most people wants to leave Africa to seek greener pastures out of the continent. Now Tz Diasporans seems to have done mistakes because of not lagging behind the old fashion political idiologies aka ujamaa.
Mwalimu hakufeli, bali aliamua liwalo na liwe lakini Nchi yetu ibaki mikononi mwetu....hakuna mtu aliye sahihi kwa kila kitu..swali ni kuwa je tunailinda vipi Nchi yetu dhidi ya vipanga.....
hivyo vitabu vya nyerere vilipaswa viwe shuleni cha ajabu tunaletewa Ngoswe kitovu cha uzembe Tubadilike vitabu kama vya Baba wa Taifa viwekwe kwenye historia... tuige China
Keep it up bro as you are enlightened already
Joram Nkumbi,,, 🙌
Mnyampaaa hongera sana,,unaupiga mwingi sana
Uko vizuri 👍👊💪
Ipo siku utapewa chaka ktk kuenzi na kuendeleza historia za nchi yetu Tanzania ni swala la Muda Tu.
Nabarikiwa sana nawewe kaka Joramu
Joram is true, economic freedom to citizens is most important. Look at ujamaa itself, most people wants to leave Africa to seek greener pastures out of the continent. Now Tz Diasporans seems to have done mistakes because of not lagging behind the old fashion political idiologies aka ujamaa.
Insightful thought provoking perspectives 🎉
Mungu akutunze mtoto wa Taifa
Nakukubali sana kijana mdogo akili kubwa sana mungu akulinde
God bless africa
🎉
Mwalimu hakufeli, bali aliamua liwalo na liwe lakini Nchi yetu ibaki mikononi mwetu....hakuna mtu aliye sahihi kwa kila kitu..swali ni kuwa je tunailinda vipi Nchi yetu dhidi ya vipanga.....
Well said Chief
Unauweza mkubwa, Fikra tunduizi ya kiwango cha juu sana.
Serikali ifanye jitihada vitabu vya baba wa taifa visomwe shule zote za msingi na sekondari.
Kutokuvisoma hivyo vitabu vyake ndilo angoko la taifa hili
💪🎙️
Sio bure hii ni roho ya Nyerere ime reincarnate.
😂😂😂hahaha wew
Umetisha kaka.
Pongezi kwa wazazi wako
Naenda ki download hii video
Kaka Joram naomba unitafute. Kaka na vutiwaga sana na falsafa zako za kimapinduzi
Wapi video inayofwatia hii, kwa maana hii video imakatika gafla?
Mlumbi kwenye ubora wako
Laiti vijana wa ccm wengi wawe kama huyu
hivyo vitabu vya nyerere vilipaswa viwe shuleni cha ajabu tunaletewa Ngoswe kitovu cha uzembe
Tubadilike vitabu kama vya Baba wa Taifa viwekwe kwenye historia...
tuige China
Ujinga tu wewe kama msomi tupe mawazo yako sio kunukuu ya watu pekee
Acha makasiriko yasio na tija
acha wivu kijana ni anauwezo mkubwa sana huyu.
Sio bure hii ni roho ya Nyerere ime reincarnate.