Nmetumwa huku na babes sai niskize huu wimbo as we prepare to start our marriage journey may God lead us through in our relationships .. I love the song ❣️ Walio kwenye ndoa na mahusiano nawatakia kila la heri mola awe nanyi ❤
Oyaa mwanangu mi mtanzania can u imagine vijana wengi tulikua tunasubili release of this song ndio tufunge ndoa😂 now its the right tym to wed nyimbo tunayo
The way i loved my ex😒 when i hear this song i remember them😭 i was ready to be a wife msee akaniletea msichana kwa nyumba😭😭 i hate them for ruining my dream😔 I miss the good days we had fr😪😔
As I watch this namuomba Mungu anipe Yule wa kufanana na Mimi atakayevumilia madhaifu yangu na kunipa compliments ndogondogo.yani aliye Nyama katika nyama zangu. I believe in you GOD.🙏🏽
Ndoa ni kitu tamu bora heshima,upendo na maelewano yapewe kipao mbele.loving your youthful partner is sweet ever.thanks tik tok for making me know this song ndio nksrush huku mbio kama bullet.nipeni likes basi wenzanguni😍🥰
This guy let him stay blessed 🙏 the song makes people to believe in loved ones among of the relationshis❤......if. You support that give me your like 👍❤
This song is extraordinary, heating in, draining and rising goosebumps. Oooh wonderful song, love is beyond everything, let this song live forever in the hearts of all lovers, this is the conquest of❤. What a song!!!!!❤🎉🎉
I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.” Fear can overtake us, but God is all-powerful and will offer us all the strength we need, And we know that in all things God works for the good of those who love him, who have been called according to his purpose. We can trust that He is with us through every challenge we face, and we are ultimately going to come out stronger in the end.
Kawimbooo kamejua kutrend ticktock, yan aiseeee wimbo unaukonga moyo huu daaaah, to me is the best wedding song for the yr 2924.......katam kuingia nako ukumbini!
are we from ticktock gonga like kama umetokeaticktock kuja kusikiliza woote❤❤❤❤❤aiseee hataree
Right here. Unaitwa aje TikTok nikufilloe
umejuaje kuwa nimetoka tik tok
Hii nayo imebidi
Aki, this song got me❤,,hadi niko na cravings za ndoa baanaa
@@hellenadongo2518 na vile niko kwa searching mode
Finya Like kama you are believing God for your person..
Yes my namesake
From tiktok and this is my favorite love song ❤❤.....can't wait kuuimba huu wimbo pamoja na mume wangu nikirudi kenya 🇰🇪......Awesome song ❤❤
I wish you all the very best mahali upo
Can't wait kuomba huu wimbo siku ya anniversary yangu na mume wa ujana wangu loo big up❤❤❤
Wote tunae kubali hii nyimbo ni zuri gonga like apa ❤❤❤❤
♥️♥️♥️♥️♥️🫀
Kama umerudia huu wimbo mara 20 nyosha mkono juu🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
✌️
Tangu asubuh nasikiza😂
Ndio nimefika mara ya nne kutoka kwa status ya mtu huko watsup😂
👋👋👋
🙌🙌🙌🙌🙌
Uuuuuuh,,,wimbo mtamu ukiimbiwaa jaman mpak nasismka mwili,, ILA kwa uyatima huu wa mapenzi,,,acha nitabasam ❤️❤️❤️💐💐 wimbo mzuri sana
😅😅😅
Wimbo huu hapa...Ee Mungu namsubiri mume wangu❤Nitafurahi😊
Nmetumwa huku na babes sai niskize huu wimbo as we prepare to start our marriage journey may God lead us through in our relationships ..
I love the song ❣️
Walio kwenye ndoa na mahusiano nawatakia kila la heri mola awe nanyi ❤
Pia nawe
If you are from tiktok mkono juu ✋✋✋
🖐️😅
🖐️
🖐️
✋✋✋
Tuko wengi....
Bonge la song awiiiiii! Wacha nisubir aniversary ya 25yrs , Mungu tuweke tena na tena
From tiktok- Rachael Otuoma singing to her hubby Ezekiel Otuoma on a wheelchair. The couple brought me here. Such a lovely song.
Nina miaka sasa sijaskia mwimbo mzur kama huu,hongera sana mwamba
Uwimbo ume nifanya nizidi kumpenda husband Wangu sana Tena sana ❤❤
😂😂😂😂
Sichoki kuusikiliza Mungu azidi kukupa kibali cha nyimbo nyingi nzuri zaidi
Thanks for listening
Huyu kijana ako na talent💯💯💯💯💯
Nimetoka TikTok nikaleta like yangu,ngoma tamu sana
Same😅❤❤
👋👋👋👋
Yehovah nikumbuke na unissmehe unipe mume akupendezeye
Ulifnya nn unaomba msamahaa😔
How lucky I am😊
My wedding is very soon and this will be my entrance song
Thanks for this beautiful song Asagwile 🙏
All the best
All the best ❤❤
@@asagwileofficial4492 thanks to you
All the best for your Wedding
It match❤
I came from TikTok and all I can say is love is beautiful..my maaan nakupenda ❤
Nice song ,, mungu aendelee kukupa kubali Cha kutoka nyimbo nyingi na nzuri zaid🙏🙏🙏
kabisa
❤❤❤❤.. Nishapata wimbo..bado wakuimba sasa..
Jesus when..??
May God see all of us trusting for a patner..
❤❤❤
Oyaa mwanangu mi mtanzania can u imagine vijana wengi tulikua tunasubili release of this song ndio tufunge ndoa😂 now its the right tym to wed nyimbo tunayo
Mwaisa Mwaisa Mwaisa nimekuita mara 3 hii nyimbo 🙌🙌🙌🙌
From TikTok, a beautiful song and perfect for tonight ❤
Any Kenyan around ❤
Yesss
The way i loved my ex😒 when i hear this song i remember them😭 i was ready to be a wife msee akaniletea msichana kwa nyumba😭😭 i hate them for ruining my dream😔 I miss the good days we had fr😪😔
🫂 Then he wasn’t for you and God will bring the ryt person to you.
Wimbo mtamu sana aisee❤❤mchumba wangu ameupenda san
All the way from tiktok.. finding your best friend and partner for life is so sweet..cant wait.nitakua na weka hii song daily❤
Tanzania na music mizuri kama Mimi na my love wangu tu ❤
Nimetoka ticktock...in love with the song.Mungu nipee wangu sasa❤
Nyimbo nzuri sana, mungu kanipa wew kama zawadi nkupenda ❤❤❤Hubby wangu mahali popote...... ulipo usiku wa leo umebarikiwa love you😘
❤❤❤
Atakam niko single kupitia hii wimbo nitapata mpoa pia nami 😢😢😂😂😂
+255
A dedication to every couple ❤ planning to settle 🎉
As I watch this namuomba Mungu anipe Yule wa kufanana na Mimi atakayevumilia madhaifu yangu na kunipa compliments ndogondogo.yani aliye Nyama katika nyama zangu. I believe in you GOD.🙏🏽
🙏🏾AMEN
Kama umetoka tiktok msinikanyage 🙏🏼
I too,am from TikTok...much love,the song is soothing
All the way from tiktok🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
If this can't melt your heart.... Basi umelaaniwa..
I have literally listened to this song since morning,,n trust me I now know the lyrics 😅❤❤
😅
Very true 😂❤❤❤❤❤❤
True kabisa
Sasa nahisi kupenda Mtoto wa mavyaa 4 richer 4 richer...
Anyone redeee😂
Kazi Nzuri sanaaa , Keep It up
Nimetokea tiktok kweli nyimbo kali
Asagwile this is so much amazing❤❤❤❤❤
mshukuru ndaro pia wengi tumeujulia wimbo kupitia ndaro na tunda
Ndoa ni kitu tamu bora heshima,upendo na maelewano yapewe kipao mbele.loving your youthful partner is sweet ever.thanks tik tok for making me know this song ndio nksrush huku mbio kama bullet.nipeni likes basi wenzanguni😍🥰
Waoo nimeutafuta nimeupata ndoa majariwa nyimbo pedwa ya ndoa yang🥰🥰
🙏🏾🙏🏾
Umfikie Chi'lolo wangu popote alipo mjini Lusaka 🇿🇲 ❤... nimemisi sana!
This guy let him stay blessed 🙏 the song makes people to believe in loved ones among of the relationshis❤......if. You support that give me your like 👍❤
Huu wimbo umenifanya nitamani ndoa haki jamani, Mungu afanye wepesi kwakweli
❤unajua mpka unajua tena🎉🎉Mungu azidi kukufikisha mbali kimataifa 🎉🥰
kazi safi sir,,nimependa utunzi wako sana
Hakuna mwenye ako single anataka tuimbe hii na yeye siku yetu ya harusi 😂😂
mimi Apa
😅
Njoo uimbe na mm jaman❤
wimbo mzri sana na umenikumbusha mbali sana ongera
🔥🔥🔥🔥🥳🎊✨️ I'm in love with this song walai😊
Daaa kweri mbeya wanaimbaaa mweeeeee umenibaliki blazaa
Wimbo mzuri sana huu. Unanishawishi nikafanye anniversary ya ndoa yangu na niweke wimbo huu. God bless you
Huu wimbo hume sababisha nipange kuolewa kwaka huu ❤❤🙏
nimetafta hii song karibu nitoke wazimu.....thank God i founnd it finalllyy😍
asangwile unajua sana hiyo kazi nzuri
Ni mtanzania huyu jamaa au
Wimbo ndyo huu sasa,Mume tu ndyo nasubiri Mungu ❤
This song is really sweet and good,♥️♥️♥️♥️,from ticktock to UA-cam
My song,blessings bro
Blessed, from TikTok to here, be blessed brother🥰❤Mungu asaidie anipe wa kufanana nae niimbe nae
Huu wimbo tunaodownload vipi Mr Asagwile , ni mzuri Sana mana kwenye platform zote siuoni zaidi ya UA-cam
Naweza kuudownload vipi?
Ukipata jib n tag@@chrispinkaja1331
Nenda vdmate utaupata
All the way from TikTok ❤❤
My hubby....I love you swee❤❤❤❤❤❤❤❤to forever❤❤❤and raising kids together
Sawa, nimekubaliiiii 👊🏽👊🏽👊🏽👍🏿🔥🔥🔥
Wimbo wa siku ya harusi nishaupata, kwanza nitafute huyo wa kufunga nae ndoa, tupige hii ngoma! Kali sana big up brother
Kama umepoteza zaidi ya dakika 10 UA-cam uki tafuta ihingoma ulipota toka nyumbani TikTok gonga❤
Yaaani nimetafuta mpaka
Nmejituma kutoka tiktok na nmependa sana. Already nshaweka replay kama sita❤
Mimi nimetumiwa as will you marry me from my ❤....sooooooo happy had to look for the song at this late night.....😊😊😊😊
The song is 👌❤️❤️ can't wait kupata mpoa then we sing it together 😢❤
Tufikishe 1m views sasa❤❤
Wimbo mzuri Sana huu hongera Kaka.... Nataman kuolewa hata kesho😂
😂😂nljua mm tu
Mwamb huyu wawapi jaman? daaah!!!! Kwa. Nyimb za arusi ameuwa na kuvunj record ❤❤🎉🎉🎉
❤who else is from TikTok 😊 kuja kuskia yote😊
Be Blessed Boss,Keep fighting,Ndoa inasikika sana Kitaani
What a beautiful song 🙏🏾🙏🏾Wanandoa hii nyimbo ni dedication 🤪🤪
Napenda hii much love from 254❤❤
This song is extraordinary, heating in, draining and rising goosebumps. Oooh wonderful song, love is beyond everything, let this song live forever in the hearts of all lovers, this is the conquest of❤.
What a song!!!!!❤🎉🎉
Wow this is so Amazing 🎉❤❤
Ngoja nikupe mauwa yako kijana mwenzangu kazi nzuri sana nimekubali
Wueeeh🙌🏾🙌🏾🙌🏾this song❤
Hyo sauti ❤ ukiimbiwa unasahau shida zako zote
Waaaaaawo imebd nitoje tkt nije ,niunganishe bluuthoot, naon sm siskii vizur ❤❤❤❤❤
Kaa uko hapa and your my soulmate come home baby😍❤️
Daah aisee unajua kuimba wimbo mtamu sana
Am praying to God I walk down the isle using this song with a beautiful dawida lady I so much adore 🌹
Kaka kaka ❤❤
Wew ubarikiwe tu Kaka❤
❤❤❤❤❤ nakupenda huu wimbo mm
Here from TikTok....saw Mtumba man jamming to the song ❤❤❤
Am from tiktolk this song is a big wow❤❤i will sing it in my wedding🎉🎉🎉 God bless you asagwile🙏🙏
My favourite
From Kenya much love ❤
❤❤❤ love is a beautiful thing 😍
Wimbo bora wa ndoa wa nyakati zote🔥🔥🔥
This song made me fall in love again 😍
I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.” Fear can overtake us, but God is all-powerful and will offer us all the strength we need, And we know that in all things God works for the good of those who love him, who have been called according to his purpose. We can trust that He is with us through every challenge we face, and we are ultimately going to come out stronger in the end.
I can't wait to get married and enjoy with this song...God give me the right one
Kawimbooo kamejua kutrend ticktock, yan aiseeee wimbo unaukonga moyo huu daaaah, to me is the best wedding song for the yr 2924.......katam kuingia nako ukumbini!
Woow! What a lovely song 💖
Wimbo mzuryy saaaaaaaan w kunogesh upendo